Mwanaume anachagua, mwanamke anachaguliwa | Ukihitaji hela ujue wewe ni bidhaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มี.ค. 2020

ความคิดเห็น • 44

  • @abduljabbarmohammed4188
    @abduljabbarmohammed4188 4 หลายเดือนก่อน

    Wanawake huchagua sana wanaume . Ile siku watawacha tabia hii, wataolewa kwa wingi .

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว

    Soph unasauti nzuri my dear MUNGU akutunze

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Kwa sura hii yani nitakiwe kuolewa auwahuyalam anajuwa mungu

  • @abduljabbarmohammed4188
    @abduljabbarmohammed4188 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke ndiye huchagua niaminini wadau .

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 4 ปีที่แล้ว +4

    Hata Kama nachaguliwa siwez kuolewa namwanaume ambae sio nnae mmpenda

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 4 ปีที่แล้ว

      Nazma Abdullkarim ndio maana dk kasema una haki ya kukataa, lkn unakuwa ww ndio ushachaguliwa.

    • @fatushabdi2786
      @fatushabdi2786 3 ปีที่แล้ว

      Umiweza 👍

  • @dinatalib2703
    @dinatalib2703 3 ปีที่แล้ว

    Swebe leo raha raha yako leo mada umeikubali leoo unaona rahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว

    Mr Robert uko vizuri nashukuru MUNGU akulinde nafamily

  • @thedeo472
    @thedeo472 4 ปีที่แล้ว +2

    Kulinganisha kununua gari na kuchagua mpenzi ni haviendani Kabisa, acha ujinga, eti huyo ni mtaalamu wa mahusiano? Wanawake siku zote uchagua nani wa kuzaa naye au la! Hawa jamaa bado wapo kwenye miaka ya nyuma sana!!!

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Nipo oman sitakiwi ndiyo nikaja kufanya kazi sura yangu kama kifuu akitokeya mwaname anitaka kuniowa akiwa mwislam sawa sihitaji muwaji tu na bangi na mlevi na mwizi simtaki na tabeli

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka huyo kibonge

  • @jamilasaid1764
    @jamilasaid1764 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nilichaguliwa mchumba nasikumpenda nandowa haikufika mbali tukaachana

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 ปีที่แล้ว +1

    Dr Umefunuwa akili inabidi tupate kipindi chengine.

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 4 ปีที่แล้ว

    Swebe Swebe mada imekufurahisha sanaa 😃😃😃

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nachanguliwa nina sura kama kifuu

  • @user-en6qq3rs8j
    @user-en6qq3rs8j 3 ปีที่แล้ว

    Kabisa dda

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU nipe mwenye upendo na hofu ya MUNGU

  • @hejopantumsifusimon21
    @hejopantumsifusimon21 4 ปีที่แล้ว +1

    Cichagui sura wala pesa upendo tu

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dr amefanana na kibonde

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂Sweb utazeekea kweny sebule y bb yk😂

  • @fatimaabdulla1320
    @fatimaabdulla1320 3 ปีที่แล้ว +1

    Wekeni no zenu sisi tuliopo omani tuna mengi ya kuongea na nyny

  • @mariamscuisine8503
    @mariamscuisine8503 3 ปีที่แล้ว +1

    Swebe anaongeaga nonsense....atolewe tu 🙄

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว +4

    Mimi napenda mwanaume mwenye dini, na upendo mengine yote majaaliwa,

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว +2

      Wanaume wenye dini naskia wakali balaa kisha mashart kama yote yani hata akikosea yeye wew huna haki ya kusema mi siwez

    • @asmaafamau8307
      @asmaafamau8307 4 ปีที่แล้ว

      Swadakta

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 4 ปีที่แล้ว

      @@maryammaram2612 Mmh, mbn kama husemikweli

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว +2

      @@khatibuhijja459 kwelii na ushahidi ninaoo rafiki yangu kipenz kaolewa na shekhe kabisaaa wajua alikondaa shekhe ana choyoo mkalii hauji kubembeleza hana mahaba mtoto wa watu ndoa ilimshindaa

    • @khatibuhijja459
      @khatibuhijja459 4 ปีที่แล้ว +1

      @@maryammaram2612 Sasa dadaangu hiyo ni kasoro ya mtu mmoja mmoja, usijumlishe viongozi wote wa dini, mm nnaushahidi sio mmoja wa kwanza ni wa mwlm wangu na imam alimuacha mkewe huru lkn mwisho wa siku yule mke akawa anatoka na jamaa pale K/koo yule sheikh akawa analalamika mwisho wa siku kaka wa mwanamke a kaanza kufatilia dadaake na kweli akamkuta na huyo jamaa, kwa ile aibu jamaa alimoiga dadaake mpk alimvunja mguu akaenda kuwekewa chuma mguuni, lkn yule sheikh wala hakumuacha mpk leo anae lkn ni mlemavu, nnao ushahid mwingi tu, lkn unapoolewa kwanza tazama Unaolewa na mtu wa namna gani, viongozi wa dini wana heshma zao, huwezi kuachwa utembee kama mbuzi hasa wanawake wenyewe wa Sasa nyie, mkiachiwa dkk 2 tu mpo kwa masharobaro na lazma abiria achungemzigo wake, uhuru ukizid sana Mnakuwa hamna adabu nyinyi.

  • @kojahelly9165
    @kojahelly9165 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi namtaka mwenye pesa kiukweli

  • @fauzafauza1873
    @fauzafauza1873 3 ปีที่แล้ว

    Maneno sadakta ila na ss pia tunachaguwa

  • @elizabethchales2663
    @elizabethchales2663 3 ปีที่แล้ว

    Atari

  • @nazalenapatrick33
    @nazalenapatrick33 4 ปีที่แล้ว

    Swebe leo anakihere here balaa

  • @munirssalzakwani7316
    @munirssalzakwani7316 3 ปีที่แล้ว

    Tupo ila wachache