Huyu ndiye Msanii mdogo mwenye Supermarket kubwa Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2024
  • Muimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania kutokea kwenye Kundi la J SISTERS, akionesha na kuelezea miradi mbalimbali wanayofanya mbali na kuimba mziki wa injili...Kaa pamoja nasi wa kubonyeza SUBSCRIBE ili uwe wa kwanza kupata taarifa mbalimbali kupitia MBEYA YETU TV

ความคิดเห็น • 10

  • @NAOMISumaye-oe5bj
    @NAOMISumaye-oe5bj ปีที่แล้ว +1

    Dada naomba kazi

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว

    Daaaa jamani hongereni sana J-sisters kwa kuwa na supermakert kubwa namna hiyo kwa umri mdogo mlionao ,Watu wanazeeka hawajawahi kumiliki hata biashara zao daaaa Mungu awatie nguvu ktk utendaji wenu wa kazi.

  • @MaryCosmad
    @MaryCosmad ปีที่แล้ว

    Naomb Kaz dad

  • @jonasimra6126
    @jonasimra6126 ปีที่แล้ว

    Hello naomba unisaidie nipate nafasi ya kazi

  • @zainabumpulaki8601
    @zainabumpulaki8601 5 ปีที่แล้ว

    safi sana mtangazaji yupo vzr
    pia mbeya tv nawakubali sana

  • @RoseMBILINYI-ho9wi
    @RoseMBILINYI-ho9wi 5 หลายเดือนก่อน

    Namba ya cm hujaacha kunabidhaa nahitaji kupat hap

  • @sitially2112
    @sitially2112 ปีที่แล้ว

    Hujambo bintiyangu ninabintyangu anatafuta kazi unaweza nisaidiya apate kazi naomba nisaidiye mwanangu amemaliza fomfo

  • @saimonerick8063
    @saimonerick8063 2 ปีที่แล้ว

    Kaz me naomba

  • @anafimohamed6525
    @anafimohamed6525 2 ปีที่แล้ว

    Dada natafuta kazi

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 5 ปีที่แล้ว

    Du!