ASANTENI SANA KWA KUA PAMOJA NASI KWAANZIA MWANZO WA TAMTHILIA YETU MPAKA MWISHO,, KESHO TUNAANZA TAMTHILIA YETU NYINGINE YA DUNIA,, HIVYO KAA TAYARI KWA JIWE LINGINE,, HAKUNA KUPOA, MUNGU AWABARIKI SANA TUNA WAPENDA
Yani nimeangalia movies za kibongo nyingi lkn hii ni the best imeanza vzr imemaliza vzr nyingi huanza vzr lkn mwisho wanaharibu lkn hii congratulations ❤❤❤❤
Dah😭😭😭😭😭😭😭😭 machozi ya manyanya na latifa yana uhalisia mpaka na mm nimelia... sijapenda nalia kisa movie😢 asma film for life 1.nimejifunza kuoa mke sahihi na 2.kutopuuzia mila na destuli
movie nzuri, mpangilio mzuri japo kuna baadhi ya matukio yaliishia hewani kama dada aliyechukua nywele salon..kingine pengine mwisho dada latifa angeonana na watumishi wa Mungu akaendelea na maisha yake all in all hongereni sana❤❤❤
Hongeren wote mliojumika katika hii filam yakutuburudisha jamn mungu azidi kuwaongoza katk kaz zenu, hakika nimejifunza kila lenye mwanzo halikos mwisho ❤❤❤❤ 🙏🙏🙏
Hakuna mtu anaweza kuacha uchawi kwa nguvu zake isipokuwa kwa msada wa Mungu. Ikizo halijakamilika Maana Mungu hajahusishwa. Alipaswa aitwe mchungaji abomoe hizo nguvu za giza
Dah! So pain but special thanxs let's uporn to u , all team, but cjajua kanji aliishia ap na pia , fanya ijayo iwe Mara mbili zaidi ya hii I'm from kagera lv u all!
Ila kanji hatujui hatima yake nandonilitegemea awe staring pia kifo cha afisa salama hakijaeleweka nafainali pia mmemaliza mapema pia binti aliekua amegeuzwa njiwa kwaajili yakua mtumishi wa agano pia hajaeleweka ila congratulations🎉
Tiffah umefanya well sanaa. Kwenye character yako...be up endellea kupambana utafika mbali...na uliechukua character ya mume wa latifah good umeiweza hiyo character...pia hongera director
Kwasasa msanii wangu bora namsogeza MANYANYA ❤ Huyu kijana anatembea na script hadi natamani mimi ndiye ningekuwa Manyanya 🔥💯⚘ kazi nzuri sana Baba Asma Gang ❤
ASANTENI SANA KWA KUA PAMOJA NASI KWAANZIA MWANZO WA TAMTHILIA YETU MPAKA MWISHO,, KESHO TUNAANZA TAMTHILIA YETU NYINGINE YA DUNIA,, HIVYO KAA TAYARI KWA JIWE LINGINE,, HAKUNA KUPOA, MUNGU AWABARIKI SANA TUNA WAPENDA
Tunawapenda pia hongereni kwa kazi mzuri mungu awe pamoja nanyi
hongerenibsannkwa Kaz nzuri mme Tisha sana kwenye tamdhilia hii
Tunakupenda pia KAZI nzuri sana tunasubir kwa hamu ije na hiyo
kazi nzur ila ondoen neno download mpate views nyingi
Bila shaka napongeza kazi yenyu
Yani nimeangalia movies za kibongo nyingi lkn hii ni the best imeanza vzr imemaliza vzr nyingi huanza vzr lkn mwisho wanaharibu lkn hii congratulations ❤❤❤❤
Imekaa poa ivii ndo vituu tulivyokua tunasubili Tanzania move inayoeleweka mwanzoo na mwishoo salute 🫡 kwenu kaz nzur
Aksante sana🎉🎉🎉🎉🎉
Dah😭😭😭😭😭😭😭😭 machozi ya manyanya na latifa yana uhalisia mpaka na mm nimelia... sijapenda nalia kisa movie😢 asma film for life 1.nimejifunza kuoa mke sahihi na 2.kutopuuzia mila na destuli
Wakwanza leo jamani sijawahi kupata like from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ongereni sana kwa kazi nzuri sana, sis kama mashabiki zenu tunategemea kazi nzuri zaidi na zaidi MUNGU AWABARIKI SANA NYOTE
Mumefany vizur ❤ Latifa😂😂😂😂 much love kwa hio game ❤😂😂😂😂
Manyanya nampa pongez kubwa na mama yake walisimamia nafasi zao vizuli Mungu awabaliki🎉🎉🎉🎉
Wangapi wametoa machozi kama mm 😢😢 hiimove ninzuli sana🎉🎉🎉
Nami nashukuru tokea mwanzo hadi mwisho huu nimekuwa nanyi. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri asma Comedian na kundi love. Mimi mkenya na nawapenda sana.
movie nzuri, mpangilio mzuri japo kuna baadhi ya matukio yaliishia hewani kama dada aliyechukua nywele salon..kingine pengine mwisho dada latifa angeonana na watumishi wa Mungu akaendelea na maisha yake
all in all hongereni sana❤❤❤
Wakwanza na mi leo jaman toka mwanzo tulikua pamoja na mpaka final hongera kwa move nzuri sana asanteni kwa ujumbe mzuri pia
Aisee mko vzr sana nakila mmoja anaitendea haki nafasi yake daaah Mungu awabariki sana ❤❤❤❤
Kwaheri hii movie iliaza vizuri naimeisha vizuri kazi safi manyanya teams❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Atia riu...nani mjinga aneza kosa kuona how things are going around from episodes 8 to 20. Maybe a simpleton. Niliilike dunia but hii ni upuzi
Malkia adi kajamba😂😂😂😂
Mama ake doctor anajua kuvaa uhalisia wake nimempenda bure❤❤❤
Huyu mama anajua alikuwa kwa kitale
Safi. Japo kwa mama pale alipoeleza ukweli kwa mkwe yake hakukuwapo Action yoyote ile
One of the best for sure..
Ni km last card ya kp wa akwino au snake boy ya clam vevo.
Bongo to the world
Safii sanaaaaaaaaaa the best movie mnajua kuanza mnajua kumaliza hongeren 👩🏼🎓👍💝💥👑
Tunasubir nyingine nzuri zaidi ya hii ongereni san kwa wote mlio husika❤❤❤❤❤❤
Wamama wetu wakongwe wawili mnajua kuigiza kweli,nawalinganisha bi Fatma Magongoro kiukweli,kazi nzuri bwana Manyanya na team mzima ya Asma Comédiens ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Woow! Hongera saana movie kali mwanzo mwisho tunawapenda saana 🎉🎉🎉🎉🎉
Huo wimbo wa agano n mzuri naweza kuupata
Hongeren wote mliojumika katika hii filam yakutuburudisha jamn mungu azidi kuwaongoza katk kaz zenu, hakika nimejifunza kila lenye mwanzo halikos mwisho ❤❤❤❤ 🙏🙏🙏
Sema mm waga sizipend mov zakibongo ila ii sio pow manyanya na chapombo wametisha atal ❤
Nimripenda sana kwaliteya uborawawaigizajiwetu kweli sasa mnaelewa kuwawakowatuwanawafwatilia so mko vizuri
Kabla sija maliza kuon Episode ya mwisho lazima ni kushukuru kwa kusema Ahsante san kazi nzur ❤❤❤❤
Hongeren Sana Yani Hii nimeipenda Aiseee nawatakien kaz njem😮😮😮
KUNA MOVIE NA KUNA HUU MOTO WA AGANO DAAAAH KWAKWELI CAST MPO VIZURI NDO VITU TUNAHITAJI HIVI III KWELI AGANO 🙌🙌 Hakuna alocheza vibaya humu
Ongereni saana movie nimeilewaiyoo❤❤ leteni movie mzuri zaidi kulikoo hiyoo❤❤❤
Congratulations my brother manyanya and team zima ya BICHWA production
Uyu latifa ni star kwa kweli ❤
Mungu ni mwema japo tulianza kuifatilia tukiwa wengi sema hiii ni zaidi ya nzuli mulitumia hakilisa dhebest. Nkonki🎉
Nzuri sana mko vizuli mwisho wa kigongo hiki ndio mwanzo wa kigongo kingine kizuli Zaid nawakubali sana tunawapenda 🎁💃🏼💐🎥🇹🇿
😃😄😃😄😃nyie msitake niifanye kuludisha nyuma nisikilizi vzr
Yaan mwenyewe nineibahatisha mwishon😂
Hebu irudishe usikie Hilo shuzi la malikia😂😂😂😂😂😂
Hakuna mtu anaweza kuacha uchawi kwa nguvu zake isipokuwa kwa msada wa Mungu.
Ikizo halijakamilika Maana Mungu hajahusishwa.
Alipaswa aitwe mchungaji abomoe hizo nguvu za giza
Kabisa
KAZI iko PW xan sijawahi ona good xan manyanya na time nzima tumekua mwanzo mwixho mau yenu 🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ni bonge la movie sijawah kuona kazi nzuri sana Doctor
Imeixhaa kinyamwez knom respect manyanyah@@@&tifaaa
Ongera saha jamani tuna wependa sana kweliii katika Dunia hiiii muna mambo mengi inatubidi kuomba kwa kweliii asanteni jamani
Dah! So pain but special thanxs let's uporn to u , all team, but cjajua kanji aliishia ap na pia , fanya ijayo iwe Mara mbili zaidi ya hii I'm from kagera lv u all!
SI ulisikia kwisha habari yake walimuua walichukua chupa yake ambayo ni chanzo Cha nguvu
Nampongeza mwandishi wa hii video alikua amefikilia kweli kweli hasa hasa
Ratifa mchawi
Na Dr manyanya
Ebu naomba likes nyingi sanaaaaa😊
Ayaaa mie wa mwisho😂😂 🎉🎉🎉🎉
Congratulations kwa kazi nzuri from 🇿🇦 nawatakia kazi njema ndg zang
Kazi nzuri sana❤❤❤❤ mmemaliza vizuri
Asante sana kwakutupa muchezo nina jifunza amo vitu mingi❤❤❤❤
So sad ending.👏👏Tamthilia nzuri sana
Ila kanji hatujui hatima yake nandonilitegemea awe staring pia kifo cha afisa salama hakijaeleweka nafainali pia mmemaliza mapema pia binti aliekua amegeuzwa njiwa kwaajili yakua mtumishi wa agano pia hajaeleweka ila congratulations🎉
Tiffah umefanya well sanaa. Kwenye character yako...be up endellea kupambana utafika mbali...na uliechukua character ya mume wa latifah good umeiweza hiyo character...pia hongera director
From A to Z much respect kwenu niko live na nyie Zambia 🤲🤝🤝🤝🤝
Hongereni Sana nimejifunza kitu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Wahooooo kazi nzuri kabisa much lov manyanya
Tunaisubiri dunia sasa❤,,,,
kazinzuri sana kaka tafadhali nahitaji huu wimbo wa agano naweza kuipata vipi
Asante kaz nzr kuazia mwanzo mpk mwisho mungu awabariki , Kam umekubal agano week like,
Imeisha kiutamu sana. 🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Kaz nzur hongeren sana tunasubir Kaz mpya on 💕💕💕💕
Latifa ni muigizaji mzuri hatumii nguvu anafanya upende kumuona huyu dada anajua. Sikuwah kuiangalia hii kabla .... Huyu dada anajua Latifa
Mnaweza sana muzid kumuomba Mungu mpige hatua zaid na zaid
Oooh hatimaee........Safi sanaa🎬
Mungu amibariki sana pakazi zenu zuri Angola 🇦🇴 bro Jon!!
Mimi wa kwanza comment zenu sikam na like zenu
Kwasasa msanii wangu bora namsogeza MANYANYA ❤ Huyu kijana anatembea na script hadi natamani mimi ndiye ningekuwa Manyanya 🔥💯⚘ kazi nzuri sana Baba Asma Gang ❤
❤❤❤❤❤❤❤asant nanyinyikwa kutuletea bong lamov 🎉🎉🎉🎉
Daaah siamini km imeisha dis iz my fvrt mv
..igonna mic
Much congratulations guys you did it well and good, stay focused and work smart you guys are so talented, stay blessed forever🤝❤️🤗🌹
Vizuri sana ❤❤❤nawa penda kutoka congo
Kazi nzuri baba asma na crew yako #much luv from 254🎉
Safi movie nzuri sana short and clear sio mtu wanaweka vipengele vitu maneno yanakuwa ya kurudia rudia mpaka board
Wa kwanza kutoka kenyaaa.....c mnipe izo likes
Hongeren wote mlioshiliki ktk Agano nimejifunza mkubwa dawa siku zote apingwi
Ni kwaku shukuru mungu kwakututowa mwanzo Adi apa mwisho kwa Salama asanteni sana.
🎉🎉🤣🤣🤣🤣kikohozi tena latifaa umewakomesha sana hao🤣🤣🤣🙌🙌
😂😂😂😂
Wau big up guys kazi nzuri
Kwa hivo Ali Manyanya ndio staring yaani film star......nice movie keep it up!!!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️💯💯💯💯👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥👏👏👏👏
Waoooo ongeren saan jaman kwa kazi nzuriii, 2nasbr chum kingn
Asanteni kwa movie nimeipendq sana❤❤❤❤
Wa 21 leo jmn naomben like zang kama ndot
Thnx for the good work 👏 🙌 👍 the entertaining and educative movie
Alie sikia ushuzi mwenye enz malkia akidondoka gong like😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂kumbe umeskia😂😂
tangiya naanja ku fata muvi zako kaka manyanya na naona na nakubali wewe ni mkali kwaku ingiza drc🇨🇩Naku fata.
Agano limeisha vizuri sana mashaallaah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu awabariki kwa kazinzur manyanya na timu yako
Wakwaza leo naombeni like zangu🎉🎉
Imekuwa kazi nzuri sana
Kwa hivi vizazi na vizazi vijavyo Kuja kutokea movie kama hii itachukia miaka mingi sana 😢😢😢
Keep it up, mtunzi bigup sana
Uwezo mkubwa wa kufikir big up
Ila hawa watu jaman niseme ty ukwel wanajua wanajua sana hayupo kicheche lakin wameupig mwingi mno ten mno onger zao nawapenda
Baraka zimekua kikohozi sasa😂😂😂😂😂
Mpo vzr sasa🎉
Very impressive...good work may God bless you all team asma....much love
Kazi nzuri, hongereni sana🎉
Kelele niza nini Manyanya bana kwixha maneno🎉🎉🎉
this is very very fantastic,, congrants ASMA FAMILY
Ila latifa jamani, si angempeq doctor ata show mara ya mwisho jamani😂😂 sijapanda
Me hata usinge niomba Kwa mabaya uliyo fanya na kumfanyia yule mama ni ngekuua to ila Kaz ni nzuri san wazee
Mweye nilikuwa ninamyaka 10 sijadondowa machoz. Kunungunika kwa manyanya kumenifanya wazim fulan nikajikuta nimetowa machoz yakutosha kama Mimi yatima nilokewa mzazi upande wa mama. Nikiona mzazi wa manyanya alivyo nyanyaswa 😢😢😢😢😢 jaman mungu awabariki nimeosha macho
Ama kweli mwisho wa ubaya ni AIBU....Tutende mema jameni😢😢
Ms Obama from Congo Kolwezi 🎉🎉
Aisee hii inafundisha, na inasikitisha jamani aaaah! Vijana muwe mnaangalia wanawake wa kuoa dah!
Mwenye ez kajamba bonge la shuzi
Sooo guuuud HONGERENI 🔥🔥🔥