asante kwa swali zuri zipo sababu nyingi zinazoweza pelekea kuku wako astop kutaga 1. umri 2.chakula 3.magonjwa 4.pia inaweza sababishwa na kipindi cha baridi ambapo mwanga wa jua unapungua emb niambie kama kuna dalili ya kuumwa wanaonyesha ili nikuambie cha kufanya
Habar mtaalam naomba kuuliza suali maan kuku wangu wanatabia ya kudonoana na kutoana manyoya sasa je nichukue hatua gani kwa kuweza kusolve tatizo hilo ndani ya shamba langu?
Asante Sana unafundisha vizuri, Leo Ni Mara ya kwanza kukuona Kama Bwana shamba. Naomba kujua Kama kuku hawatagi vizuri unatakiwa kuwapa Nini? Ninao kroila 30, lakini wanaotaga Ni kumi au 12. Asante
Assalaamualaykum...mm naitaji kujua njia rahis yenye garama nafuu katika kilimo cha nyanya... shamba langu lipo eneo zuri lenye asisili ya bonde na maji yanapatkana kwa wepesi ukichimba ksima kwaajli ya umwagiliaji
Banda bora laufugaji wa kuku linakuaje? Je? Spacing kati ya mche wa cabbage moja na nyingine ni ipi? Na nimiche mingapi inatakiwa kupandwa ndani ya eka moja? Asante.
Nimefurahishwa na kipindi chako na swali langu ni ili Je??ni sababu gani zinapelekea kuku kutaga yai ambalo halina layer ya juu (I mean anataga kiini tu)
Hi?Swali langu ni moja.kila kuku wangu wanapoanguliwa wanafura macho,na midomo.kila ninapouliza naambiwa chanjo ya gumboro.nisaidie.wanafura kabla ya siku Saba kufika
kulipa wangu wameota sugu kwenye viungo kati ya paja na miguu kisha kumeota uvimbe unaopasuka pasuka kwenye nyayo na kumfanya kuku asisimame kwa urahisi. Hii inasababishwa na nini?
Habari.. Kuna kuku wengi wa kufuga kienyeji na chotara. Swali langu Kuna vijogoo haviongelewi Sana Naomba kujua faida na hasara ya kufuga vijogoo na aina ya chakula chakuwapa
Vifaranga wangu wamepata ugonjwa ya makoti na kusinzia, na kukaa juani kila muda na haya yameanza baada ya kuwapa chanjo ya kwanza. Nipe sababu na namba ya kuwatibu na kupona haswa hio ugonjwa ya makoti unasumbua mno pls jibu na dawa gani tuwape
1.Naomba kujua njia bora za kulea vifaranga. 2. Naomba kujua vipimo halisi vya Namna ya kutengeneza banda la kuku ( cages) urefu, upanda na idadi ya kuku kwa cage 1..kuku chotara
Ninaomba kujuwa na kiutaalamu kuwa kuku wanyama ukiwa unawapa starter, grower na finisher 600 wanakula gunia ngapi kwa week na mpaka wawe tayari kuwauza
hilo ni tatizo lla kawaida ambalo hutokea endapo kuku wanakosa madini ya iron (chuma ) kwenye chakula hivyo wanajaribu kutafuta kwa kudonoana solution yake ni kuwaekea mchanga lakin pia unaweza wawekea majani kuwafanya wawe busy na kuacha kudonoana naliandalia kipindi nitajibu kiundani
Jee vipi unaweza kuchanganya kwa pamoja kuku wachanga ( vifaranga ) wenye umri uliopitana kwa siku kumi naitwa Salum Yussuf au Mr Machano poultry farm enterprises
Asante Sana kwa swali zuri Kitaalam huwez ukachanganya kuku wadogo na wakubwa kwasababu itapelekea wadogo kukua kwa kusuasua kutokana na competition ya chakula yaan wakubwa watakua wanawazuia wadogo kula asante
Nipo sumbawanga na ni sehemu ya joto kwa miezi iliyomingi.naomba kujuwa dawa ya kideli inayoweza kuzuia na kutibu ugonjwa wa kideli mana ndio ugonjwa wenye changamoto iliyokubwa kwangu
hapo kuna mengi eidha ni magonjwa kama vile fungus pia inaweza ikawa hawapati madini ya calcium kwenye chakula hakikisha banda lako ni kavu kuzuia fungus pia hakikisha chakula kina calcium
Bwana Shamba nauliza kuhusu vifaranga, Vifaranga vyangu vinaumri wa wiki mbili vimepata ugonjwa ambao siujui na sijui nitumie dawa gani ugonjwa huu niwakuanguka kama kifafa vile akianguka analala chali na anatupatupa miguu na akijitahidi kuamka ana angukia upande wapuli kama alikuwa ameamkia mkono wakushoto ataangukia kulia nk na haponitena atakaa siku moja ama mbili atakufa sasa niugonjwa gani huu najee nitumie dawa ganiii nani chanjo ama tibaa ahsant nipo manyata
Kuku wangu walikuwa wanataga wakaacha kutaga kwa nini?
