Kwan umeelewa ujumbe wake ,, hata Paul alisema enendeni kwake mkimtukuza yeye na furahini kwamaana yeye awatia nguvu😍. Sijaona baya hapo maana licha ya yote kasema haogopi mtu maana anaye baba anaye muweka mjini🙏
Asanti brother kwakusema ukweli ukiwa Rohoni uta elewa,hata Mimi sija upenda mwanzo wanapo Anza hizi Dance za kidunia kwenye gospel, MUNGU wetu ni Mtakatifu sana..... Amen 🇰🇪
Kaka Archana na nyimbo za kujisifu kabsa uanenda kupotea inaonkana unatuchamba.imba nyimbo za kutia moyo pamoja na kumsifia mungu kama mwanzo.tatazo ninyi wasainii mkitoka tu wanakuja wwatu wanawapa ushauri mwingi Hao wanakuja kutengeneza kwako unawaza kuwaza pesa kuliko kumtumikia mungu.sasa mijini unamtambia Nani kama watoto wwadogo wanaambizana baba yangu n tajr tunakula Wali Kila siku Archana na hayo mambo wimbo umeisha hakuna ujumbe weweto
Jaman kwan hapa ane sifiwa ni nani, Mungu ndio kamuweka mjini anajuakatokea wapi Alafu tuache kuwawekea mipaka watu et anatakiwa kuimba nyimbo za aina fulani
Lakin ww aujapata ufunuo wowote kuusu uu wimbo, can't you note the message from just the beginning? Message is he doesn't care about people but what he cares is Jesus
Son of God unaimba vizuri sana ila nakushauri achana na watu wanakushauri usilitaje jina la Yesu kwenye nyimbo ,mimi nlikuwa naimba ila hao wanaojiita wasimamizi waliponambia niseme tu Mungu ila si Yesu nliamua bora niimbie popote hata nisipojulikana ila jina la Yesu lazima liwe namba 1.
Nalitaja mara nyingi sana.Nikushauri kabla haujacomment fanya kwanza utafiti na usisikilize maneno ya watu. 1.Nikumbuke 2.Niokoe 3.Jina lake Yesu tamu 4.Ni tabibu 5.Kaa nami na nyingine nyingi sana.Usisikilize watu wanasema nini.Nakupenda🙏🏼.
@@ObbyAlpha mie shabiki yako tangu unaupload I think like a 3rd song na nyimbo zako zilizoko uploaded nazijua sana mtumishi na nlishasikia unalitaja sana jina la Yesu ,nilkuwa tu concerned ni hizi famous songs ila kama it's not the case then am sorry,love you too mwana wa Mungu
Waooh! good music,Na bado hautashikika zaidi na zaidi waliokuacha, Waliokutenga, Waliokusaliti, Waliosema hautafika mbali watakuona unapepea2 na naodha wako mwamba YESU akiongoza safari yako siku zote ❤❤❤, Barikiwa sana Mr ♥️.
Siku hizi mwimba injili akivuma anajisahau anajiona nae BongoFleva Super Star. Waimba injili simamieni msimamo wenu jina la Mungu mliimbe vizuri kwa heshima msijisahau , Bora alichagua bongo fleva mapema kuliko kigeugeu
Usifrahie views watu wanakupenda wa nataka kusikia umeimba nn kaka umezingu nyumbo za mungu mnaziharbu Goodluck alianza vyema alivyopenda pesa tu akaanza kuimba manyimbo ya kujisifu hakuna utukufu wa mungu.umechukua mpaka madansa wa nn sasa umesihuzunisha sana kka tubu mungu akurejesheee taranta yako ya mwanzo.
Ila watanzania kwa kujikuta wajuaaji hamjambo.. Kwan ambacho hujaelewa nn hapo ww... Hiii Ngoma inamsifu Mungu weweee... Hapa tunamshkuru kwa aliyotutendeaa.. acha kuropoka bila kufikiriaaa... BASI IMBA NA WEWE ILI UTUELEWESHE NYIMBO ZA UTUKUFU ZIPOJEE Mnakeraaaaaaaaa
Kwan Obby ni msanii wa kwanza kuwa na madansa mbona Rose Muhando alikuwa nao na hakuna kilicho alibika, mi nadhani kuliko wangeenda kucheza nyimbo zakidunia ni bora walivyo mchezea Mungu Na uhakika hii nyimbo itawavuta hata watu wa kawaida kujua Mungu ndio anafanya kila kitu May be this is not for you now.
