KICHECHE vijana wapo so talented but wamekuwa wakiwa kwa kutokuepo kwako. Ila yote kwa yote tupo nao na insha'Allah wakikitahidi watafika Kule waliko wenzawao. Sisi ni waungaji mkono vijana wenzetu hatuna timu wala upande.
Nani anaamini Manyanya ameshachukua nafasi ya Kicheche?. Na akikaza buti kwa baba Asma anaweza kufika mbali. Tatizo letu wabongo tuna ubinafsi sana na tamaa. Mbona nchi zingine huwezi kukuta wasanii wanamiliki channel zao binafsi au makampuni!!!?. Wasanii wakimkimbia baba Asma wajitegemee wanasahau na wao wasanii wao watawakimbia wakajitegemee. Siwezi kukubali kuwa baba Asma anawalipa pesa kutokana na filamu zao, bila shaka anatumia pesa nyingi kutoka mfukoni kwake.
Manyanya hii movie umesifiwa sana lkn niseme movie ni nzur ila wewe hkuwa vzr labda based on your character lkn movie nzima umekuwa na makosa mengi sana mpaka najiuliza ukiwa kama miongoni mwa main characters tunajifunza nini kwako, makosa yako au kutokana na makosa yako maana hukuwa sensitive japo ulikuwa na akilii
Wa Congo 🇨🇩 mupo ? Kasi boya ebele nazo zela bino naza ndeko na bino ya Katanga Lubumbashi.❤❤❤❤
Mpaka. Sasa sijajuwa wapi alipo chapombe wangu jamani imekuwa je chapombe wangu
Wakwanza nipeni zangu❤
Mi wa 30 Leo nawapendaaaa🎉❤
Mimi watatu tu toka congo 🇨🇩🇨🇩
Niko kenya nawapata vema. Kazi nzuri sana.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nimengojea sana hatimae 🎉🎉🎉
Kazi inaanza upyaa agano liendee 😂😂
Kaz nzur ma brother
Chapombe wangu whare you
Naipnda hihi kazi
Safi sana kabisa 😢😢😢😢😢😢
Big up San bro unafanya vizuri😊
Kumekucha🎬
Mwamba mlev katikisa mguu Mbu kamng’ata😂
Wana fanana na mama ake sijui mama ake kweli
Wakina nani hao😂
Hata mimi nimeona
@@Agyy628sindi
Ndio mm ni manyanya mamaang ukweli sio kuigza tyu
Wakwanza leo naombeni like zenu toka kongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mu Congo mwenzangu shikamo
Marahaba
Mov nzur tatizo mnachelewa sana
Kazi kwer agano noma🎉🎉
Naombeni kumi tu leo kwa wapenzi wot wa agano naomb kumit
Kazi safi sana🇰🇪
Daktari nakbal bro keep going from 🇿🇦
Agano kama Agano ❤❤❤
Nzuri...lkn mnakawia sana jmn😢
Jameni msiwe mnakawia sana
Latifa kshanchoshaaaaghhh manyanya emu fanya ujue kinachoendelea
Gosto muito desse flm
From Moçambique
Yani naipenda sana kk manyanyha❤
Sou primeira pessoa aqui Moçambique 🇲🇿,Bom trabalho all elmente BY grup
Hongereni sana kwa kazi Nzuri
Nampenda mama manyanya Toka kwenye binadamu wabaya ya kitale❤❤❤❤❤❤❤
Anajua sana huyo mama
KBs uy mama noma ❤️
Jamani wakwanza naombeni maua yangu
Muendelezo mnachelewesha sana why
Du aisee tuwe makini na wanawake tunaowaoa 😂😂😂😂 kazi tunaitaji Ep 19 chapu
Acha bas😅😅😅
Namie nimechelewa
Icho kitanda chenu ndicho kinacho nishangaza kbsa😅😅 yaani godoro halieneye
😂😂😂😂😂
Kama boti 😂😂😂
KICHECHE vijana wapo so talented but wamekuwa wakiwa kwa kutokuepo kwako. Ila yote kwa yote tupo nao na insha'Allah wakikitahidi watafika Kule waliko wenzawao. Sisi ni waungaji mkono vijana wenzetu hatuna timu wala upande.
