I am from Sudan, Al Hilal funs, really Yanga is a very amazing and great team, the future for them, i am shure for this Yanga team all Al Hilal funs not foreget your team, because it is very very strong team Big Regards Adil Siddiq
yes I am Sudanese and a Hilal fan💙 Everything you said is absolutely true👌🏼 Yanga is a very strong team, they just need experience Al Hilal is an experienced team at the level of Africa and has a smart coach and players who have experience in the tournament and major matches Best of luck in the CAF Championship
Yanga ni team nzuri bt shida ni mabeki tu wamejisahau alafu uchoyo wa kupeana pasi kwenye goli la mpinzani bt yanga katolewa kiume congratulations yanga next time inshaAllah 🙏🙏🙏
Achana na usimba na uyanga ,hapa ilikua Alhilal na Yanga ,baada ya kipyenga cha mwisho Alhilal wanaonekana kukubali wamekutana na Bingwa ,well-done Yanga , Rudi nyumbani kibabe kafanyie kazi mapungufu na kazi iendelee .
yes I am Sudanese and a Hilal fan...💙 Everything you said is absolutely true👌🏼 Yanga is a very strong team, they just need experience Al Hilal is an experienced team at the level of Africa and has smart coach and players who have experience in the tournament and major matches.... Best of luck in the CAF Championship💝
I am Sudanese and Hilal is my love... Yanga is good team , Very strong offensively and weak defensively The experience of Al Hilal players and the intelligence of his coach beat Yanga, and some Yanga players and administrators underestimated Al Hilal a lot😏😏😏😏 but the response was thunderbolt inside the stadium 💪🏻 I have a question... Does Yanga use magic and sorcery in football matches?
Thanks for compliments but see see our backs at the time when the assist was being passed to the scorer they completely neglected the scorer. In Dar es Salaam happened nearly similar.
It's an average team. The manner in which they won against CECAFA teams St. George & Young Africans doesn't suggest they will go past group stage. They look disorganised
@@Joe-tr2vk Alhilal team now has the lesser national players quality in the last 20 years. That fact alone should tell you how much all other CECAFA zone teams suck. So the point is that even at our worst we maintain presence in group stage and we can easily knock out any team in CECAFA because of our name alone.
@@TheXideas Apparently you have a couple of foreign players,do you mean having more locals makes your team better? We used to play against you often in CECAFA club championships back then, I don't remember a single time Al Hilal was considered a threat.
@@Joe-tr2vk The foreigners allowance by SFA just started this season, but still my point stands that this is the least talented backbone we had in the last 20 years. Anyway about the encounters you must be mistaken.. Al hilal rarely competed directly in CECAFA but very famously played 1987 and 1992 CAF CL FiInal against Al Ahly and Wydad, also a half dozen semi finals between 2007 and 2015. You must've really started following CAF recently with the new fuss of simba and yanga...
Dah ndo nimemuelewa msuva kuhusu team ya YANGA Kweli yanga wamecheza vizuri ila wamezidiwa uchawi yanga kiuchawi Bado sana mana kama una akili timamu ukiangalia hi game utagundua kuwa ilikua na quality nzur ila wamefeli kwenye kuroga Al hilal walikua vizur kwenye uchawi
Yanga Africans walikosea nyumbani tu, wenzetu wanauzoefu na technique za kutibua mipango msicheze mpira, mmeupiga mwingi ala mbinu za figusu zitushinda kuanzia kwa muamuzi hadi wachezaji wa Al Hilal
Big up Yanga japo sio hatua kubwa Ila nayo ni hatua hii.....soo all I can say is that next time guys pull up ur socks do ur homework na Muwakilishe taifa Vyema.
