#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024
  • #jitambue_mtama

ความคิดเห็น • 56

  • @juairiyangomuo298
    @juairiyangomuo298 3 หลายเดือนก่อน +4

    Umesema mwani una madini nyingi ya chuma je tukiitumia Kila siku haiwezi kifanya tezi ya shingoni kushindwa kifanya kazi zake vizuri.

  • @rehemaemanuel-pt2xp
    @rehemaemanuel-pt2xp 2 หลายเดือนก่อน

    Habar dada , nimependa sana hiki kipindi ninachangamoto dada hazina ldada umenifaa sana, ubarikiwe sana mungu aendelee kukutunza

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 2 หลายเดือนก่อน

    hingera sana doctor matasa hauna papara katika kuekezea na ukiekezea unatulia kabisa mru anakuelewa vizuri kabisa hongera doctor

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว

    Tuna Shkuru sana habibty Asante Allah AWAZIDISHIYE ELIMU
    inshaAllah 😊

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 7 วันที่ผ่านมา

    Nawapata vzr toka Stockholm Sweden 🇸🇪

  • @RachelEmmanuel-lz7vm
    @RachelEmmanuel-lz7vm 9 หลายเดือนก่อน

    Ahsante dr kwa somo zuri mwenyezi mungu aendelee kukubariki ili uendelee kutuelimisha

  • @pollineshirima5023
    @pollineshirima5023 17 วันที่ผ่านมา

    Naomba number Yako doctor

  • @vickysawalla282
    @vickysawalla282 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Kwa somo zuri la mwani, kwakweli nimejifunza kitu. Naomba namba ya doctor

  • @AisaLymo
    @AisaLymo 28 วันที่ผ่านมา

    Naomba kuuliza huu mwani ambao hauna Chumvi na niwaunga Unafaa

  • @vickysawalla282
    @vickysawalla282 ปีที่แล้ว +1

    Dr naitwa Vicky Niko Mwanza . nikweli supermarket zipo lakini kumbuka watu wengi si waaminifu wapo kifedha zaidi. Nikuombe kama hutojali mwisho wa KIPINDI ututajie namba Yako doctor ili tupate mwani ambao ni fresh haujachakachuliwa.

  • @zeynabpontia4634
    @zeynabpontia4634 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante,mwani unasaidia kwenye uzazi?

  • @TunuMcharo
    @TunuMcharo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Zbc zanzibar

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 7 วันที่ผ่านมา

    KIPIMO KWA AJILI YA KINGA YA SUKARI KIJIKO KWENYE NINI???HASSAN FROM STOCKHOLM SWEDEN 🇸🇪

  • @DeboraWisdom-zx8ne
    @DeboraWisdom-zx8ne ปีที่แล้ว

    Naomba nijue utengenezaji wa Unga wa mwani je nauandaaje

  • @leticiabaziwani5234
    @leticiabaziwani5234 ปีที่แล้ว

    Dr nimefurahi kujua faida za mwani ususani kwenye pressure mimi nami nasumburiwa na pressure sasa nitaipataje maana niko tarime

    • @leticiabaziwani5234
      @leticiabaziwani5234 ปีที่แล้ว

      Pia naomba unitumie namba yako tuweze kuwa tunawasiliana kwa njia ya WhatsApp naitwa Leticia niko tarime natamani niwe natumia kila wakati ila upatikanaji wake hapa kwetu tarime si rahisi

  • @shuweyaabdulkarim3261
    @shuweyaabdulkarim3261 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Nina ugongwa Wa kisukari na presha ninaweza kutumia na ninatumiaje

  • @elizabethsimba9743
    @elizabethsimba9743 4 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru sana kwa elimu hii.

  • @moseskamgwawa223
    @moseskamgwawa223 4 หลายเดือนก่อน

    Je naweza sanga na blander ili nipate juice ,

  • @janefadhili8384
    @janefadhili8384 ปีที่แล้ว

    Je kwa watu wanao kuwa na pumu ya ngozi je inawafaa kutumia? je inaweza kuwaponesha?

  • @Umukhamis
    @Umukhamis 2 หลายเดือนก่อน

    Kama utakoroga namaji yard motor ukanywa inafaa

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 2 หลายเดือนก่อน

    mtangazaji unachokipaka usoni pakaaa na mikono maaana una two in one rangi,,,,,samahani lkn

  • @ednanyirenda2760
    @ednanyirenda2760 ปีที่แล้ว +1

    NAOMBA KUJUA JE ALEGY NI VIPI INATIBU?