Amezigua kweli, tumpe muda maana katika maisha kuna kujisahau pia atakaa atafakari kwa msaada wa Roho mtakatifu Naamini ataendelea kumtukuza Mungu kwa nyimbo za pure gospel. But kwangu huu wimbo ni secular 100%
Soma yeremia 17:5 utaelewa wew kwani hapo ni kujisifu au ana imba amekua hodari kupitia MUNGU sema watu mbaka muongee ndo mnajisikia sas kosa liko wapi apo
Thanks obby may the almighty God continue being the first option in your life because when is the first option, you have no any other options because he can never fail you
❤❤you're work Is Amazing!!! 🙏🙏🙏👌👌💯 aaaah yes my brother 💐💐 ahsanté Bwana ❤ mungu akubariki sana Always nakupenda again ❤beautiful💖💖 jinalabwa na yesu lisifiwe Amina❤ Amina 🌹🌹this ❤ this very ❤very Uok❤ yes yes ni munguu👂👂👂🤲🤲
YEREMIAH 17;5
*CONGRATULATION MAN OF GOD OBBY ALPHA*
You nailed it❤❤
Amen Amen Amen Amen Amen Amen
yes ❤ yes This very awesome ❤wow beautiful 💖💖 aaaah OBBY🕺🕺 Alpha❤ this Iagree aaaah ❤ hasanté Bwana ❤Alpha💖🕺
Yes ohh write
Kama una amini ni mungu ana kuweka mjin gonga like apa tuki zidi kubarikiwa na wimbo huu wa Obby Alpha 🎉🎉🎉
Wakenya wako wapi hapa ....tunakupenda ..kama unapenda huyu obby alpha..we tick
niliomba ushushe. wimbo wangu youtube Sina habari nao ft Japhet Zabron but hujashusha,umeokoka kweli?
endelea kusubiri
🎉🎉UNAWAKILISHA VYEMA UFALME WA KRISTO
Mungu Akubariki Mdogo Wangu 🎉🎉
Tatizo mnaanza vizuri mwisho mnakuja kuimba mipashi mpaka mnasahau mko upande gani kwa wimbo huu umezingua.
Kwan umeelewa ujumbe wake ,, hata Paul alisema enendeni kwake mkimtukuza yeye na furahini kwamaana yeye awatia nguvu😍. Sijaona baya hapo maana licha ya yote kasema haogopi mtu maana anaye baba anaye muweka mjini🙏
Asanti brother kwakusema ukweli ukiwa Rohoni uta elewa,hata Mimi sija upenda mwanzo wanapo Anza hizi Dance za kidunia kwenye gospel, MUNGU wetu ni Mtakatifu sana..... Amen 🇰🇪
Inatakiwa kusema Yesu , Mungu yupi anatafuta nyimbo ipendwe na watu wote ,
Jumbe za namna hii hazina afya kabisa, imbeni na nyimbo za toba watu wamrudie MUNGU wala sio kujisifusifu
kwan amekosea nn hapo. paulo anasema furahini katk Bwana tena nasema furahin!
Hii comment ukifika 100 likes,mniamshe😊
Kaka Archana na nyimbo za kujisifu kabsa uanenda kupotea inaonkana unatuchamba.imba nyimbo za kutia moyo pamoja na kumsifia mungu kama mwanzo.tatazo ninyi wasainii mkitoka tu wanakuja wwatu wanawapa ushauri mwingi Hao wanakuja kutengeneza kwako unawaza kuwaza pesa kuliko kumtumikia mungu.sasa mijini unamtambia Nani kama watoto wwadogo wanaambizana baba yangu n tajr tunakula Wali Kila siku Archana na hayo mambo wimbo umeisha hakuna ujumbe weweto
Jaman kwan hapa ane sifiwa ni nani, Mungu ndio kamuweka mjini anajuakatokea wapi
Alafu tuache kuwawekea mipaka watu et anatakiwa kuimba nyimbo za aina fulani
Lakin ww aujapata ufunuo wowote kuusu uu wimbo, can't you note the message from just the beginning? Message is he doesn't care about people but what he cares is Jesus
@@davidkomba9781yani mungu atusaidie sana kwakuwa wimbo wote ni kwajili ya mungu
Hiyo ni roho yakichawi, hutaki asifu mungu, sikiza wimbo Joel lwaga hapa ni wapi una ujumbe kama huu,
It's God that is keeping us not human.... it's written amelaaniwa ategemeaebinadamu.... He's very very right na hajisifu..
ni watu majasiri tu ndowanatakiwa kuimba hivi,waoga mtupishe tunaogopa laana alishasema alaaniwe anaeyemtegemea mwanadamu
Mungu asante nime maliza mwaka Salama nawe kwaakoo nisalama basii Weka liké hapo 🇨🇩
Obby napenda kazi yako lakini naomba urudi ule mtindo wa kwanza na pia hapo Mungu atakuinua tu.God bless you
Niko Igunga Tabora naisubiri @ hamu sana❤❤❤
Who is here from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
unyama ni mwingi sana humu
Son of God unaimba vizuri sana ila nakushauri achana na watu wanakushauri usilitaje jina la Yesu kwenye nyimbo ,mimi nlikuwa naimba ila hao wanaojiita wasimamizi waliponambia niseme tu Mungu ila si Yesu nliamua bora niimbie popote hata nisipojulikana ila jina la Yesu lazima liwe namba 1.
Nalitaja mara nyingi sana.Nikushauri kabla haujacomment fanya kwanza utafiti na usisikilize maneno ya watu.
1.Nikumbuke
2.Niokoe
3.Jina lake Yesu tamu
4.Ni tabibu
5.Kaa nami na nyingine nyingi sana.Usisikilize watu wanasema nini.Nakupenda🙏🏼.
@@ObbyAlpha mie shabiki yako tangu unaupload I think like a 3rd song na nyimbo zako zilizoko uploaded nazijua sana mtumishi na nlishasikia unalitaja sana jina la Yesu ,nilkuwa tu concerned ni hizi famous songs ila kama it's not the case then am sorry,love you too mwana wa Mungu
@@ObbyAlpha saw mwanangu hongera na usiache kumsifu MUNGU wala kutaja jina la yesu ni mim mama efeli
Sebene la yesuu 🔥🔥 mungu ndo ananiweka mjini sas niogope nini #sishikiki
Mwaka Mzima mungu ametuweka mjini wueh hata Mimi sishikiki
Si Shikiki mm Mungu ndo ananiweka mjini Siyo mtu
Nyimbo nimzur Sana namimi naisubili jmn nione nisikilize
Put God First 👈 simply...Obby Alpha 👈 have said it ALL ✅🎄
Waooh! good music,Na bado hautashikika zaidi na zaidi waliokuacha, Waliokutenga, Waliokusaliti, Waliosema hautafika mbali watakuona unapepea2 na naodha wako mwamba YESU akiongoza safari yako siku zote ❤❤❤, Barikiwa sana Mr ♥️.
Siku hizi mwimba injili akivuma anajisahau anajiona nae BongoFleva Super Star. Waimba injili simamieni msimamo wenu jina la Mungu mliimbe vizuri kwa heshima msijisahau , Bora alichagua bongo fleva mapema kuliko kigeugeu
Kwani lazma mtu aimbe akilia ndo akue anamuimbia mungu😂😂😂😂
From Kenya...Nakuru ❤🎉
Sehemu uliyowekwa na Mungu hakuna awezae kukutoa Mungu wetu ananguvu Sana 🙌
Ni Mungu ndio analinda na sio mwanadamu❤❤ praise God 🎉🥳🥳🥳🥳
Ameeeen❤❤❤❤❤ Tunafunga mwaka na hii sasa tukisema ni Mungu anatuweka mjini❤❤❤❤
Usifrahie views watu wanakupenda wa nataka kusikia umeimba nn kaka umezingu nyumbo za mungu mnaziharbu Goodluck alianza vyema alivyopenda pesa tu akaanza kuimba manyimbo ya kujisifu hakuna utukufu wa mungu.umechukua mpaka madansa wa nn sasa umesihuzunisha sana kka tubu mungu akurejesheee taranta yako ya mwanzo.
Bonge la kituu
Ila watanzania kwa kujikuta wajuaaji hamjambo.. Kwan ambacho hujaelewa nn hapo ww... Hiii Ngoma inamsifu Mungu weweee... Hapa tunamshkuru kwa aliyotutendeaa.. acha kuropoka bila kufikiriaaa...
BASI IMBA NA WEWE ILI UTUELEWESHE NYIMBO ZA UTUKUFU ZIPOJEE
Mnakeraaaaaaaaa
Kwan Obby ni msanii wa kwanza kuwa na madansa mbona Rose Muhando alikuwa nao na hakuna kilicho alibika, mi nadhani kuliko wangeenda kucheza nyimbo zakidunia ni bora walivyo mchezea Mungu
Na uhakika hii nyimbo itawavuta hata watu wa kawaida kujua Mungu ndio anafanya kila kitu
May be this is not for you now.
We ndo inaonekana hujui maana ya nyimbo zenye utukuf n nn,
Amezigua kweli, tumpe muda maana katika maisha kuna kujisahau pia atakaa atafakari kwa msaada wa Roho mtakatifu
Naamini ataendelea kumtukuza Mungu kwa nyimbo za pure gospel.
But kwangu huu wimbo ni secular 100%
definitely It's GOD for us all.
