Joka la ajabu linalovalia kipuli huko Kwale

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Je umewahi kusikia kuhusu nyoka mkubwa anayetoshana na ndovu? Ambaye pia huvalia kipuli? Nyoka anayeishi majini na hutoka nje tu kuanzia saa kumi na moja alfajiri hadi jua changa linapochomoza? Ni nyoka ambaye huwameza fahali, au wanyama wengine wakubwa mzimamzima! Sasa hayo ni madai ambayo yameenea sana eneo la Kinango kaunti ya Kwale.
    Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on www.ktnkenya.tv
    Follow us on / ktnkenya
    Like us on / ktnkenya

ความคิดเห็น • 185

  • @badboy2577
    @badboy2577 5 ปีที่แล้ว +19

    Ni ukweli na mengine ni mizimu na huonekana na watu kadhaa tu.Na kwa sababu mizimu iko na nguvu Ktn walipoenda na cameras ili ku shoot mizimu ikatuma siafu.Sio kila kitu kinaweza kuonekana kwa Tv mengine ni siri za dunia

  • @timotyhkitirwa5464
    @timotyhkitirwa5464 2 ปีที่แล้ว

    Entawuo ai eji nyoo!! " najaribu kuulisa mutu nasema hayaoni, asijaona, asioni.....sijaoni....asioni....sihaonani...😂😂😂😂😂 entawuo you made it

  • @signtheblackrussian
    @signtheblackrussian 2 ปีที่แล้ว +1

    Wachawiiii..... Mtakufa sana waabudu shetani ..Yesu tu ndiye njia, ufalme na uzima🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

    • @smadon5638
      @smadon5638 15 วันที่ผ่านมา

      Tatizo Yesu siyo Mungu,mbona wamkataa aliyemuumba Yesu?😂

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 ปีที่แล้ว +1

    hapo kwenye siafu nimecheka kweli daaah poleni lakini

  • @jeanyvesdododagra8902
    @jeanyvesdododagra8902 3 ปีที่แล้ว +2

    7 SASA ! UJUMBE HUU YA MWANA KONDOO UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14 : 7 ni tofauti na Matayo 25: 6.
    8 Ujumbe huu unasema ya kwamba shauri la makanisa ulimwenguni, shauri la kiekumenika ya makanisa, vyama, miungano, shirikisho za makanisa… makanisa katolika, makanisa za kiortodoxi, makanisa za kimetodisti, Ekankar, dhehebu Horus, makanisa za kiluteri, makanisa za kianglikani, mahikari, makanisa Baptisti, rosikrusia, makanisa Nazareti, scientology, esoteric, makanisa anabaptisti, vodoo, makanisa ya wasabato, marafiki wa Yesu, misioni Emaus, maisha kilindi, mashahidi wa Yehova, mashahidi wa Yesu, makanisa foursquare.
    9 Umasoni, makanisa pentekoste, ibada la miungu ya wainka, makanisa protestanti, Krishna, Kanisa la Kristo, méditation transcendantale, Graili, wachawi, makanisa za kiinjili, wamormoni, guru maharadji na makanisa zote za uamsho na zile za urudisho,… makambi za maombi, monasteri, makao ya watawa, mishoni na huduma hata wabranhamisti, yaani wale wangali na fwata Ujumbe ya William Branham, hata katika usafi wake woteni toharani, na nyavu za shetani kwa kuwapeleka watu jehanamu na maroho zinazo tenda katika makanisa haya siyo Roho Mtakatifu bali mapepo za udanganyifu. Ni yale yale mapepo yaliyokuwa mitoni, mitaro, vinyago, vodoo, msitu takatifu, desturi na mapokeo, ambayo yalikuwa yakitokeza wachawi wa kiasili. [Kc.10v1]
    10 Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion. [Kc.59v33] [Kc.113v10] [Kc.118v11] [Kc.131v4]

  • @nancymwikali7290
    @nancymwikali7290 2 ปีที่แล้ว +1

    Majini kijijini

  • @puregold6379
    @puregold6379 4 ปีที่แล้ว +4

    Njoka alipandilika na kuwa siafu😅😅

  • @michaelclement3438
    @michaelclement3438 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo nyoka ni hatari sana

