- 102
- 1 379 198
Rakims Spiritual
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 12 มิ.ย. 2018
This is a Spiritual Channel which will be teaching spiritual way on success in life and overcome hardship through White magic, Meditation, Red Magic, Psychic Powers,
This is a knowledge of wisdom where you will educate yourself through our videos on how to perform safe magic which is harmless to you and your surrounding,
Also it will include knowledge of dreams and interpreted it, Summoning Jinn/Genies, divination,
and more videos will be teach on how to use these knowledge of wisdom in a right way.
For the help in;
- Dua Recitation
- Excess and balancing zodiac signs
-Lucky items like chain, ring, pendants, bracelet, watch etc
- Jinn possession
- Astrology charts
- Tarot reading
- Self astrology divination
- Divination and Geomancy
And so much more feel free to contact us through
Email; Rakimsspiritual@gmail.com
Whatsapp; +255 783 930 601
This is a knowledge of wisdom where you will educate yourself through our videos on how to perform safe magic which is harmless to you and your surrounding,
Also it will include knowledge of dreams and interpreted it, Summoning Jinn/Genies, divination,
and more videos will be teach on how to use these knowledge of wisdom in a right way.
For the help in;
- Dua Recitation
- Excess and balancing zodiac signs
-Lucky items like chain, ring, pendants, bracelet, watch etc
- Jinn possession
- Astrology charts
- Tarot reading
- Self astrology divination
- Divination and Geomancy
And so much more feel free to contact us through
Email; Rakimsspiritual@gmail.com
Whatsapp; +255 783 930 601
Majina ya Barhatiyah Somo la 1
Katika video hii utajifunza kuhusu majina ya barhatiyah. Muendelezo unaweza kutizama kwenye live hii kwenye link chini
th-cam.com/users/liveZB2nmtzk8IQ?si=erTABUKGIDlbCVFN
th-cam.com/users/liveZB2nmtzk8IQ?si=erTABUKGIDlbCVFN
มุมมอง: 912
วีดีโอ
Mussa na Waganga (Experience) 1
มุมมอง 979หลายเดือนก่อน
Hii ni video inayoonyesha kisa cha yaliyomkuta Mussa katika safari yake ya kutafuta mafanikio
Njia Rahisi zaidi ya Kuita JINI | SAL SAL
มุมมอง 2Kหลายเดือนก่อน
Katika video hii utajifunza namna sahihi ya kuweza kuita jini. Ambayo haitakukera wewe wala Jirani ulionao. Rakims S.
Jinsi ya kusoma AURA | Nguvu za Miujiza
มุมมอง 4.7K3 หลายเดือนก่อน
Aura ni nini? Katika video hii nitakuelekeza juu ya Aura, Aura ni Miale au Nuru inayomzunguka kiumbe hai kwa maelekezo zaidi fuatilia playlist hii chini. #rakimsspiritual #aura #nyota #meditation
Jicho la tatu. (Sheria & Taratibu) 2..
มุมมอง 2.9K3 หลายเดือนก่อน
#rakimsspiritual #playlist Sheria & Taratibu: 1:2 HAKUNA KUUNDA PICHA, HAKUNA KUDHANI PICHA, UELEWA PEKEE Basi katika sheria na taratibu ya pili ambayo ni muhimu kabisa katika jicho la tatu basi tunaona kwamba mtu mwenye kufungua jicho la tatu kuna mambo ambayo hatakiwi kuyafanya ikiwa ni pamoja na: Kutokuunda picha katika akili yake. Kutokudhania picha kwenye fikra yake. Ikiwa kwenye mazoezi y...
Jicho la Tatu ni nini? Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu? (Third Eye) Part 2.
มุมมอง 4.6K3 หลายเดือนก่อน
#Rakimsspiritual #Jicholatatu #meditation #Chakra Jicho la Tatu ni nini? Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu? (Third Eye) Chakra ya SITA Part 2. th-cam.com/video/QY05ncfTYZ0/w-d-xo.html ▬▬▬▬ Yaliyomo kwenye video hii ▬▬▬▬. 00:00 Intro 03:26 Muongozo wa Jicho la tatu ni nini? 12:10 Jicho la tatu ni nini? (Chakra ya ngapi) 12:30 Chakra zipo ngapi? 13:31 Hatari ya Jicho la tatu? 14:40 Jicho la tatu ni...
Jinsi ya KUFUNGUA Jicho la Tatu. Hatua kwa Hatua (Sheria & Taratibu) 1.
มุมมอง 9K3 หลายเดือนก่อน
#rakimsspiritual #meditation Jinsi ya KUFUNGUA Jicho la Tatu. Hatua kwa Hatua (Sheria & Taratibu) 1. Ikiwa bado hujafahamu jicho la tatu ni nini basi rejea katika video hii; th-cam.com/video/d28kmELtC24/w-d-xo.html Na ikiwa unahitaji kujua zaidi kuhusu Mafunzo zaidi ya jicho la tatu basi bonyeza hapa: www.youtube.com/@Rakims-S?sub_confirmation=1 Katika Video hii utajifunza Jinsi ya KUFUNGUA Jic...
