napokea dua yako kaka ulie pewa pikipiki Minasema Amina hila nami pia naongeza dua mungu ampe kheri maisha yake yote amuepushe na wabaya na mabaraha yote ampe wepesi haendelee kusaidia masikini wasojiweza na wenye kuomba msada kwake anapoweza awasaidie inshaallah kwauwezo wako allah mfanyie wepesi kwakila hatakalo kheri juu yake Amina unshaallah
Wallah machozi yamenitoka Allah akupe zaidi zenye.kheri na akuzidishie moyo kwanza nimependa kuona unampokea.mtu bila kujali na kumskiliza na kumsaidia nawe Allah akusaidie kufata yalomema na kuacha mabaya ameen
Ukiona watu wanapinga kila ulifanyalo na myaka inaenda tu na bado unaendelea kufanya misaada mbali mbali kwa watu tofauti maana ndo juhudi lako inafika wakati sasa wanaonekana wehu maana ukweli unaendelea kuwepo tu Allah akuzidishie mahitaji yako na Maombi yetu Yakufikie Diamond Platnumz
Diamond mungu akupe maisha malefu coz watu wenye moyo km wako niwa chache san kwel kutoa ni moyo na sio utajir Una moyo wakipee sijawah kuona mungu akuzdishie 🙏🙏
Diamond may almight father give you strength and energy,may his blessings shower you everyday ,may he grant you longer life as you continue to change life of many people around you,lastly may almight father also bless the mother who carried you for nine months
Maishaa llah tabaraka rahamani mwenyeezi mungu akuhifadhi na akinge na hasada za watu na majin allah akufutie dhambi zako aune moyo wako moyo wako safi saaana diamond mungu amuhifadhi
We don’t care if he wants to get headlines or whatever the thing is he has helped the man,that is the fact of the matter,and the man will always be great for that.
Zari,Hamisa and Tanasha couldn't be raising Diamond's children on their own if he was genuinely a generous man. Start with your own, then spread be the tentacles to outsiders.
True, sio kila mtu atafurahia kitendo hiki bado kuna ma ngulusumu watamchamba, he gat a different heart last time he gave out a tuk tuk, n helped many people during the covid 19 pandemic, giving out his hotel to be used as a quarantine station who the hell has ever done that, acheni Simba abaki Simba, hongera sana Mondi.
Diamond is a legend and a humanitarian. I’m not Tanzanian but it really hurts me when I see Tanzanians trying to despise him (he doesn’t have money , he is a bad person ...) all that u say about him and you are Tanzanians. But for us African people we recognize him tho some you Tanzanians tries to deny him. He is a big guy. He made me learn to speak Swahili tho I don’t know how to write it lakini I can speak because of diamond’s songs and interviews that’s where I learnt Swahili
Huyu Ninja simpendagi Ila kwa hili ! Am humbled to say ! Ur really a Platinum indeed! Congratulations to all WCB members! Includings fans all over the place! Kuna kitu tumejifunza.
Damn! Simba jamani, diamond platinumz,long live,ni wachache Sana wenye roho kama yake,wengi wenye hela hawatagusani na walalahoi,alafu utaliskia jidudumtu likiongea mbaya kumhusu mondi,ashindwe na alegee!!!
Diamond anapendwa sana nawatu moja wapo na mimi kitu anacho nifrahishaga sana mimi anawapenda sana watu wanyonge kiufupi nyenzo zake hana utofauti na ris magufuri diamond platnumz saluti kaka
Daaaaaaah hakika Mungu azidi kutenda ktk kazi zako mzee prutnumz Hutakuja jutia kwa wema utoao
Mashallah Kaka nasibu mungu akubariki akupe moyo uwo uwo WA kutowa na mungu atakupa kilichopunguwa by me tuna mshabik wako
napokea dua yako kaka ulie pewa pikipiki Minasema Amina hila nami pia naongeza dua mungu ampe kheri maisha yake yote amuepushe na wabaya na mabaraha yote ampe wepesi haendelee kusaidia masikini wasojiweza na wenye kuomba msada kwake anapoweza awasaidie inshaallah kwauwezo wako allah mfanyie wepesi kwakila hatakalo kheri juu yake Amina unshaallah
Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Alhadulilahi mashaallah Diamond mwenye Enzi azidi kunyarisha Nuru yako popote ulipo Amin
From Kenya God bless you diamond platnumz
How can you hate this man?more blessings to Diamond and your team.