  • @yuskahassan8800
    @yuskahassan8800 5 ปีที่แล้ว +5

    Fatuma Ali gedii

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 ปีที่แล้ว +3

    Mazingaumbwe hayo sio nyoka

  • @khadijaali4989
    @khadijaali4989 5 ปีที่แล้ว +6

    Mnapenda ushubwada 😏😏😏Asante siafu

  • @itsmeagain6
    @itsmeagain6 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyo amefugwA ana Mwenyewe

  • @rosemunyali8728
    @rosemunyali8728 4 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo niya mtu

  • @iankiti7248
    @iankiti7248 4 ปีที่แล้ว

    dunia jamani....imeisha

  • @michaelopondo2014
    @michaelopondo2014 2 ปีที่แล้ว

    Masaibu

  • @eliasfestorchagualisuuyatu6816
    @eliasfestorchagualisuuyatu6816 3 ปีที่แล้ว

    Msisaau kua babuzetu mizimu bado wapo msisaau kutambika atawamaliza jamani tambikeni

  • @MusaDays808
    @MusaDays808 5 ปีที่แล้ว +21

    Ushirikina Huo, Mana Umejaa Sana Uchawi Sehemu Hizo 🤷‍♂️

  • @tonnymboku3519
    @tonnymboku3519 2 ปีที่แล้ว +1

    🙄

  • @jamaldinmohamed9124
    @jamaldinmohamed9124 4 ปีที่แล้ว

    Duh noma

  • @sharonchelimo8942
    @sharonchelimo8942 4 ปีที่แล้ว

    Auuwii jesu

  • @Barzini548
    @Barzini548 2 ปีที่แล้ว +1

    I have just watched nothing

  • @PeekintosuperChannel
    @PeekintosuperChannel 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow

  • @talamulao3750
    @talamulao3750 5 ปีที่แล้ว +2

    hatari jamani

  • @saadakiyungi6437
    @saadakiyungi6437 4 ปีที่แล้ว

    Duuh! Hatareee

  • @allyshabani4388
    @allyshabani4388 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaaah!!!! God bless

  • @talmerkardashian592
    @talmerkardashian592 5 ปีที่แล้ว +5

    Those guys ain't serious

  • @arrdabrew2591
    @arrdabrew2591 8 ปีที่แล้ว +7

    ama nikutukalisha rada manze

  • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
    @sheikhibrahimabdullahikeny1509 4 ปีที่แล้ว +2

    Hear say, mambo ya uwongo tu

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 ปีที่แล้ว

    Wa kitemi huyo na ni mzimu

  • @manfredgungah594
    @manfredgungah594 4 ปีที่แล้ว +1

    Ghai

  • @erickbor9372
    @erickbor9372 4 ปีที่แล้ว

    Huyo Ero amenimaliza

  • @badboy2577
    @badboy2577 3 ปีที่แล้ว

    Hamtaliona hilo Joka hata mara moja kwa sababu majina yenu ni kina John. Mizimu ya kwale haijui hayo majina.

  • @selphaokello1206
    @selphaokello1206 3 ปีที่แล้ว

    Aty watu waliumwa na siafu adi wakavua suruali🤣🤣🤣🤣🤣🤣please spare ma ribs

  • @forgivepraisebetogod8196
    @forgivepraisebetogod8196 4 ปีที่แล้ว

    Mwanaisha Chidzunga l love that name

  • @salemedi5258
    @salemedi5258 4 ปีที่แล้ว

    Waongo

  • @samuelmaloba4939
    @samuelmaloba4939 4 ปีที่แล้ว

    Imaginations nkt

  • @ponciankalikawe8642
    @ponciankalikawe8642 4 ปีที่แล้ว

    Lakini

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 ปีที่แล้ว

    bwawa kama hilo hakikosi ma chatu humo ila kaona pirika za watu kaamuwa kuzama.kwenye tope.

