Ahsante Sana kiongozi Mungu akubariki kwa mafundisho ya kipekee. Mimi ni mhubiri ndo kitu ambacho kipo ndani yangu na pamoja na uimbaji wa gospel japo sijawa mtu maarufu sasa unaweza kunishauri kitu tafadhari
mbali na fani yangu ya sheria nayosomea napenda sana kuwa inspirational kwa vijana wenzangu wa rika tofauti tofauti hususa ktk suala zima la kiuchumi ama kujikomboa kiuchumi
Asante sana kaka Joel. Somo zuri sana. Nataka kujenga jina pale ninapo fanyia kazi zangu kila siku. Nikubalike kwa kutoa ujuzi wangu (consultancy) wenye kuleta mafanikio makubwa na endelevu kuliko ilivyo kuwa kabla kwa makampuni au mtu mmoja mmoja.
Safi Lily,uzuri wa network marketing tayari wako watu wamefanikiwa unaweza kujenga urafiki nao.Ila jitahidi kuwa na specific product za kujijengea jina,uamue kama vile lishe/Bidhaa za ngozi n.k
Somo zuri sana! Mimi nataka kutengeneza brand yangu zaidi pale ninapofanya kazi! Naamini! Kipaji chako kizuri edelea kutufundisha zaidi na zaidi!we love u! Arusha!
Asante kaka joel kwa video zako nyingi nazo zifuatilia kila unapo post ila naitaji kujenga jina kwenye kutengeneza vifaa vya kierectronic kama computer na Simu kwa mana mm ni muhitimu wa fani hii ya IT ila kiukweli nachokifanya sasa na kinacho nipa pesa sio sana kile nilichosomea zaidi ni navyo jifunza online kama navyo jifunza kwenye TV yako hapa youtube
Nikushukuru kwa video nzuri na ya kuelimisha pia Mungu awe nawe ili uendelee kuwa na mawazo yenye mafanikio. Mimi naimba nyimbo za injili hivo bado jina langu halija kuwa kivile kufahamika na watu je ni njia hipi nihitumie ili watu wausikie ujumbe uliomo ndani yangu.
Wazo zuri sana Joel nanauka me pia naomba msada wako kuna kitu kila siku kinaniumiza kichwa nataka kuanzisha biashara Arusha ya mchele kwa kuwauzia bei ya jumla mawakara na kutafuta jina vilevile liweze kukua
Braza Joe mm nna miaka 21 nataka kuwa na brand kama inspirational speaker na tayari nmeanza juhudi za kusoma vitabu na kikubwa kilichonitia moyo nilipokuja bookshop yako ulishangaa nilipokwambia ndo kwanza naingia first year, najiona wa tofauti sana
Habari, daima ukweli wa maisha huishi kwa yule mwenye kuishi kweli kwenye ndoto zake, kujua udhaifu wako ni moja ya maamuzi ya kwanza ya kupiga hatua kuliendea jambo lako, tunajifunza kutokana na makosa, NAPENDA KUJENGA BRAND YANGU YA KUWA HEALTH COACH.
Naam nimeshaanza, online coaching, facebook instagram, na website kote natumia brand name kama MUUGUZI MAKINI, website ni www.muuguzimakini.com au hata ukiandika muuguzi makini pekee itakuleta data, whats zipo group zisizopungua tano zilizofull mpaka sasa, na positive result zimeshapatikana kwa watu tuliowasaidia kuhusu hedhi zao na matatizo ya ushikaji mimba, wengi wameshahika mimba kwa elimu tu, baada ya kugundua matatizo yao yapo kwenye hedhi na sio matatizo ya uzazi, japo wengi wanasema wameshatumia dawa za kienyeji na hospital lakini hawakufanikiwa kushika mimba, nilijiuliza swali moja KWA NINI HAWASHIKI MIMBA? swali hilo ndio lililonipa majibu ya matatizo yote kuhusu uzazi na hedhi na kunisukuma kuandika kitabu kinachoitwa KWA NINI HUSHIKI MIMBA? na masomo yaliyopo humo ndio yaliowafanya kushika mimba, nimeona ni wakati muafaka sasa wa kuligeuza wazo kuwa biashara huku nikiendelea kulifanya kwa moyo na hofu ya Mungu kama Muuguzi, lengo kubwa zaidi ni kurudisha hadhi ya uuguzi na kuwa change agent kwenye uuguzi, watu waamini kwamba uuguzi pia ni course kama zingine na wanapaswa kuziweka kwenye ndoto zao na kutamani kusomea uuguzi kutokana na makubwa nitakayo yafanya.
