UJENZI WASIMAMISHWA|MAJIRANI WASHANGAZWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 66

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 ปีที่แล้ว +1

    Fabi uko vizur kaka angu .Inapendeza sana ku share na wahitaji ili na wao wasijione hawana thamani mbele ya wengine.ALLAH azidi kukupa moyo wa iman.

  • @Glorytv5111
    @Glorytv5111 ปีที่แล้ว +2

    Wakati wa Mungu ukifika hakuna wakuzuia

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah tabaraka llah 👍 Mungu azidi kuwawekea wepesi 🤲

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว

    Mashaalha Ila. Jumba kubwa kaka fabi ilo kisije ishia njiani

  • @bibahhadith
    @bibahhadith ปีที่แล้ว

    MaashaAllah

  • @MichaelRnam-w7h
    @MichaelRnam-w7h ปีที่แล้ว +1

    I love the work

  • @aishamusumba8469
    @aishamusumba8469 ปีที่แล้ว

    Congratulations

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du ปีที่แล้ว +1

    Mungu atareta heli. Itaisha tu

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 ปีที่แล้ว

    Fundi nimempenda anajua

  • @SalmaSamir-df3tz
    @SalmaSamir-df3tz ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah allah atawafanyia wepesi allahuma baarik

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Ma sha allah
    Mungu awabariki wote mlichangianhii familia serikali jamani wasaidieni hii familia

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy ปีที่แล้ว

    Insha allah titajitahid fab usife moyo mungu yupo naww pamoj nawenye moyo wakutowa tutowe kwsjili ya allah tusiwe wenye kusema vyumb vitatu mbon sio kubwa mm namin mungu atawek wepes sabb yy ndo tegemeyo letu tuwe t namoyo mmoj amin unachokitowa na aman kwa allah ataend kikulipo utasema bor ningalitowa zaid yacho ulichokitowa allah akuongoz fab watu wachangie bila shak utafanikish

  • @mwantumswalehe2300
    @mwantumswalehe2300 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabaraka Rahman ❤❤❤

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 ปีที่แล้ว

    Allah ajarie tuzid kuguswa na hii family ipate nyumba

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema itaisha tu

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว

    MashaAllah 🤲🤲🤲 ALLAH Qareem

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH

  • @cecyngitu4752
    @cecyngitu4752 ปีที่แล้ว

    Tutatoa kaka Fab

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +4

    Maa'shaallah Maa'shaallah Maa'shaallah
    Wazo langu naomba mjifunze kujengea watu nyumba saizi ya hali zao nyumba za msaada mkiwajengea kubwa zinashindwa kuisha muda muafaka hampati mafundisho ya nyumba ya kina Happy eeh. In'shaallah kwa uwezo wa Allah afanye wepesi iishe wapate kujistiri

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 ปีที่แล้ว +2

      Sasa ndugu yangu hiyo unaiona kubwa?huoni watu wengi nisaizi kwa hiyo familia

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว

      @@zuhuramuhanga5400 Soma coment vizuri kabla yakuuliza swali. Na uwaulize wote wanaotoa mawazo yao

    • @Fabiankisaka
      @Fabiankisaka  ปีที่แล้ว +3

      Familia ni kubwa

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +1

      @@Fabiankisaka Hatujakataa ila kutokana na hali unatakiwa ubalance mengine sio lazima

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +2

      Hy nyumba wala sy kubwa msiaze kuweka husda kwa ile familia ni sawa tuu

  • @mwanamisirajab
    @mwanamisirajab ปีที่แล้ว

    Mashaalah tabaraka llah

  • @abbubakar-c7i
    @abbubakar-c7i ปีที่แล้ว

    Inshaaah tutatowa turikuwa tunasubiri sikukuu ipite

  • @aliamjad2683
    @aliamjad2683 ปีที่แล้ว

    Asalamu aleykum walammatulay Fab ikipatikana mchango jitaidi kumaliza japo vyumba viwili ili angalau wapate kuji hifazi miezi 3 sio mingi sasa hivi inaisha je watakaa wapi katika imani allar atie wepesi kwa watoaji tusiwatupe inshallar