  • @marynjeri1857
    @marynjeri1857 5 ปีที่แล้ว +2

    Lack of knowledge is dangerous accept Jesus Christ in ur lives an stop assisting satan on his wicked deeds to us human beings

  • @mjsteven3297
    @mjsteven3297 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo ni fatuma 😜😜

  • @roselusenaka7548
    @roselusenaka7548 2 ปีที่แล้ว

    Mizimwi ya wa pwani.

  • @felistabasilidi4725
    @felistabasilidi4725 4 ปีที่แล้ว

    Matatizo haya ishi duniani jamaniii!

  • @mwanahawamushi1400
    @mwanahawamushi1400 5 ปีที่แล้ว +1

    mambo ya pwani hayo

  • @johnmasunga.nsolezi9826
    @johnmasunga.nsolezi9826 8 ปีที่แล้ว +4

    it must be a relative of mike sonko, wote wanavaa vipuri

  • @shaggaboyclassic3341
    @shaggaboyclassic3341 4 ปีที่แล้ว

    Dunia inamambo mengi sana

  • @saidmbut5547
    @saidmbut5547 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaswida

  • @FatmaMohamed-pl4hf
    @FatmaMohamed-pl4hf 3 ปีที่แล้ว

    sungura

  • @patrickhart4856
    @patrickhart4856 5 ปีที่แล้ว +1

    Akiuliza haoni

  • @tomaaslkinyaaasitajwekwnin348
    @tomaaslkinyaaasitajwekwnin348 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nataka kuolewa uko sasa mwanitishia

  • @yvonnemusimbi2014
    @yvonnemusimbi2014 8 ปีที่แล้ว +7

    Ha haa...sasa hakukuwa na joka?

  • @mohrb8502
    @mohrb8502 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni tela hiyo ngojeni sinema,mtajua wadigo ni akina nani!

  • @arrdabrew2591
    @arrdabrew2591 8 ปีที่แล้ว +1

    KTN haki mna maneno, mpaka uongo mwatuletea tuone????

  • @mussahsalihd9602
    @mussahsalihd9602 6 ปีที่แล้ว +4

    Akona ushanga 😀😀😃😃😭😂😂

  • @kennedyochieng8929
    @kennedyochieng8929 4 ปีที่แล้ว +2

    Woooi waaa

  • @manenomaige2745
    @manenomaige2745 4 ปีที่แล้ว

    marehemu,kanumba

  • @kemetmoses8030
    @kemetmoses8030 3 หลายเดือนก่อน

    reticulated python, probably harmless to humans

  • @lilianloishie6197
    @lilianloishie6197 5 ปีที่แล้ว +1

    Apo kwenye siafu sasa mimi hoi😃😃😃😃

  • @josephinekarisa5432
    @josephinekarisa5432 9 ปีที่แล้ว +1

    Education is very important such people don't have education so do not blame them!!

  • @patrioticpeoplespartyofrev4675
    @patrioticpeoplespartyofrev4675 2 ปีที่แล้ว

    (anatoshana na ndovu🤪🥴🤔🤔)

  • @Vel42
    @Vel42 4 ปีที่แล้ว

    Huyo ni shetani😂😂

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 8 ปีที่แล้ว +3

    hahaha, waliwezwa waaah

  • @rashidaramadhani6002
    @rashidaramadhani6002 4 ปีที่แล้ว

    Njoka LA kijiji

  • @aboubakarchikolo7529
    @aboubakarchikolo7529 4 ปีที่แล้ว

    Momma Mann's

  • @khamismussa8292
    @khamismussa8292 5 ปีที่แล้ว +1

    mnazinguwa nyie tafuteni vitu vya maana

  • @allyhassan4813
    @allyhassan4813 4 ปีที่แล้ว

    Wozu

  • @erickbor9372
    @erickbor9372 4 ปีที่แล้ว

    Huyo Ero! 😂 😂 😂 😂

  • @zulfapumuna929
    @zulfapumuna929 5 ปีที่แล้ว +1

    Duui

  • @athumanbambe9589
    @athumanbambe9589 9 ปีที่แล้ว +5

    Hamna KITU

  • @mm-fp7yd
    @mm-fp7yd 4 ปีที่แล้ว

    Haiwezi tokea kukiwa na watu.pengine Wana Corona wamuambukize. Amejipanga Tu. Duniya ngumu.