th-cam.com/video/e5Xg0Sri2_gr/w-d-xo.htmler
Sure
Diamond
Ka kawaida yake
No one in Africa
Diamond 💎 platinum mungu akubariki Sana kwa kazi yako nzuri
Allah amzidishie diamond 💎
Diamond bro, you will never lack men🙏🙏🙏😭😭😭
th-cam.com/video/5VkR3no4KzI/w-d-xo.html
@@Mronlinetz Harmonaiz
Hongera sana kaka Diamond mungu akuinue kwa viwango vya juu 💪💪 uendelee kutoa msaada kwa watu wa hali ya chini
God bless you Diamond, may you never lack.
Jaman diamond mungu akupe maisha marefu
Wallah machozi yamenitoka Allah akupe zaidi zenye.kheri na akuzidishie moyo kwanza nimependa kuona unampokea.mtu bila kujali na kumskiliza na kumsaidia nawe Allah akusaidie kufata yalomema na kuacha mabaya ameen
Mungu akupe maisha marefu diamond ww nimfano wa kuigwa mungu akubariki sana uwe na moyo uwouwo.
Much love from Kenya good gesture diamond
Mungu akuzidishie kwa Hilo Dangote,,,big up
Mashaallah Abdul Nasib,,aka Diamond platnumz,,,kutoa ni baraka,,,may Allah always protect you,,,,kweli wewe ni babalao,,much love from Kenya.
Mashallah baba tifah mungu akuzidishie imani hio hio ya kusaidia watu
Ukiona watu wanapinga kila ulifanyalo na myaka inaenda tu na bado unaendelea kufanya misaada mbali mbali kwa watu tofauti maana ndo juhudi lako inafika wakati sasa wanaonekana wehu maana ukweli unaendelea kuwepo tu Allah akuzidishie mahitaji yako na Maombi yetu Yakufikie Diamond Platnumz
Safi sana Diamond...you are one of your own kind..so good hearted..inshallah mwenyezi Mungu azidi kukujalia
Good San chibu na ss Lin wadauu wcb
This is how we say he's King not coz of Chair na kukata mauno...King lazima uwajali Raia wako...Nakupenda Mondy💓💕🙏...Keep it up Broh
This wonderful Mr Diamond this lovely God bless Diamond
Waoooooh God bless you diamond platnumz
JAMANI huyu kijana ana confidence sana, khaa, HONGERA SANA, pia MUNGU AKUZIDISHIE MARA BILLIONS diomod
Ukitaka kutoka lazma uwe na confidence
Amin
Safi sana kk dimond
Ameennn
Amen
Diamond roho Safi sana. Congrats bro. Continue brightening everyone bro.
th-cam.com/video/5VkR3no4KzI/w-d-xo.html
Napenda hii sana th-cam.com/video/Qt_Hy_CoMA8/w-d-xo.html
th-cam.com/video/e5Xg0Sri2_g5/w-d-xo.html45
Kweli mungu azindi kumubariki
Uko vizuri kaka mwenyezi mungu akuogkze ulipotoa paogezwe amina
I just love this guy @platnumz God aendelee kukujalia kbsa. your fun kezi in Rwanda Kigali
Yaani nimefurahi hadi nimelia jamani Diamond nimekupenda sana aiseee.