nimependa somo zuri ulilotoa. kwa kifupi nikuelewa sana na ninataka fanyia kazi hiki ulichotoa. mimi ni namradi wa kutengenzea mkaa utokanao na taka ngumu na mabaki ya mazao nataka kujenga jina la biashara yangu lakini inaniwia vigumu kumfikia kila mtu na kuelezea bidhaa yangu, kwa sababu sio wote wanatumia mitandao ya kijamii je naweza tumia nia gani nzuri ili bidhaa ijulikane mala pengi
Habari kaka Joel Hii nimeiona Leo nashukuru sana Mimi natamani nataka naweza pia kutunga kuimba au kughani mashairi lakini mazingira yangu nahisi sio rafiki pamoja na jamii yangu ,naomba nisaidie.
Habari Mwalimu. Sehemu ambayo imeshikilia PERSONAL BRAND. 1. NETEWORK hapa bado na hitaji tiba maaana nataka kuwapoteza baadhi ya marafiki ila nikiwakwepa wapo nyuma. Asante nisaaidie hapa.
Kwenye eneo la knowledge, kuwapatia watu maarifa sahihi, hasa wanarika wangu na wanaofuata nyuma yangu. Ndio maana nakufuatilia sana wew ili nipata cha kwangu kichwani cha kuja kuelimisha ,itakapofika wakati
Hili somo ni zuri sana na kuna mahali linanipeleka..ubarikiwe sana Natamani kujenga jina kwa kuuza nguo za maofisini(officials) na nimeshafungua IG business account pia
Habari brother Joel mungu aku zidi kukufungulia upana katika kazi yako MIMI NI NINA KIPAJI CHA KUCHEZA (DANCER) KUNA CHANGAMOTO NAZI PATA JE UNAWEZ NISAIDIA USHAURI JINSI YA KUKUZA BRAND PIA KIPAJI CHANGU ?.....
Ahsante sna bro,kiukwel nahitaji kuwa mfanya biashara mkubwa,na biashara ambayo ninataka kuifanya inahusiana kwenye masuala ya kula kula,sasa nilikuwa naomba nishauri nitumie njia gan ili niweze kupata wateja kwa urahisi
Kaka asante sana kwa masomo yako mara kwa mara, yananipa kuwaza kwa viwango vya juu.. Nataka kutengeneza jina kwa Kushare mawazo yangu, lakini pia kuwa na network na watu husika ni vyema pia kwani tunategemeana.
Kaka habari yako mm nikijana mwenye kipaji cha utangazaji na ninekuelewa vzr sana bt nilikuwa naomba unisaidie/unijazie nyama zaidi kwenye kuweza kutimiza ndoto tangu cos sirahisi sana kukutana na wa2 ambao tayari wamesha fanikiwa cos wengi wao n watu wakukaa na wenzao walio fanikiwa sasa hapo mm kama mtangazaji up coming inakuwa n ngumu sana kuwa karibu na watu wa aina yangu katika kutimiza ndoto zangu so hapo kama kaka ambae pia n mshauri unanisaidiaje mdogo wako ili niweze kufikia malengo na ndoto zangu
Ahsante Sana kiongozi Mungu akubariki kwa mafundisho ya kipekee. Mimi ni mhubiri ndo kitu ambacho kipo ndani yangu na pamoja na uimbaji wa gospel japo sijawa mtu maarufu sasa unaweza kunishauri kitu tafadhari
mbali na fani yangu ya sheria nayosomea napenda sana kuwa inspirational kwa vijana wenzangu wa rika tofauti tofauti hususa ktk suala zima la kiuchumi ama kujikomboa kiuchumi
UKO vizuri brother wewe ni msaada zaidi ya hazina . masomo yako yanatujenga sana tuko pamoja sana.
Ubarikiwe nimejifunza sanasana mi ni msusi ndio biashara yangu
Nashukutu sana Joel nabarikiwa sana na hint unazotupatia.
