@@bwanashamba7497 Ahsante Sana. Mr. Nimependa program za kukukienyeni nimeangalia Sana .za ufugaji wa ngombe wa maziwa hasa lishe Bora kupata maziwa program zikoje ?
Niunge wasp Abasi Khalifani au hujazisha grup maana mara ya mwisho ulinambia unataka kuazisha grup la wasp ili kuwasaidia wafugaji kama umeazisha naomba uniunge ni mimi best wako mr fakhad tz
Aisee ndugu yangu sijaanzisha group bado coz nataka nikianzisha group nipate watu ambao wapo serious maana tunaona kwenye magroup mengine watu wameyageuza ya matangazo badala ya kusaidiana sasa natengeneza mfumo ambao tutapata wale watu ambao wapo serious ili tusaidiane
Mashariti ya grup tukiazisha yatakuwepo mtu akienda kinyume na taratibu za grup remove itamuhusu kaka kila jambo lina chagamoto zak Abassi usione uko ukazani na grup letu tukiazisha litakuwa kama ayo ya watu wengine sisi tutaweka sheria na taratibu zetu za grup na mimi nitakuwa adimin msaifizi wk maana elimu juu ya ufungaji wa kuku ninayo si kubwa ila najuwa kuku akiumwa hivi apewe dawa hii fanya kaka tuazishe na ulinambia hutohitaji malipo yoyote lego watu wapate elimu juu ya ufugaji bora na wenye tija malipo yk umetanguliza kwa Mungu maana unajuwa baada ya maisha haya kuna maisha mengine uko tunako kwenda Mungu akubariki
Ipo vizuri
Sawasawa bwana shamba
Yeah tunaelewa
Agreed!! shukrani sana
Karibu sana
@@bwanashamba7497 Ahsante Sana. Mr. Nimependa program za kukukienyeni nimeangalia Sana .za ufugaji wa ngombe wa maziwa hasa lishe Bora kupata maziwa program zikoje ?
Nimekupata vizuri
Thank you
Niunge wasp Abasi Khalifani au hujazisha grup maana mara ya mwisho ulinambia unataka kuazisha grup la wasp ili kuwasaidia wafugaji kama umeazisha naomba uniunge ni mimi best wako mr fakhad tz
Aisee ndugu yangu sijaanzisha group bado coz nataka nikianzisha group nipate watu ambao wapo serious maana tunaona kwenye magroup mengine watu wameyageuza ya matangazo badala ya kusaidiana sasa natengeneza mfumo ambao tutapata wale watu ambao wapo serious ili tusaidiane
Mashariti ya grup tukiazisha yatakuwepo mtu akienda kinyume na taratibu za grup remove itamuhusu kaka kila jambo lina chagamoto zak Abassi usione uko ukazani na grup letu tukiazisha litakuwa kama ayo ya watu wengine sisi tutaweka sheria na taratibu zetu za grup na mimi nitakuwa adimin msaifizi wk maana elimu juu ya ufungaji wa kuku ninayo si kubwa ila najuwa kuku akiumwa hivi apewe dawa hii fanya kaka tuazishe na ulinambia hutohitaji malipo yoyote lego watu wapate elimu juu ya ufugaji bora na wenye tija malipo yk umetanguliza kwa Mungu maana unajuwa baada ya maisha haya kuna maisha mengine uko tunako kwenda Mungu akubariki
Asante sana
Taken
Thanks
Shukrani kaka mkubwaaaaaaa
Habari naomba uniunge kwenye group la ufugaji
💪
ya kweli kabisaa
🙏🙏
Ni kweli unachosema
Hongera mjomba kwakutupa muelekeo mzuri
Asante Makilimo😃
Tov
Naunga mkono
Naomba namaba ya wasap kaka
Thanks
Karibu
tumeelewa
Maelekezo ni mazuri sana ila na mie n swali ninao bata bukini karibu miaka 2 lakini hawajataga ninaomba msaada wako
Nitafute kupitia namba inayoonekana kwenye video hapo Kwa juu mwanzoni ili uniambie chakula unachowapa na vitu mbalimbali ili tujue tatizo ni nin
Santeeee
Na mfano umetupa
Ninaomba no ya WhatsApp please
Namba ipo kwenye video angalia vzur mwanzoni
Wasp namba 0777246174
Nimeiona namba tukishapata namna nzuri tutawasiliana