Diamond mungu akupe maisha malefu coz watu wenye moyo km wako niwa chache san kwel kutoa ni moyo na sio utajir Una moyo wakipee sijawah kuona mungu akuzdishie 🙏🙏
very inspiring,rich giving to the poor,,, good work simba🦁🦁🦁
Waooooo... that's why I love simba...utasindi kubarikiwa..🙏
This is amazing my big brother Diamond may God continue blessing you .........you are just amazing love you so much for what you did to this guy💋💋💖
Exactly Verrah!!!👍👍
And that's why we are so proud to be his fan
Diamond may almight father give you strength and energy,may his blessings shower you everyday ,may he grant you longer life as you continue to change life of many people around you,lastly may almight father also bless the mother who carried you for nine months
th-cam.com/video/e5Xg0Sri2_gf/w-d-xo.html e
Amen
Good job Diamond God bless you....
Mungu abariki Diamond snaa
th-cam.com/video/e5Xg0Sri2_g/w-d-xo.html
That’s when you learn that if God has plans for you ,God will not give you a month or one week notice. He only makes surprises for you.
True
It's longer true bro
I known God has already blessed u,may he continue blessing u.
NEMBO YA TAIFA 🇹🇿🇹🇿 DIAMOND PLATINUM PONGEZ KWAKE LIKE ZAKE 👇 👇🔥 Nakukubali miakaa
Nimejikuta natokwa machoz ya furaha
that's the reasons why i love my Simba. good boy💖
Simba bado mimi shabik ako mkubwa kuliko hotee apa
Hakuna jipya yote watu waxha fanyaa kitamboo
Grande coração Rei. Deus te proteja e continue abençoando sempre
Diamond god bless 🙏🙏🙏🙏🙏
Mtasema sana kwa mond, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
Mshllh...uko vizuri Diamond..mungu atakubariki na vingi inshllh...mm pia ni shabiki wako wa nguvu kutoka Mombasa Kenya..
Dah!!! Mond you're the one we proud in Africa
God blessing are with you Diamond 💎 🙏 and Wasafi team blessed
Maishaa llah tabaraka rahamani mwenyeezi mungu akuhifadhi na akinge na hasada za watu na majin allah akufutie dhambi zako aune moyo wako moyo wako safi saaana diamond mungu amuhifadhi
God bless u diamond,be blessed jamn😍😍😍
God bless Diamond,,watching from kenya
God blessed u diamond
Diamond may the good Lord bless you 🙏🙏🙏
Diamond nakupenda sana sana may you live long aki nakuombea kwa mungu siku zote uishi😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Ongera Sana braza diamond usichoke kusaidiana watu wa mungu na mungu akufungulie baraka zaidi
mashaallaah diamond asante sana
Diamond asante sana kabisa ❤❤❤❤❤😥
Safi broo Mungu Akupe umri mref Inshallh
Allah am'barik Mond kwa upendo aliyo nao wakusikiliza wanyonge wenye kuwa chini yake BAARAKALLAH FIIKUM 🦁🦁
I don't care if ni kiki wala nini.. Ubarkiwe sana Broh Nasibu endelea na moyo huohuo Mungu atazidi kukufungulia milango ya kheri InshaAllah.
From Kenya wcb tunawatambua @diamond be blessed kaka
Congratulations,Africa tunahitaji watu kama hawa.huu ndio muonekano wa kuiga.you deserve that name #diamond👏👏👏
We don’t care if he wants to get headlines or whatever the thing is he has helped the man,that is the fact of the matter,and the man will always be great for that.
th-cam.com/video/e5Xg0Sri2_gy/w-d-xo.htmly
Zari,Hamisa and Tanasha couldn't be raising Diamond's children on their own if he was genuinely a generous man. Start with your own, then spread be the tentacles to outsiders.
@@bettyjepchirchir965 you sure he doesn't take care his children?
@@bettyjepchirchir965 u better shut up aseeh😠
True, sio kila mtu atafurahia kitendo hiki bado kuna ma ngulusumu watamchamba, he gat a different heart last time he gave out a tuk tuk, n helped many people during the covid 19 pandemic, giving out his hotel to be used as a quarantine station who the hell has ever done that, acheni Simba abaki Simba, hongera sana Mondi.
thanks to diamond much love from kenya
No one is useless in this world who lightens the burdens of another..and whatever the man prayed for you may it be..💪😎 simbaaa🦁
Tatizo mwengine kujishusha ningumu wakati hana hata buku sometime jikubali omba msaada ukipata nafasi. Big up diamond platnum
Diamond is good man, I respect you
Waoooo hongera sana mungu akupe zaid
One of the most big hearted artist in the planet🙏💯
May you Diamond get more than you expected
Mungu ambariki san wasanii weny moyo mzur kama huu ni wachache sana big up bro.