asante kwa swali zuri zipo sababu nyingi zinazoweza pelekea kuku wako astop kutaga
1. umri
2.chakula
3.magonjwa
4.pia inaweza sababishwa na kipindi cha baridi ambapo mwanga wa jua unapungua
emb niambie kama kuna dalili ya kuumwa wanaonyesha ili nikuambie cha kufanya
Habar mtaalam naomba kuuliza suali maan kuku wangu wanatabia ya kudonoana na kutoana manyoya sasa je nichukue hatua gani kwa kuweza kusolve tatizo hilo ndani ya shamba langu?
Asantee kwakutuelimisha Kwa ufasaha zaidi ,
Hongera bro na asante kwa kutufundisha
Asante sana bwana shamba swali langu namna ya kujenga banda kama hiro naje ? Mtu akitaka kununua vifaranga inawezekana
Kazi nzuri kaka mkubwa
Kuku akiwa anapumua kwa shida na kuishiwa nguvu tatizo inakua nin?
Hongera kwa ufugaji mzuri
Asante kwa elimu hii bwana Shamba
Saf kija but can you do thamongi for me?
Nashukuru kwa elimu changamoto ya ufugaji ni masoko kwa Tanzania unaweza tusaidia?
I like your Advice, Let me have your CANTACT !!
Kuku wangu anataga halafu anaacha
Alalii nimfanyaje
Asante Sana unafundisha vizuri, Leo Ni Mara ya kwanza kukuona Kama Bwana shamba. Naomba kujua Kama kuku hawatagi vizuri unatakiwa kuwapa Nini? Ninao kroila 30, lakini wanaotaga Ni kumi au 12. Asante
Wouh ahsante nimekupata
Assalaamualaykum...mm naitaji kujua njia rahis yenye garama nafuu katika kilimo cha nyanya... shamba langu lipo eneo zuri lenye asisili ya bonde na maji yanapatkana kwa wepesi ukichimba ksima kwaajli ya umwagiliaji
Safi
Banda bora laufugaji wa kuku linakuaje? Je? Spacing kati ya mche wa cabbage moja na nyingine ni ipi? Na nimiche mingapi inatakiwa kupandwa ndani ya eka moja? Asante.
Seif jinsi gan unaweza kujenga banda bora
Ni chakula gani bora yakuipa kuku ?
Na namnagani yaku tengeneza chakula cha kuku ?
Nimefurahishwa na kipindi chako na swali langu ni ili
Je??ni sababu gani zinapelekea kuku kutaga yai ambalo halina layer ya juu (I mean anataga kiini tu)
Mayai yaliyoatamiwa na kuku, yanaweza kuharibika kama kuku atayaacha kwa muda gani?
Je? Nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani kuanzisha bishara ya ufugaji wa kuku?
Asante sana, Swali langu ni kwamba Nafanyaje ili nisiuze kuku kwa hasara?
Bro ndokwanza naanza ufugaj kuku wangu niwadhoof cjui ttzo ni nn please masaada wakoo
Ni hv bwana shamba kuku wa kienyeji anaweza kuanza kutaga akiwa na umri gan
Hivi vifaranga wakiwa wana jikunja Sana na wana muda wa wiki mbili inakua nin?
Shukrani kwa majibu ndugu tuko pamoja katika kulisongesha gurudum la maisha
Kama banda. Liko uani nitafanyaje?
Niaje sheki miye ni kange nisaidie contact zako shek
Dawa nzuri ya ndui kwa kuku Ni ipi?
Asante bro, nimekuelewa na ntaendelea kukufuatilia kaka,
Mie pia nafuga kuku na mifugo mingine
Kuku mkubwa wakutaga unaluhusiwa kumpga chanjo
SoMo lako zur
Mm nataka kuja huko izraeli kufanyakazi za kufuga ili nijifunze zaidi nasaidie nifki huko
Tupe somo tunakufatilia bwana shamba
Asante Sana ndugu yangu
Tatizo linalosababisha kuku kuwa na magamba kwenye miguu ni nini?
Ni njia IPI rahisi ya kuzuia viroboto kwa kuku?
