NIMEFUKUZWA BUNGENI KWASABABU NATOKA FAMILIA MASIKINI, SİNA MTETEZI - MPINA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 55

  • @symonmhoja3102
    @symonmhoja3102 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mwamba kwa kututetea! Mungu azidi kukulinda

  • @user-wh2mm1eq2x
    @user-wh2mm1eq2x 9 วันที่ผ่านมา +10

    Mpina, Yote kwa yote jikabizi mikononi mwa Mungu, nae atakujibu kila hitaki lako

  • @johnshirima6176
    @johnshirima6176 9 วันที่ผ่านมา +9

    Hii ni mashine ya kazi haogopi ki2

  • @NOELKISONGA
    @NOELKISONGA 9 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana wananchi tunaoña ipo siku watapata majibu

  • @user-ey5ui5wk1z
    @user-ey5ui5wk1z 6 วันที่ผ่านมา +2

    Wapuuzi nyie mnaomkashifu mpina The strongest man is that who stand alone mpina piga kazi kijana

  • @user-od8mf3hi2p
    @user-od8mf3hi2p 9 วันที่ผ่านมา +4

    Huyo tulia asubiri 2025 atatulia mbeya tutalinda kula mpaka mwisho asijaribu chochote Wala hana ujanja jimbo aliachie tu

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 9 วันที่ผ่านมา +4

    CCM NDIO WANAYOFANYA NA WIZI MAJAMBAZI CCM

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hii ndo TZ

  • @Efrahimunganyama
    @Efrahimunganyama 9 วันที่ผ่านมา +2

    The bestfetty imekuwaje hapo

    • @tukuyufm.
      @tukuyufm. 8 วันที่ผ่านมา

      Hahaha wameitrack na kuiiba sehemu

  • @gilbertmwakalebela2862
    @gilbertmwakalebela2862 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wabunge wengi wanachangia hoja za siku zote japo ni muhimu kama( barabara, maji, afya ) na mambo mengine yaliozoeleka. Lakini ukija upande wa kuisimamia serikali na kuishauri hawatimizi majukumu yao sijui kwakua ni ccm au uwezo wa kuchambua mambo kitaalamu ni mdogo. Mfano mzuri wa kuisimamia serikali ni kuhoji vitu kama anavofanya Mpina, na ndipo tunaweza kuona madudu mengi lakini kwa kunyamaza tu kwakua waziri ni ccm mwenzangu ndio hayo Bunge lijayo tunanza kujadili hoja zilezile za Bunge lililopita kwakua wabunge hawachimbi vizuri mambo mengi wanachangia kihoyahoya tu.

  • @Sesakwaukweli3
    @Sesakwaukweli3 9 วันที่ผ่านมา +3

    Oya haijalishi huyu mwamba yupo chama gani ila nahisi ana roho yauchungu na wananchi kw namna flan mwamba wee ndio mfano wa viongozi wengine

    • @birianination7097
      @birianination7097 9 วันที่ผ่านมา

      Angekuwa anaroho njema na nchi asingepinga serikali kuingiza

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 9 วันที่ผ่านมา

      Kwa njia ipi

  • @Nkonyololuchana
    @Nkonyololuchana 4 วันที่ผ่านมา

    Mpina ndio mbunge wetu watanzania tuko pamoja nae

  • @worldherotv
    @worldherotv 9 วันที่ผ่านมา +2

    NDUGU YANGU UNATAFUNWA NA JEURI YAKO ULIYOWAFANYIA WAVUVI WA NCHI HII. NA BADO UTARUDI ULIPOANZIA

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk 7 วันที่ผ่านมา

    Mbeya watanzania tunawalaumu ninyi mnatuletea mini bungeni

  • @DenisonTheonest-yj3mk
    @DenisonTheonest-yj3mk 7 วันที่ผ่านมา

    Bunge ni la majuha watupu mpina mwamba

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 9 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢

  • @danielmgalla558
    @danielmgalla558 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kuwa na discipline kwanza

    • @joshuanjau3429
      @joshuanjau3429 9 วันที่ผ่านมา

      Do know meaning of discipline?

    • @danielmgalla558
      @danielmgalla558 9 วันที่ผ่านมา

      Mfundishe discipline kwanza rafiki ako, akagombee ubunge chadema next year

    • @KingBuddah-nx3ui
      @KingBuddah-nx3ui 9 วันที่ผ่านมา

      WEWE MPINA AJAKUWA MBUNGE KWA NGUVU ZA JPM

    • @joshuanjau3429
      @joshuanjau3429 9 วันที่ผ่านมา

      @@danielmgalla558 poor 🧠

  • @AliAliahmada-ht4ri
    @AliAliahmada-ht4ri 9 วันที่ผ่านมา

    Acha sababu xa kitoto izo,.kwani ulipoingia bungeni ulikuwa unatoka katika familia ya kitajiri hata leo ufukuzwe kwa umaskini, weka wazi sababu za kufukuzwa usidanganye umma.