NAPENDA KUJENGA JINA KWENYE PUBLIC HEALTH SERVICES NAOMBA MSAADA ZAIDI
Asante sana kaka Joel. Somo zuri sana. Nataka kujenga jina pale ninapo fanyia kazi zangu kila siku. Nikubalike kwa kutoa ujuzi wangu (consultancy) wenye kuleta mafanikio makubwa na endelevu kuliko ilivyo kuwa kabla kwa makampuni au mtu mmoja mmoja.
Nakukubali sana Mwita,keep the fire burning na hongera kwa kuendelea kuwekeza zaidi.
Nataka nijibrand kwenye biashara hususani Mazao ya shambani mfano.parachichi,mbao nk.Ahsante sana / somo zuri Mungu akubariki.
Barikiwa kwa somo zuri..najifunza kitu kipua kila siku!Nataka kujenga jina kwenye Network Marketing
Safi Lily,uzuri wa network marketing tayari wako watu wamefanikiwa unaweza kujenga urafiki nao.Ila jitahidi kuwa na specific product za kujijengea jina,uamue kama vile lishe/Bidhaa za ngozi n.k
Ahsante kwa somo nzuri sana, nisaidie Ile niweze kujenga jina kwa ninachokifanya
Nashukuru kaka kwa elimu tako.. Ila mm bado ninaitaji ushauri wko xanaa, tena aswa kwa kutimiza lengo lang katika maisha yng..
Siku yangu imeanza vizur leo kwa kujifunz kitu kikubwa sana asant sana kaka mungu akupe maarifa zaid uendelee kutufundish.
Ameen peter nashukuru sana
Somo zuri sana! Mimi nataka kutengeneza brand yangu zaidi pale ninapofanya kazi! Naamini! Kipaji chako kizuri edelea kutufundisha zaidi na zaidi!we love u! Arusha!
Shukran kwa somo zuri mimi nataka kujenga jina kwenye biashara yachakula ndo ktu ambacho nnauzoefu nacha nakukpenda
Asante kwa somo zuri mimi taka kujenga jina kuwa mwimbaji pia kuwa mhubiri wa injili hivi ni vitu ninavyo vipenda
Asante brother naitwa willison toka Mwanza ukerewe Nataka kujenga jina katika biashara ya simu naomba unisaidie
habari mkuu,umetisha kwa somo lako.Mimi nataka kujenga jina katika upande wa medical management nafanyaje
Nimepata kitu bro.thanks and GOD bless u
nataka kujenga jina kwenye uwalimu wa hesabu
Asante sana,nimekuelewa
Asante kaka joel kwa video zako nyingi nazo zifuatilia kila unapo post ila naitaji kujenga jina kwenye kutengeneza vifaa vya kierectronic kama computer na Simu kwa mana mm ni muhitimu wa fani hii ya IT ila kiukweli nachokifanya sasa na kinacho nipa pesa sio sana kile nilichosomea zaidi ni navyo jifunza online kama navyo jifunza kwenye TV yako hapa youtube
Nikushukuru kwa video nzuri na ya kuelimisha pia Mungu awe nawe ili uendelee kuwa na mawazo yenye mafanikio.
Mimi naimba nyimbo za injili hivo bado jina langu halija kuwa kivile kufahamika na watu je ni njia hipi nihitumie ili watu wausikie ujumbe uliomo ndani yangu.
Wazo zuri sana Joel nanauka me pia naomba msada wako kuna kitu kila siku kinaniumiza kichwa nataka kuanzisha biashara Arusha ya mchele kwa kuwauzia bei ya jumla mawakara na kutafuta jina vilevile liweze kukua
Braza Joe mm nna miaka 21 nataka kuwa na brand kama inspirational speaker na tayari nmeanza juhudi za kusoma vitabu na kikubwa kilichonitia moyo nilipokuja bookshop yako ulishangaa nilipokwambia ndo kwanza naingia first year, najiona wa tofauti sana
Asante sana kwa sauti yako ambayo inafahamika vizuri
Bro naomba kujenga jina kwnye biashara yangu ambayo ni kiwanda cha ngu cha matofali
Kutambua udhaifu wetu na kufanya Maauzi ndio Ufunguo,Thankx Sir
Karibu sana ahsante kwa kufuatilia
Tunajifunz San Kk honor san
Asante kwa somo zuri kbsa . tunabarikiwa saaana kwa mafuta yako kbsa.
