SANBALATI Official Video by SALASALA SDA CHURCH CHOIR ©2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 239

  • @kiangianthony5112
    @kiangianthony5112 2 ปีที่แล้ว +32

    Woooow Salasala Salasala Salasala nmewaita Mara Tatu.....Mungu awainue juu Sana Ila nalowaomba mnoo yanayoendelea Kurasini Choir naomba kwenu yasitokee

  • @FainesMhabuka
    @FainesMhabuka 17 วันที่ผ่านมา

    Mnaimba vizuri sana ,mbarikiwe ,lakini mitindo ya maisha tungeiacha tungekuwa vizuri zaidi. Nywele ,za Nini mtu wa Mungu !!!

  • @kiangianthony5112
    @kiangianthony5112 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awalinde

  • @geofreyjoseph3190
    @geofreyjoseph3190 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awajalie upendo na umoja ktk safari ya uimbaji ili mwende mbali zaidi ktk utumishi

  • @jedidahkinyangui6724
    @jedidahkinyangui6724 2 หลายเดือนก่อน

    Utaishi mbinguni na mukwokozi wakati wote Amen 🙏 🙌 👏

  • @melixwonder7051
    @melixwonder7051 2 ปีที่แล้ว +5

    Ondokeni tujenge ukuta jinsi ambavyo Nehemiah alifanya....sanballati hawezi tuzuia.amen. God bless this choir

  • @harrunochieng6355
    @harrunochieng6355 7 หลายเดือนก่อน +1

    may the lord be glorified this is a song of redemption

  • @zacharynyaraja2217
    @zacharynyaraja2217 2 ปีที่แล้ว +3

    Barikiweni sana kwa Utumishi wenu uliotukuka🙏🙏🎼🎵🎶🎹🎷🎺🎸🪕🎤🎧

  • @amosmagwa
    @amosmagwa ปีที่แล้ว +8

    Naburudika Sana Kenya kwa haya nyimbo zenu salasala sda church choir

  • @rosemaryapiyo5182
    @rosemaryapiyo5182 10 หลายเดือนก่อน +3

    Salasala the best, enjoying your songs fimbo ni top notch 👍

  • @omaikoalbert9781
    @omaikoalbert9781 6 หลายเดือนก่อน

    kwa kweli ukaidi wetu umetutenga na mbingu

  • @collinsotieno2643
    @collinsotieno2643 2 ปีที่แล้ว +6

    Kazi mzuri sana

  • @joycenyamwaka1884
    @joycenyamwaka1884 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ God bless you abundantly keep the spirit of God

  • @fredychristopher636
    @fredychristopher636 2 ปีที่แล้ว +7

    Mbarikiwe Sana Mungu Azid Kuwabaliki 🙏

  • @wesleymageto4454
    @wesleymageto4454 ปีที่แล้ว +3

    Kujeni Kenya kisii kuhubiri na njia ya nyimbo wapenzi ,,nawapenda sana ,,,ka kuna hao vijana waa orto barikiwa ,,mwanibamba na message ya nyimbo zenu

  • @kenneymboya6152
    @kenneymboya6152 2 ปีที่แล้ว +4

    Amina kwa wimbo uliotungwa na maneno mazito. Alicho panga Mungu uezi zuia.

  • @veronicaseluka2148
    @veronicaseluka2148 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki nawapenda mnanibariki na kunfariji maishani salasala haoooo

  • @effieouma3991
    @effieouma3991 2 ปีที่แล้ว +4

    Aminaa

  • @rhodaibrahim4386
    @rhodaibrahim4386 2 ปีที่แล้ว +5

    Tunasubiria kwa hamu....

  • @mborawakiche7564
    @mborawakiche7564 2 ปีที่แล้ว +3

    Machi kama Machi😍😍muende mbali zaidi ya Tz wapendwa wangu!! Nyimbo hizi zituongoe sote

  • @elishachristopher7765
    @elishachristopher7765 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu Awabariki sana very nice

  • @harrisonobaga2437
    @harrisonobaga2437 2 ปีที่แล้ว +2

    Alichopanga Mungu huwezi kuzuia..Nyimbo nzuri kweli zakubariki mioyo za watu.Salasala mzidi kubarikiwa.

