JINSI YA KUPATA JINA ZURI LA BIASHARA AU KAMPUNI YAKO - Victor Mwambene.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Baada ya kutazama somo hili utajifunza Mbinu za kupata jina zuri kwa ajili ya biashara au Kampuni yako, Pia sifa za jina bora la biashara na jinsi ya kusajiri jina la biashara yako.
    .
    Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
    KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
    1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
    2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
    3. NGUVU YA KUJUA.

ความคิดเห็น • 27

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sana kwa maarifa maana sai nipo hatua hiyo ya kutafuta jina la biashara, niyafanyia kazi ushauri wako

  • @kelvinkibenje
    @kelvinkibenje ปีที่แล้ว +2

    somo zuri. Jina ni muhimu sana maana ni utambulisho wa biashara yako

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sn Elimu nzuri kabisa

  • @user-uq7qg4dz5k
    @user-uq7qg4dz5k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah kaka shikamoo ❤❤ na umetisha halafu unajua na unaweza pia.

  • @barakatonibenjamin5145
    @barakatonibenjamin5145 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amazing brother. Love the content.

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p หลายเดือนก่อน

    Ok imekaa pw

  • @HassanKimotonge
    @HassanKimotonge หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji namba yako kaka

  • @petropaul1525
    @petropaul1525 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wooow nondo nzur Sana.

  • @fundiseremalamohammedmdoe3711
    @fundiseremalamohammedmdoe3711 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa vema sana

  • @paulmgaya4890
    @paulmgaya4890 ปีที่แล้ว +1

    Asnteee sana najifunza mengi sana

  • @user-md3hr2zs7e
    @user-md3hr2zs7e 3 หลายเดือนก่อน +1

    Habari kiongozi bey ya kitabu ni bey gan hicho

    • @victormwambene
      @victormwambene  3 หลายเดือนก่อน

      Kitabu ni Elfu 20 Mpendwa, Kama Unahitaji Nipigie Kwa 0744126640.

    • @user-md3hr2zs7e
      @user-md3hr2zs7e 3 หลายเดือนก่อน +1

      Saw nitakupigia kesho kutwah Allah akipenda na nitakupa namba ya ndugu yangu ambae utamkabidhi

  • @saadmuhandosaad6231
    @saadmuhandosaad6231 2 หลายเดือนก่อน

    Habari hivi naweza kusajili jina la biashara likiwa na Ltd kabla sijajigeuza kua kampuni

  • @JackobKanyara
    @JackobKanyara ปีที่แล้ว +2

    Good subject

  • @ShabanhasanShabanHasan-yc1gd
    @ShabanhasanShabanHasan-yc1gd 10 หลายเดือนก่อน +1

    Umeeleweka

  • @user-zx5li5mh5o
    @user-zx5li5mh5o ปีที่แล้ว

    Vyema sana

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @diibabatz764
    @diibabatz764 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hata duka langu ni Dickshop