Naweza kunywa chai nisilewe ila kupitia uimbaji nimelewa na nimeoza ulevi huu Tangu Nianze kuimba sijajuta uandishi makini waimbaji wa kimataifa songeni mbele Dada linah na wengine ambao mmeimba nimependa skills mliyoitumia hapa nime enjoy
Napenda wimbo huu na fahamu baadhi ya sura niliwaona Mathare Nairobi kwa kambi lkn jameni mumeiga vituko vya grupu za kenya, drama mingi na ku match waaah😂😅 lkn nzuri
Yahani mmeimba vzr sanaa ,sichoki kusikiliza, saut ya kwanz safi tamu masikioni, mmebeba wimbo ,huyo saut ya tatu alochombeza mwishoni ,kabana pua ,nyimbo za stahili hii hazitaki kubana pua ,zaid hongera sana bass, saut ya kwnza chombeza kachukue ukwaju nitalipa
❤Amina Wimbo mtamu na umenibariki sana na Nitadumu kwake Kwa jina la Yesu Huyo Dada alikua aimba Mbiu kwasasa Yuko Salasala Anauvaa wimbo vzr sana Mbarikiwe wote
Utapata wakenya sikuizi wengi wanaimba kimeli mara wengine wanapeleka kiuno uku na kule wengi wanarusha mikono uko nakule wana shangaza na ukiwapa viti eti wakaliye awana utaratibu kama ile ya kirumba lakini watakaliya kiti wake cheza kwenye kiti nikama kiti imekuwa moto ataivo nyimbo imenibariki lakini ninawaomba tafathali wacheni kuiga kiherehere ya wakenya tunawapenda mukiwa wangwana sasa kama kenya roho ishaondoka na nyinyi ndiyo sasa mumekuwa tengemeoleetu munataka ruende wapi
Wowow wimbo mzuri saana mbarikiwe na bwana awayangulie mfke mbalii
Wa dada mkovizuri❤ wambien ma boys wachagamke❤
Naweza kunywa chai nisilewe ila kupitia uimbaji nimelewa na nimeoza ulevi huu Tangu Nianze kuimba sijajuta uandishi makini waimbaji wa kimataifa songeni mbele Dada linah na wengine ambao mmeimba nimependa skills mliyoitumia hapa nime enjoy
Wimbo ni nzuri
Nice melody na ujumbe wa matumaini
Mbarikiwa wajoli❤
Hyo match ya boys nimeipendaa
Nimebarikiwa na huu wimbo kazi nzuri
Napenda wimbo huu na fahamu baadhi ya sura niliwaona Mathare Nairobi kwa kambi lkn jameni mumeiga vituko vya grupu za kenya, drama mingi na ku match waaah😂😅 lkn nzuri
Yahani mmeimba vzr sanaa ,sichoki kusikiliza, saut ya kwanz safi tamu masikioni, mmebeba wimbo ,huyo saut ya tatu alochombeza mwishoni ,kabana pua ,nyimbo za stahili hii hazitaki kubana pua ,zaid hongera sana bass, saut ya kwnza chombeza kachukue ukwaju nitalipa
Karibuni Kenya jameni.
Githurai Central SDA
❤Amina
Wimbo mtamu na umenibariki sana na Nitadumu kwake Kwa jina la Yesu
Huyo Dada alikua aimba Mbiu kwasasa Yuko Salasala Anauvaa wimbo vzr sana
Mbarikiwe wote
I can't finish watching this song.
This is the best vocals have heard from sda youths from Tanzanian
❤❤
Kazi nzuri, Mungu awabariki
Safi sana dir.lewi pale❤
Wimbo unaujumbe mzuri sana ❤❤🎉
Wimbo mtamu sana.. video shwari...solo ni solo🔥🔥
Hahaha
Huu wimbo jaman unanibariki mnooo 🙌 Mungu ambariki sn mtunzi pamoja na waimbaji wote injiri imekamilika 🙏😘🔥🔥
sauti ya kwanza i nzuri kweli
The song is very nice,it touched me ❤❤
Hello I love the programming and voice eding with the high notes am impressive
Amina, Mungu awabariki
Jamani, wimbo nzuri,lakini ninyi ni wahubiri dada yangu mvaliyo ya wadada wengine awahaminishe wa hubiri.
Ruho mutakatifu ikitoka na ivondivyo ilivyo
Mbona hamuachii wimbo mwingine srp
Wauuuu wauuuu I lack words
Beautiful piece of music 🎶🎶🎶🎶
Amazing vocals mubarikiwe
The way i love these two ladies (brown ones) they sing their heart out. Nawapenda sana
🔥this is great
Sitaogopa💪
Aminaa❤
Amen, good voices ... Keep the fire burning 🔥
Yaan ni kama leo ndo nausikia blessings my lovely people❤
Watanzania mlikutana wapi na wakenya wakawafunza kuimba ivi... wonderful..🥳🥳
Kwahiyo sikuhizi wakenya ndo wanatufunza kuimba tena 🤣🤣🤣🙏🏿🙏🏿.awuoro
La ajamanisha kuimba anamanisha kiherehere ya wakenya na wakenya piya awapayuki kwa kupenda
Kwao ila roho mutaka tifu umetoroka na macho yao
Imefuga
Utapata wakenya sikuizi wengi wanaimba kimeli mara wengine wanapeleka kiuno uku na kule wengi wanarusha mikono uko nakule wana shangaza na
ukiwapa viti eti wakaliye awana utaratibu kama ile ya kirumba lakini watakaliya kiti wake cheza kwenye kiti nikama kiti imekuwa moto
ataivo nyimbo imenibariki lakini ninawaomba tafathali wacheni kuiga kiherehere ya wakenya tunawapenda mukiwa wangwana sasa kama kenya roho ishaondoka na nyinyi ndiyo sasa mumekuwa tengemeoleetu munataka ruende wapi
Amen...This awesome ❤❤
wow what a nice song 🥰good vocals
Sabato nkuja kuimba nawe ndugu yngu
That baseline❤❤❤❤❤❤
toeni album kwa group Hilo Hilo,mko vixuri xana xana
Be blessed 🎉
Waoooo❤️❤️❤️
Glory to God
Hey,, very smart,, hii Iko wapi please
Dunia❤
The song catches my heart
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good massage
Great music
Aminaaaa
Nice
Amen
Asant
❤❤❤❤
AMEN 👌👌🙏🇿🇦
🙏🙏
🙏🙏😍
Make Kenya and TZ one country 😢😢 this boundary is unnecessary
Which country is this
Tanzania
Duniaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🤍
Nice nice how to invite u in rwanda share to me your contact
+254790510661
salasalasdacchoir@gmail.com