Hongera sana Brother Cosmas Madulu, Hongera sana Mtangazaji na timu yako kwa ujumla kwa uandaaji wa kipindi bora kabisa. Endeleeni na kazi nzuri bila kukata tamaa, ipo siku watanzania tutakuja kwa wingi kuja kuchota maarifa. Ukweli ni kwamba ni kawaida yetu kushabikia au kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana sana kwa jamii zetu huku tukipuuzia maarifa ya msingi na muhimu kama haya. Mungu awabariki na kuwapa nguvu ya kuendelea kuelimisha.
Mimi niliondoka Tz sikuaga sababu ni kurudishwa nyuma haaa usiende rooo nilichomoka nilipofika nchi ya kigeni ndio niposema kwa wazazi k amba mimi nimsafiri kwenda kutafuta maisha asante kaka
Somo zuri sana lakini nikama halijajikita zaidi kwenye madame husika nikama somo halijakamilika imetumika mifano mingi mizuri lakini sio kwenye hoja usika. Yaani kichwa cha habari hakijaendana vizuri na somo. Ahsanteni
Mimi ni Hassan Shariff,,natoka Kenya,,nko Uganda Mimi ni kinyozi,,,,Nina uwezo wa kutengeza pesa za kujiendeleza,,ila Family is over depending me,, nifanyeje ili nisiharbu Family Yangu ntakayo Jenga
Kwa sasa baba lao wasila atufukisha Mzee madulu hiyo elimu uliyo nayo unge wapa wazungu sawa unapoteza mda wako achana na wajinga ungeona Leo kikwete alivyo Teka neki ungecheka imenikumbusha mwaka 1964 kalume na baba wataifa
Bwana madulu upo vizuri hongera sana tunabadilika endelea kutengeneza watanzania
Hongera sana Brother Cosmas Madulu, Hongera sana Mtangazaji na timu yako kwa ujumla kwa uandaaji wa kipindi bora kabisa. Endeleeni na kazi nzuri bila kukata tamaa, ipo siku watanzania tutakuja kwa wingi kuja kuchota maarifa. Ukweli ni kwamba ni kawaida yetu kushabikia au kuweka nguvu kwenye mambo yasiyo na maana sana kwa jamii zetu huku tukipuuzia maarifa ya msingi na muhimu kama haya. Mungu awabariki na kuwapa nguvu ya kuendelea kuelimisha.
Asante sana.🎉
Kazi nzuri cosmas madulu unatuelimisha san
Duuuh kawaida huyu mwamba ni genius kabsaa
Stori ni nzuri, inaelimisha na kupendeza. Asanteni kwa kuchangia 🤝
WOW, asante sana nilisubiri sana hii siku, Mungu awabariki sana maana mmenifungua akili na kubadili maisha yangu..🙏🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana kew elimu nzuri
Asanteni kwa kutupa elimu
Genius
Content juu ya content.... Endelea kuelimisha jamii mtaalam
Kweli kabisa... wajuaji watabishia hii..
Madini adimu zaidi ya tanzanite!
Somo zuri
Cosmas huyu ni mtu kweli kweli
Aiseeee
Mimi niliondoka Tz sikuaga sababu ni kurudishwa nyuma haaa usiende rooo nilichomoka nilipofika nchi ya kigeni ndio niposema kwa wazazi k amba mimi nimsafiri kwenda kutafuta maisha asante kaka
Hii mada ni tamu sana imenitoka taka za maskio..Nice content
SOMO KUBWA SANA
Huyu maduru namuelewa sana tumupe urais waelimu watu waeliniki sana
😢kweli nimeamini hakuna kufa bwana g huyu ni ruge karudi madulu namkubali sana
#taarifanamaarifa
Nataman kupata namba yake
Somo zuri sana lakini nikama halijajikita zaidi kwenye madame husika nikama somo halijakamilika imetumika mifano mingi mizuri lakini sio kwenye hoja usika. Yaani kichwa cha habari hakijaendana vizuri na somo. Ahsanteni
😂😂😂😂😂
Mimi ni Hassan Shariff,,natoka Kenya,,nko Uganda Mimi ni kinyozi,,,,Nina uwezo wa kutengeza pesa za kujiendeleza,,ila Family is over depending me,, nifanyeje ili nisiharbu Family Yangu ntakayo Jenga
natamani kujua jina la hicho kitabu cha maria montesory kuhusu akili/tabia