Kitu pekee nimejifunza ni kutokuwekeza miradi katika sehemu za kupanga au sehem ambazo haujazimiliki....interview hii imenijenga sana katika maisha yangu
A man with a golden heart always putting other people’s interest first have really learnt a lot from this guy, to be honest I don’t listen to much Swahili but from the beginning of the first video I was glued. To listen till the end, may God restore this man and give him full health to serve others. Thank you sana mzee makosa all the way from Kenya we love you and I will put you in my personal prayers
This gentleman needs rehabilitation from alcoholism. He's clearly articulated his deep desire to be freed from this bandage of alcoholism. My prayer is that he finds help.
Never give up in life, mzee makosa amenifundsha vitu vingi sana kwenye maisha naangalia hii leo 31/08/2024,, Imenifundsha sanaaa hii sjui hata niseme nn nieleweke
Huyu mzee kafilisiwa na wanasiasa walivyoona anapanda miti wakaona anaweza kuja kugombea na atapendwa na weng, ila mungu yupo mzee makosa kashaanza kulud kweny utajil wake
Kuna Mafunzo mengi kwenye historia ya Mapito ya huyu mzee.. bt mostly nimejifunza kwamba Huyu mzee anaakili sana na Imani kubwa na Moyo wa Kipekee uliyojaa upendoo .. Ni wa Tofauti sanaa
Tatizo ni wanawake mzee Makosa. Mikosi mingi sana inatokea huko. Achana na wanawake mzee Makosa. Na ninyi msomao hapa, tafadhali....achaneni na wanawake. Tulieni na wake zenu na waume zenu.
Mzee Makosa naamini Mungu atakuinua tuu, cha msingi umeelewa wapi ulipoangukia, mwamini Mungu na umwombe akumbuke rehema juu yako, akusamehe yooote uliyoyakosea, pia Mungu akusaidie uache Pombe
Dah mim sijakoment chcht tngea nimeanza kumfatilia huyu mzee. Ila dah wallahi huyu mzee ni Ana akili ile mbaya na kuna maneno mengne anaya zungumza katika mfumo wake wa maisha ila ni mule mule ambamo Mungu ameandika.. Mungu akitaka utajirike hata kama watu hawatataka na wakakufanyia kila aina ya njama ili usiweze kutajirika basi kw hakika utatajirika tu na asipo taka utajirike hata kama watu dunia nzima watakupa pesa au watakuwezesha utajirike bas hawataweza kukufanya uwe Tajiri. Maneno mazuri kutoka katika kinywa kizuri.
Big respect Dar24 tumejifunza mengi kupitia huyu mzee Makosa Ukisikiliza history yake vizuri na ukiweka mazingatio ya kujifunza naamini uwezi toka mtupu
Hyu mzee mpk hii Leo ana ulizwa hela atafanyia nn anakuambia atafanya kama mwanzo, ye haitaj hela ni kauli ya msimamo Sana ambayo we unamuonea huruma ukijua anateseka kumbe ana maisha yake,
Kitu cha kujifunza kwanza ni sio vyema kuwekeza sehemu ambayo watu wanakujua yaani nyumbani ulipozaliwa,pia wanawake wengi ni tatizo, pili usimamizi mbovu wa rasilimali tatu mali zake zote hazikuwa kwenye mpangilio mzuri wa uwekezaji,nne elimu ndogo juu ya mipango ya fedha, tano roho Nzuri kupitiliza kiasi cha kutenda wema na walio tendewa hawaijui thamani yake leo,,,, ila yote kwa yote tunajifunza kupitia makosa Mungu akulipe kwa yote uliyotenda
Mzee makosa kweli ww ni wathamani sana kwako pesa cyo kitu ila ubinadamu ndio upo kwenye moyo wako cyo mtu apate shida afe huku umekalia mamilioni ni Bora mamilioni yafe ila binadamu apone Mwenyezi Mungu Atakulipa
Unajua nimewaza mbali san, inawezekana huu mzee sio binadamu wa kawaida, ukiachana na mapungufu yake anayoyasema kuna namna naona kama kuna kitu cha tofauti kwake, na sio jambo la kuchukulia poa
Hapo mzee nikurekebishe kidogo...tusilaumu wanawake muda wengine wanatupenda hata kama hatuna kitu, nawanatufanyia kila kitu, nilishawahi kuishi sothafrica mda wa miaka kumi na tatu nilichoka sana lakini mwanamke alifanya kila kitu kwa ajilli yangu na sikumuowa na yeye ni xhosa lady South African. ...sio tu lazima tuwe na pesa ndio tuweze kumudu wanawake...hiyo ndio hitimisho langu
Mzeee ana roho ya utajiri , ni wengi wamefaidika kutokana na maisha yake , mzee huyu nikama jua na jua halifilisiki hata kesho mzee anaweza kupata hela, mbona anaweza kuwa muigizaji mzuri tuu saana wa tamthilia.
