Safi sana..ila swala la waganga nashkuru kwa ushuhuda wa dada aliemroga mume wa mtu ili aolewe yy,akapewa dawa sharti asitumie kama ni mja mzito au hali ya mwezi ila akajiroga yy mwenewe sababu alitumia dawa na uku Ana ujauzito wa wiki..watoto anaowazaa ni wakutokwa na nyute
Duh! Mtihani ....thanks Smix pamoja tyuu... I'm no.1 👍🏻
hello lucks lumbasi. hongera kwa simulizi nzuri kabisa
Jikaze lucas simulizi nzuri❤❤
Amen nimejifuza Leo ❤❤❤
Njooo tusikilize wote❤❤❤❤
Asante kwa funzo🙏
Eeeeh Asante kwa funzo
Asante kwa simulizi nzuri lucas
Wanne leo wacha nisikilize mwanzo
Kwelitumejifunza..meng.asante
Apo mwishono ujasimulia vzr
Huuuum asante sana kwa simulizi nzuri yenye mafunzo mema tena yenye kujenga.
Doooh
Pole san
Tuache kukimbulia maisha rahisi
Tuache kukimbilia maisha ya rahisi
Wow😯😯😯😯😍
🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️
Hatari sanaaaa
Thanks here we're again
Ndo naanza Ivo.... Twende nalo
❤❤❤❤
😮
Wow 👏👏🙏
Duh balaa wallai
Waaah!! Patamu hapa achaniskilize comments nibadae
Hello, how much money
Safi sana..ila swala la waganga nashkuru kwa ushuhuda wa dada aliemroga mume wa mtu ili aolewe yy,akapewa dawa sharti asitumie kama ni mja mzito au hali ya mwezi ila akajiroga yy mwenewe sababu alitumia dawa na uku Ana ujauzito wa wiki..watoto anaowazaa ni wakutokwa na nyute
Duu eti wataka mume wapesa kirahisi tuuu haya mpka kwamganga sasa ndoa imekuwa chachu jamani tamaa sio zuri sasa mimba ya kaburii makubwaa
Yupe utamu Lukasi ngonisikirize comment badaaye😁😁😁😁😁😁