JE UNATAKA KUWA TAJIRI?, BASI TAFUTA MAJIBU YA MASWALI HAYA MANNE - Victor Mwambene.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025
  • Kama unataka kuwa tajiri lazima utafute majibu ya maswali haya manne,
    1. Kwanini unataka kuwa tajiri.
    2. Unataka kuwa na Utajiri wa kiasi gani?.
    3. Hadi lini unataka uwe umeshakuwa tajiri?.
    4. Utafanya nini kupata Utajiri?.
    .
    Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
    KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
    1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
    2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
    3. NGUVU YA KUJUA.

ความคิดเห็น • 15