DULLA MAKABILA ATHIBITSHA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MKEWE, AFUNGUKA “TUMEYAMALIZA, NILIMPA TALAKA MOJA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 5 หลายเดือนก่อน +8

    Subhanallah huo ni mtihani wallah Allah atupe mwisho mwema 🤲🤲🤲

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน +6

    pole sana kwa kubeba shetani mgongoni

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 5 หลายเดือนก่อน +5

    Dullah rudi madrsa ukaijuw.din yako lwanza mziki ni klharam huweshim mwezi huu pole wallah hicho unacho kifanya swaum ni bure unashinda njaa tuy

  • @mwajabumsher6872
    @mwajabumsher6872 5 หลายเดือนก่อน +2

    Inalilah wainalilah rajiun

  • @user-bg3nw7sl4m
    @user-bg3nw7sl4m 5 หลายเดือนก่อน +8

    Inna lilahi dunia imeshakukamata lazimamungu umuweke pembeni ila kumbuka dunianimapito tuu kunamaisha yamilili naayomaisha muandaaji niwewe hapa hapa duniani yakwenda kuishi kwalaa milele au uishi kwamatesomilele

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 5 หลายเดือนก่อน +2

    Innalillah wainnailaih rajiun, Hujui ulitendalo MWENYEZI MUNGU akuongoze maana hujui ulitendalo. Uislam wako upo kwenye jina tu lakini huujui Uislam.

  • @user-vj1ek5us4r
    @user-vj1ek5us4r 5 หลายเดือนก่อน +2

    Duh mtihan

  • @simonitaagesti4765
    @simonitaagesti4765 5 หลายเดือนก่อน

    mtihani huu wew unajioneshaga unapesa mitandaoni kwwli umeshindwa kuvumilia mwwzi mmoja tu pole sana mungu akusamehe ujitambue mdogo wangu

  • @michilita2959
    @michilita2959 5 หลายเดือนก่อน +3

    Astakafiru huna Imani ya kukataa hela Allah akunusuru akupe subra ya ulimwengu umekuzidi

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nilikuwa upande wako ulipoachwa lakini katika hili wacha buggati achukue jiko

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน +6

    mhmm wasanii na dini ni ardhi na mbingu na Dula wewe hufungii ungefunga ungeona huruma na funga yako

  • @user-qv3rf9mc7g
    @user-qv3rf9mc7g 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka ucijichanganye chagua Dunia au akhera

  • @ashrona9884
    @ashrona9884 5 หลายเดือนก่อน

    Subhnallah

  • @user-jh2dx1wi9c
    @user-jh2dx1wi9c 5 หลายเดือนก่อน +5

    haja soma dini japo Jina la kiislam mtu waovyo kwel

  • @omanmct135
    @omanmct135 5 หลายเดือนก่อน +2

    Stafurullah nivibaya kuimba mda wowote

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 5 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 eti ndoa ...huo umalaya

  • @SilaMinanda
    @SilaMinanda 5 หลายเดือนก่อน +7

    Hiyo ndio kaz ya shetani kaka

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢 mmmmh🤧

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน +1

    anayekuhoji pia anakushangaa wallahi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 5 หลายเดือนก่อน +1

    Umasikini ndo umechangiya kwako

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hujielewi Kwakweli

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kuimba n dhambi?

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน +2

      ni haramu pia sio zambi tuu

  • @ttss7716
    @ttss7716 5 หลายเดือนก่อน

    Dunia nzima watu ujipanga huo mwezi mmoja we imekushinda sema hauna kitu kelele 2 na fujo mingi😂

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 5 หลายเดือนก่อน

    Ila dula tiaaibu kwa maneno yako daaaaaa

  • @bennylove6021
    @bennylove6021 5 หลายเดือนก่อน

    Angekufa na upwiru wake😂

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 5 หลายเดือนก่อน

    😅😊

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 5 หลายเดือนก่อน

    Rushayna Je?

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 5 หลายเดือนก่อน

    4:33 4:39 4:40 4:40 4:47 4:47

  • @mwananganzi
    @mwananganzi 5 หลายเดือนก่อน

    Tulia

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน +3

    munahangaika na umalaya tu wasanii ila rahima ni mzuri kuliko zai basi tu munaruka ruka

    • @zariadunia6328
      @zariadunia6328 5 หลายเดือนก่อน +1

      Si kweli Rahima hampati zai hata robo

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน

      @@zariadunia6328 subutuu zai hana lolote zaidi ya kijuso kirefu

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 5 หลายเดือนก่อน +1

      Zai ni mzur Sana

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 5 หลายเดือนก่อน

      @@VickKulekana-si1ib hanaga zaidi ya shingo ndefu

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@sabihaibrahim143ndio uzuri wake huo

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wanapenda ya dunia kuliko kujenga akhera yako shetan yuko kaxin

  • @OmanOman-fr5hl
    @OmanOman-fr5hl 5 หลายเดือนก่อน

    Bora wafe tu mana hawana mana kabusa uislam gani huo Ramadhan mwezi moja unashindwa kujizuia

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa 😏

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mtihani usiseme Mungu nisamehe,Wala usisingizie eti wanaomba pesa ya futari, kwani ukifa wataishije?nenda TU kwa Amerca Ila ukumbuke anamzungu wake, Wewe wacha kudanganya umma eti Ramadhan haiusian na shoo wewe nenda Madrassa wacha bla bla

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa ww katika mwaka kuna miez 12 Tuseme 11 yote huwez kujipanga miez 11 yote dula isikuhadae dunia

  • @user-dp1zv6dx1v
    @user-dp1zv6dx1v 5 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 5 หลายเดือนก่อน

    Ndani ya mwaka umeshindwa kuweka.akiba pole dhambi ni zako

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 5 หลายเดือนก่อน

      Na mm nashangaa, kwani lazima futari iwe imenona kwani wakila mihogo, ndizi au uji kuna shida gani.. Hana hata pesa ya mihogo?

    • @FARAJAMDEMU
      @FARAJAMDEMU 5 หลายเดือนก่อน

      Nyie mna peaa

    • @swama9820
      @swama9820 5 หลายเดือนก่อน

      Ndio Maana tukasisitizwa kutafuta Rizki za Halali, Mola Hayupo Ramadhani tuu japo Ramadhani ni mwezi ni Mwezi bora zaidi, Mola wetu Atuongoze sote atupe Msimamo katika dini yake na Imani ya kweli

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hata angekuwa dada angu ningemwambia akumezee P2 utaniletea wajomba wasio na dini

  • @user-qv3rf9mc7g
    @user-qv3rf9mc7g 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka ucijichanganye chagua Dunia au akhera