Amen ubariwe sana ni wimbo mzuri
Mungu ni jibu amekuweka na anaweza kukutowa amina watu tunakusapoti lakini umezinguwa
Soma yeremia 17:5 utaelewa wew kwani hapo ni kujisifu au ana imba amekua hodari kupitia MUNGU sema watu mbaka muongee ndo mnajisikia sas kosa liko wapi apo
Wanao comment negatively hakuna hata Anae jua namna ya kufungua biblia
Ubarikiwee sana kaka wimbo mzurii kwakwelii nimebarikiwaa
Wenye tunapenda Obby Alpha gather here❤❤ He is a blessing
Thanks obby may the almighty God continue being the first option in your life because when is the first option, you have no any other options because he can never fail you
Akuna mchambo kwenye mambo ya kimungu lzm useme yadunia yaliokukuta na ata yasasahivi ❤❤ robby alpha ❤tupo pmoj
Hongera sana mtumishi
True sir we are blessed 🎉WE ARE HERE IN TOWN BECAUSE OF JESUS
Nyimbo mbovu kwani tulikubaliana ukijulikama uanze kuimba ivi jamn.
Unakoelekea unapoteza mwelekeo hiii ni bongo fleva
Hata mimi sishiki na hawatanishika kwa jina la Yesu kristo
Kakaaaa unabalaaaa🎉🎉🎉 GOD BLESS YOU
Bro sahv unazinguaaa😢
Yan shwaaah ikija tu naidakaa😂😂😂❤❤❤
Huyu obby kafikia huku sasa bas tena
Am so happy for this song.....Am happy Yooo
I fear nothing when God is there for me❤😇
Aiiiii 🎉amena❤❤
MJINI PAMEANZA KUCHAMKA SASA🔥🔥🔥😅
Kaka napenda mnooo nyimbo zako
Mungu❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤ ni mwamba Imara.Wala siogopi kitu
MATAJIRI MZIKI HAUNA KIPENGELE MATAJIRI BEAT SAFI,,,,VIDEO ANDROID NI VIEWERS MILION 12 NA LAKI 8 UTAPATA TAJIRI 💞💞
God bless u🙏🙏
by ruuh
Amina sana kaka barikiwa kwa ujumbe mwema
Power ✝️
🎉Hallelujah 🙌
Ni mungu ananiweka ❤❤❤
Napenda sana injili yako kaka
Namibia 🇳🇦 here
Umetshaaaaa sanaaaa brooooooo❤🎉
❤❤you're work Is Amazing!!! 🙏🙏🙏👌👌💯 aaaah yes my brother 💐💐 ahsanté Bwana ❤ mungu akubariki sana Always nakupenda again ❤beautiful💖💖 jinalabwa na yesu lisifiwe Amina❤ Amina 🌹🌹this ❤ this very ❤very Uok❤ yes yes ni munguu👂👂👂🤲🤲
Obby kaka mungu azidi kukwinua amina 🙏🙏🙏
Umetisha Mzee
Favourite artist
❤❤ hallelujah 🙏 very nice song let God, continue opening your territories for you to enjoy your fruit
Ubarikiwe sana mtumishi
Amen in Jesus name,,,be blessed 🙏🙏
Thank you so much for this song
🥳🥳🥳amken amken kumekucha🔥🔥🔥
ue 'r blessed ❤
My 2025 testimony as i relocate to US with my partner 🎉🎉
Kazi yako nzuri 🎉🎉🎉
God bless you Obby
Safi sana brother
Nimeikubali Nimeipata ya kufungia mwaka 🔥🔥🔥
Pameanza kuchangamka
Congratulations
Man of God 🙏🙏
Aww nice one
Amina amina❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤ hallejah
I real appreciate your work broo with ma brother silver nice work broo big up
Kwahii lazima waisikieeeeeeee❤❤❤❤
Ameeeen🙌🏽🙌🏽🙌🏽, Kazi nzuri sana mtumishi wa Jehova
Kaz nzuri
Ni umemeeeh🔥🔥🔥
God bless you abby
PERFECT ONE!
Merry Christmas 🎉🎉🎉🎉
You never disappoint God bless you. Amen
A very nice song congrats 🙏🙏🙏
We're waiting the big song broo🎉🎉
Aiyeeeee🎉🎉🎉🎉
Ni ile nakupenda
Pameanza kuchangamka. Barikiwa sana obby
🔥🔥🔥🔥💯💯my fav❤.Ni Mungu🙏🙏🙏
Hongera sana bro kwa kazi nzuri,
Thankyou Lord❤
Obby thankyou❤
Aminaaaa❤
Let God Be Praised Forever 🙏🙏🌍
Great job ma boy❤🤯
Ni mungu 2