Huyo mkwala ni hatari sana hata Aucho anamjua vizuri kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki alishawahi kufunga magoli 300 peke yake tena kipindi cha kwanza tu ikabidi kipindi cha pili kocha amtoe maana ingeonekana wamepanga matokeo
So unasoma ulichoandikiwa na magori uwadanganye mashabiki😂 picha linaanza mchezaji mchezaji kanunuliwa dollar 130m 😂 kakataa UEFA Champions League kwasababu kapewa mkwanja mrefu bongo😂😂😂😂...kuweni serious basi na timu yenu mnaumiza watu mjue
upo sahihi sana mkuu
#BENtv Nawakubali sana .
Tupeni taarifa za kweli
Au siyo mkuu👊👊
Nimekubali hiyo Simba tupe raha mwaka huu
Kaka nakupenda Sana Mimi sirari bira kukusikiriza wako Rama bonge
Sijaamini chama kwenda yanga
Inabid uwamin2 tuangalie wachezaji wanao cheza safalih
Huyo mkwala ni hatari sana hata Aucho anamjua vizuri kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki alishawahi kufunga magoli 300 peke yake tena kipindi cha kwanza tu ikabidi kipindi cha pili kocha amtoe maana ingeonekana wamepanga matokeo
Nawakubali mtupe talifa sahihi❤
Pamoja sana unyama mwingi
🔥 🔥 🔥
Naona Edwin Balua na Radack Chasambi wakikua baada ya kuondoka Chama
Asanteeee
Chama hana jipya
Watakaa wapinzani
hiyo ni kweli ama
Tunaomba iwe kweli hao wachezaji wanakuja Simba?
Jamani acheni aende
Tùnashukuru sana aje tuu tunamsubiri sana
Tuna itaji ukweli ss hatutki ngonjela
Ni kweli chama kasaini yang's?
Acha chama aende kaikuta Simba. Mukwala karibu.
Hatujamalidhaaaaa😂😂😂
So unasoma ulichoandikiwa na magori uwadanganye mashabiki😂 picha linaanza mchezaji mchezaji kanunuliwa dollar 130m 😂 kakataa UEFA Champions League kwasababu kapewa mkwanja mrefu bongo😂😂😂😂...kuweni serious basi na timu yenu mnaumiza watu mjue
A uwongo sana kiasi unapoteza umaarufu wako. Tunaona kama uko katika kutafuta pesa za kurudisha watotoyo shule.
Unyama wakumtisha tuta somana
Wewe muongo sana wewe sijui unalijuwa hilo!
wewe wasifie2 wata kriki au unasifia2