7 new players for Alhilal mashaaAllah , they only played together 4 games and 4 friendly games , so by next year when they play with eachother well and understands eachother better , and all the players come back from injuries man Alhilal will be a great team InshaaAllah.
Young is a good team, but Simba is better, more organized, solid in defence We faced Simba amonth ago Friendly in the cemetery (Al Hilal Stadium) and we won with difficulty with a single goal.... Greetings, appreciation and respect to all Simba fans who supported us and we will make you more happy in the cemetery match☠️💙💪🏻
@@superwarema2309 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 you are dreaming Why we don't lose on ur land and in the midst of ur audience!!! Did you know despite the positive result, but in Sudan we consider that Al Hilal lost!! B,c the match was easy for us. Believe me, you don't realize the strength of Al Hilal, nor even the ferocity of our fans inside the cemetery (Al Hilal Stadium) ur team is good at the you local level only, but you have given up to the great African teams.... We are waiting you in the cemetery☠️💪🏻
I'm Sudanese I respect Tanz people a lot I was in touch with them specially the Tanz army which was in Darfur for peace keeping they are very hospital and noble I used to have good relation with their respectable officer and the way they treat Sudanese and give help.Hope prosperity and development for their country. But when it comes to football frankly Simba is famous and known here.For Yanga coming match in Sudan guys you will suffer ..Al hilal is a destroyer.
You are so fun bro...😂😂🤣 Waiting...🤭 you'll regret your words... 🚫 Young Africans is champion always is champion...💪 Knows that Unbeaten team from now...⚡keep it in your mind...🧐 YOU'LL REMEMBER ME...😋
Mimi binafsi naona wamejitahid sana muda huu huenda tungepigwa 4 bila kuna improvement ya team yetu tuendelee kuwapa muda na kuwapa iman zaidi wataweza tu we sitll love u 💚💚💚💚💚💚💚
Yanga mnajisahau kumuwekq mbele mungu ktk maneno yenu baadhi ya uongozi mungu ndo kila kitu lazima mseme mungu akitujaliya tutashinda mechi sio kusema iwe mvuwa iwe juwa lazima hii sio kauli njema
As a Young African Fan, yes we enjoyed a Good Game. However, Yanga can overton the table, the unbeaten for 43 strong matches. The next 44th to be witnessed by fans at Sudan. Katibu sana.
The problem that facing Young Africans (wananchi) is lack of International Friend Matches, by having many various games they got experiences, tactics, etc
Usijiongeleshe kizungu ili waarabu na wazungu wasome ili wawaonee huruma waone kua nyie ni team kubwa Sema Hamna experience na mechy zakimataifa we acha kujitetea mbona simba tulipitia msoto kaza braza😂😂😂
Tukiangalia mchezo ki ujumla, kipindi cha kwanza al hilal, walikuwa wanazuia sana, kuliko kushambulia,kipindi cha pili walianza kufunguka,ila ukweli kuna wachezaji walikosa ubunifu,mfano aziz ki,hakuwa na movements zozote za hatare kwa wapizani,wachezaji wetu hawakuwa aggressive wakati tuna shambulia,eneo la kiungo,aucho kacheza vizuri sana ametimiza majukumu yake,back line yetu haikuwa vizuri ilikuwa na makosa mengi sana, ni kukosa umakini tu wa wachezaji wa al hilal, tungeweza kufungwa goli zaidi ya mbili,.Mpira bado haujaisha kuna dakika nyingine za kucheza away,japo kama back line yetu haitabadilika tunaweza kufungwa goli nyingi zaidi,
@@shafiismaily9223 Swali zuri sana hili, Watu wanashindwa kuangalia pande zote, kwa mchezo ulivyokua mimi nimeona ni mungu tu hakutaka tupate ushindi mnono lakini mchezo ulikua wa kiushindani sana, Kila mtu amefanya kutokana na nafasi yake, Amemzungumzia Azizi Ki, Swali la kujiuliza Aziz Ki amepiga mipira mingapi kipa amecheza, Ukiondoa yeye ni nani mwingine alipiga mipira kama hiyo?, Kama Al- Hilal kwao wataenda kucheza mpira kama huu, Kswao wanaenda kupasuka
Chance yanga wanajua kutengeneza sasa wapate namna yakutengeneza concetration kwenye box area watapata magoli mengi kwasababu kona walipata nyingi na faulo za mbele ya lango timu kubwa hua zina pambania sana
Umecheza vzr mtani sema Bahati haikuwa upande wako, punguza papara tulia ugenini kacheze kwa kujilinda vzr, alhila hawana maajabu uwezo wa kusonga mbele mwananchi upo. Wachezaji wamefanya Kazi kubwa sana.
Ukiwaangalia vizuri Al-Hilal ni kama vile wana kitu cha ziada lakini hawakutaka kukitoa mtakuja kunielewa mechi ya marudiano.BM3 mtu na nusu kajitahidi sana kuwatengenezea nafasi
Wazee wasifa tim linapenda kusifiwa kama mtoto wa kike ukitaka kugombana na utopolo kosoa tim lao. Ukiwaambia tim yao namba moja barani Africa wanakubali wanafurahia walivyo mazuzu ndio maana yule kocha alisema Mashabiki wa yanga wapo kama manyani tu .
Yanga bado ana nafasi ya kushinda khartoum japo ni ndogo.. Kikubwa ni kua hawa al hilal wanafika sana golini kwa uto. Nabi akiangalia namna ya kuzuia hio mbona wanafungika hawa
@@suzangregory6431 kocha akiweka kikosi cha ushindi mapema na wachezaji wa wakipewa motisha na wakitulia kwenye maamuzi yao,,tukiongeza na fitna zaidi za nje ya uwanja ushindi upo asilimia mia kipindi cha kwanza tunatakiwa tushambulie hari na mali,wataogopa..
Hakuna tim lenye tabia za kijinga kama tim hili mara wapokee wageni mara wamchanie shabiki jezi mara wampe mbinu ibenge Kama tim ya visheta haya endeleeni kumpa mbinu huyo ibenge si alikua Rafiki yenu au sio ? Viongozi na Mashabiki akili zinawiyana. Pia endeleeni kuipamba na kuisifia tim kubwa barani Africa namba moja barani Africa kachukua ubingwa wa Africa mara 9 hoo imewekeza kuliko tim zote Duniani vuneni sifa mlizopewa haaaahaahaaaa wazee wa mdomo mrefu kama chupa.
jamani hii timu ni ngumu sana yanga wajipange kosa ni kutowafunga kipindi cha kwanza na baada ya kupata Bao la kusawazisha wakaona kumbe hata ushindintunaweza majamaa haya marefu yana mbio kosa jingine la yanga pale mbele ni uchoyo wa pasi mayele siyo kila wakati funge yeye aone morrison anavyotoa pasi mpenyezo
Don't underestimate the again 😏🤫✋🏻Your team is good, but learn to respect your opponents, b,c you really don't realize the ferocity of Al Hilal when provoked... Even Al-Ahly of Egypt knows that well
Kilichotokea kimeshatokea na kinaweza kutokea kwa timu yoyote kufunga si ubora wa mchezaji bali ni idhini yake Mola kumruhusu kufunga na ndio maana hata jana Chama alikua afunge akaishia kushangaana kupiga mpira goti likewise zimbwe junior aliunawa mpira kana kwamba ni kipa akawapa fursa wapinzani huu ni mchezo tu kama yanga ina nia lazima njia itapatikana kwa idhini yake Mola na kila kilichotokea ni kwa idhini yake Mola hamna jipya hapo timu kuba yenye uwezo wa vijana bado haileti matokeo sio jambo la kushangaza kikubwa ni kuwapa support wachezaji panapostahili nae Mungu muweza ataamua yake kumlaumu coach wachezaji kuhuzunika haisaidiii bali ni kujirekebisha palipokosewa na kusonga mbele kumtanguliza Mungu Penye nia Pana njia tu hata iweje
@@robertnoel5232 kauli itabaki kua kauli kwani ni jinsi ya kujipa confidence nakumbuka so far mlikuwa na kauli za kufuru kipindi cha nyuma kidogo ila hamkuona kuwa ni kufuru
MM NI SHABIK WA SIMBA, LAKIN IBENGE BADO AJAMUWEZA NABI MCHEZO UNAJIONESHA WENYEW, YANGA NI TIMU NZURI, UYO MAYELE, AZIZ NA MORISON NI HATARI, NINAAMIN WATAPATA MATOKEO KWAO, YANGA WAMEUPIGA MWINGI SANA APA
Mayele Kagonga Goal qalii,,,ila tatizo Yanga Kipindi Cha Pili baada Ya Kuongoza Kama Walipoteana Safu ya Ulinzi Hususa Upande wa Kushoto,,,,ata Mkitoka bado mna nafasi Shirikisho watani
maybe you have realized the meaning of team wrestling with the strength of Al-Hilal, but you will be sure of that inside the cemetery (Al-Hilal Stadium), b,c you don't know anything about (the cemetery☠️☠️) and the Al-Hilal fans... You should not have mocked us. We are waiting for you 💪🏻✌🏻
@@fabrisiowissa692 😂😂😂😂😂😂😂 am not the champion of Africa ، But the African champions always suffer in Al Hilal Stadium, so the North African media called Al Hilal Stadium (the cemetery of champions). Yaung is good team but not a champion opponent and is not compared to North African teams....
@@ahmedboosha4364 according to you,the ones who always suffered are the African champions but we are not,so you are going to be our stepping stone,just wait and see
Hata hivyo Uto👉🏿🤢🐸👈🏿 wamejitahidi sana wakaonyesha kiwango wajitahidi huko Khartoum Sudan wakifuzu tu basi I'm sure Utoh 👉🏿👉🏿🐸🐸 👈🏿👈🏿🤣🤣 watakua na mafanikio mazir sana
Mpira mkubwa san kutoka kwa yanga ila wamezidiw kimaarifa sn....gemu inayokuj wajitahd wacheze mpra mkubw na maarfa yakutosh...yaan mpra ukiambatan na akili ..WATASHINDA
Kaka kila mtu akifika kwake akili zinaongezeka wale al hilal wanajua haya mashindano ukifika uwanjani kwa mwenzako unatakiwa utafute suluhu tu ushindi ni kitu cha ziada ngja yanga wafike ule uwanja wao wataona maana al hilal kushinda goli hata moja uwanjani kwao sio rahisi ww fatilia mechi zake
MECHI ya 43 NABBI Hajapoteza Mchezo Hadi SASA. KAZI nioja tuu, kupindia meza, ili WaTanzania tufurahi. Al hills wanafungika popote. Isipokuwa Mashabiki, ushangiliaji bado tupo nyuma Sana.
الهلال متمرس جدا في ملعبه، سيعاني يا نقا كثيرا امام الهلال في ام درمان، بل سيري يانقا الجحيم الحقيقي هناك، هجمات علي راس كل دقيقه من الاطراف والعمق، مع هدير جماهير والتراس الهلال في ملعبه، يا نقا لن ينجو في المحرقه في السودان. الهلال فريق كبير ومتمرس في دوري ابطال افريقيا، يانقا الجحيم ينتظركم في ام درمان جحيم حقيقي من الضغط المتواصل والكره الهجوميه وفنون كرة القدم ستعرفون الهلال الحقيقي في ملعبه
Tatizo la Nabi siku zote ni kuchelewa kufanya sub. Hii usababisha wapinzani wajipange na kufanya counter-attack. Hili nimelishuhudia sana unatakiwa kuweka forwards ambazo zinasumbua kupunguza mashambulizi kwako. sijui kama huyo kocha analiona hili. mzito sana kufanya maamuzi ya kubadili wachezaji. Pia, Kibwana Shomari kama anampenda hatuna shida na ilo Ila akumbuke akipata winga machachari mwenye spidi zake kama walivyokuwa Al Hilal ni shida kwa sababu ule mguu siyo wake kiasili. siku ile alikuwa anapinduliwa mara kwa mara nusura atupe ugonjwa wa moyo
Sintoshangaa kama Tukiwababua magoli 3 kwao wala sitashangaa maana wao wana mbio tu, nasi tunapaswa kuacha mtu mmoja nyuma mwenye mbio hasa tunaposhambulia, in fact tunacheza vizuri sana kuliko wao. Ndio maana walituogopa, ila tuamke mbinu ya vitochi wakitumia nasi tuwapake upupu wawashwe nayo si mbinu tu
Kwa mpira huu yanga bahati Yao wangekoga goli nyingi hapa hapa kipa kafuta nyingi ukweli ndiyo huo, kwa mpira huu alhilal waliouonesha yanga hawawezi pindua meza kabisa
Ila kwa yanga hii simba tunakaz kubwa kiukweli jamaa wako vizur sio siri nime furahi wameonesha ukubwa wao kitu kilicho nikera nikushindwa nyumbani.ngoja kesho tuone wakubwa zao vle watafanya.
Kazi kubwa ya nini? Narudia kuna tofauti kubwa ya kucheza na simba, ihefu, mtibwa na kucheza mechi za kimataifa ,yanga hii hii mnayoiona utashangaa wanaweza wasiingie makundi
7 new players for Alhilal mashaaAllah , they only played together 4 games and 4 friendly games , so by next year when they play with eachother well and understands eachother better , and all the players come back from injuries man Alhilal will be a great team InshaaAllah.
For Yanga fans you have very good team greeting from sudan hilal fan 👏
Tupo vzr Yanga Bahati haikua yetu. Uwezo wa kushinda 2nd leg tunao. Daima Mbele 💚💚💛💛
Young is a good team, but Simba is better, more organized, solid in defence We faced Simba amonth ago Friendly in the cemetery (Al Hilal Stadium) and we won with difficulty with a single goal.... Greetings, appreciation and respect to all Simba fans who supported us and we will make you more happy in the cemetery match☠️💙💪🏻
You gonna lose on your home ground unless you plan to play rogue.
@@superwarema2309
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
you are dreaming
Why we don't lose on ur land and in the midst of ur audience!!! Did you know despite the positive result, but in Sudan we consider that Al Hilal lost!! B,c the match was easy for us.
Believe me, you don't realize the strength of Al Hilal, nor even the ferocity of our fans inside the cemetery (Al Hilal Stadium) ur team is good at the you local level only, but you have given up to the great African teams....
We are waiting you in the cemetery☠️💪🏻
Jamani wana yanga tuwe na shukran wachezaji wame jitahidi haki👏👏👏
Asante Sana from Sudan 🇸🇩 I love Tanzania ❤
Ushabiki tuweke pembeni yanga wako vizuri sana what a nice team
Ukiumwa na choo hata kama kigumu utajikakamua kitoke ili ukae kwa amani nazani umenielewa
Morison anahaki ya kusifiwa leo, amefanya kazi kubwa sana ya kutafuta magoli na kuwapasia wenzie. what a player!
Sana👏👏👏 maskin nakaumia 😢💔
Mm kiukweli mm ni simba damu ila kwangu morrison mmoja ni aziz ki watatu without any doubt
Yanga survived a big defeat. Alhilal played a perfect tactical game.
Yanga wameupiga mwingi sana bahati haikuwa yao. Naona wakipata matokeo mazuri Sudan
El-Hilal is a big team.
They should've won that game.
Young Africans are out.
Morrison always is best player I never ever seen 😂😂😂😂😂😂
I'm Sudanese I respect Tanz people a lot I was in touch with them specially the Tanz army which was in Darfur for peace keeping they are very hospital and noble I used to have good relation with their respectable officer and the way they treat Sudanese and give help.Hope prosperity and development for their country.
But when it comes to football frankly Simba is famous and known here.For Yanga coming match in Sudan guys you will suffer ..Al hilal is a destroyer.
You are so fun bro...😂😂🤣 Waiting...🤭 you'll regret your words... 🚫 Young Africans is champion always is champion...💪 Knows that Unbeaten team from now...⚡keep it in your mind...🧐 YOU'LL REMEMBER ME...😋
Tusikate tamaa wananchi bado uwezo wakuwapiga Kamangoma tunayo kwani kilasababu yakufanya hivyo tunayo emungu ibariki yanga 🇹🇿
@@charles5633 Aaaamiiin
@@charles5633 ما عارف انت كاتب شنو لكن الشباب حياخذ 3/0
@@shaksay5591 in champion league Yanga is not known its a domestic team u will see hell on 16thin the cemetery where Yang'a will be buried a live
Yanga big up,you have done great ni muda tu mtafanya vizuri
Yanga wamecheza vzuri sana,ndo hivyo bahati haikuwa yetu
Mimi binafsi naona wamejitahid sana muda huu huenda tungepigwa 4 bila kuna improvement ya team yetu tuendelee kuwapa muda na kuwapa iman zaidi wataweza tu we sitll love u 💚💚💚💚💚💚💚
KWISHA HABARI YENU OUT 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Greetings to Simba fans for their support for Al Hilal team 😍
Al-Shabab Club was lucky with this result
NEVER GIVE UP YOUNG AFRICANS 💪
Hhhhhhhhh
Ok commmm on
We will waiting for you💪🏻💙
Big thank to simba fans❤️❤️❤️❤️
UTAONGEA LUGHA ZOTE LAKINI KWISHA HABARI YENU.
@@ahmedboosha4364 YA ZOOL NIKHUM NIKHUM 5 SUFUR 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍👍👍👍
Mchezo ulikua mgumu ila mtamu wamejitaidi wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Al-Hilal decided the game and sent the youth to the Confederation, good luck
Nice one mayele😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Yanga ipo vizuri sioni cha kulaumu hapo haikua tuu bahat kwetu
A positive result for Al Hilal Club, there is another round that needs a lot of work
Nilikuwa nmechukia ila mpira umechezwa bwana hongera yanga mmejitahidi sana
Safi sana mpira tunaujua bwana mapungufu ni machache
@@suzancharles1639 pkkkkkkkppp
@@suzancharles1639 mm
@@suzancharles1639 KWISHA HABARI YENU OUT 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@leylaedward1785 MCHOKOZI WEWE UNA BALAA WEWE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Fei acheze juu tu,aziz atokee pembeni,fei anatoa option ya kushoot nje ya box accurately
Swadakta
MTAJIJU 🤣🤣🤣🤣🤣
Morisoni ni hatari sana ila Yanga haikua bahati kwao wamejitahidi sana
Yanga mnajisahau kumuwekq mbele mungu ktk maneno yenu baadhi ya uongozi mungu ndo kila kitu lazima mseme mungu akitujaliya tutashinda mechi sio kusema iwe mvuwa iwe juwa lazima hii sio kauli njema
As an Alhilal fan I can say it was a good game and I really enjoyed watching it. We’ll see you in The graveyard where the lions bury their victims.
As a Young African Fan, yes we enjoyed a Good Game. However, Yanga can overton the table, the unbeaten for 43 strong matches. The next 44th to be witnessed by fans at Sudan. Katibu sana.