Timu zetu zilikosea kidogo tu. Azam walikosea kuruhusu magoli mengi ugenini bila wao kupata goli. Dar yanga walikua wawatandike hao alhilal kwa mkapa angalau 2. Hao alhilal si timu. Hongera simba. Hongera Yanga. Azam next time inshaallah
@@jeskalutind2350 sio sisi tutafikanwapi. Tathmini halisi ni kukubalia uhalisia kwamba ligi ya ndani mnashinda kwa bahasha Hamto pata maendeleo mpaka muwache kuwa wa mbeleko
Na nyie muhonge hivi kwasasa kiongizi mkubwa wa soka yupo simba tff kalibia yote wapo simba sasa sisi tunamuhonga nani hasa hakafu kama inawezejana na nyinyi muhonge tunaongelea ligi ya mabingwa Africa kambe la mwaka gani mlilo shinda acheni kubwabwaja tupo levo moja tu hamna la maana
Niambie ubora wa timu ambazo simba amekutana nazo kimataifa.Usiongee bila kujua unachoongea.Kama simba waliweka kambi nje naniubora wao kwahilo mbona wamefungwa na timu ambayo haikuweka kambi nje ya Nchi? Nalo hilo utasemaje?tafakari kabra yakuongea.Mpira nimchezo wamakosa,makosa yaliyofanywa na Yanga ndiyo yamewagharimu.Kuanzia mechi ha kwanza hapa nyumbani.
Ila nyie utoporo fc mnatumia Sana uchawi mkicheza na Simba yanga mnatuwangia Sana ,,me nawashauri yanga msitumie ndumba mnapocheza na Simba na msinunue mechi kwenye izi Tim ndogo tumieni ufundi acheni short kati tokea 1998 mpaka Leo hamjaingia makundu acheni janja janja
Maandalizi yenu ni ya Zima moto haya mashindano ni makubwa mwakani nendeni hata congo mkajipime nguvu Kule na vita na tp mazembe ndio mtaingia makundi hizo timu Zina uzoefu na haya mashindano
Yanga sio timu mbaya tatizooo lao hawako tayriiiii kimwilii na pia kiakilii kwanzaa ni wazitooooo ingelikuwa mm kocha siku tatu nzima nawapeleka kwenye vilimaa wakakimbize upepooo huko sio kula bure na kupokeya mishahara mikubwa uwanjani hakuna chamaaana wanochofanya mbwaaa hawa kaziii wanatutiya hasara tu
Walikua wanaoga 3 bila upendeleo washkuru marefa hao Utopolo,, arabun Hamna meza kuna miswala tyu😂😂 na ukitaka kuona vita yakidunia kapindue mswala arabuni🤣🤣
Sijawahi kuona baki anaruka juu hili mpira huwingie golini angalieni Baki wetu wa yanga wakati mfungaji anafunga beki wa yanga anaruka juu hili mpira ujae nyavuni wana yanga ebu angalieni hili bao kwa vizuri je ni kwa nini back wa yanga anaruka juu ?
Tutafanya vizuri shirikisho.Nanguvu yakuingia shirikishao tunaanza na simba.Umeuona mpira wa wanaune? wako ugenini wenyeji wana jirinda.Ukiona timu inaitwa kubwa inajirinda ikiwa nyumbani jua imeshinda kwabahati tu haitakuwa na safari ndefu inakokwenda.
Nyie jamaa! highlights za soka mnaweka dk 15! Angalieni wenzenu wanavyofanya, just minimize it please, iwe fupi lakini tamu, sio dakika zote hizo 3 - 5 is more than enough. Maoni tu lakini🙏
Mwaka gan yanga ilicheza makundi msijitie uchizi hapa tangu enzi hizo hatujazaliwa miaka 20 huko nyinyi ni vibonde tu kule hakuna akina kayoko mnowapanga.
Bado naipenda yanga huu ni mchezo wa mguu next time InshaAllah
We will come back stronger💪 in the next season 💛💚 in shaa Allah
Let's focus on the next matches... CAFCC
Kama ulivyosemaa...tuko on 🔥 na mungu aendelee kuwa nas
We will again inshallah
Al hilal and Almerrikh the kings of f CECAFA, Sudan only side in CEAFA to always have two teams in CAFCL
Watanzania mnatabiayakusahau mema haraka yanga ni timu kubwa sema bahati haikuwepo , Juzitu wamesahau ma kombezote yanga wameshindamwakajana.naipendayanga nikiwa congo rdc goma🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
ww vp timu kubwa kwa lipi ligi ya mabingwa makundi ty hajawahi fika toka 1998 ww vp kojoa ulale
@@mgangaruban9383 kutokuingia makundi haibatilishi ukubwa wa Yanga, still yanga ni team kubwa
anaukubwa gan kojoa ulale huez kujiita mkubwa kwa kumkamia simba na kumfunga ihefu na akija vipers anakupiga kama ngoma
Ungekuwa tz ungekuwa unajua n kwann walichukua hayo makombe huku ndani utopolo wanahonga marefu
@@mgangaruban9383 muulize mkubwa amefanya nn Africa hii.. Anamjua nani?
