Mm shida ni coryza yani mafua kwa kuku wa kienyeji unanisumbua sana kwenye banda. Naomba ushauri wa kuzuia usiengie bandani kwangu tena. Na wengine wasiambukizwe
Kwa mm ambae nachukua kuku wa size ya kati kwa ajili ya kuanza kuwafuga je nitafanyaje kuhusu chanjo maana sio vifaranga wadogo ni kuku wadogo wa kienyeji.
Samahani kwa majina naitwa Erick, Niko majohe, nifugaji mchanga wa kuku vifaranga Wana miezi miwili hivi Sasa, Leo Kuna kifaranga kina tatizo sehemu ya chakula au mfuko wachakula shingoni ule mfuko umejaa miji yaani Kama upepo hivi, halafu kanyongea Sana na Hali chakula please nisaidieni ninini tatizo au nimpe huduma ipi?
Screenshot hapo kaka alafu Tengeneza vizur kwene excel sheet then Bandika kwene Mlango wa Banda La Kuku jikoni kwako na Uwape maelekezo wafanyakaz au watu wa nyumbani mkumbushane
Bwana shamba Nina maswali 2 1. sasa Kwene Chanjo ya Kuchoma Kama una Kuku weng let's zaid Ya 20 wale Vifaranga inakuwaje hakuna chanjo Ya Ku Alternate na Kuchoma? Pia Katika Chanjo Hizi kama Kuku ni wakubwa Umewanunua baada Ya Muda Mfupi watage Je inaezekana Kuwanzishia Hizi chanjo endapo uliponunua Hawakupewa? Sabab muuzaji Anaeza sema amepata kumbe Hakuwapa
Asante sana nimejifinza
Asante kwa elimu
Asante Sana bwana shamba. Hii channel nitakuwa naifuatilia. Nimepata recommendation from changamkia fursa channel... Nimependa ushirikiano
Congratulations
Kakangu salami nyingi sana kutoka kwa kwangu
Tunaomba utuelekeze kutengeneza chakula Cha kuku wa mayai
Asante sana kwa ushauri wako, lakini pia kwa kutuhimiza uwanzishaji, tuko pamoj Bwana shamba
Asante sana
Great boss
Thanks for uploading this video in short
I appreciate you Bwana shamba🙌💪
Thank you
I like it big up brother
Thanks brother
Bless up
Thank you
Mm shida ni coryza yani mafua kwa kuku wa kienyeji unanisumbua sana kwenye banda. Naomba ushauri wa kuzuia usiengie bandani kwangu tena. Na wengine wasiambukizwe
🙏🙏
Kwa mm ambae nachukua kuku wa size ya kati kwa ajili ya kuanza kuwafuga je nitafanyaje kuhusu chanjo maana sio vifaranga wadogo ni kuku wadogo wa kienyeji.
Samahani kwa majina naitwa Erick, Niko majohe, nifugaji mchanga wa kuku vifaranga Wana miezi miwili hivi Sasa, Leo Kuna kifaranga kina tatizo sehemu ya chakula au mfuko wachakula shingoni ule mfuko umejaa miji yaani Kama upepo hivi, halafu kanyongea Sana na Hali chakula please nisaidieni ninini tatizo au nimpe huduma ipi?
🤝🤝🤝🤝
Naomba unitumie ratiba ya chanjo
+255 759240771
Screenshot hapo kaka alafu Tengeneza vizur kwene excel sheet then Bandika kwene Mlango wa Banda La Kuku jikoni kwako na Uwape maelekezo wafanyakaz au watu wa nyumbani mkumbushane
Bwana shamba Nina maswali 2
1. sasa Kwene Chanjo ya Kuchoma Kama una Kuku weng let's zaid Ya 20 wale Vifaranga inakuwaje hakuna chanjo Ya Ku Alternate na Kuchoma?
Pia Katika Chanjo Hizi kama Kuku ni wakubwa Umewanunua baada Ya Muda Mfupi watage Je inaezekana Kuwanzishia Hizi chanjo endapo uliponunua Hawakupewa? Sabab muuzaji Anaeza sema amepata kumbe Hakuwapa
Asante kwa swali zuri pia swali lako nimelijibu kwa video kesho naitoa
Thanx alot✌
Nishajibu kupitia video