MWISHOO: UKE WENZA - 13/13 SIMULIZI ZA MAPENZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 ปีที่แล้ว +4

    Salma Ramadhan much thankful to you 🙏🙏🙏🙏Bila kumuacha nyuma the Director Oen kwa simulizi hii Tamu kbisa🥰🥰Jiachie Lisa pesa mbona yatafutwaaaaaaa💃💃💃💃

  • @vero756
    @vero756 ปีที่แล้ว +2

    The cup of pain and tears we will used it until we overcome all kind of problems we are facing 😔may God charge each of everyone, May his light shine up us all in jesus name🙏🏻.I love you simulizi mix I trust you you charge my life somehow thank you so much😘🥰❤❤❤

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 14 วันที่ผ่านมา

    Ningependa kwa kumalizia tungajulishwa, maisha yalikuwaje kwa kifupi kwa kila mwanafamilia wa story, mfano Rama na Lisa walipata watoto, Dada zake Lisa, mdogo wake na lishugamami lake hakika ingependeza sana,japo ukweli usemwe story nzuri sanaaa inabrudisha inafurahisha mno, ukisikiliza hupati steres 👌, jamani kuna story ukisikiliza presha mwanzo mwisho, au uwongo mwingi hakuna uhalisia, lakini hii nimeipenda sana sana hongera mtunzi na msimuliaji

  • @fatomahali6397
    @fatomahali6397 ปีที่แล้ว

    Much love kwa Salimma Ramadhani kwa simulizi nzuri na wahndaaji wate wa simulizi mix bila kumsaau msimuliaji mahiri D OEN so much love nyote

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa utamu wasimulizi d oeni iko vizuri hii

  • @hamishamishamis9839
    @hamishamishamis9839 ปีที่แล้ว

    Thank you mr Oen thank you salma ramadhan kila nikiskiliza simuliz zako naenjoy sana hazichoshi

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 ปีที่แล้ว

    Salma ramadhani thank you kwa cmulizi tamu na ucpo mtunza mumeo utasaidiwa bila kumsahau mtangazaji wetu mahiri detector oen

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni saaaana Smix family 👪 ❤ nawapenda sana sana sana Mwenyezi Mungu awatunze🙏 🥰🥰🥰🥰🥰😍

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 5 หลายเดือนก่อน

    Jamn kumbe huyu dadaa anajua vizur kwann sasa umemaliza hiki kisa jamn, na simuliz zako mpe na lucasi lumbasi asimulie, d o en we hatar sana🎉🎉🎉❤❤

  • @AliBadi-p4i
    @AliBadi-p4i ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅 asante salm umetufurahisha mnoo❤❤❤❤❤❤❤

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว

    Shukran sana Dada Salma na msimuliaji wetu oen kwa simulizi nzuri yenye mafunzo Bora mungu awabariki sana 🙏🙏

  • @vero756
    @vero756 ปีที่แล้ว

    Bora nikule badaye kwanza nisije nikanyogwa na chakula wakasema nataka kusuicide si kwa kicheko hicho D😂😂😂😂😂best story keep it up dada Salma umeweza👌👌👌👌

  • @zobaidhyounis7087
    @zobaidhyounis7087 ปีที่แล้ว

    Hakika kuna simulizi zinatungwa na kutungika sauti ya msimliaji ndo usiseme asante kutoka moyoni mwangu ❤️❤️

  • @ainsesseverest1136
    @ainsesseverest1136 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa simuliz nzri Salma imejaa burudani aina zote Ahsante sana D.oen Ahsante sana simuliz mix

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 ปีที่แล้ว +1

    Thanks guys!!! Salma hanaga kazi mbovu, D 🙌🙌

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 ปีที่แล้ว

    👍🏻👍🏻👍🏻hatimae tumefikia tamati...I'm no.1 nahitimisha thanks Smix kwa burdan powwah na vichekesho ndani yake na mafunzo pia 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @bintimrope
    @bintimrope ปีที่แล้ว