Hongera sana timu yangu na pia poleni na majukumu naamini tumefeli hapa ila mazuri yanakuja 💛💛💛💚💚💚💚💛💛💛💚💚💚💚
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hamuna kitu
Sawa we ndo una kitu
@@abelfrancis8437 we ndo una kitu
Usinune sasa😆😆😆😆😆
@@salamasaidi6620 kuna wat wmentukana kusema simba ndo waakiilish wa taifa letu ila huuuuu ndio ukwel kama vp waseme nnani anaewaklsha marazote😁
I am from Sudan, Al Hilal funs, really Yanga is a very amazing and great team, the future for them, i am shure for this
Yanga team
all Al Hilal funs not foreget your team, because it is very very strong team
Big Regards
Adil Siddiq
Still together my team
Tunaipenda timu yetu Yanga daima mbele hongera wachezaj mmejituma💪
Utajiju wametobolewa walabu sio pw
Yeees
You have good team , yanga is strong team
I am sudanese and hilal fan💙💙
Good luck bro
Wamejtuma ila walisahau kwenda na kayoko kama Refaa
Waje saa hii tuko na akina pacome mbwa kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sasa pacome atafanya nn kwa hwa
𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗴𝘂 𝘄𝗲 𝗻𝗼𝘂𝗺𝗮 𝘂𝗺𝗲𝗿𝘂𝗱 𝗸𝘂𝗳𝘂𝗳𝘂𝗮 𝘆𝗮 𝘇𝗮𝗺𝗮𝗻😂😂😂😂
𝗪𝗮𝗷𝗲 𝘄𝗮𝗷𝗲
Forever young 💚💛🙏
Pole kwa maumivu dada. Hahahaha
@@Joe-tr2vk Ahsantee😢
nothing come easly until you do much practice.. let's keep moving and get experience and get to learn
yes
I am Sudanese and a Hilal fan💙 Everything you said is absolutely true👌🏼 Yanga is a very strong team, they just need experience
Al Hilal is an experienced team at the level of Africa and has a smart coach and players who have experience in the tournament and major matches Best of luck in the CAF Championship
Asanteni kwakushiriki
Yanga ni nzuri ktkt na mbele ni wastani
Na nyumba iko na mapungufu kwa upende wa speed na making yao sio. Nzur
Kifupi yanga nyuma ni 0 hamna ktu wa alhilal wanapita mpaka wanampita huyo dr mwenyew
Kwan mwaka gan yanga ilicheza makundi msijitie uchizi hapa
@@mahengomwenyewe4204 jaribu kutumia akili basi japo kdg watu wanazungumzia udhaifu wa kikosi we unaongelea habari za makundi Daah! 😂😂🤣🤣
@@seifmiraji43 hahahaaaaa
11:00 Imoro Ibrahim from kotoko with brilliance 💙💙
Poleni sana yanga, rudini nyumbani tena kwa basi
Al Hilal has a great audience Had it not been for luck, the score would have been 3-0 in favor of Al Hilal
Yes Alhilal is a big team in Africa ..congratlations go to group stage ...I hope win and win always
Yanga ni team nzuri bt shida ni mabeki tu wamejisahau alafu uchoyo wa kupeana pasi kwenye goli la mpinzani bt yanga katolewa kiume congratulations yanga next time inshaAllah 🙏🙏🙏
👏💛💚🙏
Hakuna cha kutolewa kiume... kufa ni kufa tu
@@jojigeorige1056 MIZOGA HIYO
Jifariji tu,ungeutumia vyema uwanja wa kwenu yasingewakuta hayo
Achana na usimba na uyanga ,hapa ilikua Alhilal na Yanga ,baada ya kipyenga cha mwisho Alhilal wanaonekana kukubali wamekutana na Bingwa ,well-done Yanga , Rudi nyumbani kibabe kafanyie kazi mapungufu na kazi iendelee .
