HURUMA!! NANDY afanyiwa MBAYA na MATAPELI | watumia jina la NANDY kufungua SUPERMARKET .
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ค. 2023
- Nyota wa muziki Tanzania @nandy amekanusha kuhusu uwepo wa Supermarket ambao watu wamekuwa wakizulumiwa na matapeli kwaajili ya kupata ajira kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika juu ya matapeli hao kwa kusema HURUMA!! NANDY afanyiwa MBAYA na MATAPELI | watumia jina la NANDY kufungua SUPERMARKET .
#nandy #aboutbongotv #nandy #diamondplatnumz #harmonize #zuchu
Follow Us on;
Instagram; / aboutbongotv
TikTok; / aboutbongotv - บันเทิง
Me mwenyewe kidogo niibiwe asante kwakunielewesha mungu akubalik hujasema uongo
Asante kwa kujua ata mi ningeliwa jamani asante kwa kujua ili
Sisi uku burundi wanatutesa saana Na mimi leo saa sita kidogo niibiwe nahao matapeli unawowaongeleya, mama Nandy tafadhali ushirikiyane na polisi ilihao matapeli wakamatwe please tunateseka sana nahao matapeli
Hata mm ningetapeliwa sasaiv mpaka kapga video call nikaona Ni nandy kabisa ,pole dada nandy
Mara wanasema ety Supr market ipomlimani sity broku namba7
Namshaur nandy akashtaki polisi
Jamani Mimi mwenyewe nimeibiwa sikujua haya naomba Hawa watu wakamatwe
Jaman hawa matapel ni atar
Daaahh wakamatwe maana nngeingia humo humo
aisee ndo ningeibiw
Wali ni call video nikamwona Nandy mwenyew kwenye call video hajabu
Dada nandy tusaidie tuu uwashitaki polisi wamezidi
Mm pia jmn
Jamani hatamim walikuwa wananipigia hivohivo ilanimesha wajua kuwanomatapeli jamani walaniwe maisha yao yote hizohelawanazotapeli zosiwasaidie chochote kilawatakachokuwa wanakifanya eakituma hizohela kisifanikiwe
Mm mwenyewe nishaongeaga nao baadae nikajua ni matapeli ila Kuna wengine wanatumia jina la masanja kuwa wanakopesha ila hao ndo waliniibia laki nzima
Daaaah me mwenyew Jan nilpgiw video call had nikashawshka yaan
Dada naomb utusaidie maana mpka saiv aptkana
me mwenyewe nimetapelia hera nying sana
Duu nishapigwa efuishilini mungu wapigepigo lolote hawo matapeli
Hata mm kidg nitApeliwe jaman
Mimi mwenyewe nilitapeliwa Jana mpaka sasa hivi wananipigia eti niwatumie elfu 35 nikawambia nip
Na mm nimetuma kwakwel ela elf thelathin na tano sio pw jaman
Wanasema supermaket ipo mikocheni
Tena kweri
Mm mwenyew nitapliwa laki mbli
Hawa watu Ni mashetani jamani
Ninayo namba yao apa nitume
Sio nandy tu jaman ata wema wamemtumia kutapelia watu me kidg nipgww
Nandi saidia watu wewe ndo watu wanakutizama shikana na polis
Wapumbavu sana
Mim mwnyewe nime tapeliwa
Mm nimesanuka saiv dong wang alitak kuibiwa nikamwambia mbona haongei kam kweli
wakamatwe jaman
Duh kweli nimatapeli na mimi nimepigwa
Pole
AtA mm Tena leo
Jamani kidogo na mimi niibiwe nimekuta fb nandi mkopo 😂😂 nika data, nahisi ni mungu amenipitisha huku.
Daah namm nimepigwa jamani
Kwel ningetapeliw sasahvi maan kila muda wananitafuta unavyo ona sahv naongea nay wanasema nikatume kwa akili ya ziada niliwauliza marafik Zang wa dar waangalie kwel nandy super market hip wanasema akuna nikajiuliza kwann wanataka nilipie nikapata na wazo ngoja niingie TH-cam niangalie kwel nandy super market hip kumbe akuna bas wamenikosa
Asante mungu kwa kunipa akili ya kujiongeza maan nilikuwa naangamia bila kuingia you tube nisinge jua haya yote Asante mungu kwa kuniokoa siku ya leo maan nilikuwa naelekea kutapeliwa mungu kaniokoa
Naomba nisaidie me nimetapeliwa
Yani mimi nimetapeliwa leo kupitia nandy super market leo tarehe 24_9_2023
Kweli matapel hawa wa Nandy supermarket walishawahi nitapel laki moja na kumi, me naomba tu mtu huyu achukuliwe hatua na ajue kuwa malipo ni hapa hapa duniani.
Wakamatwe yani
Ilibaki kidogo nipigwee
Mm nilitaka niamini maana nimeambiwa hivyo Ila kwa hii video hawanipati
Ni neema kwaujumla Nandi ashirikiane na polis kumtafuta uyo mwenyezamby za kujitakia mimi nimetumiwa mpaka chumba cha kukaa na nimeambiwa ni no 11 na fom nilijaza na ela nilishawapa 35000 na wakat aka tena laki 2 nikawaamby Sina wananisumbua kwaiyo nashukuru kukuta ihi habar
Asee ata mi nimeongea nao
Hata mm ningetapeliwa sasaiv mpaka kapga video call nikaona Ni nandy kabisa ,pole dada nandy
Mimi nimedhulumiwa laki moja na elf 5