    Uwiii ndio twaimaliza joomooniii❤️❤️❤️❤️❤️🙏

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi8213 ปีที่แล้ว

    Santii kwa simulizi tamu na ya kuchekesha.💖💖💖

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 ปีที่แล้ว

    Eeh simulizi tamu mno mno, Thanks alot OEN

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua ปีที่แล้ว

    Thanks daa salma

  • @bintdoman7752
    @bintdoman7752 ปีที่แล้ว +1

    Daah nimetoka kuiulizia muda huuu

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 ปีที่แล้ว

    Thanks Salma Ramadhan

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 ปีที่แล้ว +1

    Haya asanteni lakini leteni season two ya roho za ma binti sita

  • @jasminealmasy1170
    @jasminealmasy1170 ปีที่แล้ว

    simulizi nzur🥰🥰

  • @AishaAisha-yz3ns
    @AishaAisha-yz3ns ปีที่แล้ว

    Asante kwenu nyote ma'ana nimecheka mno

  • @عليالوهيبي-ث5ذ
    @عليالوهيبي-ث5ذ ปีที่แล้ว

    Asante Sana Simulizi Mix ❤❤❤

  • @elizabethmburu2210
    @elizabethmburu2210 ปีที่แล้ว

    Daaah kweli imeisha hivii aaaahaaa ama kweli Salma kuwa na season 2 banaaaa maana umetuachia njiani mnoo hata hamu badoo ya kusikiliza

  • @nawmijdodk733
    @nawmijdodk733 ปีที่แล้ว

    Woow woow pamoja sana

  • @Galaxy-yu6bk
    @Galaxy-yu6bk ปีที่แล้ว

    Nice simulizi mix😘😘😘😘

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    Thanks D o e n

  • @mamtuhhassan809
    @mamtuhhassan809 ปีที่แล้ว

    Tam Masha Allah 😂😂🥰🥰♥️

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

    😍Afadhal

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim ปีที่แล้ว

    😘😘😘😘😘😘😍

  • @jeniphapetro2372
    @jeniphapetro2372 ปีที่แล้ว

    asante san simulizi mix tumefulai na kujifudha san

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 ปีที่แล้ว

    Salma tupe season 2 ya uke wenze

  • @aishamukandanga6892
    @aishamukandanga6892 ปีที่แล้ว

    Dhuuuhh kumbe hiii simulizi ilikuanzuri hivi

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 3 หลายเดือนก่อน

    To be continued

  • @wardawarda4903
    @wardawarda4903 ปีที่แล้ว

    Weeee nami kana d oen mwambie bwana atumalizie story salma mbona mambo nusunusu twasubiri I

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂Salma asate sana simlizi mix d oen ila ilikuwa na vituko

  • @Walid-gk8hl
    @Walid-gk8hl ปีที่แล้ว

    Katesek namapezi huyoo

  • @hellenodhiambo4342
    @hellenodhiambo4342 ปีที่แล้ว

    😅😅mapenzi someone come love me alafu alie

  • @rayaburhan1849
    @rayaburhan1849 ปีที่แล้ว

    Wa mwanzo ten au

  • @fatmamasoud1398
    @fatmamasoud1398 ปีที่แล้ว

    Tunasu bir msimu wa pili

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 ปีที่แล้ว

    Nilikua nimechoka kusubiri yaani kidogo niwafukuze ka 😂😂😂

  • @neemasamson314
    @neemasamson314 ปีที่แล้ว

    Yaani da salma simulizi hii nzuri sana ila mwishoni umeikatili mno imeishia juu juu tu ata sijajua rama na lisa baada ya ndoa waliishije kwa ufupi tu je walipata watoto au, je sofi alipata malipo gani baada ya matendo mabaya aliyomfanyia rama, dada salma story nzuri sana ila mwishoni haijakamilika vizuri

    • @ataamansi8941
      @ataamansi8941 ปีที่แล้ว

      Nasomaga comment kwanza kabla sijajutial bando,kwa maoni ya wengi sitaifungua simulizi hii, inaonekana haikuishia pazuri kama simulizi za Mtunzi bora mno Lissa Mwalla, jamani hawa watunzi uchwara wakajifunze kwa Lisaa Mwalla, hana kazi mbovu hakurupuki utunzi ni kipaji, halafu ni mwelewa vipande vyake virefu hadi raha, halafu vinakuja kwa wakati.Sasa huyu umalizio haieleweki, vipande vidogovidogo acha nijikatae abaki na jisimulizi lake kwa mimi no kusikiliza, wanakera KWELI, hiyo simulizi yenyewe angeweka yote 1--13 iwe moja kuliko vipande vidogovidogo mno

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuh