MUNGU awabadirik sana kwa juudi za kuijenga tanzania ila nina ushauri kwa tanroad wekezeni kwenye barabara na miondombinu ya kisasa ya maji na umeme yani chongeni barabara sambazeni umeme ili mwekezaji unapomuambia nimeshakutengenezea vitu vya muhimu ni rahisi kuja haraka kuwekeza chongeni kabisa barabara na mipango miji ikiwezekana wekeni lami kabisa
Hivi serikali ikishamaliza kujenga haya ma airport ya kisasa nchi nzima,madaraja yanayojengwa sasa kila kona ya nchi,mabarabara,viwanja na arena za michezo,hospitali,mashule ......badae itafanya nini?
@@section8ight174 Nadhani alimaanisha wawaze pia kuwekeza kwa watu maana kama watu hawana uwezo wa kuzitumia zitabaki tupu tu kama ile ya Chato. Hivyo muhumi pia kuhakikisha ukuaji wa uchumi wa watu unazingatiwa
Kwa kweli awamu hizi mbili maendeleo tunayaona hongera sana
Safi sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕
RIPJPM
The legacy of John Pombe Magufuli, Rip
R.I.P.JPM
Acheni uon
namomba kuuliza je nawa dar utaacha kutumika kitaifa?
MUNGU awabadirik sana kwa juudi za kuijenga tanzania ila nina ushauri kwa tanroad wekezeni kwenye barabara na miondombinu ya kisasa ya maji na umeme yani chongeni barabara sambazeni umeme ili mwekezaji unapomuambia nimeshakutengenezea vitu vya muhimu ni rahisi kuja haraka kuwekeza chongeni kabisa barabara na mipango miji ikiwezekana wekeni lami kabisa
Na cable za Internet at same time they are laying down electrical cables!!
Pablo punguza hasira na chuki zisizo na Msingi ili upate kuwa na afya njema.
Uwanja wa kimataifa wa Kigoma nao umefikia wapi?😮
Vipi uwanja wa ndege musoma mjini
Kule chanika umemalizika uwanja nao
chanika Kuna uwanja wandege?
Hivi serikali ikishamaliza kujenga haya ma airport ya kisasa nchi nzima,madaraja yanayojengwa sasa kila kona ya nchi,mabarabara,viwanja na arena za michezo,hospitali,mashule ......badae itafanya nini?
LOL wewe na akili zako hizo lini umeshawahi kuona matatizo yanaisha maishani?
@@section8ight174 Nadhani alimaanisha wawaze pia kuwekeza kwa watu maana kama watu hawana uwezo wa kuzitumia zitabaki tupu tu kama ile ya Chato.
Hivyo muhumi pia kuhakikisha ukuaji wa uchumi wa watu unazingatiwa
Usijali Pablo wakimaliza, baadae watazijenga na hizo akili zako... 😂😂😂
@@rayisadesigns2646 🤣🤣
@@section8ight174 Nahisi kwa badae hawatajenga tena bali watazipanua🤣 si ndio