Kunawakati tulivunjika moyo lakini tutasimama Kwa jina la YESU, imeandikwa mpingeni shetani nae atawakimbia, tutasimama katika yeye atutiae nguvu yeye muumba ndie tumaini letu milele na milele,
@@bahathmuro7145atari ila waafrica tuna roho mbaya sana . Imagine mtu anapiga fitina utolewe kazini na hata ukitoka yy hapew hyo nafas waka salary yako
Nabarikiwa na mafundisho yako
Ameen Ameen mtumishi mungu atupe uwezo
Mungu nisaindie kunjijua
Yaani acha tu mchungani,makazini tunaitwa wachawi bila sababukwa kweli Mungu atusaidie
Kunawakati tulivunjika moyo lakini tutasimama Kwa jina la YESU, imeandikwa mpingeni shetani nae atawakimbia, tutasimama katika yeye atutiae nguvu yeye muumba ndie tumaini letu milele na milele,
🇮🇱Pole sana, hawatashinda hao wawaitao wenzao wachawi.
Bora hata uitwe mchawi tu yaan wanahitaji upoteze na hiyo kazi
Makazini kuna fitina sana!
@@bahathmuro7145atari ila waafrica tuna roho mbaya sana . Imagine mtu anapiga fitina utolewe kazini na hata ukitoka yy hapew hyo nafas waka salary yako
Yani watu Wana roho mbaya hasa wa karibu Dunia ni ngumu tumtegemee mungu tu
Asante, unatujenga sana Mungu akubariki
Kweli kabisa Baba Mchungaji
Amen thanks pastor
MUNGU ni Mwaminifuu Saanaa
Amina
Mchungaji Kimaro unanizungunzia mimi au kuna mtu amekusimulia maisha ninayoyapitia?
Niombee sana Baba,haya yote yananihusu.
Pole kaka kuna wakati haya mambo yanawez kukupata ukahisi dunia imekugeuka however we say Tough time never last bt tough people do
EXACTLY NA MUNGU HUTUSAIDIA KUSHINDA NA ZAIDI YA KISHINDA
MCHUNGAJI,ASANTE KWA MAFUNDISHO MAZURI
BABA MUNGU AKUBARIKI MATUNDA YAKO NI MATAMU YANA FAA
🙏🙏
KAMA VIKE NYERERE ALIVYOMFANYA MZEE TUTEMEKE SANGA.
Mchungaji unayofundisha ndiyo hali halisi ya hata Bongo hasa makazi I kwetu
Atakua tibaijuka huyo
Nami nimewaza kama wewe.