Mbosso - Kupenda (Laini Version)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • Wimbo wa Mbosso - Kupenda #mbosso #mbossokhan #muzikilaini #muzikilainilaini #kupenda
    LYRICS:
    Verse 1:
    Nilibisha nilibisha
    Mama alipo nambia
    Ukipenda jeuri kwisha
    Leo nayashuhudia
    Hayapiti madakika
    Simu sijampigia
    Yani sili kupitisha
    Sauti nisipomsikia
    Chorus:
    Kama kupenda
    Ndo huaga hivi
    Mi mwenzenu uchizi naugulia
    Kama kupenda
    Ndo huaga hivi
    Mi mwenzenu uchizi naugulia
    Verse 2:
    Oneni ona, macho tukitazamana
    Ubaridi homa, aibu tumezidiana
    Oneni ona, macho tukitazamana
    Ubaridi homa, aibu tumezidiana
    Kwako kijumbe fanani
    Itangazie hadhira
    Chuma changu kkpo ndani
    Nakinusuru madhira
    Nyie wa barabarani
    Waendesha katapira
    Hii derby ya watani
    Haina kutoka bila
    Chorus:
    Kama kupenda
    Ndo huaga hivi
    Mi mwenzenu uchizi naugulia
    Kama kupenda
    Ndo huaga hivi
    Mi mwenzenu uchizi naugulia
    Aaaah aah kama kupenda
    Ndo huaga hivi
    Mi mwenzenu uchizi nauguuaa
    Kama kupenda, ndo huaga hivi -Wanipanda wazimu, wanipanda.
    Mi mwenzenu uchizi naugulia -Mi mwenzenu hali yangu mbaya.

ความคิดเห็น • 1

  • @LucienMax
    @LucienMax 13 วันที่ผ่านมา

    Mbosso