Big up Mr Joel
Ningependa kujua ni namna gani unaweza kujenga brand ukiwa unafanya biashara Ya duka la vinywaji na hujafikia levo Ya kua wakala.
Hapo jinsi ya kuwajali wateja na mawasiliano mazuri
asante sana kaka mungu atakulipa kwa muongozo unao tupa kaka mimi nataka kujenga jina langu katika sehemu yangu ya kazi nifanyaje nataka ushauri
Mm nahitaji kujenga jina katika Sanaa ya uchoraji na upakaji rangi kwakuwa ni kipaji changu. Ubarikiwe kaka Kwa Elimu hii.
Barikiwa sana kwa somo zuri, nataka kujenga jina kwenye graphics & design, secretarial services and stationary
Ahsante kwa somo during.Nataka kujenga jina kwenye bishara ya nguo zakitoto
Napenda kuwa mfanyabiashara. Je nitawezaje kujibrandi km mfnybiasharaaaa....????? thanks naomb ushaur wako Sir
somo zuri.... nahitaji kujenga Jina katika Architectural Design
Habari, daima ukweli wa maisha huishi kwa yule mwenye kuishi kweli kwenye ndoto zake, kujua udhaifu wako ni moja ya maamuzi ya kwanza ya kupiga hatua kuliendea jambo lako, tunajifunza kutokana na makosa, NAPENDA KUJENGA BRAND YANGU YA KUWA HEALTH COACH.
Safi sana Ragin,umeshaanza tayari?
Naam nimeshaanza, online coaching, facebook instagram, na website kote natumia brand name kama MUUGUZI MAKINI, website ni www.muuguzimakini.com au hata ukiandika muuguzi makini pekee itakuleta data, whats zipo group zisizopungua tano zilizofull mpaka sasa, na positive result zimeshapatikana kwa watu tuliowasaidia kuhusu hedhi zao na matatizo ya ushikaji mimba, wengi wameshahika mimba kwa elimu tu, baada ya kugundua matatizo yao yapo kwenye hedhi na sio matatizo ya uzazi, japo wengi wanasema wameshatumia dawa za kienyeji na hospital lakini hawakufanikiwa kushika mimba, nilijiuliza swali moja KWA NINI HAWASHIKI MIMBA? swali hilo ndio lililonipa majibu ya matatizo yote kuhusu uzazi na hedhi na kunisukuma kuandika kitabu kinachoitwa KWA NINI HUSHIKI MIMBA? na masomo yaliyopo humo ndio yaliowafanya kushika mimba, nimeona ni wakati muafaka sasa wa kuligeuza wazo kuwa biashara huku nikiendelea kulifanya kwa moyo na hofu ya Mungu kama Muuguzi, lengo kubwa zaidi ni kurudisha hadhi ya uuguzi na kuwa change agent kwenye uuguzi, watu waamini kwamba uuguzi pia ni course kama zingine na wanapaswa kuziweka kwenye ndoto zao na kutamani kusomea uuguzi kutokana na makubwa nitakayo yafanya.
@@raginauthor1881 muuguzi makini I see something inside you
Hongera sana
Tupo njia moja
I really appreciate, I see success mindset within yu
Asante sana kaka kwa somo Zuri mm nahtaj kujenga jina kwe biashara ya network marketing
Somo zuri kwa kweli mengi nimejifunza Mimi ni mwalimu nataka kujenga jina kupitia hili
Nashkuru sana kaka nakufatilia na najifunza mingi kwako.Nataka kuje jina katika network marketing ambayo naifanyia kazi
nahtaji kujua jins ya kujenga jina ktk suala la teaching maana mm ni upcoming teacher
barikiwa kwa mada nzuri me napenda kujenga jina langu kwenye biashara
nimependa somo zuri ulilotoa. kwa kifupi nikuelewa sana na ninataka fanyia kazi hiki ulichotoa. mimi ni namradi wa kutengenzea mkaa utokanao na taka ngumu na mabaki ya mazao nataka kujenga jina la biashara yangu lakini inaniwia vigumu kumfikia kila mtu na kuelezea bidhaa yangu, kwa sababu sio wote wanatumia mitandao ya kijamii je naweza tumia nia gani nzuri ili bidhaa ijulikane mala pengi
Asante kwa ujumbe kwa mimi nataka kujenga Jina ktk wilaya ya kisarawe
Habari kaka Joel
Hii nimeiona Leo nashukuru sana
Mimi natamani nataka naweza pia kutunga kuimba au kughani mashairi lakini mazingira yangu nahisi sio rafiki pamoja na jamii yangu ,naomba nisaidie.
Ni kitu bora sana Mungu aendelee kukulinda.
Asant brother kwa ujumbe mzuri,me naitaji kujenga jin kwenye mziki.napenda kuwa mwanamuziki,naomb msaada wako
Good. Nataka kunijenga kwenye muziki na nnakipaji na ndoto zangu ni kua mwanamuziki nisaidie ushauri
Habari Mwalimu.
Sehemu ambayo imeshikilia PERSONAL BRAND.
1. NETEWORK hapa bado na hitaji tiba maaana nataka kuwapoteza baadhi ya marafiki ila nikiwakwepa wapo nyuma.
Asante nisaaidie hapa.
Nakufuatilia sana.
Nakupenda bure kaka yangu mungu akubaruk nais nilikua inje ya dunia nasasa toka nimeanza kukufatilia nimeingia dunian ubarikiwe sana
asant kwa hiki kk,,nisaidie kujenga jina katika usherheshaj yaan umc
Asante sana kiongoz buti me najenga jina kwa njia ya mtandao maaba me ni mtu wa market
Nakukubali sana na nakufatili barikiwa sana
Kwenye eneo la knowledge, kuwapatia watu maarifa sahihi, hasa wanarika wangu na wanaofuata nyuma yangu. Ndio maana nakufuatilia sana wew ili nipata cha kwangu kichwani cha kuja kuelimisha ,itakapofika wakati
Kweli unibariki kwa ujumbe mzuri sana
Mi ni mzembe sana kusoma vitabu. Kupitia video hizi nahisi sipo mbali sana na wanaosoma vitabu vyenye aina hii ya maudhui
Wonderful lesson,nataka kujenga jina for carrier growth,Aviation industry
Uwa nakuelewa sana kk ubarikiwe maana unazid kunilekebisha kila siku.
ahsante Kaka Joel Mimi ni fundi cherehan ninawezaje kujenga jina
Kazi nzuri kaka, Nataka kujenga jina kwenye biashara
Ahsante kaka mimi nataka kujenga jina langu katika biashara ya hardware
Hili somo ni zuri sana na kuna mahali linanipeleka..ubarikiwe sana
Natamani kujenga jina kwa kuuza nguo za maofisini(officials) na nimeshafungua IG business account pia
thank you Braza,.....,you conscioutized me towards success
Habari Kaka Joel Mimi nataka kujenga brand ktka ufundishaj watoto wadogo, nursery School teacher
Asante mm ni mwalimu wa kuogelea naitaji kujenga jina kupitia hii taharuma yangu
Hasante sana joel.mm natakua msanii wa music na had sasa najishangaa2 nime bweteka pia mm nimuandishi mzuli sana wa mashail ila nime kosa welekeo..
asante sana bro kw elimu nzuri na yenye manufaa unayotoa
helpful message. Joel umekuwa wa msaada sana kwangu.
wow,natiwa nguvu sana kusikia maneno kama haya.Ahsante sana
Mungu akubariki kaka nimeanza kukufuatilia maisha yanabadilika
Kua mwenyewe n sahihi kuliko kuiga ya wengine, thnx brother
Kabisa doreen
Ahsante
Mm nataka kujenga jina kweny biashara yangu ya magari natumia Posh magari Kama brand nahitaji kuikuza Zaid brand yangu
asante sana nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu namuna ya kujenga brand yangu
I
Nahitaji kuwa very best presenter on media brother #joelnanauka
Hongera sana,naamini umeshaanza tayari
Joel Nanauka am together with you brother for my all stages
Minapenda.kujenga jina kwenye biashala network marketing in
Forever business
kaka joel asante sana mm napenda kujenga jina kwenye ususi
Asante sana nakuelewa vizur sana ss mm in mpishi na napenda sana kupika VIP naweza kujibrand mm kama mm
Habari brother Joel mungu aku zidi kukufungulia upana katika kazi yako MIMI NI NINA KIPAJI CHA KUCHEZA (DANCER) KUNA CHANGAMOTO NAZI PATA JE UNAWEZ NISAIDIA USHAURI JINSI YA KUKUZA BRAND PIA KIPAJI CHANGU ?.....
