MBOWE AIBUA MAPYA AWATAKA WAPELELEZI HATARI DUNIANI 'SCOTLAND YARD' KUFANYA UCHUNGUZI NCHINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

    Hilo ni sahihi waje wataalamu waliosoma vizuri , sio kama hao wakwetu kazi kubwa ni kushika bunduki elimu hakuna .

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc หลายเดือนก่อน

    Wakuchunguzmwenyekwe

  • @josephsisa8139
    @josephsisa8139 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama mnafanya uchunguzi maandamano yanini?

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 หลายเดือนก่อน

    Waje ili tuwajue hao wasiojulikana maana tumechoka na haya mazingaombwe ya ccm

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg หลายเดือนก่อน

    Kibaraka wa wingereza nyie ndo mnaendekeza ukoloni Acha upumbavu matatzo ya ndani tuyamalize wenyew

  • @AbuuRamadhani-o7k
    @AbuuRamadhani-o7k หลายเดือนก่อน +1

    Hao wa mataifa ndo waharibifu wa nchi zetu Wala hatuwataki

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph หลายเดือนก่อน

    Ichi hii ni Yetu Mnatuleteaje Wazungu waje wapeleleze Kwani Africa Nzima Hakuwa wapelelezi hd mtuletee manyangau

  • @VascoTheonest
    @VascoTheonest หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu mheshimiwa nakuomba utumie walinzi wa usalama wa taifa kama katiba inavyo sema kwani utaleta migogoro baina ya nchi jilani.

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 หลายเดือนก่อน +1

    Utakuta na hao ni wale wale tu.