Tatizo uchambuzi ukiweka na ushabiki una haribu na ndicho ambacho kinaharibu. Kwa mpira wa leo ambao Refa na Kibendera ndio man of the match. Mpira ni mchezo wa wazi
Mwenye mpira wake nchi hii ni Yanga tu wengine ni maji kupwa maji kujaa subiri hiyo machi 8 ndio mtamtukana huyu jamaa ambaye leo amewafurahisha,sasa fanyeni subira
Super coach nakukubali sana my brother
Nakukubali sanah super coach Zuberi mkalaboko kwa madinin na nondo unazotupa
Labour operation tena 😂😂😂
Kaka upo vzr sanaaa...napenda coz unasimamia mpira kweli.
Waambie Mkalaboko upo vizuri
Ahsante Sana mchambuz
Nice my brother
Sema ukweli najua kuna watu wanaumia
Hapa kuna watu dawa imewaingia.
Team work
Hiyo simba usipoangalia vizur hii point moja ni ngumu sana mpinzani wake anakaz
Jamaa anajua sana
Ubaya ubwela
Nakukubari San kocua
Wazee wa Kanyaga twende
😂😂😂Mkalaboko 😂eti Simba ni kama mashine ya kutotoresha mayai
Mwakakundi😅😅😅😅😅
Tuna Jenga Tim thithi Jomen mkaraboka tafadhali🤣🤣🤣🤣🤣
Uya jamaa anafact sana
Daa wachambuzi wa kibongo noma😂😂😂😂😂😂😂
mbona anachambua vzr tu mfano hapo ishu ya ahoua na pacome yani kwamba ahoua hana sanaa kama pacome ila ahou ndo ana mchango kwa timu kuliko pacome
mkaraboko maneno hayo lazima utopolo wakutukane siku zote ni wagumu hawataki kuvaa balakoa wakati wapo kwenye nyumba isiyo na madirisha
😂😂😂😂 yaani wewe lijamaaa niatari😂❤❤
Simba bado tunajenga tm😅😅😅😅
Ulichokisema kaka ndo kimetokea Dose
@Leonard, huu mchezo hauitaji hasira.
Mtasema yote mwaka huu.
Mtajinyonga mwaka huu
😂😂fieta kk soleba leba nikwakujifungulia😂😂
Uko sahihi kaka safari hii kayoko hatakuwepo maji wataita mma
Wanao kutukana wajenge hoja
Upareshen maalim😂😂😂
Jamaaa anaongea vizuri matusi ya natoka wap kisa simba
Sisi tunatunza risiti tu baba😂😂kwamba Simba watamfukuzisha sead au sio😅😅😅😅 tarehe 8 sio mbali
Watu wa yanga msipanic sindano ikiingia jikze.tu😅😅😅😅😂
Sie tunatunza risiti tu Mzee tarehe 8 sio mbali, watageuka hawa
Simba. hatari
Huu mwaka nanunua kiwanja najenga nyumba yangu Mbezi si kwa raha hizi za simba heeeeehh!!!!!....
Uyu nae enda na upepo
Kaka mm ni mekuelewa sana kwe nye gusa hachia ni ya simba
Mpazu ni hatari sana.
Mkalaboko nafikiri uende kwa mhasibu wa Simba sc makao makuu ukachukue posho yako baada ya kuwachambua vizuri lakini najua kuna siku utawakataa
Yanga mpongezeni kaka yenu maana huyu tabora kapiga timu zote za dar kasoro Simba 😂😂
Kwa.mbeleko zile kweli ya hawana pa kutokea mamaee na siku wakifa usilete ujinga wa kuosifia yanga tena
Msifute hii clip
Hapo kama waandishi wanaumia vile au yanga huyo😅
Tatizo uchambuzi ukiweka na ushabiki una haribu na ndicho ambacho kinaharibu. Kwa mpira wa leo ambao Refa na Kibendera ndio man of the match. Mpira ni mchezo wa wazi
Yanga tupo.
Tunawasibiri.
Kalibuni majirani
Mbaka waseme wenyewe 😂😂😂😂
Kumbe huyu cio mchambuzi ni shabiki
Ila Jamani kapombe huyu wasasa ni wamoto sio poa aisee
SHIKAMOO KAKA WEWE NI MCHAMBUZI BORA KABISA
Opesheni ya kuwafunga wadhaminiwa woote wa GSM inaendelea,UBAYA UBWELA😊😅😅
Mkalaboko ni theater bana,siyo labour
Mtasema yote mwaka huu ubaya ubwela.
Yaani mchambuzi wa hovyo kama wewe
❤❤❤❤
Msituharibie bado tunajenga team
Unajuwa kuuchambuwa mpira jamaa,
😂😂 wakujidunga fc wamekimbia baridi kileleni😂😂😂
Wala usijali mtakutana nao tena😂😂😂😂😂
@mussamlendela792 😂😂😂 labda achezeshe kayoko
Gusa achia twende imehamia Simba 😂😂😂
Watu kama hawa M23 inawafaa xn ili uongo uishe
Kakanakukubali ukovizuri
Tunajenga time mtuache
Mwenye mpira wake nchi hii ni Yanga tu wengine ni maji kupwa maji kujaa subiri hiyo machi 8 ndio mtamtukana huyu jamaa ambaye leo amewafurahisha,sasa fanyeni subira
Hujui mbinu kwenye mpira ww nimekusikiliza kumbe mropokaji 2 mfata upepo fala
Matusi ya natoka wap
Na wewe mwandishi mrekebishe huyo siyo labour thieter
Cha msingi umeelewa izo nyengine mbwembwe tu😂😂😂
Mnafiki ww huna lolote matako ww,wadanganye baba na mama yako ww kuma.
Matusi ya nin
Acha matusi bana hii n football tuh
Unahasira sana mzeee, utakufa kwa stress msimu huu, tarehe 8 sio mbali, tutawaonyesha maana ya Ubaya ubwela, Kayoko wenu kafungiwa haatakuwepo
Unafki mwingi huna lolote kwani huwezi kuchambua mpira mpaka uzihaki team msenge wewe,,..ujui mpira mchambuzi fuata upepo
Mbona matusi sasa
Unaumia utakufa fala wew kama hujui mpira achana nao usiwazue watu wanapo toa mawazo yao
Huu ndio mpira kaka yaani sports,
Usichukie mafanikio ya timu mpinzani wako yanga bado wana ubora mkubwa tu,hayo ni maoni tu.
Punguza makasiriko kayoko fc 😂
Pole 😂 mbona makasiriko 😂😂😂