ALLY MAYAI : ASHANGAZWA NA UBORA WA SIMBA | EXPIRIENCE IMEWAPELEKA SIMBA MAKUNDI, AWATAJA YANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 วันที่ผ่านมา +5

    Na bado hamjasema, safari hii mtatupongeza sana

  • @Jamesmwakisambwe
    @Jamesmwakisambwe วันที่ผ่านมา +7

    Naweza kusema kia kwa ubora wa simba watu wanaenda kuombea caf simba ifungiwe

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 วันที่ผ่านมา +3

    Bado hujasema Ally Mayai

  • @Aishaiddy1994
    @Aishaiddy1994 วันที่ผ่านมา +2

    huyo mtt nipeni namba yake ❤

  • @IsmailOmary-b8n
    @IsmailOmary-b8n วันที่ผ่านมา +4

    Yanga mtaishia na unafiki tu mlienda mpaka kuwapa mabausa eti ili wawe salama ili wasifungwe sasa sasa mjiandae kukaangwa

  • @AbduHyera
    @AbduHyera 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashabiki wa yanga msiwe wa nafiki

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n วันที่ผ่านมา

    simba ifungiwe kwa kipi alichokufanya au kwakuw waarabu wamekaangwaaaaaa

  • @johnjoseph9596
    @johnjoseph9596 วันที่ผ่านมา

    Unajua sana wasaidie hao wachambuzi njaaa wanaojua kuponda tu na sio kuchambua

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 วันที่ผ่านมา +2

    Makolo mnalazimisha kulazimisha kufanana na mabingwa

    • @DullhFeyy
      @DullhFeyy วันที่ผ่านมา

      Sawa mwenye mwiko nyuma sie ugandua mpaka leo😂

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 วันที่ผ่านมา

    UPO SAHIHI SANA MKUU.

  • @SmilingJapaneseMaples-sz6yu
    @SmilingJapaneseMaples-sz6yu วันที่ผ่านมา

    Kwa ubora huu timu zitagoma kuwa zinapangiwa kucheza Kwa mkapa stadium

  • @Marjeby
    @Marjeby วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mtoto zamani nilikuwa namuelewa sana but nilikuwa simjui vizuri kumbe mjinga tuu

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 วันที่ผ่านมา

    Faraja za kinafiki tu ukweli utabaki ukweli

  • @fahimkhalifa5904
    @fahimkhalifa5904 วันที่ผ่านมา

    Mwalim Kashsha kafariki kitambo

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 วันที่ผ่านมา +3

    Hivi mwl kashasha yuko wapi

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😅

    • @ismailkan2171
      @ismailkan2171 วันที่ผ่านมา

      Alishakwenda mbele ya haki

    • @kirapadiherbalstv9953
      @kirapadiherbalstv9953 วันที่ผ่านมา

      pole kaka tulishalia kumpoteza kashasha😢😢

    • @nashirkamugisha9425
      @nashirkamugisha9425 วันที่ผ่านมา

      Mbona siku nyingi tu ameishaaga dunia

    • @AmosiPeter-z3g
      @AmosiPeter-z3g วันที่ผ่านมา +1

      Muwe mnasikiliza michezo mtu unaemuuliza miaka miwili ameshafariki

  • @Aishaiddy1994
    @Aishaiddy1994 วันที่ผ่านมา +1

    huyo 👉

  • @DavidKasomeko
    @DavidKasomeko 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alixha fariki kitambo

  • @maase2023
    @maase2023 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mayai ashangazwe na nn? Kwani miujiza hiyo mpk ushangae?? Ni mpira kama mipira mingine tu au labda tu simba mpira ulikuwa kwao tu na refa wao? Mayai acha kusifia ujinga

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 วันที่ผ่านมา

    Wafaliji mkulugenzi