TOWA NJAMBEE TOWA NJAMBEE OUT
Shirikisho tutafanya vizuri.Naamini son,tutakutana nawatani zetu kwenye hatua ya pili ya kombe la shirikisho.
ulikula kweli jana ww
Mwanzoni nilidhani labda Azam TV wanatuonesha mechi ya marudio iliyochezwa zamani huko mana ile quality na zoom in daah😂😂😂
Well received, thanks
Azizi💪💪
Viva Yanga Viva Wananchiiii 💚💛🏆💪🎖️
Yanga still a strongteam no lie though Kuna makosa kias in defence . ...Ila hao jamaa walijipanga zaidi
jifaliji
yes
I am Sudanese and a Hilal fan...💙 Everything you said is absolutely true👌🏼 Yanga is a very strong team, they just need experience
Al Hilal is an experienced team at the level of Africa and has smart coach and players who have experience in the tournament and major matches....
Best of luck in the CAF Championship💝
Yanga ni team ndogo sana inaweza kumfunga tu simba ila sio kuwakilisha taifa wallah simba nguvu moja mtetez wa taifa letuu❤
malizeni maneno
sio kuifunga Simba Bali uchawi wao unaishia kuikamia Simba kitaifa utawaroga wangapi,
Kabisaaa
Kufungwa iyo nikawaida haijalishi team kubwa wala ndogo
@@zunnahmohammed4719 KWELI WASHIRIKINA SANA HAWA TOWA NJAMBE
I am Sudanese and Hilal is my love... Yanga is good team , Very strong offensively and weak defensively
The experience of Al Hilal players and the intelligence of his coach beat Yanga, and some Yanga players and administrators underestimated Al Hilal a lot😏😏😏😏
but the response was thunderbolt inside the stadium 💪🏻
I have a question...
Does Yanga use magic and sorcery in football matches?
No it is Al hilal Perfom sorcery
Wanao kuja kuiangalia Yanga baada ya kuingia Semi final tujuane 😅😅
Yanga is a good team iam Hilal fan
Thanks for compliments but see see our backs at the time when the assist was being passed to the scorer they completely neglected the scorer. In Dar es Salaam happened nearly similar.
Yanga n takataka kimataifa ..man from Mbez Dar as salam Tanzania
Alhilal never been eleminated by CECAFA zone team in CAF championships
It's an average team. The manner in which they won against CECAFA teams St. George & Young Africans doesn't suggest they will go past group stage. They look disorganised
Taifa liko mikono salama mwa she simba
@@Joe-tr2vk
Alhilal team now has the lesser national players quality in the last 20 years. That fact alone should tell you how much all other CECAFA zone teams suck. So the point is that even at our worst we maintain presence in group stage and we can easily knock out any team in CECAFA because of our name alone.
@@TheXideas Apparently you have a couple of foreign players,do you mean having more locals makes your team better? We used to play against you often in CECAFA club championships back then, I don't remember a single time Al Hilal was considered a threat.
@@Joe-tr2vk The foreigners allowance by SFA just started this season, but still my point stands that this is the least talented backbone we had in the last 20 years. Anyway about the encounters you must be mistaken.. Al hilal rarely competed directly in CECAFA but very famously played 1987 and 1992 CAF CL FiInal against Al Ahly and Wydad, also a half dozen semi finals between 2007 and 2015. You must've really started following CAF recently with the new fuss of simba and yanga...
Yanga mmepambana Ila wenzenu walijilinda sanaaa poleni wachezaji wetu
Hongera Al hilal
I like the way Mashabiki wanashangilia mwa mwi Simba tupite na hii kama vitu
Unaona wenzetu walivyo na teamwork! Angalikuwa forward wa Yanga pale angelazimisha kufunga mwenyewe. Ubinafsi. Wote wanajifanya mastar.
Wa tz tujifunzi kwenye ushangiliaji
😂😂 Ile mechi ya Simba watu waliwekewa bendera za kupeperusha wenyewe wakazitumia kufuta viti wakazikalia😂😂
💙💙💙💙
Please shorten highlights za mechi.
