Niwaambie tu ukwel wana simba timu yenu nzur sana na imekamilika ila kwa yanga bado nindogo sana kwa hilo mnaombwa mjikubali ili mengine mjue kujifunza kutokana na ubora wa wenzenu ❤❤❤
Sasa wamchukue debora kwa lipi ali kamwe si alimpaka hadi rangi ya mdomo na kumdharau wakamwita dada debora tena leo imekuaje wamtamani si washachukua chama na bakeke tena wanataka kitu gani
Azam media team kuna mambo sio ya lazima yanawekwa kwenye highlights...9 minutes zote za nini🤷🏾♂️matukio yote exciting yawe summarized in 3 minutes, sio replay dakika mbili nzima.
Mimi nasimba dam dam imani yangu team yangu kimataifa tutafanya vizuri sanaa kuliko 🙏💪🔥💥
Tena Saana tu hiyo iman tunayo 🎉
@@AnnaJayden-k4m haswa tuko vizuri sanaa
Kimataifa tunatusua ndugu yangu ila hapa bongo labda next season mana utaratibu WA udhamin WA clubs labda utabadlikaa
Simba inanipanraha sana naipenda sana❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤❤❤ simbaaaaaa mpk kufa kwanguuuu
Shangilia ya kapombe na ngoma ya kuonyesha kuwa kuna watu wanabebwa kama watoto nimeelewa sana from kenya 🇰🇪
Kabisa yani 😅😅😅
Kumbe jaman 😂😂😂😂 akili nyingi sana
@@aginsagins-jf4vz ndio inamaanisha hivo ameamua kutuma ujumbe kwa njia hiyo
😅@aginsagins-jf4vz😅
Analeaa anamaanish
Simba ni balaaaaaaaaa❤
Benchi linasaidia, Steve leo kacheza fresh sana
Duuuu ila mavambooo ni habar nyingine 🎉🎉🎉
Aaah.hivihi Simba itafungwa natimu gani🤗😆🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤❤❤❤❤I love you simba
Aaaah mukwala wee ❤ nakuona kaka❤❤
leo mpira umemkubali mukwala
Waaaaaaaaaaa❤
Alhamdulilah
I ❤ ximba
Na mm nikaamia kuwaimbia simba na wimbo jinsi gani naipenda simba
🎉🎉 simb siach ng,oo
Simba ❤❤❤❤
Simba nguvu moja 🔥🔥🔥
Mnyama❤❤❤
Simba nguvu moja
,leo buludan t imi syou 💕💕💕💕💕💕💕💕
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🦁🦁🦁
Raha jipe mwenyewe❤❤
Hongera 🦁💪
Yan naona Wana Yanga mnashuka na comment kwamba Kuna kunahongo kwa marefa. Ni wapi. Angalia derby ya tr19 ndo utajua nani huwa anabebwa kwenye ligi
Mkwala tusimpuuze ni mtuuu
Jamani mkwala ni winger na siyo straiker kwa wenye macho ya mpira mtaelewa kabisa
Mnyamaaa 🦁
ALHMDHULILLAH
ila mpenja unanikosha eti ahou ahou unavyoilegezea hatar
Toplooooo wanaumia 😂😂😂 wanateseka 😂
🔥🔥🔥
Hivi jman mmemuona Mutale au
Kama kawaida acha waxeme IPO xku tuta Cheka hata xx❤smbaa
Leo ateba kapasia itakua wamemsema😅😅
Ndio hatakiwi kuwa mchoyi
Mukwala ni Kma bhat haipo upande wake
Hawezi tu Mpira,,boya tu
@@godfreychoajiwew 🫵 ndo unaweza sawaaaaaa kacheze wew 🫵 apoh 😂😂😂
Ubayaa Ubwelaaa😂😂
Wa kwanza
🎉🎉🎉🎉
Wale freemanson kiasi wabebwee
hiii ndio simba sasa 😂😂
🦁🦁🦁
Roho inawauma kwan mmefugwa nyinyiiii😂😂😂
Kibu ni wamechi kubwa kubwa tu 😂😂🎉🎉
Mkiona jezi imeandikwa jina fulani fungeni magoli mengi
Nakubalikaka 🎉🎉🎉
Jana Simba wamecheza vizur sana
bruno mavambo fernandes🏹
Show me the way Shomari Kapombe baba Ester
Hiii ndio simbaaaa
Niwaambie tu ukwel wana simba timu yenu nzur sana na imekamilika ila kwa yanga bado nindogo sana kwa hilo mnaombwa mjikubali ili mengine mjue kujifunza kutokana na ubora wa wenzenu ❤❤❤
Labda akina Kayoko wapokubebeni, UTOPOLO hawana ukubwa wowote mbele ya Simba ila wewe unaongea kiushabiki .
