Tigo Fiesta 2017 Mwanza Cypher Ft Fid Q, Adam Mchomvu & Mwanza Rising MC's
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
- Tigo kwa mara nyingine inajivunia kuwa mdhamini mkuu wa Tamasha la Tigo Fiesta 2017 itayoanzia Arusha. Fiesta ni Tamasha la burudani litaloendelea kwa wiki 9 likiwahusisha wasanii wakubwa nchini Tanzania. Nunua Tiketi yako kwa TigoPesa upate punguzo la 10% na bonasi za SMS 100, MB 100 pamoja na punguzo la bei za smartphone katika maduka ya Tigo msimu huu wa Fiesta pale Tamasha likiwa mkoa karibu nawe.
...."Ukiwa huna kosa utakuwa umekosa kukosa kosa"...hahahahaha....this guy anachezea maneno vzuri...big up mwanza.
Sure
Nmemuelewa uyo dogo aliyefungua Cypher. After Mchovu
Kimwonekano ni kama mshamba fulani iv bt anakitu kikubwa sana ndan ake
Category kauwaaaa👊👊👍👍
Oyooooooo Mwanza ndo Kunako hifadhiwa daftari LA tamaduni
Zahd Al yoh kuna category na bwana rudo mc nawajua but i never meet them sema hawajatoboa tuu ila nawajua wako kundi moja na mshkaji wangu
francis kaswamila Hisabati milele
francis kaswamila nooma sana
CATEGORY,
YOU KILLED IT BRUV !!
Natokea Arusha Naona Mwanza mwnz ni more fire arif, Razima tuwe wakweli Mmetisha sana.
Kwa style yako ya uandishi Chuga hatunaga hiyo moko dingii umefeelii
category shidaahhh hahahahahaaaaa
Listen to dis little boy edu boy ana madini flani Amazing tisha Sana mwana wa fareed
asee huyo alovaa kitamba cheupe kichwan noma
Zondo Mkali uyo daxsise
category katisha ..flow yake iko gud mno 3:01
category 🔥🔥🔥🔥
kama watashindanisha mikoa yote...HAITATOKEA CYPHER KAMA HII...NOOOOOMAAAAA...wameaua mwaaaanzaaaaaaa...thumb up
Tuendelea kucheki mbaka mwisho wa 2019 gona like
Maaaan, nimeangalia hii video mara zaidi ya 20, zote namcheck Category.. He's so hot aseeeee!
Nakubali sana wanangu wa TIGO Fiesta Rocy City Gateway Jr Apa A Boy From Gas City Masasi Mtwara
huyo jamaa aliingia baada ya edu boy n baraaaaaa
Sure
Category anajua
categoriiiiii huyu mhuni fundii
Wanangu wa Mwanza rapers Mumetisha nawakubali sana by gateway Jr A boy from gas City Mtwara
Hii Ndo Cypher Sasa Ile Ya Arusha Ni Uozo
kwel hip hop ni mwanza sio arusha
Julius Shaban mwongo wewe
Julius Shaban hip hop ipo. R Chuga acha umandazi...
Arusha ni hip hop Mwanza ni HIP HOP
Tigo kujeni mombasa kenya
hatareèee saaanaa
I love home...rock city
Ngumu xana
Huyo mshkaji aliyefuata baada ya edu boy katisha sana mpaka mchomvu kashangilia ni shiiiidah
Oyah😂 wahuni wameua Mwanza sio poah khaa wamefunika Cypers zote nashindwa nichague nan 😂daah🙌
Hapo katikati huyo kaka, mzuka wa Riddim kwenye Hiphop. 🇰🇪
Category ndo mchizi ndo niliemwelewa hapa binge Moja la flow
category kaua kinoma oyoooo mwanza mwanza stand up
Naona Mwanza wanapressure ya kutoka. Ara one time Kaloleni St.
Damn the second one ameuwa so talented
Category kauwaaaaaaa
this is what we call HIPHOP cypher shout to adam mchomvu
mwanza wamewafunika arushaaa
Tuliopo hapaa june 2 tujuanee
Sema dj miyeyusho..
Walojiamini wametusua
coyo edu boy ni hatari
Binafsi nimekuelewa sana COYO...jamaa anajua sana...sijui kama naweza kupata ngoma za huyo mwamba anywhere...COYO master...
Huyo jamaa alyechana baada ya edu boy kaumiza sana,,, rock city stand up
Msikize vizuri hapa
www.djmwanga.com/2018/07/lakezonia-kizambuli.html?m=1
category, edu watu wabad
Ngoma kali kinyamaaaa ! Inafaa kuwa hitsong rap qal beat qal mzuka kama woteeee !!!!
Electronic Kitambo sana Veta
washikaji wapo poa sana, huyo aliechana kabla ya fid anaitwa nani? bwana harusiiii na aliepiga dance hall
king Dadu huyo wa dancehall anaitwa KING SWAJA From YAKKERS RUNNERS.