Hii story imenigusa san yaani nmehudhunika kama alieyapitia mimi, ila hongera kwa moyo wako mzee wangu, ingawa ndonimekufaamu leo, toka leo mimi nitakua nakuita mzee wa watu
Safi sanaa yeye sio wa kibubu…pamoja hana ila hakubali kuwa kama wakuiangalia hela, kwamba mtu awe na shida asisaidie kisa nidhamu ya hela..Mungu akuinue tena mzee makosa..akili mingi
Dah napenda sana mzee makosa mungu bado yupo na wewe. Sisi watz ni wakalimu na tunasaidiana. Kama una taka msaada weka namba anko makosa tukusaidie never give up anko. Namkubali sana mtangazaji yuko poa maswali mazuri.
Mzee makosa wewe ni mzee wa busara sana Mungu akupe maisha marefu na utaishi maisha mazuri wewe n mtoto wa mungu
Mungu nijalie nipate Muda japo nionane na kubadirishana mawazo na mtu mwenye moyo ninao utamani.
Live longer the hero Uncle Makosa.
Wallah jamii inayomzunguka huyu mzee kama wakimtumia vizuri has a vijana watakuja kunishukuru MAKOSA IS INTELLIGENCE
Yes..kumfikiria mwenzio vibaya ni KUCHANGANYIKIWA.
We need to help this man he as a very good heart please people of God let’s make a team to help this old man please please 😭😭😭😭😭
Aisee interview bora sana hii, i wish vijana wapambanaji waje waione hii. mzee Makosa ni legend
😭😭😭😢😢😢huyu mzee kabadli Maisha yangu tangu niliposkia hii habari thank u dar 24
Umetufunza mengi mzee wangu, mungu akupe mwisho mwema, nimekuskiliza kwa umakin mzee,
Kitu pekee nimejifunza ni kutokuwekeza miradi katika sehemu za kupanga au sehem ambazo haujazimiliki....interview hii imenijenga sana katika maisha yangu
Ndugu usije ukafanya ukarabati Mkubwa au kumiliki sehem y'a mtu ufungue biashara kubwa lazima yatakupata yaliyompata kanga akawa na madoa doa
Kweli kabisa, hilo hata mie nimejifunza!
Nikweli nimekutana na mambo hayo,
Kweli
A man with a golden heart always putting other people’s interest first have really learnt a lot from this guy, to be honest I don’t listen to much Swahili but from the beginning of the first video I was glued. To listen till the end, may God restore this man and give him full health to serve others. Thank you sana mzee makosa all the way from Kenya we love you and I will put you in my personal prayers
This gentleman needs rehabilitation from alcoholism. He's clearly articulated his deep desire to be freed from this bandage of alcoholism. My prayer is that he finds help.
Absolutely
Mzee Makosa nina imani kama wewe utafaulu tena na Mungu akupe baraka tele 🤴
Never give up in life, mzee makosa amenifundsha vitu vingi sana kwenye maisha naangalia hii leo 31/08/2024,, Imenifundsha sanaaa hii sjui hata niseme nn nieleweke
Huyu mzee kafilisiwa na wanasiasa walivyoona anapanda miti wakaona anaweza kuja kugombea na atapendwa na weng, ila mungu yupo mzee makosa kashaanza kulud kweny utajil wake
Kweli kabisa binadamu wabaya msemo wa mond
HELA HAZINA FORMULAR💥💥💥💥💥 KAULI KUBWA SANA
Namkubali sana mheshimiwa Makosa!! Kwa kudra za mwenyenzi mungu atasimama tena.....
Mungu ananipenda na mm nampenda Mungu
Kuna Mafunzo mengi kwenye historia ya Mapito ya huyu mzee.. bt mostly nimejifunza kwamba Huyu mzee anaakili sana na Imani kubwa na Moyo wa Kipekee uliyojaa upendoo .. Ni wa Tofauti sanaa
BEST INTERVIEW 2024 MZEEE MAKOSA SINA CHA KUSEMA ILA NIMEJIFUNZA TU 😢😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akusaidie uwe na mwisho mwema
Amiin
Daaah mzee nakuelewa sana mungu akulindee
Tatizo ni wanawake mzee Makosa. Mikosi mingi sana inatokea huko. Achana na wanawake mzee Makosa. Na ninyi msomao hapa, tafadhali....achaneni na wanawake. Tulieni na wake zenu na waume zenu.
nampenda huyu mtangazaj hes very flexible
Aseee mzee genious kweli!!!anamajibu kama ya bwana Yesu!!!
🤦♂️Hapa kama ya Bwana yesu tu ndo ulipo haribu!😂😂
@@AlliyMohamedAlliyyesu na mlevi Tena 😅
Stor saf ya mzee makosa,, nzuri kwa kujifunza,, MUNGU amtanguliee
🤦♂️Hii C stori nj maisha yake..
Mzee Makosa naamini Mungu atakuinua tuu, cha msingi umeelewa wapi ulipoangukia, mwamini Mungu na umwombe akumbuke rehema juu yako, akusamehe yooote uliyoyakosea, pia Mungu akusaidie uache Pombe
Aisee, this father is very self-aware and has a lot of love for people, I can get his numbers to be my best father
Genius, Mungu asikupungukie
Majibu yako ni 100% kupata na kukosa vyote ni sawa.
🥲🥲🥲roho inaniuma kama mzazi wangu aiseee dar 24 embu fanyeni mpango mumpeleke hata sober house aka\pate tiba kwanza
Ata mmi niliwaza kma wwe
Dah mim sijakoment chcht tngea nimeanza kumfatilia huyu mzee. Ila dah wallahi huyu mzee ni Ana akili ile mbaya na kuna maneno mengne anaya zungumza katika mfumo wake wa maisha ila ni mule mule ambamo Mungu ameandika.. Mungu akitaka utajirike hata kama watu hawatataka na wakakufanyia kila aina ya njama ili usiweze kutajirika basi kw hakika utatajirika tu na asipo taka utajirike hata kama watu dunia nzima watakupa pesa au watakuwezesha utajirike bas hawataweza kukufanya uwe Tajiri. Maneno mazuri kutoka katika kinywa kizuri.
Nakuelewa sana mzee wng....namba kidogo nikuchangia ata kiasi kidogo nilichonacho asante.
Mungu ananipenda na mm nampenda mm sitakufa manen mazur
Love imetawala..akili kubwa👊
Hakika pombe imeharibu wengi sana...kila ukijaribu kuiacha inagoma....wakumuomba ni Mungu itawezakana tu
, 😂😂😂😂😂
Big respect Dar24 tumejifunza mengi kupitia huyu mzee Makosa
Ukisikiliza history yake vizuri na ukiweka mazingatio ya kujifunza naamini uwezi toka mtupu
"Hela haina formula".....Mungu Mbele
VIJANA TUKIMSIKILIZA MZEE MAKOSA TUTABADIRISHA MIFUMO YETU YA MAISHA 😢😢
Hyu mzee mpk hii Leo ana ulizwa hela atafanyia nn anakuambia atafanya kama mwanzo, ye haitaj hela ni kauli ya msimamo Sana ambayo we unamuonea huruma ukijua anateseka kumbe ana maisha yake,
Upendo, ndio Jambo kubwa, sio Mali, Mungu akulinde makosa si yako,
Aisee huyu mzee noma sana,naweza pata namba zake awe baba yangu wa hihari nipo dar
Respect mzee makosa
I learned alot from you
God is great...🙏
Very Much concerned about the nature.. sustainability of our natural resources for the future ..
yupo smart sana huyu mzee, nmemuelewa sana
Makosa ni genius, ukitaka kulijua hilo sikiliza na tafakali majibu na maelezo yake
Huyu jamaa ana akili sanaa
Mno..majibu yake had unasismka
Angesoma sana angekuwa mtu mmoja m'bad sana
✌🏽anajua sana..
Kitu cha kujifunza kwanza ni sio vyema kuwekeza sehemu ambayo watu wanakujua yaani nyumbani ulipozaliwa,pia wanawake wengi ni tatizo, pili usimamizi mbovu wa rasilimali tatu mali zake zote hazikuwa kwenye mpangilio mzuri wa uwekezaji,nne elimu ndogo juu ya mipango ya fedha, tano roho Nzuri kupitiliza kiasi cha kutenda wema na walio tendewa hawaijui thamani yake leo,,,, ila yote kwa yote tunajifunza kupitia makosa Mungu akulipe kwa yote uliyotenda
i really appreciate you and your the best even if u think you're poor
Mungu yupo na wewe amen 🙏.
Very honest man,he hasn't hiden anything most of our generation can't talk like that one day you will arise again
Kaka angu nimejifunza mengi tuwe makini tunapo kuwa na kipato
Daah Mungu akubariki mzee
Mi ndo Super Star 🔥
Mngu anasimamia vipindi vya mwanadamu, anaweza kukusimamia ukatajirika hadi ukashangaa na unaweza ukafilisika hadi ukashangaa...
I noted this✊
somo kubwa sana Usiwekeze sehemu ya kupanga
Mzee makosa kweli ww ni wathamani sana kwako pesa cyo kitu ila ubinadamu ndio upo kwenye moyo wako cyo mtu apate shida afe huku umekalia mamilioni ni Bora mamilioni yafe ila binadamu apone Mwenyezi Mungu Atakulipa
Nimechelewa sana kupata hili Darasa kutoka kwa huyu Mzee... 😊 Aisee huyu Father ni Chuo Kikuu... Amini usiamini
Asante mungu
Kama vijana wa sikuhizi kashajiua watu wanapitia magumu hapa dunia asante mungu.
😢😢hii imenisikitisha sana, na huyu baba asingekua, na roho ya mongu labda angejizur, maisha yake, na leo tusingepata mafunzo haya
Mungu kwa neema zake amkumbuke makosa
Mzee makosa ana fikra za utajiri, akisaidiwa kuacha pombe na kupata shughuli yakumpatia kipato uwezekano wa kuwa imarakiuchumi upo
respekt makosa, legendary
Nimependa sana kumkabidhi mkewe hiyo pesa mwenyezi mung atampa tena
Mzee makosa, Mzee Wang kabs ukipg nae stor live utapat madn San, sem ndoivy pomb imemuathir San anatetemeka t ila long life 2him
Wanao kupenda hawana sababu na wanao kuchukia hawana sababu duh mjomba makosa unatowa somo
Unajua nimewaza mbali san, inawezekana huu mzee sio binadamu wa kawaida, ukiachana na mapungufu yake anayoyasema kuna namna naona kama kuna kitu cha tofauti kwake, na sio jambo la kuchukulia poa
I stand with you, this man asee brain yake, flow yake his vocal punches oops its spirit inside him...
08:00 never ever! Nimemkubali mzee kwa hilo
Nimekutana na wazee wengi wenye busara ila huyu ni kiongozi wao✊✊
Huyu mzee ni genius na anajua kila anachokisem na kufany
Makosa ya wengine mafunzo kwetu....
Hapo mzee nikurekebishe kidogo...tusilaumu wanawake muda wengine wanatupenda hata kama hatuna kitu, nawanatufanyia kila kitu, nilishawahi kuishi sothafrica mda wa miaka kumi na tatu nilichoka sana lakini mwanamke alifanya kila kitu kwa ajilli yangu na sikumuowa na yeye ni xhosa lady South African. ...sio tu lazima tuwe na pesa ndio tuweze kumudu wanawake...hiyo ndio hitimisho langu
Mungu akutunze Mzee wetu nimejifunza sana
Huyu mzee smart sana kiakili kwa jinsi anavyojibu maswali
Legend always be legend maneno yake yanaback kama legend nimejifunza meng saana
Nimependa confidence yake,kanifundisha kwamba tusiishi kwa mapito,,,,na tujifunze kushuru kwa yote
Mzeee ana roho ya utajiri , ni wengi wamefaidika kutokana na maisha yake , mzee huyu nikama jua na jua halifilisiki hata kesho mzee anaweza kupata hela, mbona anaweza kuwa muigizaji mzuri tuu saana wa tamthilia.
Nimejifunza sana imani kupitia huyu mzee
Huyu alikuwa mkombozi wa iringa ila hawakuelewe ,Mungu akulipee mzee makosa
Mali sio akili na kukosa sio ujinga. Nimeelewa sana.. Mungu akitaka unapata
Pure Rasta 🔥 💯 👌
Natty .
Huyu mzee Akili kubwa sana
Wanaokupenda hawana sababu na wanaokuchukia hawana sababu? 😢 daaahhh hiki kichwa sanaa
siku zote kufungua biashara kwenye nyumba yamtu hauwezi kufika mbali kabisa nabiashara lazima wewe uwe ndiyo mtendaji mkuu watu wengine iwe ziada
Naomba namba ya huyu mzee nimchangie chochote
Alikiba hakuwezi
Daaa
Hii story imenigusa san yaani nmehudhunika kama alieyapitia mimi, ila hongera kwa moyo wako mzee wangu, ingawa ndonimekufaamu leo, toka leo mimi nitakua nakuita mzee wa watu
Licha ya diamond platinumz kutaka kumsaidia uyu mzee pia amuangalie kwa jicho la tatu coz ni mtu mwenye mawazo mapana sana
nimejifunga mengi mungu atakuinua tena
Tumchangieni! Ama tutatozwa ushuru!!
Tutatozwa vati aisee uwogopi?😂😂😂🤣
MIMI SIO MKINGA ...MIMI MNYALU 😂😂😂 MZEE ANAJIAMINI SANA @DIAMOND AFANYE KWELI
Mzee ana imani kubwa sana!
I like the faith of this old man. hakuna kitu kibaya kama kupoteza matumaini. Mzee bado anamatumaini ya kuinuka tena.
Safi sanaa yeye sio wa kibubu…pamoja hana ila hakubali kuwa kama wakuiangalia hela, kwamba mtu awe na shida asisaidie kisa nidhamu ya hela..Mungu akuinue tena mzee makosa..akili mingi
Point tupu mzee anatema
Mungu amkumbuke kwakweli
Dah uyu mzee Ana majibu romantic sana
Kwa Sasa ivi unakunywa kwa sababu ya stress mzee makosa auna baya
Mzee anapenda mazingira sana aisee