@@HappyJohn-h8qKama mwanaume wako hakupendi na kukujali, wewe ushaangukia pua… ni wajibu wangu kumfanya mwanamke wangu ajione yuko sehemu salama. Kuna wanaume wa hovyo, vile vile kuna wanawake wa hovyo. Kama hujafanya tafiti usiongee..
@BarnabaBuhoma hasira za nini hahahaaaaa. Napendwa sana sana ungenifahamu usingesema hivyo aiseee. Hapa tunatoa comment in general sio kwamba mtu anajiongelea mwenyewe. Relax acha makasiriko wewe
LILIAN NI AKILI KUBWA SANA AMEKOSA WATU WAZURI WA KUZUNGUMZA KWA HOJA,WALIOPO NI WABISHI BILA POINT ZA MSINGI.
Lilian uko vizuri
Ndiyo dadaaaaaa
Nilichogundua upeo wa mwanamke ni mdogo sana na uchangiaji wa mwanamke ni dhaifu mno😂😂😂
Mada ni nzuri sana hila imekosa wachangianyi.
Si hao hapoooo wapo sahihiiiii
Msiwabishieeee. Hakuna mtu ANA UPENDO HAKUNA MTU ANAJALI HAKUNA MTU ANAKUMBATIA KAMA MWANAMKE LAKINI MNAWAKOSEEEAAAAA KWENYE NDOAAAAA
@@HappyJohn-h8qKama mwanaume wako hakupendi na kukujali, wewe ushaangukia pua… ni wajibu wangu kumfanya mwanamke wangu ajione yuko sehemu salama. Kuna wanaume wa hovyo, vile vile kuna wanawake wa hovyo. Kama hujafanya tafiti usiongee..
@BarnabaBuhoma hasira za nini hahahaaaaa. Napendwa sana sana ungenifahamu usingesema hivyo aiseee. Hapa tunatoa comment in general sio kwamba mtu anajiongelea mwenyewe. Relax acha makasiriko wewe
@BarnabaBuhoma labda wewe ndo umeangukia pua sio mimi. Usinivamie hunijui sikujui acha wengine wachangie mawazo sio kumvaa mtu. What's wrong with you
Oyo vai inabidi apwime akili