Mungu amzidishie mara 100000 mtu huyu wa mungu diamond
Saidia na wew utaongezewa na mungu..God bless Simba 🙏
Mungu akuzidishie daimond big up
Mungu mpe maisha malefu diamond🙏
Love you diamond aki amemsadia kijana huyu mungu amueke salama salmin
We Live now and we shall Live Again congratulations To 💎 Platnumz for supporting people from Tanzania 🇹🇿
th-cam.com/video/e5Xg0Sri2_g5/w-d-xo.html55
Diamond is a legend and a humanitarian. I’m not Tanzanian but it really hurts me when I see Tanzanians trying to despise him (he doesn’t have money , he is a bad person ...) all that u say about him and you are Tanzanians. But for us African people we recognize him tho some you Tanzanians tries to deny him. He is a big guy. He made me learn to speak Swahili tho I don’t know how to write it lakini I can speak because of diamond’s songs and interviews that’s where I learnt Swahili
Wow...Diamond may God bless you forever
Diamond ww nimtu mmoja mzr sana mashaalla mungu akujalie
daimond anafaa sana kwa sababu anawasaidia wa tanzania wenzake mungu amweke juu tena juu sana
hongera sana diamond kumu saudia mutu uamini shabiki wako naikiwa rdc mungu akulinde sana
Mungu ameliona hilo,hio ndo ubinadamu tunaofundishwa katika dini 🤝🤝🤝🤝
Allah azidi kumu ifadhi Nasibu kma Diamond ❤️
Diamond bro😭😭😭may God bless you
May God keep up brightening your ways of success ever
Nimewapenda sana
Daamondi mungu akubariki kweri 🧕Oman 👍👍unamoo muzuri 😭😭🤲🤲
Huyu Ninja simpendagi Ila kwa hili ! Am humbled to say ! Ur really a Platinum indeed! Congratulations to all WCB members! Includings fans all over the place! Kuna kitu tumejifunza.
Wauuuuu diamond
Ubarikiwe sanaaaaa
Namngu aku zidishie
Daaahh kamkubwa hapo umetishaaa diamondy nimekubali hii hatua
Diamond may God bless you 💕🙏
Damn! Simba jamani, diamond platinumz,long live,ni wachache Sana wenye roho kama yake,wengi wenye hela hawatagusani na walalahoi,alafu utaliskia jidudumtu likiongea mbaya kumhusu mondi,ashindwe na alegee!!!
God bless you diamond piya acha kuchezeya mioyo za Wanawake ili Mungu akubariki
Mimi kama mimi sina lakusema ira Mungu njo mbariki wawatu wote amzidishiye kaka yetu diamond🙏🙏🙏
Big up ..nakukubali diamond..mkono unaotoa ndo unabarikiwa
Yaan limtu badala limsifie diamond kwa ukarimu wake unaanza kuomba like za nn sasa
Hahahahhaha.....
Atapewa bundle la bure mwezi...
th-cam.com/video/e5Xg0Sri2_g5/w-d-xo.html55
Hahahah
@@officialmrtop1018 kama ni mkarimu naamtibu baba yake kila siku yuwasononeka
@@nassirmohamed8492 gubu👌😠
Diamond Diamond may God bless u🙏
Salute diamond kwa msaada wako wa piki piki
Nipo Kenya walai nimefulai Sana na diamond platinumz mungu akujazie kheri inshallah
Hongera Diamond
Mashaa Allah Allah akupe mwisho mwema kaka Yang simbaaa
Diamond anapendwa sana nawatu moja wapo na mimi kitu anacho nifrahishaga sana mimi anawapenda sana watu wanyonge kiufupi nyenzo zake hana utofauti na ris magufuri diamond platnumz saluti kaka