  • @bundalathomasyohana-yu3ld
    @bundalathomasyohana-yu3ld 9 วันที่ผ่านมา +2

    😮

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 9 วันที่ผ่านมา

    Una umaskini Gani?

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 9 วันที่ผ่านมา +2

    UNATAFUTA KIKI WEWE UNAJUWA VIZURI SHERIA ZA BUNGE

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 9 วันที่ผ่านมา +1

      Huna lolote unashindwa kuona mchango wa huyu mwamba unazani godfather wa mwiguru ni nani kama sio samia uwe na akili ya kuona mbali huyu jamaa ni jembe yupo tayari kumwaga ugari Kwa ajili ya wapiga kula

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 9 วันที่ผ่านมา

      @@shijandobehe4953 KIKI HIZO ATAPEWA UDIWANI 🤪🤪🤪

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 9 วันที่ผ่านมา

      Mpumbavu sana wewe huna lolote.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 8 วันที่ผ่านมา

      @@JesusJesus-ny1sm ASANTE PALOKO UJUE HAKUNA MIUJIZA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 8 วันที่ผ่านมา

    Ndio shida yako ww ni mbinafsi na kiburi mbona ulipokuwa waziri haukutushitakia eti unatoka familia masikini miaka 20 bungeni njoo kitaa uone familiar masikini lofa sana ww

  • @joeljames8420
    @joeljames8420 9 วันที่ผ่านมา +3

    Unajitetea kitoto kama vile sio msomi. Ulitumwa kwenda kusema nje ya Bunge? Hapo ulitereza Mr waziri Mustaafu.

  • @user-zn4jl5wy3d
    @user-zn4jl5wy3d 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mwongo na anatafuta huruma kwa watu wasiofikiri. Huyu ni kibaraka wa viwanda vya sukari

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 9 วันที่ผ่านมา

      Saws kwahiyo viwanda vyasukali vife mwambieni raid avifunge ndio utawala bora

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 9 วันที่ผ่านมา

      Na mashamba ya miwa wapewe nguruwe usitetee watenda dhambi kaka waache wajitetee wenyewe

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon 7 วันที่ผ่านมา

      Akili yako ndogo ndugu

  • @ramadhanikatongo305
    @ramadhanikatongo305 9 วันที่ผ่านมา +2

    Shida yake huyu mtu hana nidhamu ikiwa ni pamoja na kufuata utaratibu, alitakiwa asubiri hukumu ya tuhuma zake dhidi ya waziri lakini hakufuata utaratibu huo. Kwakawaida huwezi kupeleka kesi mahakamani halafu kabla ya hukumu wewe huku ushaanza kushughulika nayo.

  • @PastorMasasi-vg1qh
    @PastorMasasi-vg1qh 5 วันที่ผ่านมา

    Mpina tuko na wewe

  • @andrewmbwiga1389
    @andrewmbwiga1389 9 วันที่ผ่านมา

    😅bado haijaisha

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 วันที่ผ่านมา

    Mpuuzi wewe...chuki zako na kutaka sifa sasa unalialia nn...pumbavu sana

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ulikuwa unyamaze tu kimya utafute ugali umejitia kimbele mbele kutafuta umaarufu sasa yamekukuta nyamaza kimya! Mwanakulitafuta mwana kulipata.

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml วันที่ผ่านมา

      HII NCHI INAHARIBIWA NA WATU KAMA WEWE ,HUWAHURUMII WATANZANIA WENZIO UNATAKA ZURUMA ZIENDELEE NCHI HII

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 9 วันที่ผ่านมา

    korona

  • @isolatedman-ou7ok
    @isolatedman-ou7ok 8 วันที่ผ่านมา

    Ongea kiswahili vzr hujuw hata kuongea unataka uwaziri siulipewa lkn ulikushinda nenda kalime kijijin kwenu huko

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 9 วันที่ผ่านมา +1

    USITAFUTE HURUMA

  • @worldherotv
    @worldherotv 9 วันที่ผ่านมา

    Kwani uganga ni kashfa

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 9 วันที่ผ่านมา

    Pumbavuu

    • @JimongMchele
      @JimongMchele 8 วันที่ผ่านมา

      Saw mtoto wa mbashe

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon 7 วันที่ผ่านมา

      Kichwa chako kina kamasi tupu

  • @user-qi7px6nb8r
    @user-qi7px6nb8r 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mpina unatafuta nini? Hauna jipya wewe ulikuwa waziri je ulifanya nini? Kaa kimya mzee.