MAKONDA ASIMULIA DEREVA ALIVYOIBA GARI LAKE NA KUTAPELI "NILIVYOTOKA KWENYE UKUU WA MKOA NILIGUNDUA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 หลายเดือนก่อน +26

    Akili alizonazo makonda anatakiwa apewe nchi hii ya Tanzania tu❤

    • @maryamomary2641
      @maryamomary2641 2 หลายเดือนก่อน +8

      Kabisa Allah tulindie makonda

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 2 หลายเดือนก่อน

      Yes 😎😎😎

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 2 หลายเดือนก่อน +1

      Labda umkabizi familia yako wewe siyo nchi yetu ya tanzania

    • @Migrationdesanimaux
      @Migrationdesanimaux 2 หลายเดือนก่อน

      😢​@@vicentbunzal7342

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@vicentbunzal7342hivi huyu anamfahamu Makonda vizuri. Ukuu wa mkoa tuu anabwabwanya mambo ya wenzie hadharani kuwachongea kwa Raisi. Je anafahamu uhuni alioufanya kupitia kibao la JPM??

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda nakuelewa Sana mungu yuko upande wako hakika

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 2 หลายเดือนก่อน +7

    The best leader at the moment, Kiongozi bora sana huyu

  • @peterbalyagati7834
    @peterbalyagati7834 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali, Mungu akutangulie

  • @vumiliambogela8413
    @vumiliambogela8413 2 หลายเดือนก่อน

    Nafulahia Sana uwepo wako,MUNGU akulinde

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda Africa Tanzania one

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 2 หลายเดือนก่อน +1

    Genuinely and masterclass leader ❤

  • @GEOFREYTANGANYIKA
    @GEOFREYTANGANYIKA 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sema msema kweli na mtetez wetu japo mimi niko Sumbawanga Rukwa

  • @JohnFrancis-h7q
    @JohnFrancis-h7q 2 หลายเดือนก่อน

    Da kk anaweza sana

  • @henry1933
    @henry1933 2 หลายเดือนก่อน +5

    Genius

  • @JasminSaid-g8t
    @JasminSaid-g8t 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda Bb.

  • @raajabchaka8682
    @raajabchaka8682 2 หลายเดือนก่อน +1

    kichwaa Kabisaaa Ikii🔥🔥🔥

  • @johnjohn7575
    @johnjohn7575 2 หลายเดือนก่อน +4

    Very smart idea

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 2 หลายเดือนก่อน

      O
      Moo
      Oomo

  • @mussamalogo5640
    @mussamalogo5640 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah!!! Kumbe nihataree

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 หลายเดือนก่อน

    Salut kwako makonda

  • @mariamshabani7107
    @mariamshabani7107 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤

  • @masterhptv4065
    @masterhptv4065 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni Tunu kwa watanzania tuilinde tumuombee

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 หลายเดือนก่อน +7

    We jamaa una akili sana pengne siasa na vyama vikuharibu lakn we kiongozi mwenye akil sana mm siipendi ccm kabisa lakn inapofikia ishu yako kukusikiliza hakika unafanya kazi sana

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 2 หลายเดือนก่อน

      Kama huipendi CCM utampendaje Bashite?
      Acha unafiki wa kishoga wewe CHAGADEMA saccos ya makengeza Mbowe

  • @bugapeasant1827
    @bugapeasant1827 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna vit vyakukaa jaman

  • @williamboniphace5887
    @williamboniphace5887 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani huyu ndo angekuwa waziri mkuu wa Tz

  • @evelynemkambu6645
    @evelynemkambu6645 2 หลายเดือนก่อน

    Uwe ni mtu w maombi sana,ungepata watu wanaoomba Kila siku iitwapo leo.kuna adui wengi ktk ulimwengu wa roho.