  • @onikedavidelifuraha1902
    @onikedavidelifuraha1902 ปีที่แล้ว +2

    Stay blessed jmni,,,huu wimbo ni Mzuri mnooooooooo....mmechangamka na una ujumbe mgeni kwangu....mbarikiwe.

  • @bekaogoro7071
    @bekaogoro7071 2 ปีที่แล้ว +5

    Amina

    • @shabanijuma6288
      @shabanijuma6288 2 ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥🔥🔥 waooo sijui huko mbinguni itakuwaje kama dunian watu wanaimba namnaa hii itakuwaje kule ambako dhambi haitakuwepo? Mbarikiwe sanaaaa

  • @chrisongawa6666
    @chrisongawa6666 ปีที่แล้ว +1

    Dear Salasala, Saika Central Camp Centre 2023, Nairobi, can't wait.

  • @mercylinekerubo6425
    @mercylinekerubo6425 ปีที่แล้ว +3

    Wow, what a wonderful song waaa saa hii Mimi nikudance tu, enyewe mungu akisema Yes kwa maisha ya mtu akuna wakusema No

  • @KajenoBarabungwa-yi8ri
    @KajenoBarabungwa-yi8ri 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe watumishi Baba

  • @issackwaikama4299
    @issackwaikama4299 2 ปีที่แล้ว +2

    Isac waikama kutoka hapa katoro centerl barikiweni sana watu wa salasala mnaifanya kazi ya Mungu kwa moyo moja 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @geffryndayi
    @geffryndayi 2 ปีที่แล้ว +3

    Kusudu la Mungu lazima litimie. No one can stop God! Amina wapendwa. Salimia Ligala behind the scenes.

  • @RodgersBundi-e6n
    @RodgersBundi-e6n 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli tusiwe vikwazo kwa kazi ya mungu

  • @elisifachusi2599
    @elisifachusi2599 ปีที่แล้ว

    Kweli alichokipanga Mungu huwezi kuzuia kikubwa kusubili nyakati ziseme

  • @faithmaranga8044
    @faithmaranga8044 ปีที่แล้ว +2

    Neno zuri....Mungu na azidi kuwabariki ili Utukufu wake uonekane.

  • @paulbadjie8424
    @paulbadjie8424 5 หลายเดือนก่อน +1

    Am from the Gambia and I was in the choir over 15 years

  • @albertcyiza3908
    @albertcyiza3908 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunawafuata na tunawependa sana. Mungu awabariki sana kwa kazi yake munayo endelea tenda bila kuchoka. Utukufu wa Bwana unaonekana kabisa

  • @priscathadei4343
    @priscathadei4343 ปีที่แล้ว +1

    Hakika huwez ukazuia alichopanga MUNGU wimbo mzuri

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 2 ปีที่แล้ว +4

    Wow wow Amina

  • @nyagoe2750
    @nyagoe2750 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu abariki na awalinde

  • @felixdamas
    @felixdamas 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri kama huu, Mungu awainue juu sana. Muendelee kunyenyekea miguuni pake ili yeye awainue.

  • @paulbadjie8424
    @paulbadjie8424 5 หลายเดือนก่อน +1

    Am in Germany I always watch your videos

  • @annamichael3469
    @annamichael3469 ปีที่แล้ว +1

    Amen🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️nawapenda sanaaaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @IringoAdventChoir
    @IringoAdventChoir 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha Utukufu wa Bwana Uonekane... Mungu Awabariki sana

  • @pastorerickbigambo262
    @pastorerickbigambo262 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki kwa kazi njema🙏🙏🙏

  • @jameswasike7522
    @jameswasike7522 หลายเดือนก่อน

    Hii ni injili bila chachu. God bless

  • @TunuYuuu
    @TunuYuuu ปีที่แล้ว

    Choir yangu pendwa,nawapenda sana❤❤

  • @MosesKirwa-p6h
    @MosesKirwa-p6h 3 หลายเดือนก่อน

    Tz MKO Sawa kwa nyimbo ZA Ki in jili Mungu awabariki kwa kila Hali na Ahimi diwe

  • @bildad3
    @bildad3 3 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kwa hii wimbo 🙏