Kwan yanga alitufunga au tulijifunga😂😂😂
Tujifunze nn sasa kwa utopwax jaman 😂😂😂😂
@@ZakiaMndeme-tj7ru soccer brother ili mkikutana nao tena muwafunge sio kulalamika daily ina shusha hadhi
Why kocha hamchezeshi Awesu mechi kubwa, kijana anajua Mpira!
Uliangalia kweli mpira?,😂😂😂alianza awesu akaumia ndo akaingia ahoua
Wakwanza jamani
So what
Inajaaa ndani ahoua Inajaaa ndani awow baraka mpeja bhn😂😂
Kakusanya mwenyekiti Mtendaji nan kaskia?
❤❤
Nan mwengne kamuona assistance referee number 1 kaingia uwanjani😂😂😂
Mgunda kaanza na kipigo 🤣🤣 kizito
❤❤❤❤❤😂
Ubaya ubwel tu simb nguv moj❤
Tumeshinda vyema ila bado kuna changamoto za kimaamuzi ambazo zingepunguzwa kwa VAR.
Sasa wamchukue debora kwa lipi ali kamwe si alimpaka hadi rangi ya mdomo na kumdharau wakamwita dada debora tena leo imekuaje wamtamani si washachukua chama na bakeke tena wanataka kitu gani
Kwann mwishoni matangazo yaliinhilia mchezo
Nimefurahi saan leo
Kwl mtu akitoka simba jinalinasahaulika kbc
Ubaya
Mtangazaj huwa unanipa raha sana
Mazeruzeru fc tunawaambiwa na bado
Turudie mechi moja tena tuone kama hatutawafungaa
Mtatufunga kwa kamati za uchawi na marefa mlizonazo
Kwa mfumo wenu lazima mshinde
@@Tumain-Kulubonechukua maua yako😂🎉
mavamboooooooooo ubay ubwela
👋👋
nilichogundua bongo vibendera hawatembei na move za bei za mwisho
Na nyie mbembwe
Simba baadhi ya wachezaji wana uchoyo inapokuja kwenye finishing
Kibu ,ateba,ahou
Hao wakiacha uchoyo Magoli yapo
@@francismngumi5125 kabisa mzee inabidi wabadilike wanasababisha wanaikosti timu
Kwa kweli
Simba wamebebwa hii mechi
Mtasema sasa😂😂😂
C ubebwe n ww 🤣
😂😂hamkosekanagi pole
@@AishshibnShibani tff inafutilia mwenendo yenyu
@@halima1798 yanga timu kubwa
Mi nasema endapo ateba hatakua mchoyo magoli yapo sana kwasababu wengi wanamwangalia yeye ateba acha uchoyo
Disconnect Katia chuma ya mwsho ya kbabe sanaaa
Nice 👍
😂 8:14
Ubaya ubwela 🎉
Mbona mnakataga tamaa,ikifunga ndo inakuwa yakwenu,ikifungwa munalamu
Huo n ushabiki mandaz wanao salit timu
Azam media team kuna mambo sio ya lazima yanawekwa kwenye highlights...9 minutes zote za nini🤷🏾♂️matukio yote exciting yawe summarized in 3 minutes, sio replay dakika mbili nzima.
An mwakn utopol wasipomchukua Debora np bd nasubil
Iyo pass ya okejepha kwa ateba n bajlaa
Huwezi kusema utakosa kushinda huku unajua kabisa unacheza na Simba qeen😂😂😂😂
Hata nyinyi kunamechi mnashinda sababu hizo timu mzamini wake ni GSM😂😂
Simba yetu haieleweki
Wewe siyo shabiki wa Simba haieleweki kivipi
Timu inafanya rotation na inashinda ila Kuna mashabiki mandazi Bado wanalalamika
Huyu kisaikolojia anaonekana kuwa ni kibaraka wa nyuma mwiko
Jamn hii ndy simb😊
saw
Mukwala nihatari jaman apewe muda😮😮
Jamani mbona hawaonyeshi vizuri??! Au simu yangu!!!!!
Bonyeza alama ya setting uweke quality ya akuanzia 360 n.k itaonyesha vizuri Ila itakula bundle sana
Dese mkwala
azam kuna matukio mnayaweka yann yanakulq muda tu
Ukolo mtupu
Nguvu moja
❤
Iyo uwa umemanisha mkeo anamtoto mdogo wakunyonya
Hamedali gumha audio salaganga
Akuna kitu apo
Kula kiwembe😅
Kama hujui maana usisumbuke na watu wahovyo
Mnyaamaaaaaa
Tanzania hakun marefa nimeamin sas
Ilitakiwa mfunge magori Saba hii mechi Bado kiwango Kiko chini
Nyie kuanzia msimu uanze mmeyafkisha hayo????
@@EsterMjema-n8c swali safi
Mpenja we unafaa utangazage yanga😢😢
😂😂😂😂tatizo hilo