Team ganda la ndizii
huyoooooo category 1 ametishaaaaaaa
Much respect Mwanza HP imetulia
2021 again....kosa ni kosa kosa kosa kosa ukikosa umekosa kosa kosa 😂😂😂😂😂😂 kali sanaaaa
jamaa baada ya edu boy ametisha sana
www.djmwanga.com/2018/07/lakezonia-kizambuli.html?m=1
Team ganda la ndizi, team mziwanda,
Team wagumu, team faridi kubanda,
Team dia gambe,team chazi kitwanga,
Mi sinaga team joh, timu yangu ni simba,
Naisi Baraka atakuwa team weusi, ukipenda sana ngono utakuwa team virusi,
Team true boy, ni team ney,
Nikinywa sana maji nitajiunga na team ray,
Kajala mwa zamu, team kuficha sukari,
Team popo, team usiku kucha hatulali,
Team sheta oookee, team kupewa gari,
Team shemeji, team tifa diamond na zari,
Harmonize kajiunga na team wolpa, wambea wote nitawaweka team hadija kopa,
Team hapa kazi tu ni team magufuri, mi navuta ssshhhhii hizo team sizijui,
BERORE EDO BOY HY NI CHECHE JINA LAKE TAFADHALLI WANA CYPHER
musirdanfordTV once, hizi verse huyu jamaa alitulia sana...sijui anaitwa nani aisee...
da anajua sana hy mchizi mpk bhc
mm mwenyw huyu mtu nmemuelewa sana
musirdanfordTV once fabreezy
Category ur the Best
Category ni NYOOOOOOOKO 💪💪💪
fid q tunakuzimia jibaba
Huyo jamaa baada ya edu boy ni shidaaaa kwikwiiii
Dah hii shida sasa mwanza on fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tuwape battle hawa jamaa,s.u.a ,na kilinge mh moto utawaka io day haya majamaa ya rockcity ni hatari
Mwanza mwanzaaaa 🔥 🔥 🔥 🔥
Still now 🙌🙌🙌
Oyaah nan yupo hapa 2020 tena
asante COYO master
musirdanfordTV once umeonaaaaaa eeeeehh namkubali kinoma COOOOOYOOOOO
namuerewa sana hy mwamba ni tishio linalowapa homa marapa
nishidaaaa hip hop michano
ama kwel hip hop ni mwanza ndo kwao
Rock City hip-hop ndo zetu
listening from Nairobi Kenya tunasema ni dope
asanteni
mmetisha sn wana ,mwnz .good ire mbaya
Kosa kubwa sana.......big up ADAM & Fid Q
Hip hop ni ya wahuni tupu cheki woote waliofanya yao hapo maisha yamewakaza kitaa wamefanya mauninja ninja kitaa na sasa wanafyeka marylics vibaya mnoo🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
watoto wa malaya kama wwe utaelewa nn kama sio ajali ya kondomu?
COYO kauwa aiseeeeee salute kwako kaka mkubwaaaa
Nairobi listening dope good intro adam💯
Ebhana mizuka mingi wazazi show liko mpango mzima... Gwara wala kwa wana
Jamaa wa pili toka mwisho yuko vizuri sana, Ila mwanza hip hop wanaweza sana
Noma sana cypher
Rock city stand up mmetisha
edu boy kazngua👅👅👅👅
Category kaua 🥊🦶🏽
KING SWAJAAAA Mjamaica nuff respec to yah umetisha man.
Our TZ brothers🔥🔥 shout out from Kenya
sana
Edu boy vizuri pamoja na coyo, mko powa
Ila AR noma wazee
Kupata na kukosa
We ucxeme kw maneno omben iandaliw cypher y kmashndano nd mtajua mwanza n chuga wap kna hp hop..
tisha sana yaaan
Huyu jamaa wa "makosa kukosea kosa" idea yake heavy sana huwezi kufatishs🔥🔥🙌
alieungia baada ya EDU BOY ni killer aisee,,,mshikaj anajua nimejikuta natikisa kichwa ni ryhme nae
www.djmwanga.com/2018/07/lakezonia-kizambuli.html?m=1
Msikilize huku sasa
Mwanza hewa sema kwasabu Arusha walizingua ok
Wakubwaa.......
Mwanza Nomaaaaaa sana
Team
#politeBoy
Wakubwaaaaaaa....
Ma home boy mmetisha sana
huyo mjamaica vp.....hatariiiiii
Baraka Michael Huyo anaitwa KING SWAJA From YAKKERS RUNNERS.
Mwanza atar bab
category ni balaaaa huyo chaliii
Talent iko hapa
Category katisha sana
cypher mwanza ....tumewasoma
Kitu inafanya Fiesta
Mwanza wanajua
Fid Q we ni Fundi
hahaha...fid bhna...akamua kuwadis wote...angalia ulichoandka kbla hujaanza kuflow..teh teh teh
wakali h boy nomaaaaa