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj ปีที่แล้ว

    Allah Kareem 🤲🤲

  • @yami_hami
    @yami_hami ปีที่แล้ว

    Mashallah Mwenyezi Mungu awafanyie uwepesi

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 ปีที่แล้ว

    . mashallah Allah awazaidishie rizik

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    Inshaallah itaisha

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nilijuwa watafanya kama kwa mama zabibu ila kwamijengo munayo jenga kufeli laisi izo balaza zote zanini

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 ปีที่แล้ว +1

    Zahiri ameenda wapi siku hizi

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 ปีที่แล้ว

    Mtihani walah mm sina jengo langu sijamaliza kujenga hata limta bado na nyumba ni kumbwa wazee wangu ni wangonjwa wanaumwa hawana kitu mimi wananitengemeyakwa kweli ni mtihani😮

    • @ashurakiswamba7085
      @ashurakiswamba7085 ปีที่แล้ว

      Pole inshallah mwenyez MUNGU atakufanyia wepes

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

      Yn ww khadija si unasema nyumba yk imeisha leo hii unasema bd

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 ปีที่แล้ว

    MashaAllah ❤❤❤❤

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @teddyaloyce8218
    @teddyaloyce8218 ปีที่แล้ว +2

    Fabi hali ngumu nakushauli tu msifunge mkanda wa chini iyo fondisheni nzuri

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي ปีที่แล้ว +2

      Nikweli kutoka na mambo magumu sio lazima mkanda kuna nyumba zipo imara na hazina mkanda hadi sasa tunazeeka hata nami nashauri sio lazima mkanda

    • @Fabiankisaka
      @Fabiankisaka  ปีที่แล้ว

      Sawa

    • @zuhrazuhra637
      @zuhrazuhra637 ปีที่แล้ว +1

      Fabi kufunga mkanda wa fondeshin ni muhimu sana ili nyumba iwe imara.

    • @mumasa498
      @mumasa498 ปีที่แล้ว +1

      Mkanda wa muhim msipotoshe

    • @abbubakar-c7i
      @abbubakar-c7i ปีที่แล้ว

      Xaxa bira mkanda nyumba atadumu

  • @bernardabedi9972
    @bernardabedi9972 ปีที่แล้ว +1

    Fabi unakatatonge kubwa😅😅

  • @navioma4882
    @navioma4882 ปีที่แล้ว

    Masha allh

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @tatotato506
    @tatotato506 ปีที่แล้ว

    Mashallha ❤❤

  • @mariammohamed3104
    @mariammohamed3104 ปีที่แล้ว

    Alhamdullah

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว

    Fabi mbona helanyingihivo mimi niijua ni mpaka kupau mbona ukawakubalia helahio kwa kujenga nyumba hio mpaka lenta usikubali bwana

  • @teddyaloyce8218
    @teddyaloyce8218 ปีที่แล้ว +1

    Mi nyumba yangu sijafunga mkanda na ipo imara

  • @khadijaabdulrahmani1446
    @khadijaabdulrahmani1446 ปีที่แล้ว

    Nyanyua vyumba 2 wahamie na Choo pia , hayo mengine taratibuu yatakaa sawa

  • @mariamumaliki6980
    @mariamumaliki6980 ปีที่แล้ว

    Fungeni tu lenta ya juu

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 ปีที่แล้ว

    😅😅😅

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie Fabi, ila kama naogopa hivi! Kama michango haikupatika utafanyaje? Maana miezi 3 kule itaisha fasta tu, Nyumba yao ndio usha ivunja mmmm! Pa gumu hapo. Mungu alete miujiza yake

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 ปีที่แล้ว

      tuma machnago basi dada ummy au chochote kile unaweza.

  • @suhaylasalim9111
    @suhaylasalim9111 ปีที่แล้ว

    Mashallah