Lilian umesema kweli kabisa.Nilikuwa na kila kitu nnachokitaka but sikuwa sawa saa hii nimeolewa nashukuru mungu niko na amani kana yote natamani hata niwatangazie wenzangu coz nimepata mshauri,msimamizi , heshima yangu sasa hivi imepanda
LILIAN NI MWANAMKE NA NUSU ANA UELEWA MKUBWA SANA WA NAFASI YA MWANAMKE NA MWANAUME MBALI NA SUALA LA UWEZO WA KIFEDHA. LILIAN CHUKUA MAUA YAKO POPOTE ULIPO❤
Mwanamke aneye jituma na anamajukumu yakulea mtoto au watoto peke yake of course yuko better off than kuwa na mtu ambaye anachochote chaku ongeza katika maisha yake. Kwahiyo unakosea when you say most women as it is only for some that situation is applicable to sis.
Ika sisi wanawake kuna muda hata hatujui tunataka nini, mimi nawafahamu wanawake kadhaa ambao waume zao wanawahudumia kwa kila kitu lakini wanawake hawa wanamichepuko lukuki 😢
Ikawaje ukamkubali hohehahee alafu leo humpi heshima yake???basi kwa ukweli mtabaki single sana kama hamtafuata maneno ya lilian mwasha ameongea yamaana yatayo wasaidiaa wengi...baki na akili yako ya mchepuko na kwa taarifa yako mwanaume mwenye helaa hamuitaji mwanamke mwenye hela mko na attitude sana na huu ndio ukwelii usio pingika...
Dada Lilian tuwekee maombi kwa mungu atupi kizazi Cha watoto wakiume. Bola dunia ipo kwenye hatari kubwa sana
Ndoa ni nzuri km ukipata mume sahihi!!!
Lilian umesema kweli kabisa.Nilikuwa na kila kitu nnachokitaka but sikuwa sawa saa hii nimeolewa nashukuru mungu niko na amani kana yote natamani hata niwatangazie wenzangu coz nimepata mshauri,msimamizi , heshima yangu sasa hivi imepanda
LILIAN NI MWANAMKE NA NUSU ANA UELEWA MKUBWA SANA WA NAFASI YA MWANAMKE NA MWANAUME MBALI NA SUALA LA UWEZO WA KIFEDHA. LILIAN CHUKUA MAUA YAKO POPOTE ULIPO❤
Amelelewa vyema.
Mliagizwa mchepuke na kupenda pesa?
Wanawake wasasa mna tamaa sana mnapenda maisha yakufikirika nasio ya uhalisia
Yes yes ni wao wamesababishaaaaa. Umesema sahihi dada nani.sjui
Of course kwa zamani sio sasaaaaaa
Lilian upo sahihi Mungu aliona Adam anahitaji msaidizi. Na Adam alikubali yes Mungu kanipa msaidizi.
Yes tafuta amani na pesa uleee watotoooo
Hao watoto umejitungisha mimba wewe mwenyewe?
Daaaa rotation is needed
❤❤❤❤ from Uganda
Love from tanzaniaaaaaa baby
Tuwapiganie wanaume wakae kwenye nafasi zao, huko mbele tutakwama kabisa
Huyo Vai wakumchunga sana hatizami kesho akiba ya maneno hana
Yes yes yes mume aliumbwa kuwa provider yes.mandate comes there please lets be realistic
Mwanamke aneye jituma na anamajukumu yakulea mtoto au watoto peke yake of course yuko better off than kuwa na mtu ambaye anachochote chaku ongeza katika maisha yake. Kwahiyo unakosea when you say most women as it is only for some that situation is applicable to sis.
Vai ni shidaaaa
Ika sisi wanawake kuna muda hata hatujui tunataka nini, mimi nawafahamu wanawake kadhaa ambao waume zao wanawahudumia kwa kila kitu lakini wanawake hawa wanamichepuko lukuki 😢
Single mothers wengine wanaharibu watoto wa kiume
Kuolewa ni wajibu kuzini ni zambi sasa kama munakwenda na wakati mujuwe mungu ameandaa azabu kali tumuohope amani na pesa si lolote zinaa ni uchafu
Sasa alipowaagiza kuwadharau wanaume?
Mi nataka kujua kuolewa au kutokuoa ni dhambi??
Hayo mawigi ndio yanayokusumbuweni nakuwapa jeuli
Mwenye pesa nao wana divorce
Mabilionea wanaachana na wake zao whats wrong hawapati mahitaji
Sasa ulimchaguaje mwanaume wa mwenye tabia ya kiben teni
Kumbukeni hilo ninyi ndio mnaochagua wanaume wa hovyo
Shida ya wanawake wakifanikiwa wanakua na dharau ndomaana wanaume wanakaa kimya na kuwapukutisha pesa zao
Umalaya utakuwa uzae ndoa hutaki ukikataa mume ndoa acha kuzaa
Hata waume za watu wanatafuta money from women successful women