Habar kaka ,Je ni wakat gan sahihi wa kukuza jina
Asante sana napenda kujenga jina katika biashara
ndugu yangu mi ni mlinda lango na ningependa kujenga jina langu ingawaje bado sijapata fursa mwafaka wa kuwekwa katika timu ya kwanza,,,nishauri
kaka Joel Mimi napenda kujenga jina katika upambaji(wedding decoration)naipenda sana ...natamani sana kufika mbali na upambaji
wow,hongera sana Glory...Naamini umeshaanza tayari kufanya.Weka bidii na endelea kujitofautisha
Joel Nanauka asante kaka Joel...nitafanyia kazi somo lako🙏
Nataka nijiunge na music....and soo far i have some musician mentors
Safi sana-Hongera kwa hilo keep it up
Najifunza mengi sana kutoka kwako bro,napenda nijenge jina ktk kua the best presenter katika sayar hii ya dunia...ushauri wako bado nimhimu kwangu
Asante Sana kaka mungu akupe maisha malefu
Ahsante sna bro,kiukwel nahitaji kuwa mfanya biashara mkubwa,na biashara ambayo ninataka kuifanya inahusiana kwenye masuala ya kula kula,sasa nilikuwa naomba nishauri nitumie njia gan ili niweze kupata wateja kwa urahisi
Asnt broza somo limenikuta kipndi sahihi
Ahsante sana kaka
Safi sana kaka nimepata kitu
Napenda kutengeneza jina lang ktk biashara kwa mazingira niliyopo
Your the best one ticher for mimi broo
leo nimekuwa nasiku Njema Sana nimejifunza kitu asante Sana
Asante Sana Kaja mimi nataka kujenga jina kwenye biashara
Kaka asante sana kwa masomo yako mara kwa mara, yananipa kuwaza kwa viwango vya juu..
Nataka kutengeneza jina kwa Kushare mawazo yangu, lakini pia kuwa na network na watu husika ni vyema pia kwani tunategemeana.
Kaka habari yako mm nikijana mwenye kipaji cha utangazaji na ninekuelewa vzr sana bt nilikuwa naomba unisaidie/unijazie nyama zaidi kwenye kuweza kutimiza ndoto tangu cos sirahisi sana kukutana na wa2 ambao tayari wamesha fanikiwa cos wengi wao n watu wakukaa na wenzao walio fanikiwa sasa hapo mm kama mtangazaji up coming inakuwa n ngumu sana kuwa karibu na watu wa aina yangu katika kutimiza ndoto zangu so hapo kama kaka ambae pia n mshauri unanisaidiaje mdogo wako ili niweze kufikia malengo na ndoto zangu
Natamani sana kuwa athletics man is my dream lakini inamwamko mdogo sana ila natamani kulifufua my field of high jump in Tz naipenda sana sanaaa
Mwalimu JOEL unanibariki sana.Mimi nataka kujenga jina kwa waimini wenzangu inawezekana je ?
Ubarikiwe sana mwalimu
Asante mwalimu nataka kujenga jina kwenye sells
Kwa majina naitwa Abdallah juma. Nataka kujenga brand yangu kama upcoming Actor
Barikiwa Chief
Asante sana kaka mimi nataka kujenga jina kwenye biashara ya toka ra vipozdozi vya wakina mama nifanya je ili niweze kujenga jina naomba unisaidie
Unaniongezea sana imani ya kukuelewa
Asante kaka, nimekuwa nikitumia elimu yangu kunibrand na ndivyo imenisaidia , lakini si kwa kiwango nilichojiwekea
Safi Ally,naamini utazidi kufanikiwa zaidi
Siko vizuri kwenye network
Asnte Sana kaka kwa elimu, Ila mm natka kujenga jina kwenye biashara ambayo naifanya