  • @gabrielmsakii8671
    @gabrielmsakii8671 5 ปีที่แล้ว

    Mmepatikana na siafu

  • @sharifamohamed4547
    @sharifamohamed4547 4 ปีที่แล้ว

    Stahili kuumwa na siafu😁😁😁😁sorry guys

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 7 ปีที่แล้ว +1

    mungu ana maajabu megi duniani sio kila MTU ako nakipaji chakuona Huyo nyoka

  • @aminatabakari2741
    @aminatabakari2741 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀

  • @georgeodhiambo6532
    @georgeodhiambo6532 4 ปีที่แล้ว

    George

  • @sadindunde494
    @sadindunde494 5 ปีที่แล้ว

    Duuuuuuuh

  • @goodhealthafyanjema4290
    @goodhealthafyanjema4290 4 ปีที่แล้ว

    Kiswahili cha watangazaji wa Kenya kinanifurahishaaa san th-cam.com/video/zzkCp2TCXUg/w-d-xo.html

  • @evakanyeka8137
    @evakanyeka8137 4 ปีที่แล้ว

    ..
    .

  • @deqinmaqh6349
    @deqinmaqh6349 5 ปีที่แล้ว

    Its all fyn

  • @lydianangaki5420
    @lydianangaki5420 4 ปีที่แล้ว +1

    Waaa,,,,,🙊🙊🙊🙊

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence6234 4 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi liona mama wewe si mpwani

  • @josephmukhwana3791
    @josephmukhwana3791 5 ปีที่แล้ว +2

    afro movies

  • @dantewasia6191
    @dantewasia6191 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila mtu ana ushetani wake😂😂

  • @hamzaabdallah3474
    @hamzaabdallah3474 5 ปีที่แล้ว +1

    Joka hill linaitwaje

  • @renatuskanunu8305
    @renatuskanunu8305 4 ปีที่แล้ว

    Kipuli ndo nn

  • @nurulufunga2483
    @nurulufunga2483 3 ปีที่แล้ว

    0

  • @Pakdecoration
    @Pakdecoration 5 ปีที่แล้ว

    Uzuxhi

  • @barakajorum1924
    @barakajorum1924 4 ปีที่แล้ว

    Simba

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @peterngetich3065
    @peterngetich3065 5 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaaa

    • @flowermathew5133
      @flowermathew5133 4 ปีที่แล้ว

      Mambo hayo yapo lakini siyo ya kuona haraka. Huonekana bila kutegemea.

  • @somaliskysports1673
    @somaliskysports1673 4 ปีที่แล้ว

    Haaah

  • @mildredjepkemboi625
    @mildredjepkemboi625 6 ปีที่แล้ว

    Siafu nayo

  • @magrethmsigwa4318
    @magrethmsigwa4318 4 ปีที่แล้ว +1

    Haaaahaa

  • @dennismwendah6411
    @dennismwendah6411 4 ปีที่แล้ว

    Porojo

  • @emilianamabuku2330
    @emilianamabuku2330 6 ปีที่แล้ว

    HI
    P.duty

  • @weldonrono9433
    @weldonrono9433 4 ปีที่แล้ว

    Hii yatatanisha xaana

  • @manariyojomberi3167
    @manariyojomberi3167 5 ปีที่แล้ว +1

    Damde

  • @omokemorara8656
    @omokemorara8656 16 วันที่ผ่านมา

    How do you fellows embark on a useless journey? This was a typical jaba story.

  • @mohamedswalehk6207
    @mohamedswalehk6207 8 ปีที่แล้ว

    kweli wapwani Kwa kuzua jambo mashaallah

  • @abdullabdull6849
    @abdullabdull6849 4 ปีที่แล้ว

    vt

  • @mohamedahmed-wc5te
    @mohamedahmed-wc5te 4 ปีที่แล้ว +1

    Upuzi mtupu