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ni kweli huyo dereva afikishwe mahakamani

  • @jonathanmlinda2580
    @jonathanmlinda2580 2 หลายเดือนก่อน +5

    Alooo 👏👏👏👏👏

  • @IbrahimMotors-vl9ii
    @IbrahimMotors-vl9ii 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hunger sana jmn dah

  • @kessyjonastv1803
    @kessyjonastv1803 2 หลายเดือนก่อน

    Dereva is typing

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahy unafufua makaburi kihusu clauds unataka kusema,kwamba ni dereva piah😢

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa iliwa drv wa Mkuu wa mkoa ni mwiz nini tunajifunza nn

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo usalama ni kama nyuki kila kitu Hapo kimewekewa mfumo Sasa jichanganye

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน

    Uaminifu ni kitu kizuri sana. Hata wakati wa awamu ya 5 mmoja wa viongozi na marafiki wa JPM alikwenda kwa Tajiri mmojawapo hpo Dar na kumwambia kuwa
    Bwana mkubwa anaomba umjengee nyumba ambayo ataishi yeye. Tajari akakukuruka kuijenga kwa nidhamu nakwa viwango stahiki. Na baada ya kumaliza akagundua kumbe sio kweli bw. Mkubwa hajamtuma huyu jamaa. Huyu jamaa aliitaka yeye aishi huko aimiliki iwe yake. Kwa kuwa tajiri alikuwa na nyaraka halali Mahakamani nyumba ilibaki mikononi mwake na jamaa kubaki na aibu. Huo uhasama upo mpka leo.

  • @MasseWaziri
    @MasseWaziri 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hadi madereva wanafanya hivyo kuna mambo walishayaona mkifanya

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda watu wa Arusha wanakuaminia utendaji wako wa kazi. Usianze hadithi za paka na panya za dereva kwenda kutapeli! Ujuzi mwingi huondoa maarifa.

  • @Thekid-d7e
    @Thekid-d7e 2 หลายเดือนก่อน

    Unbelievable!

  • @hurumamlowe6320
    @hurumamlowe6320 2 หลายเดือนก่อน

    Una akili kubwa sana Mh Makonda, unastahili kuwa kiongozi

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni maneno matupu kusema eti hatima ya mtu iko mikononi mwa Mungu ili ambadilishe?.
    Kwa mfano Mungu anaweza kumgeuza mzee kuwa mtoto au mtu mzima ambaye hajui kusoma awe mkuu wa mkoa wa Arusha?😂

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 2 หลายเดือนก่อน

    Mpo nyuma sn kweny Habari 😅

  • @karyori69
    @karyori69 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona asimshtaki? Au ndio kukana maovu ya upuuzi wako jchini ya ulinzi wa Magufuli? Na Nyumba ya GSM Dereva wako alipora pia?

    • @annajohn2488
      @annajohn2488 2 หลายเดือนก่อน

      Punguza makasiriko hurahia maisha

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ni Mwizi tu Dereva atawezaje Kuchukua Gari ya Umma na kwenda Kuchukua Rushwa bila Maagizo yenu?

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 หลายเดือนก่อน

      acha wivu na makasiriko ya maisha yako magumu shoga wewe
      Paul CHRISTIAN makonda ni kiongozi mzuri sana na sio mwizi

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 2 หลายเดือนก่อน +1

      kwani polisi anavopewa gari la police akienda kuchukua lushwa huko road atakua katumwa Nakiongozi wake au yeye katumia adivamteji hiyo Na angekua amemtuma asingemtaja hazalani tumia ubongo ww

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 2 หลายเดือนก่อน

      hata akili hawa Ndio makenge kwenye hii nchi anamacho lakini haoni

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 2 หลายเดือนก่อน +1

      maisha yake magumu sio hahaahaaaaaa umempa zakisogo ndug Yako

    • @SuleAmber-lw2tx
      @SuleAmber-lw2tx 2 หลายเดือนก่อน

      Maisha yanawapeleka mbio vijana hadi wanachukia viongozi wazuri 😂

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu makonda bwana ni bingwa wa kutengeneza matukio ili aonekane mwema wasio na akili ya kufikili wanaweza wakamwamini kuwa ni mtu mwema,hafai hata kidogo.

    • @amaninyoni5645
      @amaninyoni5645 2 หลายเดือนก่อน +1

      Basi wewe ndioo mwema

  • @davidntowanga7717
    @davidntowanga7717 2 หลายเดือนก่อน

    😂