Jinsi ya ku MANIFEST JAMBO na matumizi ya BARAHATIYAH 1 (feedback)
มุมมอง 1.2K4 หลายเดือนก่อน
Katika video hii utaskiliza experience ya mwanafunzi wa group ya Majina ya Barahatiyah, Ikiwa ni pamoja na Mwanafunzi wa meditation katika Experience zao kwenye nguvu za kiroho. Rakims Spiritual ni channel yenye group 3 pekee zilizobakia hivyo kama unahitaji kujiunga ni bora ukajiunga mapema sana. ▬▬▬▬ Yaliyomo kwenye video hii ▬▬▬▬. 0:00 Intro 1:36 Manifestation Unaweza kujiunga nasi kwenye Gr...
Jinsi ya kuMANIFEST JAMBO na matumizi ya BARAHATIYAH 2 (feedback)
มุมมอง 1.3K4 หลายเดือนก่อน
Katika video hii utaskiliza experience ya mwanafunzi wa group ya Majina ya Barahatiyah, Ikiwa ni pamoja na Mwanafunzi wa meditation katika Experience zao kwenye nguvu za kiroho. Rakims Spiritual ni channel yenye group 3 pekee zilizobakia hivyo kama unahitaji kujiunga ni bora ukajiunga mapema sana. ▬▬▬▬ Yaliyomo kwenye video hii ▬▬▬▬. 0:00 Intro 1:53 Majina ya Barahatiyah Unaweza kujiunga nasi k...
Jinsi ya kusafisha nyota (Feedback)
มุมมอง 1.1K4 หลายเดือนก่อน
VIDEO HUSIKA NI HII th-cam.com/video/yN0kVSsE7JE/w-d-xo.html Mwanafunzi aliyejisafisha nyota kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Video hii ni
Aliyeita Jini wa Kike!
มุมมอง 2.1K4 หลายเดือนก่อน
Katika video hii utamsikia moja ya wanafunzi aliyeita jini wa kike na kufikia makubaliano nae
Aliyeita Jini | Link ya Group chini | Hakutakuwa na feedback tena
มุมมอง 1.2K5 หลายเดือนก่อน
Aliyeita Jini | Link ya Group chini | Hakutakuwa na feedback tena
Kitabu cha Maarifa | Kitabu kimoja faida zaidi ya 1,000
มุมมอง 1.5K5 หลายเดือนก่อน
Kitabu cha Maarifa | Kitabu kimoja faida zaidi ya 1,000
Jinsi ya kupata Mali | Jinsi ya kufanikiwa
มุมมอง 2.7K5 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupata Mali | Jinsi ya kufanikiwa
Hekima za Rakims Spiritual Outer Space.
มุมมอง 1.2K5 หลายเดือนก่อน
Hekima za Rakims Spiritual Outer Space.
Madini ya Titanium | Njia Za Mafanikio
มุมมอง 1.4K7 หลายเดือนก่อน
Madini ya Titanium | Njia Za Mafanikio
Jinsi ya kuita Jini | Kupata utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya Kufanikiwa
มุมมอง 19K7 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kuita Jini | Kupata utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya Kufanikiwa
Aina za meditation | Meditation Ipi inakufaa zaidi?
มุมมอง 10K10 หลายเดือนก่อน
Aina za meditation | Meditation Ipi inakufaa zaidi?
Jinsi ya kusafisha nyota | Kung'arisha Nyota yako.
มุมมอง 37K10 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kusafisha nyota | Kung'arisha Nyota yako.
Siri ya Mafanikio | hapo kwa hapo | Yasiyo na Shaka 100%
มุมมอง 8K10 หลายเดือนก่อน
Siri ya Mafanikio | hapo kwa hapo | Yasiyo na Shaka 100%
Jinsi ya kufanikiwa kinyota | Madini ya Fedha Silver | Part 7
มุมมอง 12Kปีที่แล้ว
Jinsi ya kufanikiwa kinyota | Madini ya Fedha Silver | Part 7
Jinsi ya Kufanikiwa kinyota | Madini ya Kopa | Part 6
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Jinsi ya Kufanikiwa kinyota | Madini ya Kopa | Part 6
Jinsi ya Kufanikiwa kinyota | Madini ya Dhahabu | Part 5
มุมมอง 4.1Kปีที่แล้ว
Jinsi ya Kufanikiwa kinyota | Madini ya Dhahabu | Part 5
Jinsi ya Kufanikiwa kinyota | Madini ya Chuma | Part 4
มุมมอง 2.3Kปีที่แล้ว
Jinsi ya Kufanikiwa kinyota | Madini ya Chuma | Part 4
Samahani Shekh.,,nawaza muomba vitu viwili au lazima iwe moja
Nimependa sana mafundisho yako lakini naomba namba yako mimi niko kenya please.
Habari za leo mkuu Naomba niulize kitu mbona nilijaribu kutoka nikakutana lile li kitu leusi likanikimbiza ??