Naweza kupata contact zako samahani
Natumiaje mkaa kwa kuku wenye mafua wanavimba macho
Nataka kujua size na design mzuri kwa kuku 200 a kienyeji. Mimi Niko Kenya
Habari nafurahishwa na masomo yako kuku wangu wa kienyeji wakiingia kutaga wanachuka mda mrefu anachukua masaa nawili hadi manne Hadi atage
Asante Sana kwa majibu mazuri
Hi?Swali langu ni moja.kila kuku wangu wanapoanguliwa wanafura macho,na midomo.kila ninapouliza naambiwa chanjo ya gumboro.nisaidie.wanafura kabla ya siku Saba kufika
Mimi viranga wakifikisha mwezi miwili wanaanza kuumwa nifanyeje happ😊
kulipa wangu wameota sugu kwenye viungo kati ya paja na miguu kisha kumeota uvimbe unaopasuka pasuka kwenye nyayo na kumfanya kuku asisimame kwa urahisi. Hii inasababishwa na nini?
Habari kaka Khalfan, naomba kujua ni namna gani unaweza kuwapa kuku chanjo na je, kuna njia ngap za kuwapa chanjo kuku. Plz naomba utuelezee
Tunaomba utujibu na hili bwana shamba
asante kwa swali zuri
naliandalia kipindi ila nitakujibu pia private nichek instagram au kupitia email yangu
Tueleze Aina za Chanjo na no lini tunawaza kuzipeana Bwana Abbass
Je ni eneo lenye ukubwa gani naweza fuga kuku 100?
Hizo carge bei gani
Asante sana kwa somo hili, sasa Chakula cha protein ni kipi?
Dagaa na soya
Habari.. Kuna kuku wengi wa kufuga kienyeji na chotara. Swali langu Kuna vijogoo haviongelewi Sana Naomba kujua faida na hasara ya kufuga vijogoo na aina ya chakula chakuwapa
Ntajibu swali kupitia kipindi
Wiki hii kuwa tu mfuatiliaji
Feeders hizo zimapatikana wapi? Zilizopo hapa kwetu siyo za hivo..
Bwana shamba🙌🙌
Nataka kufuga kuku nami...jina lako la instragram ni ipi,na waweza nielimisha jinzi ya kuoparate incubator please
Instagram
abasi_alfani
Ndugu na omba formula ya kuchanga chakula cha kuku wa kienyeji kuanzia siku ya kwanza mpaka miezi sita na kuendelea
Hi samahani naweza kupata contact zako
Naomba formula ya kuchanganya chakula Bora Cha kuku wa kienyej wanaokua na wanaotaga
😅😮😮😅😅
Vifaranga wangu wamepata ugonjwa ya makoti na kusinzia, na kukaa juani kila muda na haya yameanza baada ya kuwapa chanjo ya kwanza. Nipe sababu na namba ya kuwatibu na kupona haswa hio ugonjwa ya makoti unasumbua mno pls jibu na dawa gani tuwape
Good
Naomba namba zako za wasap ambazo unaweza kupatikana maan ulizoeka siwezi kukupata
Mi nampenda bwana shamba
ASante nashukuru kwa somo
Naomba kuelimishwa namna Bora ya kuchanganya chakula cha vifaranga
Natafuta soko la kuku wa kienyeji
1.Naomba kujua njia bora za kulea vifaranga.
2. Naomba kujua vipimo halisi vya Namna ya kutengeneza banda la kuku ( cages) urefu, upanda na idadi ya kuku kwa cage 1..kuku chotara
Kwann kuku wanatokwa na vidonda kichwan
Nataka kujua namna ya kugundua ubora wa chanjo unapoipata ktk Agro pharmasys.
Ni vipi Nina weza kutengeneza black soldier fly au insects kwa chakula cha kuku
Kama unatumia cages
Oya et maana ya neno " check pea" ni nn
Je kuku wa layers wanaweza kuoewa majani?
Na je ni majani gani yanafaa?
