MIUJIZA YA MTUME MUHAMMAD ( S.A.W ) IMEYAZUNGURUKA MAISHA YETU YOTE - SH OTHMAN MICHAEL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 46

  • @issabonelo9838
    @issabonelo9838 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah kiukweli dalsa zako nzuri nimesaau had darsa za Othman maalim kweli Othman Michael Allah akuzidishie elim naakujalie usiwe mchoyo wakutupa elim adim adim

  • @abadialbalushi944
    @abadialbalushi944 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaa Rabiii tunakuomba utukutanishe na mtume wetu peponi in shaa Allah

  • @rashidimrangi1953
    @rashidimrangi1953 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekhe wang nakupnd kwsjil ya mola wetu mlezi allah akujali akupe uzima na umri mrefu

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah tabarakallah

  • @yusuphmruma1771
    @yusuphmruma1771 4 ปีที่แล้ว +3

    mwenyezimungu anijalie nafsi yangu pamoja nawaisilam wote na ww shehe atusame dhambi zetu na atuingize peponi kwaidhini yake

  • @ahmadmuhammad6436
    @ahmadmuhammad6436 5 ปีที่แล้ว +2

    Aajib 👌 kabisaa barakallah ya habiiib

  • @nadiamashimba119
    @nadiamashimba119 5 ปีที่แล้ว +2

    Napenda mawaidha yako hayachoshi masha Allah. Kama otmna maalim

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 5 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah tabaraqarahman..wallah nanufaika na darsa zako

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllaah Allaah Akubareek na kukuhefadhi. Yarrrrraaab

  • @alqurankareem5151
    @alqurankareem5151 5 ปีที่แล้ว +7

    mashaAllah huyu sheikh mawaidha yake matamu sana yanafanana kama sheikh othman maalim Allah awazidishie umri masheikh wetu tupate faidha kwao

  • @karistkanuti2747
    @karistkanuti2747 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana Sheikh kwa akili ya Allah,,,napenda sna cku 1 niwe kama ww,Inshaallah

  • @samsacute8672
    @samsacute8672 5 ปีที่แล้ว +7

    Usisawu Shekhe nasiye tunataka kuwona kipenzi cetu Rasulullah ( S A ) Allah agukumbushe utufunze Isha Allah

  • @aminaathumani4156
    @aminaathumani4156 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaala 👌

  • @omani1078
    @omani1078 5 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah .Masha Allah

  • @nasrinashuruty7650
    @nasrinashuruty7650 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah.Allah akujalie iwe katika mizani yako hasanat yaumul qiyama.Ameen

  • @seluwahabdull7223
    @seluwahabdull7223 5 ปีที่แล้ว +2

    Amiin dua zako zitakubaliwa na mungu akuzidishie umri uzidi kutukumbusha in sha allah

    • @papaahussein9590
      @papaahussein9590 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu tuongoze kwenye njia ilyonyooka

  • @jinajuma6685
    @jinajuma6685 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuzidishie elimu uzidi kutuwaidhi akusamehe makosa yako

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว +3

    Twakupenda sana shekh wetu kwa ajili ya Allah

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 5 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh shukran sana kwa somo lako kwahakika nimefaidika sana na nimejifunza vitu ambavyo sikuwahi kuviskia kwanzia nizaliwe haya masomo tuletee sana sheikh yamesaulika sana
    ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA SHEIKH WANGU KIPENZI NAKUPENDA KWAJIRI YA ALLAH

    • @nuratiloyi4851
      @nuratiloyi4851 5 ปีที่แล้ว

      .nakupenda san mungu akulipe heri

  • @ayoubnazir1493
    @ayoubnazir1493 5 ปีที่แล้ว +2

    Mawaidha mazuri sana, Allah akupe kila la khair

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Shekh wetu usisahau sisi pia tunahamu kubwa sana yakumuona kipenzi

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 5 ปีที่แล้ว +11

    *SubhanaAllah hii mawaidha imekuwa published the day of my Birthdate 20th July na inazungumzia kumhusu kipenzi chetu Muhammad swallallahu aleyhi wa salam na nilizaliwa siku ya jumapili wakati wa maghrib kuingia siku ya juma tatu aliozaliwa mtume Muhammad swallallahu aleyhi wa sallam. HII NI SIKU SITOISAHAU KAMWE MAISHANI MWANGU SUBHANA ALLAH!*

  • @yusuphumohammed5833
    @yusuphumohammed5833 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah Allah akuzidishie

  • @mohammedhassanabdulkhadir761
    @mohammedhassanabdulkhadir761 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @ahmadmuhammad6436
    @ahmadmuhammad6436 5 ปีที่แล้ว +1

    habib assalam aleikum ALLAH AKuhifadhi..tunaomba siri za kupata kumwona habibii wetu muhammad ndotoni..tafadhal

  • @ashiraally527
    @ashiraally527 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah

  • @samsacute8672
    @samsacute8672 5 ปีที่แล้ว +5

    Maashallah

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukran wajazaka llahu heri

  • @munaibrahim6100
    @munaibrahim6100 5 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah

  • @halimaramadan6406
    @halimaramadan6406 5 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah jazzakah llahu kheir Sheikh

  • @salimzumo1988
    @salimzumo1988 5 ปีที่แล้ว +2

    asalaam alaykum warahmatullah wabarakatul sheikh othman tunaomba kisa cha israh na miiraj in shaa Allah

  • @sharifasaid906
    @sharifasaid906 4 ปีที่แล้ว

    Shukurani

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 5 ปีที่แล้ว

    Shekh mada zako nzr mashallah ila kuna baadhi ya sehem unakosea. Mtume sca w alikua hatambui kilicho ndani ya nafsi ya mtu mpaka Allah amshushue wahi . Mie mwanafunzi tu kama nmekosea nisahihisheni shukran

    • @aminamichael1706
      @aminamichael1706 5 ปีที่แล้ว

      usikatae mtume alikuwa anajua mambo ya ghaib japo ni kwa idhn ya allah mf ni pale alipopita kwenye kaburi na kusema huyu mtu humu ndani anaadhibiwa kutokana na chachizo za mkojo

  • @kijanaabdu7732
    @kijanaabdu7732 5 ปีที่แล้ว +5

    Dah huyu othman maalim au othman michael..?

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 5 ปีที่แล้ว +1

    Si kwa ubaya bismillah sasa ii Michael ni jina lala baba na ni muslam

    • @issaramadhani9714
      @issaramadhani9714 5 ปีที่แล้ว +2

      Jina la baba yake mzazi na yeye alipata uwongofu akasilimu kuwa muislamu na Leo tunanufaika kutokana na yeye huu ni Muujiza wa neema ya Uislam,utadhani alizaliwa ktk Uislam na akalelewa ktk Uislam muda mchache amepata Neema ya Uislam na fawaiyda ndio hizi na akalelewa ktk harakat za Ki da'awah wa'tabligh..Allah amjazie kheyri nyingi

    • @iddikibera9611
      @iddikibera9611 5 ปีที่แล้ว

      Rausa Bani h

    • @halimaramadan6406
      @halimaramadan6406 5 ปีที่แล้ว

      @@issaramadhani9714 amiin yaa Rabb Maa shaa Allah

    • @monacitym5066
      @monacitym5066 5 ปีที่แล้ว

      @@issaramadhani9714 Aamiin yarabb

    • @halimakalinga7764
      @halimakalinga7764 4 ปีที่แล้ว

      MashaAllah walah najifunza san kwak shekh Allah akufanyie wepes inshaallah uzid kutufunza InshaaAllah

  • @hemedikimbeva4585
    @hemedikimbeva4585 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah