Jamani msichangie kwa ushabiki. Alipohojiwa mwanzo slisema Simba hawasongi mbele sasa anasema baada ya matokeo. Mnapohojiwa muwe mnakunbuka mlichosema na muombe msamaha. Mnachambua matokeo tu!!
Hv huyu jamaa hajui kua tunakumbuka alichokisema kabla au analipa bill mbona anakua kama barmedy akija huyu ana hela anahamia kwake jamaa tunakumbuka uliiponda simba sana kabla hatutaki wLipa bill !!!!!!!!!
Kweli kaka kagoma kafanyakazi nzuriiiii sana❤❤❤❤❤❤❤
Uko vizuri sana kaka yaani yule kagoma ni mkata umeme
Wewe nakwelewa mkalaboko
Ohooo!! Mnaendelea kuwaumiza Utopolo kuhusu huyo Yusuf Kagoma,
Mnajua bado yule Dogo Kamwe anasema wamekata Rufaa.
Kweli kabisa
Mkalaboko jitahidi kua nakumbukumbu Kila unachoongea sisi sio wachambuzi ila tukufatilia sana maneno yako kauli zako wakat mwingine
Braza unajua borr apo kwa kagoma nimekuerewa asiejua awezi jua
Uko sahihi kaka ❤❤❤
Mkalaboko unaujua Sana mpila
Ogopa matapeli kagoma sio wa 30 mil.
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤
Wew huna lolote ulisema huioni simba ikisonga mbele,,huna maana wew maneno mengi harafu unasaliti kauli zako ovyooo
MKALABOKO UKO VZR SANA KWENYE UCHAMBUZI WAKO HONGERA SANA WEWE MKAKA.
Pira biriani
bro na kuelewa tangu huondoke abood fm kipindi cha michezo umebaki umbea
Ipo dar au mbona sijawah isikia uku kaskazini
Umetisha mkalaboko ww msema kweli kweli ulisema kaka
Wewe mnafiki mkubwa sana mpira sikuizi umeingiliwa tuna
Kujua unaisema simba vibaya
Juzi tu uliongerea vibya sana
Mshenzi huyu alisema simba hawezi kusonga mbe na anasema kibu alifanya vizr kwenye timu mbovu ila hafai saiz ana shobo na simba
Jamani msichangie kwa ushabiki. Alipohojiwa mwanzo slisema Simba hawasongi mbele sasa anasema baada ya matokeo. Mnapohojiwa muwe mnakunbuka mlichosema na muombe msamaha. Mnachambua matokeo tu!!
Kiukweli Kibu Denis anatupa raha , tunataka watu aina ya Kibu , ana press nzuri , anaukatili tunaoupenda . Anakaba kweli kweli .
Jaamaa nilitaka kumtukana but nime msamehe sababu kasema ukweli ambao utopolo awataki kuusikia
Acha shobo na simba wew uliikataa na ushahidi tunao
Kaka kweli❤❤❤❤❤
Hv huyu jamaa hajui kua tunakumbuka alichokisema kabla au analipa bill mbona anakua kama barmedy akija huyu ana hela anahamia kwake jamaa tunakumbuka uliiponda simba sana kabla hatutaki wLipa bill !!!!!!!!!
Uyu baba huwa ni chenga sana
Kabisaa