Nawafwata Toka Congo DRC
Ni nzuri ila mleti kwa wakati
1st from 🇨🇩
Latifa ww sasa naona mwisho wako ushafika
Kabsaa
Kwakwel mmecheza mno Tena mnajua mno but hichokitanda Cha daktar jaman ndokimenichosha 😢😢😅😅😅😅😅😅😅
mnzuri ila mnachelewa kutoa❤❤❤
jee mimi sasa niji ite wa ngapi niko Congo kolwezi
Wa kwanza kutoka kenya 🇰🇪 likes
kaka movies Kali sana ila tupige mpya ipumuzike
❤❤❤🎉🎉🎉naipenda sana iyi movie ❤❤❤🎉🎉🎉nja kazi zuri ila musichelewe ku towa ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jaman episode mnachelewesha kutoa sana jama Alf fupi kama nn sijui duuh
Good job🇨🇩🇨🇩
Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿 kazi nzuri
Wa kumi 3 jaman
Nzuri sana tunawapenda sana ❤🇹🇿
Tatizo mu nashelesha sana, weeky nzima
Nani anaamini Manyanya ameshachukua nafasi ya Kicheche?. Na akikaza buti kwa baba Asma anaweza kufika mbali. Tatizo letu wabongo tuna ubinafsi sana na tamaa. Mbona nchi zingine huwezi kukuta wasanii wanamiliki channel zao binafsi au makampuni!!!?. Wasanii wakimkimbia baba Asma wajitegemee wanasahau na wao wasanii wao watawakimbia wakajitegemee. Siwezi kukubali kuwa baba Asma anawalipa pesa kutokana na filamu zao, bila shaka anatumia pesa nyingi kutoka mfukoni kwake.
Watu hmlali
Naomba siku moja dokta agundue kua mkewe ni mchawi
Nimewah
Wa kwanza
Aise mambo ndo sasa yana anza❤❤🎉🎉🎉nipeni ata 7
Mama manyanya umetisha
Mama manyanya 🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana😊
We latifa kuna siku utakamatwa tu wala usijioni mjanja
movie bila kicheche inawezekana
😢tena tamu akija yy atalibu mambo na upimbi wake hii ni ya siliasi sio kichekesho asije kwenye agano
Bonge ya move wallah latifa kwisha habar yako
Much love from congo🇨🇩
Movie inaenda vizuri sana nimependa
Kumbe dokta uwa analala na chungu na shangaaa😅😅 ila kweli hakuna kama mama
Movie kali sana
Tunaanzia tulipoishia
Huyu Ratifa cku yako inakuja ww jikute mjanja , mjnga kwl uchawi tu kutuliaa aaah
Wa Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩
Uyu mchawi alivyotekwa nguvuzake akuanazo au vp
Congo drc❤❤
Naipenda kazi yenu
Latifa dawa yako ipo jikon inachemka utainywa tu sio mbali😅😅
Abaya ubwela
Doctor na mama manyanya (mahabuba) nawakubali thanaa hata kwa wiki tupe vipande viwili vyenye dkk 50
Hii move kunamda inakela asa ndonin inaeenda alafu inakua kama inarudi mhh 😢
Kweli inakera
Pamoja sana
MNACHELEWA TATIZ LENU
Kushaanza kuchangamka sasa
Taratibu jamani msije mkakanyaga comment yangu 😅😅
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuko yulu
Kitu kikubwa snaaa
Aisee nipeni likes na mm
MUENDELEZO MUNATUKAWIZA SANA
Good ❤
Unyama sanaa ❤❤
Nasi tumechelewa la kini tunaomba Subscribe
agano filam nzuri tunaipenda sana watu wa burundi ila mnatukawiziya sana
Huyu alomzimisha na kumfunga manyanya si shemegi yake mbona hamjuwi au ndoa gani hii au ni mahusiano gan haya
movie nzuri ila mjitahid kuwai kutoa maana hii ep imechelewa sana aisee
Leo nimewai ata malkia nishamtangulia
Like 🎉
Wakwanza kupata
Mbona mnacherewesha sana jaman
Mlicho nifulahisha nyumba nzuri lakini kitanda chanelfu70! Godolo limezidi kitanda
Hizi nyumba huwa sio zao yawezekana mwenye nyumba kawapa sehemu ya kulala wageni rizika na hilo
Manyanya kajua upande wa pili wa mke wake
Jaman usiku hiv
Manyanya hii movie umesifiwa sana lkn niseme movie ni nzur ila wewe hkuwa vzr labda based on your character lkn movie nzima umekuwa na makosa mengi sana mpaka najiuliza ukiwa kama miongoni mwa main characters tunajifunza nini kwako, makosa yako au kutokana na makosa yako maana hukuwa sensitive japo ulikuwa na akilii
❤❤❤
Doctor amka upo ucngizn😂😂😂