Aya toeni mwiko nyuma sasa😂🙌🐸
Dah ndo nimemuelewa msuva kuhusu team ya YANGA
Kweli yanga wamecheza vizuri ila wamezidiwa uchawi yanga kiuchawi Bado sana mana kama una akili timamu ukiangalia hi game utagundua kuwa ilikua na quality nzur ila wamefeli kwenye kuroga Al hilal walikua vizur kwenye uchawi
Wee unaongey uchawi gn xx dah
Utopolo bana😁😁
Turudi tu kwakipozeo wetu
Yanga Africans walikosea nyumbani tu, wenzetu wanauzoefu na technique za kutibua mipango msicheze mpira, mmeupiga mwingi ala mbinu za figusu zitushinda kuanzia kwa muamuzi hadi wachezaji wa Al Hilal
Your team couldn't attack all the game and you say trickery!
How many shots on target your team have? 1?
TOWA NJAMBE OUT 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
فريقك لم يصل إلى مرمى الهلال وتقول خداع ؟
الهلال السوداني فريق كبير ولديهم خبرة المشاركة المتواصلة في البطولة الأفريقية
إنه الهلال فريق كبير
مع اعترافنا بتميز الشباب
Yanga ni timu nzuri, ukiangalia hii match tukitoa Usimba na Uyanga unaweza kukubali kuwa Yanga wamekutana na Timu bora kwa level hii na wamejitahidi
Timu hii ni ndogo sana kwa simba ila kwa yanga ni kubwa mno
WANA UBORA GANI MIZOGA HAO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@ramaiyahb6606 KWELI
Endelea kujifariji
الطيب عبدالرازق 🔥🔥🔥🔥
كالالا جوه جيبو😂💪🏻✌🏻
🎼TAARIFA🎼
Kuna mzoga umeokotwa Sudan 🇸🇩
Utaletwa tanzania 🇹🇿
kwa ajili ya postmortem.
Wanaombwa wananchi wakaupokee
KWELI LAKINI HAWA YANGA NI KAMA MBWA TU
All in all good game
Ali kamwe aache uongo mashabiki wa Al hilal wameshangilia mwanzo mwisho
Big up Yanga japo sio hatua kubwa Ila nayo ni hatua hii.....soo all I can say is that next time guys pull up ur socks do ur homework na Muwakilishe taifa Vyema.
Timu zetu zilikosea kidogo tu. Azam walikosea kuruhusu magoli mengi ugenini bila wao kupata goli. Dar yanga walikua wawatandike hao alhilal kwa mkapa angalau 2. Hao alhilal si timu. Hongera simba. Hongera Yanga. Azam next time inshaallah
Kuna mzoga wa mbwa koko umeokotwa Sudan 🇸🇩
Utaletwa tanzania 🇹🇿
kwa ajili ya postmortem.
Wanaombwa wananchi wakaupokee
Hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
tuone nyie mtafika wapi
@@jeskalutind2350 sio sisi tutafikanwapi.
Tathmini halisi ni kukubalia uhalisia kwamba ligi ya ndani mnashinda kwa bahasha
Hamto pata maendeleo mpaka muwache kuwa wa mbeleko
Na nyie muhonge hivi kwasasa kiongizi mkubwa wa soka yupo simba tff kalibia yote wapo simba sasa sisi tunamuhonga nani hasa hakafu kama inawezejana na nyinyi muhonge tunaongelea ligi ya mabingwa Africa kambe la mwaka gani mlilo shinda acheni kubwabwaja tupo levo moja tu hamna la maana
Unbeaten wapiiii
okey is ELENGE RICHERD
🤣🤣🤣walio KUJA kutazama hi video BAADA yaku sikia hawa JAmaa Wana kuja kuweka kambi tanzania kwa michezo yaki rafiki tujuane kwa like plz😒🙏
Akuna cha azizi funguo wala manywele😂
😂😂😂😂🙄
Uyu Bakali Ni Pumbavu Kabixaa Kwaza Lina Kigugumizi Kwenye Ukabaji Lizito Sanaa Kwenye Ukabaji
Sasa azam dk 15 za nini 2 zinatosha maan hawana skills
Hii team yenyewe n mbovu sema utopolo nao n vibonde sana
Tatizo lilianza kuweka mwiko nyuma😂😂😂🙌
YOUNG AFRICANS CLUB SAFARI IENDELEE
Waje Tena hii sio yanga ya mchezo mchezo
Nyiye hmn timu ile ya kubebwa na refa
Bado unasema yanga siy ya kawaida😅😅😅😅😅😅
Ongeeni na gsm mpate mechi nyingi za kirafiki za kimataifa Ili mpate uzoefu kabla ya kuanzia haya mashindano mwakani
Beki ndo imesababisha goli hapo.
Offside vipi wakati kipa kacheza
Raha sana kufanya mazoezi na pri sizon avic town, wkt wenzetu wanaenda sehemu sahihi viongozi wanabana bajeti na kucheza na akina mbuni fc
Niambie ubora wa timu ambazo simba amekutana nazo kimataifa.Usiongee bila kujua unachoongea.Kama simba waliweka kambi nje naniubora wao kwahilo mbona wamefungwa na timu ambayo haikuweka kambi nje ya Nchi? Nalo hilo utasemaje?tafakari kabra yakuongea.Mpira nimchezo wamakosa,makosa yaliyofanywa na Yanga ndiyo yamewagharimu.Kuanzia mechi ha kwanza hapa nyumbani.
Jamani 😔💔
Pasi 3 t goal ovyo kabsa😂🤣🤣
Jifunze hukmu za quran gusa picha yangu mara 2 hapo kushoto kama hautojali
kujilaza laza nayo ilikuwa inaharibu mudi ya wachezaji wetu
makolo wanatamani waseme yanga mbovu lakini wakikumbuka tunavyowawekaga nje ndani wanabaki kusonya tu
Yanga mbovu nn atesek na hiyo timu timu mbovu
Mimi ni simba Ila yanga mmejitahidi kwakweli hii timu s ya kubeza kusema ukweli mpira wamecheza na na keeper wa yanga amenitahidi sana
Huyu yasir muzamil ni adui WA yanga
Utopolo hizi level bado san hata kweny ligi n marefa ndo wanawabeba 🤣🤣🤣
Yanga kwa sababu ya hii mechi naombeni ruhusa niwaite utopolo ila nimefurahi Farid musa km sabu kaingia sio nabi
Wapi shombo?
Ila siwashangai yanga ufundi wenu ni kuiloga Simba mkiifunga Simba ndo mshafuzu kimataifa basi ndo akili zenu zilipo ishia ,,
Naomba kunywa juice ya boksi kwa mangi nitalipa
Acheni simba wafurahie vizuri
Waliocheza hapo ni Azz ki feisal na morisoni wengine nimakopotu
2liwaambia uko akuna meza yamewakuta ila mcjar nchi bdo ipo salama mnyama amezid kuieshimisha simba baba lao wakimataifa og
Utopolo pigwa nje ndani 😁😁😁🤣🤣
Mwamnyeto sio beki aiseeee looo
Kumbe inaweza kufunga simba sasa porojo za nn
Tumecheza na timu cyo garasa
Tunaomba Tff mashindano ya Caf ikicheza yanga marefa wawe akina kayoko ili tuseme nao
Ila nyie utoporo fc mnatumia Sana uchawi mkicheza na Simba yanga mnatuwangia Sana ,,me nawashauri yanga msitumie ndumba mnapocheza na Simba na msinunue mechi kwenye izi Tim ndogo tumieni ufundi acheni short kati tokea 1998 mpaka Leo hamjaingia makundu acheni janja janja
HAWAJAINGIA NINI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hao Simba sio kama hawatumii uchawi wanatumia vizur mambo kuzidianatu
Ma nini😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maandalizi yenu ni ya Zima moto haya mashindano ni makubwa mwakani nendeni hata congo mkajipime nguvu Kule na vita na tp mazembe ndio mtaingia makundi hizo timu Zina uzoefu na haya mashindano
Mwamnyeto sijui ameingiwa na nn saiv
Yanga tafuteni mechi nyingi za kimataifa za kujipima nguvu kabla ya kucheza haya mashindano kama simba ndio mtatoboa
Alafuu Mabeki Wa Yanga Kwanini Wanapo Kwenda Kukaba Wana Shinda Kuangaliya Maduwe Wao WA Nangaliya Maduwe Ukweli Atuna Mabeki
DAAH UTOPOLO KUTOLEWA ITAKUWA SHIDA SANA. SOON WATAANZA KUWAPOKEA TEAM ZA KIGENI
Mm ni shabiki wa young ila kwanza mpira ni haramu
mpira haramu wapi?
Yanga sio timu mbaya tatizooo lao hawako tayriiiii kimwilii na pia kiakilii kwanzaa ni wazitooooo ingelikuwa mm kocha siku tatu nzima nawapeleka kwenye vilimaa wakakimbize upepooo huko sio kula bure na kupokeya mishahara mikubwa uwanjani hakuna chamaaana wanochofanya mbwaaa hawa kaziii wanatutiya hasara tu
Eeeh ndo hyoo hyoooooo,nyoko😂😂😂😂😂😂
Vipi kutetema Kwan mayele Hakua.. Nasikia mayele akiwa Hua hapaharibiki jambo
Njooni mulinde nyumba huko wanaume tukawataftie nafasi nne tena
Hasira zetu....tunakuja kumalizia kwenuuu
Mwehu kwel😆😆😆😆😆
@@salamasaidi6620 .. kwel ndg yng we subir uone vumbi la sudan 2
🤣🤣🤣🤣🤣😁
duh,! usajili wa kimataifa kumbe ni kwaajili ya derby ya karia koo#
😋😂😂😂 aibu jamani bora wangefanya sare kama yalivowafanyia menyewe sasa nn hiki
Tatizo Yanga baada kuwafunga wale wanaojifunza soka kutoka sudan kusini wakajua na Al hilal ndio hivo hivo . Poleni UTOPOLO
Walikua wanaoga 3 bila upendeleo washkuru marefa hao Utopolo,, arabun Hamna meza kuna miswala tyu😂😂 na ukitaka kuona vita yakidunia kapindue mswala arabuni🤣🤣
Simba mbele nyuma mwiko❤️❤️❤️
Sijawahi kuona baki anaruka juu hili mpira huwingie golini angalieni Baki wetu wa yanga wakati mfungaji anafunga beki wa yanga anaruka juu hili mpira ujae nyavuni wana yanga ebu angalieni hili bao kwa vizuri je ni kwa nini back wa yanga anaruka juu ?
Wasubilie kutufunga Sisi Simba hahaha nikicheko
Tutafanya vizuri shirikisho.Nanguvu yakuingia shirikishao tunaanza na simba.Umeuona mpira wa wanaune? wako ugenini wenyeji wana jirinda.Ukiona timu inaitwa kubwa inajirinda ikiwa nyumbani jua imeshinda kwabahati tu haitakuwa na safari ndefu inakokwenda.
@@saimonijonas4356 mfamaji hakosi kutapa tapa 🤣🤣kushinda nikushinda tu hakuna bahati mbaya wala nzur🤣🤣Simba nguvu moja
Nyie jamaa! highlights za soka mnaweka dk 15! Angalieni wenzenu wanavyofanya, just minimize it please, iwe fupi lakini tamu, sio dakika zote hizo 3 - 5 is more than enough. Maoni tu lakini🙏
We umeeka gani shame on yu
Mwaka gan yanga ilicheza makundi msijitie uchizi hapa tangu enzi hizo hatujazaliwa miaka 20 huko nyinyi ni vibonde tu kule hakuna akina kayoko mnowapanga.
@@mahengomwenyewe4204 kilaza🤣🤣🤣
Yanga hatuna beki ya mwisho
Yanga tumetolewa...simba tunataka kombe hapa!! Maana tunatukanwa kama vile hilo kombe unaingia dukani tu unalinunua
🤣🤣🤣mtajiju
@@bernardzuhura4187 zilipitwa na wakati mbona🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🥲tulia
Ila Kwa mpira huu yanga tulikosaje goli jmn🤔 hawa Al hilal hawatatusahau
Nyie ndio hamta wasahau kwa sababu mnacheza bila malengo
mpira umechezwa kigugumizi pale golini ndiyo shida na Goli la mapema huwatoa wazezaji mchezoni, let us try next time