SEMAJI AHMED ALLY AMWAGA MANENO KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA TANZANIA PRISONS/"TUMEWAANDALIA DOZI NZITO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App Store - apps.apple.com...
    📱 Play Store - play.google.co...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC TH-cam Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 43

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kesho ushindi simba nguvu moja

  • @BlunoElias
    @BlunoElias 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    SIMBA SSC Timu tishio balani Africa Naomba mungu timu yangu iweze kutupatia furaha yetu wana simba tukapate pointi tatu naitakia kila laheri timu yangu kwenye mchezo wa hapo kesho ❤️❤️❤️❤️🦁🦁🦁🦁

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Simba wachezaji wajipange wawe makini sana waache kujifunga wasingekua wanajifunga jamani tungekuwa tunatangulia kwa point nyingi sana ktk ligi mpaka Shirikisho❤❤❤❤

    • @Ally-jf6wu
      @Ally-jf6wu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kabisa tumepoteza points nyingi saana kwa makosa yetu binafsi

    • @CharlsNghutu
      @CharlsNghutu 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      nazan simba kwa mfumo tunaoutumia kimuchezo wachezaji wakawe makin hususan kwa mechi ya kesho na zinazo endelea

    • @GeofreyBakal
      @GeofreyBakal 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kesho magoli tu

    • @georgelupatu9177
      @georgelupatu9177 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nakuunga mkono ktk hulo. Na kama kuna namna yeyote wachezaji kuhujumu timu hatua zichukuliwe mapema. Pia tuwaombee wachezaji wetu. Na tunataka cleansheet nyingi, magoli mengi, hatrik tatu na points 3 kila mechi.

  • @EmanuelBahati-vv8gx
    @EmanuelBahati-vv8gx 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Bila kuchoka UBAYA UBWELA , SIMBA Nguvu Moja

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kwa uwezo wa mwenyezi Mungu inshaalah tutashinda

    • @AzizaMayemba-td8po
      @AzizaMayemba-td8po 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amina 🙏 mungu mwema tutashinda

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kila la khery mnyama Simba sports club leo 🤲 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kila la kheri Simba Sports Club tunawategemea wapambanaji wetu 🙏🙏

  • @SalimuMgaza
    @SalimuMgaza 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Salimu mgaza, simba nguvu moja

  • @victorjohn1296
    @victorjohn1296 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🦁🦁Simba nguvu moja ✊

  • @MariaTheresiaJoseph
    @MariaTheresiaJoseph 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kila kheri mungu awatangulie mkapate ushindi ila msije mkatuwangusha Lile kosa lise likajiludi jaman

  • @AndersonHardson
    @AndersonHardson 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba nguvu moja

  • @JumaBundwa
    @JumaBundwa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Karibuni.keyemusi

  • @balozimkali1337
    @balozimkali1337 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Back pass ni nyingi sana tupunguza pass ni kwenda mbele sio nyuma

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli, pale ambapo sio za lazima wasipige

  • @SamsoniKaka
    @SamsoniKaka 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪🙏🙏

  • @eliakimedward7863
    @eliakimedward7863 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉

  • @SamsoniKaka
    @SamsoniKaka 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👏👏👏👏👏👏🦁🏆🏆💪💪💪💪🙏🙏🙏

  • @JacksonFaustine-be1gk
    @JacksonFaustine-be1gk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kesho 2nakaa pale juuu

  • @NataliaMboya
    @NataliaMboya 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubaya ubwela kuanzia sasa kila mechi kwetu ni fainali smba nguvu moja Chasambi tumemsamehe kabisa

  • @ramadhanimrindoko4027
    @ramadhanimrindoko4027 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hasira za fountain gate atabeba prisons

  • @bahatimshali2731
    @bahatimshali2731 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndio tofauti ya huyu na Kamwe. Ana admit ubora wa mpinzani.

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hahahahahahaha atar sana semaji

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    sawa semaji hime hisha iyooo

  • @honesthenry901
    @honesthenry901 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    "Unajezi kama naodha wa timu" ila semaji😂😂😂😂 daah

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuache kurudisha mpira nyuma labda ikitokea baati mbaya fresh

  • @amiboytz-z6u
    @amiboytz-z6u 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tobi mwambie semaji jina jipya la mpanzu ni mwenyekiti wa Kijiji maana anakusanya kijiji

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    iyo shida ya kurudisha mipira nyuma Mara kwa mara ndo inatuharimu

  • @OmarySeko
    @OmarySeko 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini reo hawajamchangia chasambi reo waache poropoganda mpira huo ushapitwa na wakt

  • @pascalPembamoto
    @pascalPembamoto 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sauti ya radi tumekusikia.

  • @Sikuzankolongo
    @Sikuzankolongo 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kesho ushindi ni uwakika Kwa munyama

  • @ThadeusSweetbertAlphonce
    @ThadeusSweetbertAlphonce 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Semaji unamaneno
    Unapo sema kuwa wewe siyo nahodha wa timu unamaana gani?

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ubaya ubwela

  • @AmadiNyeupe
    @AmadiNyeupe 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Semaji unabayA

  • @JumaBundwa
    @JumaBundwa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Juma.bundwa.ni.munyama.asiria

  • @JumaBundwa
    @JumaBundwa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naitwa.juma.severini.bundwa.toka.masaki .kisarawe.naikia.ushind.mtamu.san

  • @JumaBundwa
    @JumaBundwa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kesh.kipig.kipore.razima rife

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂𝑠𝑒𝑚𝑎𝑗𝑖 𝑤𝑒𝑒𝑒 𝑣𝑦𝑢𝑙𝑎 𝑎𝑢 𝑛𝑦𝑢𝑚𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑘𝑜 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑖𝑠ℎ𝑖𝑤𝑎 😂😂𝑠𝑖𝑠𝑖 𝑡𝑢𝑘𝑜 𝑚𝑎𝑘𝑖𝑛 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑠𝑎𝑎𝑢 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑠𝑠 𝑚𝑎𝑠ℎ𝑎𝑏𝑖𝑘𝑖 𝑏𝑜𝑟𝑎🎉🎉