He chanjo ya tatu moja inatakiwa uchanje mara Ngapi
Swali lang ni kwamba,
ili nipate mafanikio ya haraka na mengi,
kati ya kuku chotara na kienjeji pure, ni wapi wanafaa ??
chotara
@@bwanashamba7497 safi
Formula ya kuchanganya chakula cha kuku Aina ya layers
Kuku wangu wachanga wanashusha mbawa nini shida
Ninaomba kujuwa na kiutaalamu kuwa kuku wanyama ukiwa unawapa starter, grower na finisher 600 wanakula gunia ngapi kwa week na mpaka wawe tayari kuwauza
Tuko pamoja kaka
Toa namba
Sawasawa naiweka hapo kwenye description mda si mrefu
tayar kwenye description
@@bwanashamba7497 naomba namba ,nataka kuja islael mafunzo, +255756511312
Kuku wakidokoana ni tatizo gani?
hilo ni tatizo lla kawaida ambalo hutokea endapo kuku wanakosa madini ya iron (chuma ) kwenye chakula hivyo wanajaribu kutafuta kwa kudonoana solution yake ni kuwaekea mchanga lakin pia unaweza wawekea majani kuwafanya wawe busy na kuacha kudonoana
naliandalia kipindi nitajibu kiundani
Tunakungoja tz
Naomba kuelekezwa namna ya utunzaji wa ng'ombe wa maziwa ili aweze kutoa maziwa mengi
Jee vipi unaweza kuchanganya kwa pamoja kuku wachanga ( vifaranga ) wenye umri uliopitana kwa siku kumi naitwa Salum Yussuf au Mr Machano poultry farm enterprises
Asante Sana kwa swali zuri
Kitaalam huwez ukachanganya kuku wadogo na wakubwa kwasababu itapelekea wadogo kukua kwa kusuasua kutokana na competition ya chakula yaan wakubwa watakua wanawazuia wadogo kula
asante
Safi sana kiongozi
Zipi mbinu za ufungaji wa kuku
Huyu jamaa anajua
nasubili video nyingine
Akika wewe ni bwana shamba upo vizuri usichoke kutupa somo
Ni kweli kukiwa na barid wanapunguza kutaga msaada hapo
Tumekuelewa bwana shamba
Upo viziri , NASHAURI KAMA UTAWEZA ANDAA VITABU VYA MAFUNZO HAYA, KWAAJILI YA WAKULIMA WASIO NA UWEZO WA KUMILIKI SIMU JANJA
Piakuana ambacho bado sikijui kuhusu chanjo ya mareks huwa inapelekea vifo vya vifaranga
usjali nitaelezea kwenye video ya chanjo
Bwana shamba mimi nauliza jinsi ya kutunza vifaranga wakienyejii kwa ni ndani ya wiki nimepoteza vifaranga kumi'please msaada bwana shamba
Nipo sumbawanga na ni sehemu ya joto kwa miezi iliyomingi.naomba kujuwa dawa ya kideli inayoweza kuzuia na kutibu ugonjwa wa kideli mana ndio ugonjwa wenye changamoto iliyokubwa kwangu
Kuku wangu wanamadhi ya kupepesuka wakitembea.
Unanisaidiaje mkubwa
hapo kuna mengi eidha ni magonjwa kama vile fungus pia inaweza ikawa hawapati madini ya calcium kwenye chakula
hakikisha banda lako ni kavu kuzuia fungus pia hakikisha chakula kina calcium
Bwana Shamba nauliza kuhusu vifaranga, Vifaranga vyangu vinaumri wa wiki mbili vimepata ugonjwa ambao siujui na sijui nitumie dawa gani ugonjwa huu niwakuanguka kama kifafa vile akianguka analala chali na anatupatupa miguu na akijitahidi kuamka ana angukia upande wapuli kama alikuwa ameamkia mkono wakushoto ataangukia kulia nk na haponitena atakaa siku moja ama mbili atakufa sasa niugonjwa gani huu najee nitumie dawa ganiii nani chanjo ama tibaa ahsant nipo manyata
@@shazzamumremi8113 asante kwa swali zuri vp kuna dalili yoyote nyingine wanaonyesha kabla ya kuanguka?
Kuku wa miez mitatu unaruhusiwa kuwapga chanjo
Mammbo vp bro kwa majina n i2wa busy man kuku wangu cjawahi kuwapa chanjo lakini nimeku eliwa ntafanya bdi
Mi Sina swali ila siwez acha kucomment
Hiv hakuna mbinu yoyote Ya kumfanya Kuku aendelee kutaga wakati wa baridi
🤗🤗
Vifaranga vyangu nilivitoa inje baada ya miwili, ktk kuoKota vijidudu, vinaharisha je nivipe Dawa gani?
Disfactate nn bosi
Huyu ndo bwana shamba tuliekua tukimngoja unamuuliza swali then anakujib
Kuku wangu wanyama wanasumbuliwa na mafua
Mbinu za kutoa na kuzuia viroboto vyekundu kwenye Kuku
Nimefurahi kwa majibu naomba utujibu na hilo baridi
Kuna kuku wangu hawakuli wanaka kama anasizia