UNAHITAJI AINA HIZI NNE ZA UJUZI/MAARIFA ILI UFANIKIWE KWENYE BIASHARA | Victor Mwambene.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @daudkanyelelem1k
    @daudkanyelelem1k ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Mwl wangu nanufaika sana juu ya channel ya victor

  • @januarylorri2844
    @januarylorri2844 10 หลายเดือนก่อน +1

    Niko arusha

  • @sarahstanslous347
    @sarahstanslous347 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sn Mwambene vitabu vyako vinapatikana wapi niko Dar nabarikiwa sn na masomo yako

    • @victormwambene
      @victormwambene  8 หลายเดือนก่อน

      Vitabu Vipo Mimi Nina Vitabu Vitatu, Kitabu Kimoja ni Elfu 20 Mpendwa. Kupata Vitabu Vyangu Piga 0744126640. Tupo Dar Mlimani City, Mikoani Tunatuma.

  • @januarylorri2844
    @januarylorri2844 10 หลายเดือนก่อน +1

    Victor mm nahitaji hizo vitabu

    • @victormwambene
      @victormwambene  10 หลายเดือนก่อน

      NAOMBA Namba Yako au Nipigie Kwa 0744126640 Kupata Vitabu

  • @edwardmnaku5948
    @edwardmnaku5948 ปีที่แล้ว +1

    Kaka asante kwa elimu

  • @tunsumemwajumba7149
    @tunsumemwajumba7149 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwa kuniesha

  • @Amplifiedtz
    @Amplifiedtz ปีที่แล้ว +1

    Hii huduma kubwa sana

  • @christonmhelela1569
    @christonmhelela1569 ปีที่แล้ว +1

    Thanks brother 👍 you opened my mind

  • @KhadijaKinui-st7lm
    @KhadijaKinui-st7lm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza ntapataje kitabu cha mafunzo ya biashara

    • @victormwambene
      @victormwambene  8 หลายเดือนก่อน

      Kitabu Kipo ni Elfu 20 Mpendwa tunapatikana Mlimani City na Mikoani Tunatuma. Tuwasiliane Kwa 0744126640.

  • @danielngassa8692
    @danielngassa8692 10 หลายเดือนก่อน +1

    Je, vitabu vyako vina patikana hadi mtandaoni au ni hardcopy tu na vina patikana kwa gharama gani ?

    • @victormwambene
      @victormwambene  10 หลายเดือนก่อน

      Tunauza Hardcopy tu, Kitabu Kimoja ni Elfu 20, Namba 0744126640.

  • @EmanuelaThomas-gy5xb
    @EmanuelaThomas-gy5xb 10 หลายเดือนก่อน

    Vitabu vinapatikana wapi kaka

  • @EmmyMassawe
    @EmmyMassawe 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naishi sinza kitabu ntakipataje boss

    • @victormwambene
      @victormwambene  10 หลายเดือนก่อน

      Sisi tupo Mlimani City, Nipigie Kwa 0744126640 au Naomba Namba yako Kupata Vitabu.

  • @OnesmoKway-mk7zt
    @OnesmoKway-mk7zt 4 หลายเดือนก่อน +1

    Niko mbea napataje vitabu

    • @victormwambene
      @victormwambene  4 หลายเดือนก่อน

      @@OnesmoKway-mk7zt Tuwasiliane Kwa 0744126640 Kupata Vitabu.

    • @victormwambene
      @victormwambene  4 หลายเดือนก่อน

      @@OnesmoKway-mk7zt Naomba Namba yako au Tuwasiliane Kwa 0744126640.

  • @FrankBarakekenwa
    @FrankBarakekenwa 26 วันที่ผ่านมา

    Niko geita

  • @philiposhaban2493
    @philiposhaban2493 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakipataje hicho kitabu

    • @victormwambene
      @victormwambene  11 หลายเดือนก่อน

      Naomba Namba Yako au Nipigie Kwa 0744126640.

  • @EmanuelaThomas-gy5xb
    @EmanuelaThomas-gy5xb 10 หลายเดือนก่อน +1

    Vitabu. Vinapatikana wap kaka

    • @victormwambene
      @victormwambene  10 หลายเดือนก่อน

      Tupo Dar Karibu na Mlimani City, Tuwasiliane Kwa 0744126640.

  • @daudkanyelelem1k
    @daudkanyelelem1k ปีที่แล้ว +1

    Kaka nahitaji hivyo vitabu vinapatikana je kwa hard copy au soft copy

    • @victormwambene
      @victormwambene  ปีที่แล้ว +1

      Tuwasiliane whatsapp kaka nadhani una namba yangu tayari

    • @daudkanyelelem1k
      @daudkanyelelem1k ปีที่แล้ว +1

      Asante nakutafuta

  • @EmanuelaThomas-gy5xb
    @EmanuelaThomas-gy5xb 10 หลายเดือนก่อน +1

    Vitabu. Vinapatikana wap kaka

    • @victormwambene
      @victormwambene  8 หลายเดือนก่อน

      Vitabu Vipo Mimi Nina Vitabu Vitatu, Kitabu Kimoja ni Elfu 20 Mpendwa. Kupata Vitabu Vyangu Piga 0744126640. Tupo Dar Mlimani City, Mikoani Tunatuma.