  • @promerecordske2332
    @promerecordske2332 2 ปีที่แล้ว +3

    Amina,nabarikiwa na wimbo huu

  • @AbelJoackim
    @AbelJoackim 8 หลายเดือนก่อน

    Mgalla samwel from Nairobi be blessed Tz

  • @NYARUBANGASDACHOIR
    @NYARUBANGASDACHOIR 2 หลายเดือนก่อน

    Ameee nyimbo nzuri sana zinabari sana bwana awabariki

  • @sheikhali6608
    @sheikhali6608 ปีที่แล้ว +7

    God bless. Can't wait to worship with you on August at SDA Mathare North-Kenya.

  • @augustinondola7698
    @augustinondola7698 ปีที่แล้ว +1

    MBARIKIWE SANA WATU WA MUNGU TUNABARIKIWA NA HUDUMA YENU YA NYIMBO ZIZOMTUKUZA MUNGU MMECHAGUA FUNGU JEMA HAMTOJUTA KAMWE KUMTUMIKIA MUNGU NI RAHA

  • @eunicemwihaki779
    @eunicemwihaki779 2 ปีที่แล้ว +1

    My Salasala salasala wuuuuuuiiii 🔥🔥🔥my alltime /my favorite choir na wapenda saana tuu..muende mbali na yesu..

  • @shukranijacob8931
    @shukranijacob8931 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen

  • @fulgenceirambona6319
    @fulgenceirambona6319 2 ปีที่แล้ว +4

    Be blessed my favourite choir

  • @meldaa.odhiambo5492
    @meldaa.odhiambo5492 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen Amen ameeeeeeen

  • @jamesjonathan602
    @jamesjonathan602 ปีที่แล้ว +1

    Hawa watu waliimba kbs duuh hatar sana , mbarikiwe mnooo

  • @omodesigner
    @omodesigner 2 ปีที่แล้ว +6

    Wow: Sanbalat

  • @Mwl_Wazamu
    @Mwl_Wazamu ปีที่แล้ว +1

    MOJA ya kwaya ninayojivunia KWA ukuaji wake kama taasisi salasala Mungu azidi kuwainua @Mwl.Mobe nyabihore secondary

  • @winstonochenge2349
    @winstonochenge2349 2 ปีที่แล้ว +5

    Whaaaah, this is fantastic. Glory be to the most high

  • @gideonkuria8365
    @gideonkuria8365 ปีที่แล้ว +1

    WIMBO MZURI SANA MUNGU ANATUKUZWA

  • @joshuaaggrey9142
    @joshuaaggrey9142 7 หลายเดือนก่อน

    Salasala, you are a very Matured Choir. Congrats..

  • @calvinceokombo2234
    @calvinceokombo2234 2 ปีที่แล้ว +6

    Marching is so religious we need more of this

  • @RESTUTASAMWEL-od4le
    @RESTUTASAMWEL-od4le ปีที่แล้ว

    Kwel hauwezi kamwe kumzuia Nehemiah kujenga ukuta 🎤🎶🤗🤗

  • @kyungudaisy1633
    @kyungudaisy1633 ปีที่แล้ว +1

    Nimaipenda mnooooo!👏👏👏👏#TRM💪💪

  • @rhodaibrahim4386
    @rhodaibrahim4386 2 ปีที่แล้ว +6

    Finally!!

  • @JOYDANFAMILYSINGERS
    @JOYDANFAMILYSINGERS หลายเดือนก่อน +1

    Nice song

  • @okeyobethel6607
    @okeyobethel6607 2 ปีที่แล้ว +7

    Amen..very powerful sermon..God bless you and continue using you for His Glory my favorite choir..

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 ปีที่แล้ว +1

    huwezi kumzuia Nehemiah kujenga ukuta

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 5 หลายเดือนก่อน

    Amina asante sana kwanza mko vizr sana

  • @kiplimosolomon6783
    @kiplimosolomon6783 ปีที่แล้ว +2

    Am so blessed by this song 🎵 .Be blessed 🙌 🙏.Indeed, no one can stop God's purpose in your life.There is much blessing in serving God.

