Killy - Nihurumie (Official Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Download/Stream In All Digital Platforms
Follow Killy
Instagram: / officialkilly_tz
Twitter: / officialkillytz
The official TH-cam channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: BookKilly@gmail.com
Call: +255 744 586 034
waiting from mombasa ..likes xa 254 jamaaa zikuje
makini sana broo uskate tamaa ban songa mbele ngoma Kali tumeipokea
Sawa bhna ,,adi mwili wasisimuka kama ishawai kukukuta hii kityu Wala sipingi Mimi Killy bro umeua Sana 🙏🏿🌹💕 Kwa yule
Jamaa fundii
Love the music
Ako mbona Mimi
Hamunipei likes za
Killy hata 100 tu😢😢
Ngoma tamu sana. Nilikua Niki isubiri sana. Toka DRC
Laana imebaki makondeni kwasasa ningoma kwenda mbele....👐👐👐
fundi huyu weka like kama huna baya nae❤️❤️❤️
Ume ni furaisha sana kaka Ndo Uanaume uo wewe ni mpamba naji
twenzetuuuuuuuuuuuu📞🎵🎵🎵
bongeeee moja message,melody ni 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Weeehhh kali sanaaa.... bonga la ngoma jameni😊😊😊😊😊😊😊... nipeni likes
Fund mmoja iv na wala halingi
Da' nlijua kashapotea 😥 kumbe alkua anajikoki excellent broo ❣️🔥🔥🔥🔥
Nihurumie very ñice song more likes for killy Kenya love the song🇰🇪🇰🇪
Bora mwana ulichofanyiwa sio mwisho,wala alichopanga mwenyezi binadamu ni ngumu kupangua alidhaan hutoendelea ngoo mwambie bado upo hai kama unamkubali mwamba huyu nipe like zake👆👆
Naomba like Kwa wale 2naomkubali killy
Killy the monster we ni noma noma noma sanaaaaaaa ulkua unapoteza mdaa kwenyee vikund vya vikobaa🤣🤣🤣🤣 nakukubarii miakaa 90000000000000000 kama uwezi kusoma niambieee
This will be one of the best from you my Big Brother Killy!!
Nimekumis
Wanangu wa tanga wote tupa like apa💪💪💪💪😘😘😘
Nakubali mwamba killy tunaitaji na video kali kama ilivyo audio Safi broo🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Fundi sana we mwanangu mm Niko nyuma yako🔥🔥🔥
Casher was here noma sana..like za kenya ziko wapii ...like killy for real🔥🔥
Killy hata uende wapi mimi shabiki wako kindakindaki,,, ulikuwa umetuweka sana big love❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamani killy unatu killi we noma kweli❤❤
Killy wewe n super star 🌟 ujawai tuangusha lazimu tuku support n njia zozote ❤❤❤❤
Kaka ulipo jiita fundi hujakosea mana Ngoma utakayo toa hua inakua 🔥🔥🔥🔥 nakubali kazi zako br 🙌🙌🙌🙌
Mwaba kaludi mjini🇿🇲🙌🔥
Daah, Nakubali Killy sauti unayo nyimbo zako zote ninazo Kwenye cm yangu
Killy,killer,fundi🔥🔥🔥🔥🔋
My brother this ooone💥💥💥💥
I pray whoever eyes catch this comment god gives the strength you need to over come every battle you’re facing. May the dark thoughts and overthinking, the doubt exit your mind right now. May certainty replace confusion. May peace and calmness fill in your life. ❤
Mmoja Kati ya mafundi
nani anamwini killy kwenye mziki Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Ameen
My role model big up sn bloody💪💪
GOMA LA MWAKA BIG LOVE SANA💘
Killy brooo hua una ni inspire sana , na mzikiiii huuu una kufaaa sanaaaaa
We were waiting for your mouth outstreatch and fortunately u didnt let us down much love @officialkilly keep it up we love u and waiting for more
Penda sana hii nyimbo sichoki kusikiliza❤
Watoto wetu wa Gang ya ma konde🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Killy big talent..saport kubwa tu
Another hit song ❤🔥🙌
#FUNDI let's gooo
Ngoma kali sana🔥🔥🔥🔥🔥
Kenyans Media team we love you brother,you are going far en nobody can block your success
Ila killy 🙌🙌🙌 heshima Yako...I'm your biggest fan of you🤗
Huyu jamaa ni mkali 🔥🔥
FUNDI ni mmoja tu kwenye bongo flava...my brother killy ❤
on behaif of my country, family friends ,estate and my wicked landlord we approve this songs,,,its fire
Wanangu tusichoke kuskiliza hit song 🚀🚀
This guy can never let you down💪💪💪
Fundi mwenyewe ✨✨✨💯💯
Let's go nigaaa!!! Let's go killy!!! Let's go! Song writer.
This gonna be a greatest songs ❤❤❤❤❤❤ well done my super star 👍👍👍👍❤❤
❤❤❤kubwa sqna fundi
Nakukubali sana brotha,, tuko pamoja since ngoma ya "Rudi"
Ngoma kali sana killy anaweza sana
Daah kill ni habari nyingine tunakumiss sana konde gang.... Fire 🔥🔥
Harmonize hana hela asa arud aje afanyaje
Ngoma Kali sana kama umeikubari nione like zenu
"Usoni unaonekana mkimya ila unavyofanya ni vingi" 😢😢😢
Waaaa una talent yko kama wewe Mzee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❣️🔥🔥🔥🔥🔥🔥❣️❣️❣️
Killy killy monster💥👁🤸
Mwana umerud ten let's go brother 🔥
Msani Bora wa muda wote tokea KONDE GANG ❤
FUNDI KWENYE UFUNDI WAKE 🔥🔥🔥🙌
Definition of Good music 🔥🎶❤️
Sawa unaweza kumbe pekeyako
🇰🇪❤unyama ni mwingi killy unaeñda mbali just be consistent in realising your music!!
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗 nimefrai sanaa kuona kaz kutoka kwako kaka killy 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Never ever give up no matter how hardship you encounter, killy here we go again
Hiii nyimbo 🎶🎶💥💥🎶
Mambo ni moto 💥💥💥
Brother karibu sana Sauti nzuri sana 💣💣💣💣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pure talent mzee
wezako wanapiga PESA alafu wewe unaomba like 🤔
Mh ebu #LIKE Na Mimi nione❤❤
Kazi nzito kweli yaani kwenye wasanii wa bongo ambao nawakubali basi wewe mmoja wao. Kazi nzuli sana mkuu wangu.
Nipe like za killy kama mnamkubali.
who else is here in 2024🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Talented killy ..
Kali sana
Killy uko vizuri........kaza bro utafika walipo wengine
Mwenye kipaji ni maarufu siku zote👏
Since rudi uve never dissapoint konde gang for life
Big song ...Nice.. melody....message...100%Good song.
Nzuriii killy, Ila inasound kama kiuno kwa umbaali, , ,,Ila ni kazi nzuri Sana❣️❣️❣️
I have been waiting 4 this amazing hit song Killy umetishaa broo🔥💯
Wow,is so much songs killy on fire
Kali sanaaa appreciate you for this banger BIG UP SANAAA🔥🔥🙏🏽
Ngoma kalliiiiiiiii sana
Very talented hommie keep moving bro
Namkubali sana KILLY Nawe kama unamkubali gonga like na ucomenti
Wapi likes za killy wanangu,mwana ni fire baada ya kutoka konde gang #killy
Jamaa lnajua yaan 💯🔥🔥
👏👏👏👏👏👏great comeback...
Killy to the world
Kipaji mia kwa mia
nice tone keep good music alive#killy
Akuna kupo ma brother Lilly 🔥🏆🔥🏆
Kama unampenda killy gonga like!!! Nice song 🎵🎵🙏🙏🙏❤️🔥❤️🔥
Goma kali sana ww mtunzi mzuri sana komaa kaka utatoboa mungu mwema
Here to support you broh ♥️ ♥️ kama unakubaki fundi gonga like ❤
Nipe namba zako kaka
Hit song🔥🔥🔥
Duuuh, I can feel it manze... This song is fire... Love from Kenya 🇰🇪
🔥🔥🔥 ni ule ule🙏🙏🙏🎶🎹
Nice comeback....🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kizuri ni kizuri tu..!🎉🎉 keep giong…! #killy
Kama unamkubari mwamba huu gonga like hapa
Kipaj hakijifichi kily fundi