Yanga outside Tanzania is very weak team they play only in front of their fans
You depends on things out of the pitch, harassment to opponent is not sportsmanship
Forever young 💚💛
Mambo hamida ❤️✋
@@enockabumba7513 pouwaa
Na kocha alikosea Sana kucheza na kibwana hadi mwisho. Upande wake ndiko walikuwa wanapitia sana
The problem that facing Young Africans (wananchi) is lack of International Friend Matches, by having many various games they got experiences, tactics, etc
Usijiongeleshe kizungu ili waarabu na wazungu wasome ili wawaonee huruma waone kua nyie ni team kubwa Sema Hamna experience na mechy zakimataifa we acha kujitetea mbona simba tulipitia msoto kaza braza😂😂😂
Mayele ❤️ Aziz ki ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Tukiangalia mchezo ki ujumla, kipindi cha kwanza al hilal, walikuwa wanazuia sana, kuliko kushambulia,kipindi cha pili walianza kufunguka,ila ukweli kuna wachezaji walikosa ubunifu,mfano aziz ki,hakuwa na movements zozote za hatare kwa wapizani,wachezaji wetu hawakuwa aggressive wakati tuna shambulia,eneo la kiungo,aucho kacheza vizuri sana ametimiza majukumu yake,back line yetu haikuwa vizuri ilikuwa na makosa mengi sana, ni kukosa umakini tu wa wachezaji wa al hilal, tungeweza kufungwa goli zaidi ya mbili,.Mpira bado haujaisha kuna dakika nyingine za kucheza away,japo kama back line yetu haitabadilika tunaweza kufungwa goli nyingi zaidi,
yanga walikosa goal ngapi?
@@shafiismaily9223 Swali zuri sana hili, Watu wanashindwa kuangalia pande zote, kwa mchezo ulivyokua mimi nimeona ni mungu tu hakutaka tupate ushindi mnono lakini mchezo ulikua wa kiushindani sana, Kila mtu amefanya kutokana na nafasi yake, Amemzungumzia Azizi Ki, Swali la kujiuliza Aziz Ki amepiga mipira mingapi kipa amecheza, Ukiondoa yeye ni nani mwingine alipiga mipira kama hiyo?, Kama Al- Hilal kwao wataenda kucheza mpira kama huu, Kswao wanaenda kupasuka
Welcome in omdurman welcome in grave champions am waiting you yangs
Theory
@@lewismpangala927 the mission succeed what about small yang
Chance yanga wanajua kutengeneza sasa wapate namna yakutengeneza concetration kwenye box area watapata magoli mengi kwasababu kona walipata nyingi na faulo za mbele ya lango timu kubwa hua zina pambania sana
Uchambuzi umeingiliwa
@@Pulse_tips 👍
Me Simba ,,,lakini yanga Leo mmecheza vizuri tuu
@@fettyabuu2644 watafut like hamkosi🤣
Kitetema imekuaj
Umecheza vzr mtani sema Bahati haikuwa upande wako, punguza papara tulia ugenini kacheze kwa kujilinda vzr, alhila hawana maajabu uwezo wa kusonga mbele mwananchi upo. Wachezaji wamefanya Kazi kubwa sana.
Amina
Tatizo utopolo kupenda kusifiwa kama wanawake
Kweli watani wakatulie walipambana sana
Uko sawa mtani good point
Ukiwaangalia vizuri Al-Hilal ni kama vile wana kitu cha ziada lakini hawakutaka kukitoa mtakuja kunielewa mechi ya marudiano.BM3 mtu na nusu kajitahidi sana kuwatengenezea nafasi
Yanga tumeshaaga mashindano haya labda itendeke miujiza ya Mungu
Bado,tuna 75% yakushinda tukienda kwao,amini ninachokuambia, wachezaji wetu wamejitahidi sana,
Al Hilal wapo objective wanacheza kikubwa
Shot on target
Yanga 3
Al Hilal 6
Al hilal wana asilia ngap 😂
Aziz ki 🇧🇫🇧🇫❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Wamecheza vizuri yanga,bahati mbaya tu.
POLE KWISHA HABARI YENU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wana yanga tutulie lazima apigwe mtu kwake 2 bila💪💪
🤣🤣🤣🤣🤣
Tuombee timuyetu yanga wachezaji wetu watatuonyesha maajabu jamani
Wazee wasifa tim linapenda kusifiwa kama mtoto wa kike ukitaka kugombana na utopolo kosoa tim lao. Ukiwaambia tim yao namba moja barani Africa wanakubali wanafurahia walivyo mazuzu ndio maana yule kocha alisema Mashabiki wa yanga wapo kama manyani tu .
Yanga bado ana nafasi ya kushinda khartoum japo ni ndogo.. Kikubwa ni kua hawa al hilal wanafika sana golini kwa uto. Nabi akiangalia namna ya kuzuia hio mbona wanafungika hawa
Bado nafasi ipo endelea kuota
Yanga wamecheza vizur bahati tuuu
Udambwi unafanya mchezo uwe poa lakini isikupe kusema umeweza next time udambwi utoke nyavu zichakazeni morison katengeneza chance nyingi sana
ok
Wwwwwwwwwwwwwwwawkwawwwwwwwwwwwwwww
Wwwwwww
yanga bahati sio yetu
Asilimia 75 tutashinda kwao
@@suzangregory6431 kocha akiweka kikosi cha ushindi mapema na wachezaji wa wakipewa motisha na wakitulia kwenye maamuzi yao,,tukiongeza na fitna zaidi za nje ya uwanja ushindi upo asilimia mia kipindi cha kwanza tunatakiwa tushambulie hari na mali,wataogopa..