  • @phillipngano101
    @phillipngano101 ปีที่แล้ว

    Amen salasala choir
    Am seeing some members ambao walikuwa mbiu choir wako na salasala choir
    Kazi nzuri

  • @phelixnyadera7659
    @phelixnyadera7659 ปีที่แล้ว

    SalaSala nawapenda sana kutoka Kenya...mzidi kutubariki....

  • @davidotieno2040
    @davidotieno2040 ปีที่แล้ว

    Tunawasubiri pale Kwenye kambi la Mathare North Nairobi Kenya

  • @KasianDuma
    @KasianDuma 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana

  • @WendyOkal
    @WendyOkal 2 หลายเดือนก่อน

    Wooooow may God bless you

  • @immaimmanuelmcdoublei3760
    @immaimmanuelmcdoublei3760 2 ปีที่แล้ว +4

    Dir Chard🔥🔥🔥

  • @happinessmorangi800
    @happinessmorangi800 ปีที่แล้ว

    Amen. God bless you Salasala🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @annekevdwerd
    @annekevdwerd 7 หลายเดือนก่อน

    Beautiful!! Greetings from Holland

  • @beatricerobert7826
    @beatricerobert7826 2 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed salasala this is powerful blessings May the Lord higher you

  • @antonymachogu3051
    @antonymachogu3051 2 ปีที่แล้ว +3

    Remain in prayers always 🙏 your indeed growing greatly vocaly ,numbers ,composition etc barikiweni saaana

  • @BensonOrina123
    @BensonOrina123 ปีที่แล้ว +1

    I thank God i met u people on mathare north camp for one week you really blessed me

  • @JanethSengo
    @JanethSengo ปีที่แล้ว

    MUNGU akisema ndio hakuna wa kupinga

  • @dorothykavita215
    @dorothykavita215 4 หลายเดือนก่อน +1

    I love the message

  • @henijoe2968
    @henijoe2968 11 หลายเดือนก่อน

    God bless your beautifull gifted voices.Please continue to praise, exalt and glorify him with your beautifull songs in your language.

  • @cmk_football
    @cmk_football ปีที่แล้ว +1

    I have fallen in love with your songs especially this one and fimbo, God bless your voices and let the holy spirit guide you always.

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 2 ปีที่แล้ว +3

    Big GOOD

  • @akinyibenter5448
    @akinyibenter5448 9 หลายเดือนก่อน

    I thank God for this

  • @josephbunoga8879
    @josephbunoga8879 ปีที่แล้ว

    Mungu atarudi tena

  • @calimahamed4696
    @calimahamed4696 ปีที่แล้ว +1

    Sasal mubarikiwe xan

  • @AngelMfungo-q5g
    @AngelMfungo-q5g 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

  • @mohdissa7975
    @mohdissa7975 11 หลายเดือนก่อน

    Indeed the voices are too amazing the group keep up the job

  • @felixorenge5254
    @felixorenge5254 2 ปีที่แล้ว +5

    Video & song itself on point👌

  • @musafirikamanzi1129
    @musafirikamanzi1129 2 ปีที่แล้ว +5

    Wowwww salasala God bless you 🙏 wapendwa

  • @mwendaken8908
    @mwendaken8908 2 ปีที่แล้ว +3

    Wonderful,God bless this great team.

  • @selemanmsukuma
    @selemanmsukuma ปีที่แล้ว

    Utukufu wa MUNGU

  • @PeninahGombe
    @PeninahGombe 11 หลายเดือนก่อน

    I love this song, Amen Salasala

  • @jaredonyango3350
    @jaredonyango3350 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 Amen 🙏 Amen God bless this choir

  • @mikesantos1828
    @mikesantos1828 ปีที่แล้ว

    Great men and ladies of God
    Gracing saika camp meeting now barikiwa sana

  • @CarrenKimori
    @CarrenKimori 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏 mubarikiwe

  • @joashachochi7458
    @joashachochi7458 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen