Allah wadhalikishe hawa nyuma mwiko walikudharau wakasema uwape malaika sisi hapa duniani hatuwawezi,kwa hiyo mpaka wakuombe toba lakini adhabu ya kufungwa iendelee mpaka masindano haya yamalizike Hadi mwaka kesho inshaallah.
Mungu aturehem kwa maneno yote mabaya yaliyotamkwa, na tunaomba utujalilie tuvuke salama kwenye huu wakati mgum tunaopitia,naamini Mungu ni mwema wanaotegemea kushindwa kwetu watashindwa wao.
Mpira ni maandalizi na kuwa na timu nzuri hayo mambo yakumhusisha Mungu sio kweli nakuchekana na kutaniana kwenye mpira ni vitu vya kawaida kwani hata nyie mmekua mkicheka na kuwakebehi wengine sjui pale Mungu hukaa wapi
Mashabiki wa Yanga wenzangu tuacheni maneno ya kukufuru allah anakasirika Sana hatuelewi tu,lkn maneno neno yasiyoeleweka tunamkosea Allah tuyaache,makolo yaliwakuta hayo watu walihama Dini sababu ya Simba kilichotokea mnakijua,,tuacheni maneno ya kumkasirisha Allah
Samahani Ali kamwe kuwamakini tunaomba mpumzishe aziziki aingie pakome nachama mbaleke au mzize mtu Abe msizubutu kumtoa hataiweje max zengeli Hawa watatu wanaelewana kama auchobhayupo aingie mkude jamani tunaumia kupigwa kama ngoma
Tusiwe wanafiki ndg zangu yanga kiwango cha wachezaji ni mzee magoma ndo aya yote yanga inayopitia kipindi kigumu yule shetan mkubwa natamka leo yang ata wafsnyeje sion ushind wachezaji wamefungwa miguu
Alhamdulilah kwa kufika salama na tunamuomba Allah kwa mapenzi yake wapate ushindi mpira ni ajila
Mungu atujalie nguf tushind gem mungu utusaidie amen
Mungu hawez kuwasaidia. Kwakua mlimuambia hamuon timuyoyote hapa dunian. Labda awaletee maraika.
Mungu ibariki yanga❤❤❤
May Allah atusamehe kwa Yale baadhi ya mashabiki waliyatamka,naiombea Yanga ushindi
Mungu tubaliki tupate point tatu ishall
Mungu ibarike timuyet ya yanga ushind
Mungu wape nguvu wachezaji wetu washinde.
Allah tujalie nguvu na ushindi Ishaallah
Allah wadhalikishe hawa nyuma mwiko walikudharau wakasema uwape malaika sisi hapa duniani hatuwawezi,kwa hiyo mpaka wakuombe toba lakini adhabu ya kufungwa iendelee mpaka masindano haya yamalizike Hadi mwaka kesho inshaallah.
Do or da 💪🏻
Mungu awalinde vijana kila maumivu Yana mwisho wake tunaamini tutavuka tu
Mungu awenanyi
Mungu aturehem kwa maneno yote mabaya yaliyotamkwa, na tunaomba utujalilie tuvuke salama kwenye huu wakati mgum tunaopitia,naamini Mungu ni mwema wanaotegemea kushindwa kwetu watashindwa wao.
Mpira ni maandalizi na kuwa na timu nzuri hayo mambo yakumhusisha Mungu sio kweli nakuchekana na kutaniana kwenye mpira ni vitu vya kawaida kwani hata nyie mmekua mkicheka na kuwakebehi wengine sjui pale Mungu hukaa wapi
Usimpe mungu kazi za hovyo ombea wagonjwa huko mpira wala hauitaji yote hayo
Mashabiki wa Yanga wenzangu tuacheni maneno ya kukufuru allah anakasirika Sana hatuelewi tu,lkn maneno neno yasiyoeleweka tunamkosea Allah tuyaache,makolo yaliwakuta hayo watu walihama Dini sababu ya Simba kilichotokea mnakijua,,tuacheni maneno ya kumkasirisha Allah
Kila la kheri wapambanaji wetu tupo pamoja na timu yetu
Kumbe unaheshima unazungumza kwa upole kufungwa ni haki Yako tu
Mbona hawafanyi mazoezi ya mpira?
Kamdoomo! kamdomo kha!🤣🤣🤣
Samahani Ali kamwe kuwamakini tunaomba mpumzishe aziziki aingie pakome nachama mbaleke au mzize mtu Abe msizubutu kumtoa hataiweje max zengeli Hawa watatu wanaelewana kama auchobhayupo aingie mkude jamani tunaumia kupigwa kama ngoma
Ally Kamwe tunaomba wachezaji wajitume na msiwaonyeshe wanapofanya mazoezi
Tusiwe wanafiki ndg zangu yanga kiwango cha wachezaji ni mzee magoma ndo aya yote yanga inayopitia kipindi kigumu yule shetan mkubwa natamka leo yang ata wafsnyeje sion ushind wachezaji wamefungwa miguu
Nani kamuona kilagosi kakonda😅
Tunawatakia kila la heri wapambanaji
Mlisha zalau kwamba ad waje malaika lakn nakwambia mtapgwa tu mmi Niko pale
Mzee wa masimango
Mfungwe tu midomo ishonwe mana mmezid mdomo
Uache mdomo msemaji wetu
Kila la kheri TP MAZEMBE
Kamdomo
Mpla auchezwi mdomoni Yan amjakoma tuu kweli wenye akili ni wawli tu
Mpira
MASHABIKI WATUBU WALISEMA WANATAKA MALAIKA WACHEZE NAO HAPA DUNIANI HAKUNA TIMU
Nyinyi ni kufungwa Tuu hakuna chengine
hivi wanacheza lini jamani
TAIFA LINAKWENDA KUPATA AIBU KWA MARA NYINGINE TENA TAREHE 14
Kolo original 😅