Asalaam aleikum mwalimu sehemu ya pili unatuletea lini?
hayo majina lazima uyasome kwa sauti au hata kimoyo moyo?
Ni vema ukayasoma kwa sauti kiasi
Tafsiri mwalimu
Mwenyezi Mungu atajalia baada ya Dhiki faraja....
Naomba no yako ya whatsapp mwalim
Sawa shekhe lakini mimi sihitaji kuita majini nataka malaika nifanyaje ili isiingiliane na majini
Tumia jina katika majina haya kazi yake ni kufukuza kila jini.
Naomba namba
0783930601
Ahsante kwa Elimu ubarikiwe sana
Samahani sheikh wangu mm nilikua nasoma jina la kariri ila nikaota mtu ananiambia nisome Ya-Allah mala 100 hyo ina maana gan sheikh wangu
Ni vema ulipoamka ungefanya hivyo kisha ukaendelea na usiku wake ili kuona majibu yake na ikiwa ni kimya utaendelea na Kariri
@rakimsspiritual sawa mwalimu Asante
Mm nilikua nafanya meditation na napata ninacho omba but sahii haitaki kufanyika nikwann
Sijaelewa swali
Allh akupe Manisha malf San
Atujalie sote
Allah aniongoze mm na ww tusije tukapotelea huko tukasahau kuwa yeye ndiy msimamizi was kila jambo ikiwemo katika kutumikixha viumbe hivi (majini).
Amin kwa sote.
Mwalim umetaj ilojin nimefeel energy kwenye kichwaa Chang
🎉
Asante Kwa maarifa mwalimu
Muganga nisaidie Bwana wangu arundie please
Mwalim utajo huu unataja mara ngap? na wakti wa kutaja unataja kwa sauti ya chini ama ya juu?
Habari Kaka nauhitaji nahicho kitu me niko dar unaweza ukanipa mamba zako tuwasiliane nitagaramika Kaka utakacho niambia
Mimi nilikuwa nayasoma kwa ajili ya kinga na kujua siri za wangu wa karibu,nilijua kila kitu kinachoendelea
salam alaikum mimi nimefata njia zote bila kukosea lakini hajatokea hata dalili nimefanya mara 3 na nikarudia hii ni wiki ya3 mpaka nimekata tamaa
Natamani mm kweli kufwata maisha ya kiroho mkuu rakims
Asante sana mkuu wangu kwa somo zuri sana Mungu akuinunwe zaidi kweli ninapo fata somo lako na sidikiya nguvu nyingi ingawa niko congo kwambali
Jambo mwalimu naomba utupe video jinsi yaku chandi chakra
mwalim mimi nilisoma majina yote mara kumi na moja kwa mda wa 14 sijata matokeo au nilikosea mwalim
Nashukru mwalimu rakims tupo pamoja daima🙏🙏🙏
Namba shee
Your the best sir allah akupe kheri wewe na familia yako
Allah akupe umri mrefu ww na familia yako mwalimu
Allah akuongoze ili tuendelee kupata Maarifa Insha'Allah
Sala ni muhimu
Shukran
Mwalimu mungu akulipe kher za dunia na akhera teacher wangu
Uwe juu mwalimu
Kilanikijalib nashindwa nahua nime2lia sehem2livkabsa
Shukran tunakufwatilia saan from Dubai
Ikitokea umeyasoma majina 28 hayo ukaota ndoto ya jina moja pekee nin maana yake
Ni muongozo wa kuwa tumia jina hilo ulielewe vizuri kwa misingi ya matamshi na sheria zake na mara nyingi huwa limekuchagua wewe
Ni muongozo wa kuwa tumia jina hilo ulielewe vizuri kwa misingi ya matamshi na sheria zake na mara nyingi huwa limekuchagua wewe
@@rakimsspiritual nashukuru sana shekhe langu nimeliota jina la BAZJAL BAZJAL na kila nikilisomaga naona tofauti katika mambo yangu ahsante
Ila ukiwa na nafasi pia historia hyo tunaiomba utujuze inshallah
Mashallah mashallah mashallah shekhe langu Allah akuzidishie kila kher ufike mbali sana
🎉
Amani ya mwenyezi Mungu iwe nawe mwalimu wangu... Shukran kwa somo hili nzuri ... Mwenyezi Mungu atakulipa mwenyewe
Ni Emanuel maalim naomba hata ya whatsapp nashida sana
Mwalim unatuvunja mbavu
hii ndio video ilinifanya nimjue rakim kiundani zaid nakumfuatilia kiundani zai nashukuru sana mwalim your the best
Tuendelee na barhatiih shekhe langu Allah akuzidishie kila kher ufike salama unapooataraji
As'salam aleykum warrahmatul llahi WA barakatu mwalimu nataka kitabu chake please
Nnaamin nguvu za univasi ulimwengu
Asatemwalimu
Mwalimu,asatesanha
Ndugu samhani ni Emanuel naomba namba zako Nina shida sana naomba
Naomba namba yako ya whatsap