  • @rehemaemanuel-pt2xp
    @rehemaemanuel-pt2xp 2 หลายเดือนก่อน

    Mwani unaweza kutibu pumu na muawasho unaosababishwa na pumu?

  • @MamaYmah
    @MamaYmah หลายเดือนก่อน

    naomba kujuwa matumizi yk unakula vp ulokuwa c waunga?

  • @NasekileThomas
    @NasekileThomas 5 หลายเดือนก่อน

    Je kwa watoto naweza kumtenge neza kichwani

  • @tausimashombo8500
    @tausimashombo8500 ปีที่แล้ว

    Mama mjamzito anaweza kutumia mwani.

  • @NasekileThomas
    @NasekileThomas 5 หลายเดือนก่อน

    Mwani unafaida gani kwenye enka

  • @khadijabaajabir5159
    @khadijabaajabir5159 6 หลายเดือนก่อน

    Mie nachemsha kama supu jee nisawa au mpaka nitumie unga wk

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 7 หลายเดือนก่อน

    Je mwani unatibu ugonjwa wa homa ya ini B

  • @SulhiyaOmar-r1p
    @SulhiyaOmar-r1p 3 หลายเดือนก่อน

    Mie nnao mwani wa unga nauza

  • @moseskamgwawa223
    @moseskamgwawa223 4 หลายเดือนก่อน

    2 much around the bush go to the point

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 7 หลายเดือนก่อน

    Je mwani unatibu homa ya ini

  • @shuweyaabdulkarim3261
    @shuweyaabdulkarim3261 4 หลายเดือนก่อน

    Na ile mboga pwani ni jamii ya mwani

  • @munirasaidi3602
    @munirasaidi3602 ปีที่แล้ว

    Mimi nina tatizo la ngozi nina tokwa mabaka sehemu za kwapa chini ya maziwa mapajani na chini ya tumbo mwani inaweza kunisaidiya

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 3 หลายเดือนก่อน

      Umetumia Dawa gani? Uko wapi nitafute nikupe natural cream ujipake inshaallah utapona

    • @Timesaid-hs2ue
      @Timesaid-hs2ue 2 หลายเดือนก่อน

      Habari ,namimi nataka iyo natural ya ngozi nina shida ya ngozi

  • @vickysawalla282
    @vickysawalla282 ปีที่แล้ว

    Doctor Mimi Niko Mwanza ntaupataje mwani wa UNGA?

    • @SalomeMkumbae
      @SalomeMkumbae 10 หลายเดือนก่อน

      Umeshapata?

  • @Zuwaina2022
    @Zuwaina2022 ปีที่แล้ว

    Je nikweli unakuza maziwa

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว +1

    Miye nakula ivivi bila kitu nilisaga fresh ikawa kama Jelly nisawa?nakula asubuhi na jioni kwa kuumwa na magoti jee ni sawa?

  • @janethgodifrey
    @janethgodifrey ปีที่แล้ว

    Samahan dktr kwamtu alifanyiwa upasuaji wa uzazi vp hainashida pia

  • @DikoNjola
    @DikoNjola ปีที่แล้ว

    Nitapataje mwani na nibei gani kilo

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 7 หลายเดือนก่อน

    Je mwani unatibu ugonjwa wa tezi dume

  • @TunuMcharo
    @TunuMcharo 5 หลายเดือนก่อน

    Mwani.unatibu.kisukari?

  • @LatifaAlly-dm2ho
    @LatifaAlly-dm2ho 4 หลายเดือนก่อน

    Mwani inaondoa mawazo

    • @nassoriddi1307
      @nassoriddi1307 หลายเดือนก่อน

      Fanya Istighfari kwa wingi inaondosha mawazo or mswalie sana Mtume swalla llahu alayhi wasallah mawazo yataondoka..

  • @RuqaiyaSande
    @RuqaiyaSande 3 หลายเดือนก่อน

    Mwani unaibu makovu ya moto mwilini?

    • @TunuMcharo
      @TunuMcharo 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbe mie nilikuwa nakosea nilikuwa nautical kama.uji

  • @DeboraWisdom-zx8ne
    @DeboraWisdom-zx8ne ปีที่แล้ว +1

    Je Mwani unaweza kunisaidi Katibu Sukari?

    • @salimridhwan9774
      @salimridhwan9774 ปีที่แล้ว

      Sana tena sana mm mama yangu anatumia na unamsaidia

  • @abigaeljohn1742
    @abigaeljohn1742 6 หลายเดือนก่อน

    je tunakulaje unarusiwa kila sikua au?mana kuna mtu huku kafundisha you tube kua ukiula sana mwani unamazara tunaomba mafafanuzi hapo tuleje kwa matumizi kuna limit?