@@bobrona9765 mungu atuone 2
Mayele apunguze uchoyo, sio lazima yeye tu ndio afunge🥺
Bado nafas tunayo, ni bahati tu haikuwa yetu ila Kama ni mpira tumecheza kwa kiwango Cha Hali ya juu Tena ukiangalia na timu yenyew si ya kitoto
Ibenge alikuwa kila akija anafikia YANGA Sasa Leo uchawi na mbinu alizofundishwa na YANGA anazitumia dhidi ya YANGA hiyo hiyo! Uchawi upo!😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Una
Hakuna tim lenye tabia za kijinga kama tim hili mara wapokee wageni mara wamchanie shabiki jezi mara wampe mbinu ibenge Kama tim ya visheta haya endeleeni kumpa mbinu huyo ibenge si alikua Rafiki yenu au sio ? Viongozi na Mashabiki akili zinawiyana. Pia endeleeni kuipamba na kuisifia tim kubwa barani Africa namba moja barani Africa kachukua ubingwa wa Africa mara 9 hoo imewekeza kuliko tim zote Duniani vuneni sifa mlizopewa haaaahaahaaaa wazee wa mdomo mrefu kama chupa.
Amna kk ibenge Africa 🌍 apa mfahi labda ulaya tu
Matumaini Bado yapo pamoja nanyinyi yanga .Mungu yupo nasisi
BINAFSI NAONA NAFASI YA KUSONGA KWETU NI KUBWA KULIKO INAVYOZUNGUMZWA
Sasa hivi mnaongelea uwezekano , mwanzoni mlituambia Al Hilal timu ndogo
😂😂😂😂😂😂😂
wamecheza vizuri yanga sema bahati na beki ya kati kunashida kidogo tu
Kabisa kaka ila kuna watu wanalala Mika wasio na subira
KWISHA HABARI YENU
Daima mbele nyuma mwiko kila kitu kina wezekana sina uwoga na Yanga tuta vuka tu kwa nguvu ya Mungu
insha'Allah
NA WAO WATAVUKA KWA NGUVU YA MUNGU.
jamani hii timu ni ngumu sana yanga wajipange kosa ni kutowafunga kipindi cha kwanza na baada ya kupata Bao la kusawazisha wakaona kumbe hata ushindintunaweza majamaa haya marefu yana mbio
kosa jingine la yanga pale mbele ni uchoyo wa pasi mayele siyo kila wakati funge yeye aone morrison anavyotoa pasi mpenyezo
Don't underestimate the again 😏🤫✋🏻Your team is good, but learn to respect your opponents, b,c you really don't realize the ferocity of Al Hilal when provoked... Even Al-Ahly of Egypt knows that well
Nikweli Simba ni wabovu Ila ndiyo wanao ongoza ligi kuu
@@emmanuelmtunda1668 ALIEKWAMBIA SIMBA WABOVU NI NANI??? ASHURA CHEUPE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kilichotokea kimeshatokea na kinaweza kutokea kwa timu yoyote kufunga si ubora wa mchezaji bali ni idhini yake Mola kumruhusu kufunga na ndio maana hata jana Chama alikua afunge akaishia kushangaana kupiga mpira goti likewise zimbwe junior aliunawa mpira kana kwamba ni kipa akawapa fursa wapinzani huu ni mchezo tu kama yanga ina nia lazima njia itapatikana kwa idhini yake Mola na kila kilichotokea ni kwa idhini yake Mola hamna jipya hapo timu kuba yenye uwezo wa vijana bado haileti matokeo sio jambo la kushangaza kikubwa ni kuwapa support wachezaji panapostahili nae Mungu muweza ataamua yake kumlaumu coach wachezaji kuhuzunika haisaidiii bali ni kujirekebisha palipokosewa na kusonga mbele kumtanguliza Mungu Penye nia Pana njia tu hata iweje
Naaam hapo umenena, Maana tumeshambulia, na tumewakosa magoli ya wazi na possesion yetu ilikua 62.
🙏👍
Naona mmeiacha kauli yenu kufur "Iwe Jua iwe Mvua"
@@robertnoel5232 kauli itabaki kua kauli kwani ni jinsi ya kujipa confidence nakumbuka so far mlikuwa na kauli za kufuru kipindi cha nyuma kidogo ila hamkuona kuwa ni kufuru
Jamani acheni uongo yanga imejitahidi ila beki hatuna
Fact
Ingekuwa hatuna baki Basi tungefungwa 8, na Kama tungekuwana forward tungeshinda 8,
Mpila ambao young anacheza hv sasa yani sioni mpinzani kwenye league wakumsumbua
Ni kweli maana anaweza kumfunga mtu 5
Anaweza kumpiga Tabora United 3-1😂😂😂😂
Omba mechi ya kirafiki na Tabora United 😅😅😅😅
Yupo Azam
Tatizo mayele gol moja unashabikia Kama ndio umemaliza gem
Goal keeper wa alhilal
Huyu morison ni balaaa mnooo 🔥 🔥 🔥
MM NI SHABIK WA SIMBA, LAKIN IBENGE BADO AJAMUWEZA NABI MCHEZO UNAJIONESHA WENYEW, YANGA NI TIMU NZURI, UYO MAYELE, AZIZ NA MORISON NI HATARI, NINAAMIN WATAPATA MATOKEO KWAO, YANGA WAMEUPIGA MWINGI SANA APA
UPO SAHIHI SANA,!! Kwanza Yanga walitaka kumajili Ibeenge. Akatumia Fursa hiyo kuwasoma. Leo amekuwa adui. Tuwaombee Simba pale Angola.
Al hilal wanafungika, Yanga bado wananafasi yakusonga mbele
Yanga je hawafungiki?
Mwaka mzima yanga awajapoteza mechi ya kiushindani na mechi inayo fuata hawata fungwa
Yanga mamae hakuna bahasha hapo nikupambana nimependa matokeo hayo safiiii.
Haikua rizki yetu Wana yanga ila sisi ni Bora sisi ni yanga Africa
Hiyo offside ya Mayele ingekuwa bongo angeweka Kati Ila jamaa wako makini
Yanga timu tunayo, tumekosa magoli matatu au ma nne ya wazi kabisa
na ya kwao mangapi?
Mmh sasa mbona haifungi
Mayele Kagonga Goal qalii,,,ila tatizo Yanga Kipindi Cha Pili baada Ya Kuongoza Kama Walipoteana Safu ya Ulinzi Hususa Upande wa Kushoto,,,,ata Mkitoka bado mna nafasi Shirikisho watani
sidhani Kama uchambuzi wako upo sawa,nadhani uchambuzi ni taaluma unaonaje Kama unaipenda ukaitafute?
Yanga wamecheza boli nyiee anaebeza ni mchawi😅
Mgen on taget 6 mwenyej on taget 3 duh~~~SASA NANI ALIKUWA ANAWIITAJI WA GAME HAPO
Morison hakutaka kushangilia alitaka waende kati chap
Mayele mtu haswa, Morrison bado Yuko 🔥
Tunatobolea kwao bila shaka
Yanga wamezingua sana
Sanaa nimeumia yani huku Qatar wasudan wanitukana sana sina raha
@@jumakassim8718 SI UNATAKA SIFA KWANI LAZIMA UWAMBIE WEWE NI UTOPOLO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpira wamechaza vizuli nimependa ilaikua bati yetu Ila wananchii tuwe naimani natimu yetu🙏🙏🙏
IMANI YA NINI OUT VINYESI NYIE
maybe you have realized the meaning of team wrestling with the strength of Al-Hilal, but you will be sure of that inside the cemetery (Al-Hilal Stadium), b,c you don't know anything about (the cemetery☠️☠️) and the Al-Hilal fans... You should not have mocked us. We are waiting for you 💪🏻✌🏻
We love you
@@rithadonatus8110
We too💙💙💙
And all thank and repect to simba fans❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Yes with your cemetery that's why you are the whole time African champion
@@fabrisiowissa692
😂😂😂😂😂😂😂
am not the champion of Africa ، But the African champions always suffer in Al Hilal Stadium, so the North African media called Al Hilal Stadium (the cemetery of champions). Yaung is good team but not a champion opponent and is not compared to North African teams....
@@ahmedboosha4364 according to you,the ones who always suffered are the African champions but we are not,so you are going to be our stepping stone,just wait and see
Af mbna wachuma2 hawa waxomar kwayanga aminini 2tachowafanya apo kwao af makolo mkae kimya
Uje uniite Ashura mweupe, ukienda kutoboa kule
@@stevefuraha7550 usijiapize sana huunimpira
@@stevefuraha7550 HHH asant 🤣🤪
ANGALIYA YAKO KINYESI WEWE UMESHATOBOLEWA MBELE BADO NYUMA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@stevefuraha7550 NA HUKO ATATOBOLEWA TENA 3 BILA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mpira ulikua kwa yanga but haikua rizki
Hata hivyo Uto👉🏿🤢🐸👈🏿 wamejitahidi sana wakaonyesha kiwango wajitahidi huko Khartoum Sudan wakifuzu tu basi I'm sure Utoh 👉🏿👉🏿🐸🐸 👈🏿👈🏿🤣🤣 watakua na mafanikio mazir sana
Michezo mzuri but draw ya 1-1ni mbaya kwa yanga kuliko draw ya kutokufungana
Tuko pamoja na yanga mpaka watolewe
😂😂😂😂😂😂
Molson unaujua mpia,lakin fanyen maelewano dhabiti hapo mbele mnaonekana kutoelewana nyema mnakua na ulafi kwa kila mmoja
Dakika 46:00 mistake walofanya Al hilal ni kumwacha mayele aende kugusa nyavu wakati hajafunga huo ndo uchawi wake mkubwa 🥅😂
LEO KAKUTANA ELIMU YA VITABU KWISHA HABARI YAO.
Dah,angalau ungelipa ada ya tangazo la biashara hapa,wewe ni mganga tokea wapi aisee?
hawa tukifika kwao nikujilipua tuh wao watalinda kwasabab wana goal laugenin kwahyo n moto tuh hawa wala hawatup presha
hata wasipolinda ni kwenda mbele tu hakuna cha kupoteza
Unajilipua kwa wings hizo zenye mapafu ya mbwa ndani ya dakika 15 Yanga itakuwa imehakula 2-0
Hao sio mtibwa ndugu
Mpira mkubwa san kutoka kwa yanga ila wamezidiw kimaarifa sn....gemu inayokuj wajitahd wacheze mpra mkubw na maarfa yakutosh...yaan mpra ukiambatan na akili ..WATASHINDA
Kaka kila mtu akifika kwake akili zinaongezeka wale al hilal wanajua haya mashindano ukifika uwanjani kwa mwenzako unatakiwa utafute suluhu tu ushindi ni kitu cha ziada ngja yanga wafike ule uwanja wao wataona maana al hilal kushinda goli hata moja uwanjani kwao sio rahisi ww fatilia mechi zake
@@omaryhajji1393 Time will tell
Nyie ..vp kuhusu Ile karatas ya Nabi. Badala kumpa mchezaji anaenda yy! Hahahha
Mapungufu madogo tu kwenye beki line hasa wakati wa counta ila tuko vizur
Tunapiga kwao
Fiston apewe eshima yake
MECHI ya 43 NABBI Hajapoteza Mchezo Hadi SASA. KAZI nioja tuu, kupindia meza, ili WaTanzania tufurahi. Al hills wanafungika popote. Isipokuwa Mashabiki, ushangiliaji bado tupo nyuma Sana.
Yanga wanawazaga Derby tu Hakuna kitu ikicheza kimataifa
TENA KWA UCHAWI
الهلال متمرس جدا في ملعبه، سيعاني يا نقا كثيرا امام الهلال في ام درمان، بل سيري يانقا الجحيم الحقيقي هناك، هجمات علي راس كل دقيقه من الاطراف والعمق، مع هدير جماهير والتراس الهلال في ملعبه، يا نقا لن ينجو في المحرقه في السودان.
الهلال فريق كبير ومتمرس في دوري ابطال افريقيا،
يانقا الجحيم ينتظركم في ام درمان
جحيم حقيقي من الضغط المتواصل والكره الهجوميه وفنون كرة القدم
ستعرفون الهلال الحقيقي في ملعبه
هههههههه ستنظرون إن شآءالله هل هلال ممرسة أو ضعيف
Tatizo la Nabi siku zote ni kuchelewa kufanya sub. Hii usababisha wapinzani wajipange na kufanya counter-attack. Hili nimelishuhudia sana unatakiwa kuweka forwards ambazo zinasumbua kupunguza mashambulizi kwako. sijui kama huyo kocha analiona hili. mzito sana kufanya maamuzi ya kubadili wachezaji. Pia, Kibwana Shomari kama anampenda hatuna shida na ilo Ila akumbuke akipata winga machachari mwenye spidi zake kama walivyokuwa Al Hilal ni shida kwa sababu ule mguu siyo wake kiasili. siku ile alikuwa anapinduliwa mara kwa mara nusura atupe ugonjwa wa moyo
Aah kumbe na huku Kuna mzamiru yahsin??😎😋
Yassir Mzamir
Daaaaa mayeleee kaondokaaa kweliiii
Hizo ni hasara za ushindi wa bahasha.
Sintoshangaa kama Tukiwababua magoli 3 kwao wala sitashangaa maana wao wana mbio tu, nasi tunapaswa kuacha mtu mmoja nyuma mwenye mbio hasa tunaposhambulia, in fact tunacheza vizuri sana kuliko wao. Ndio maana walituogopa, ila tuamke mbinu ya vitochi wakitumia nasi tuwapake upupu wawashwe nayo si mbinu tu
Na kwa waislam, ina la yaay as min rawhi lwaha ila l kaumu l kafiriyna, hawakati tamaa ya rehema za mwenyezi mungu ila watu makafiri tu.
Kwa mpira huu yanga bahati Yao wangekoga goli nyingi hapa hapa kipa kafuta nyingi ukweli ndiyo huo, kwa mpira huu alhilal waliouonesha yanga hawawezi pindua meza kabisa
Ila kwa yanga hii simba tunakaz kubwa kiukweli jamaa wako vizur sio siri nime furahi wameonesha ukubwa wao kitu kilicho nikera nikushindwa nyumbani.ngoja kesho tuone wakubwa zao vle watafanya.
Tujifunze nn sasa apa naww, tujifunze nasisi kutoa sare ya bao nyumban kwetu au.?
@@stevefuraha7550 ukumuelewa wacha unafiki
Yanga welingia na matarajio.makubwa
Kazi kubwa ya nini? Narudia kuna tofauti kubwa ya kucheza na simba, ihefu, mtibwa na kucheza mechi za kimataifa ,yanga hii hii mnayoiona utashangaa wanaweza wasiingie makundi
Sasa kazi IPO kwenye lip!? Kuwatafutia tena nafasi nyingine za free kucheza kimataifa au kazi IPO kwenye nn