MBOWE ALIPUKA MSIBANI - "Sipendi UNAFKI, Kauli Ile Haikuwa Sawa"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 166

  • @khayraothman2166
    @khayraothman2166 5 ปีที่แล้ว +12

    Eka mangiii iruwa akuwkyee mboraa nsoroo.kiukwelii mwenyew cjapendaa kabisaaa mbowe Liv long lyf .. baba mxema kweli nakupenda buree!!!😭😭pumzikaa kw amanii Dady Reginald mengi.

  • @alphoncinajohn748
    @alphoncinajohn748 5 ปีที่แล้ว +6

    Salute kwako Mbowe kuwa mkweli na muwazi. Mambo ya hivyo hayahitajiki ktk jamii. R. I. P mpendwa wetu

  • @samwellaurent7558
    @samwellaurent7558 5 ปีที่แล้ว +4

    tunahitaji viongozi wenye hekima kama wwe mh.mbowe barikiwa sana

    • @rahmarahma756
      @rahmarahma756 5 ปีที่แล้ว

      Hongera mheshimiwa umeongea point msamehee mheshimiwa makonda tz nch ya aman hakuna ukabila

  • @chistinawallasch2827
    @chistinawallasch2827 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Muheshimiwa Mbowe, Nilikuwa ninangojea hilo, huyo asemehewe tu, kwani Mwenyezi Mungu ndiyo mwamuzi.

  • @happnescharles613
    @happnescharles613 5 ปีที่แล้ว

    tunaitaji kiongozi mwema na anaejielewa kama mbowe safi sana kiongoz Mungu aendlee kukupigania katika arakati zako za kimaisha.

  • @emmyjohn3970
    @emmyjohn3970 5 ปีที่แล้ว +6

    Ujumbe mzuri kaka Mbowe

  • @felisterapornary2612
    @felisterapornary2612 5 ปีที่แล้ว +4

    Sku zote ukweli unauma lakin dawa.Nakupenda bure mbowe

  • @barick
    @barick 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante mh mbowe

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 5 ปีที่แล้ว +6

    Poleni sana mliokwazika na kauri ya kijana wetu Makonda, hakua na nia ya kubagua bali alikua anawahamasisha wachaga waache ubahiri kwa nia nzuri kabisa.

  • @maryaugustino2087
    @maryaugustino2087 5 ปีที่แล้ว +2

    Ingependeza sana kama tungekuwa tayari tumeisha muhifadhi ndugu yetu kwenye nyumba yake ya milele. Ndipo mngeitana falagha tena kwa upendo mkuu na ukamueleza bwana mdogo pale ulikengeuka ndg yangu. Na sio kwenye kadamnasi/kanisani. Hakika mimi hiyo nimeona sio vzr. Rip baba yetu

  • @ayubusikagonamo3875
    @ayubusikagonamo3875 5 ปีที่แล้ว +1

    Ameen hon. Mbowe barikiwa sana kwa hotuba yenye maana kubwa kwa Taifa.

  • @kulilolobezim.4737
    @kulilolobezim.4737 5 ปีที่แล้ว +21

    Mbowe, Mungu akujalie Afya njema! Hakika wewe ni shujaaa wa Taifa hili kwa hali tuliyonayo Kila nyanja

  • @cherilydavid3066
    @cherilydavid3066 5 ปีที่แล้ว +13

    Safi sana Mh Mbowe tunajenga UTZ na sio ukabila hauna nafasi kabisa TZ. Wako Watanzania wengi wametoa misaada ya hali na mali na kwa uwezo walio nao. Hivyo haikua vyema kutamka kabila msibani. Tunajua kabila la Dr. Mengi.

  • @mselematiku187
    @mselematiku187 5 ปีที่แล้ว

    Safii sana mbowe

  • @getrudabahati9311
    @getrudabahati9311 5 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P our lovely tulikupenda sana mungu akusamehe makosa yako yote uliyowah kuyatenda ukiwa hai kiukwel daima tutakukumbuka...love uuuuuu

    • @meryevance6744
      @meryevance6744 5 ปีที่แล้ว

      getruda bahati Huyo bashite analahana

  • @lukasanga9483
    @lukasanga9483 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe fire..... utabak kuwa juu

  • @mommary2424
    @mommary2424 5 ปีที่แล้ว +22

    Kokorambee,wacha wapate vipande vyao japo sio sehemu sahihi but hata waliotusema mbovu walitamkia sehemu siyo pia

  • @thomasmasala9304
    @thomasmasala9304 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana kiongoz baba yetu mbowe.

  • @mageminja8052
    @mageminja8052 5 ปีที่แล้ว +1

    mbowe hongera kwa kuwa mkweli.tunakupenda mno

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo 5 ปีที่แล้ว +1

    Great speech

  • @olivermunisi6396
    @olivermunisi6396 5 ปีที่แล้ว +9

    Umenena mbowe busara,unyenyekevu,na heshima

  • @marashitvone7749
    @marashitvone7749 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubari

  • @henryyona5378
    @henryyona5378 5 ปีที่แล้ว +8

    Big ap mbowe nimekuelewa sana

  • @dixonndanshau2533
    @dixonndanshau2533 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks wise man.

  • @cosmasdismas8714
    @cosmasdismas8714 5 ปีที่แล้ว

    Hatupendi ubaguzi watanzania,thnks mbowe

    • @miriamlyimo1379
      @miriamlyimo1379 5 ปีที่แล้ว

      Kokoraa mbeee,aika mangi iruwa akuninge mboraa.....nakupenda mbowe maana hupend unafiki.

  • @munganologotto691
    @munganologotto691 2 ปีที่แล้ว

    Sahihi

  • @stanilupelele2793
    @stanilupelele2793 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mheshimu amejielewa na aoneaibu sana

  • @barakamfugale1049
    @barakamfugale1049 5 ปีที่แล้ว +2

    Umeongea point Mh.Mbowe
    Aonyeshe kabila lake huyo bashite ni nan anatoaga misaada waremavu

  • @felisterapornary2612
    @felisterapornary2612 5 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana mbowe nimependa busara zako

  • @japhetmlungu762
    @japhetmlungu762 5 ปีที่แล้ว +11

    Ongera sana mbowe kwani umeongea mambo ya msingi sana. Tumaini langu viongozi wa awamu ya tano wengi kauli zao sio nzuri. Wajifunze

  • @marashitvone7749
    @marashitvone7749 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi saaaana

  • @neemahjumah8857
    @neemahjumah8857 5 ปีที่แล้ว +9

    Asante baba busara unayo mbow

  • @da45king
    @da45king 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana Mh Mbowe, ujumbe umefika.

  • @wazirisimon4502
    @wazirisimon4502 5 ปีที่แล้ว +1

    Kila jambo njema na kauli njema ni akiba ya kesho big up to you mweshimiwa

  • @danielnjau372
    @danielnjau372 5 ปีที่แล้ว

    Safi mbowe

  • @edwardjoseph6520
    @edwardjoseph6520 5 ปีที่แล้ว +2

    Yupo sawa snaa...fact is fact

  • @presly_0446
    @presly_0446 5 ปีที่แล้ว +1

    Well said Mbowe

    • @rehemasaid3808
      @rehemasaid3808 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana mhe mboe kwa kuwaelimisha maziro

  • @ciahtetty3415
    @ciahtetty3415 5 ปีที่แล้ว +6

    Napita kusoma sms tu ila ni hivi ukiona mchaga anaubaguzi au anaringa au ana roho ya kwanini ndio alivyoumbwa sio kila mtu ni mtenda haki kwani kila mtu kaumbiwa moyo wake hata kwenye makabila mengine Tanzania binadamu hawafanani sio wote niwa nyenyekevu ,wana moyo wakutoa,niwatenda haki ,hamna kitu kama hicho Mengi aliumbiwa moyo wake mzuri na wakupenda haki wakujitoa namna tofautitofauti na watu kama hao ni wachache sana duniani.Angalia tunaviongozi wangapi makabila tofauti tofauti je matendo yao wote ni sawa ?au kuna kiongozi hata mmoja unaweza kumfansnisha na mengi .mi mwenyewe hamna maana hii serikali kwanza huwa ina ubaguzi sana ukiangalia mzee mengi alikuwa akiwapa watu mitaji wasio jiweza ni kiongozi gani anaetoa mitaji kwa vijana walioko mtaani wengi saivi hawajaajiriwa na wazazi wao wakulima walijikaza wakauza mashamba watoto wasome ila ukiangalia tokea 2015 watu walio ajiriwa ni wachache kuliko idadi iliyoko mtaani.ukiangalia hela hamna mitaji hamna japo wana ideas na malengo mengi lakini wengine mitaji hawana serikali inasema tuu jiajiri mwenyewe sawa utajiajiri bila kuwa na hata sh? Mengi ni mtu wa aina yake acha watu wamzike kama mfalme maana ni binadamu ila amekuwa kama Yesu na nikweli maana binadamu wengi wana roho mbaya wana ubaguzi niwachyo hawana heshima na sidhani kama kuna atakaetokea kama mengi.labda tujirekebishe tukianzia kwa viongozi wetu

  • @albertminja5431
    @albertminja5431 5 ปีที่แล้ว +9

    Kama kuna ambae hapendi hela adislike post hii... Eti "mchaga hawez toa pesa kwa mlemavu"...
    Tatizo mshakariri wachagga tunapenda pesa...
    Bt reality pesa tunaipenda thus why tunajua kuitafuta kwa nguvu.....

  • @kiyabonjemu9885
    @kiyabonjemu9885 5 ปีที่แล้ว +3

    Unajuaje kama jambo limewakwaza wengi? Unajuaje kama si mnafiki??? Unafiki hujulikana na waliokuzunguka.

  • @georgendosa4025
    @georgendosa4025 5 ปีที่แล้ว +5

    I appreciate you mangi viva

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 5 ปีที่แล้ว +6

    Sawa baba mbowe umenena

  • @stanilupelele2793
    @stanilupelele2793 5 ปีที่แล้ว +4

    Leo nimeelewa elimu ni muhimu

  • @watuhawajui7575
    @watuhawajui7575 5 ปีที่แล้ว +6

    mbowe Safi sana uliyongea point tupu

  • @batulemwamwaja6524
    @batulemwamwaja6524 5 ปีที่แล้ว

    real talk Mbowe

  • @magretylaizer9041
    @magretylaizer9041 5 ปีที่แล้ว +2

    Sema baba

  • @petromashauri4720
    @petromashauri4720 5 ปีที่แล้ว

    KAMANDA nakupenda sana hunaga unafiki

  • @moseskelvinthobiasilomo7144
    @moseskelvinthobiasilomo7144 5 ปีที่แล้ว +7

    Halo pakubaguana nimekuelewa kamanda mbowe

  • @emmanuelnkoma8746
    @emmanuelnkoma8746 5 ปีที่แล้ว +1

    Iyo kauli nilisikia kwa kiongoz m1 Twitter

  • @lemakhalfan8564
    @lemakhalfan8564 5 ปีที่แล้ว

    Aise ukweli unauma sana jamani Ila kiukweli mh.makonda yawezekana akusema ili kuwabagua watu wa sehem flan Ila kwa sababu ya ujana wake ndio unesababisha watu flani wawe na tafsiri. Tulip zshusdiwe kama tulivyo ona ila ivi jamani Mimi siwezi kuamini kweli kama ata mboye nae uwaga anawasaidia watu wenye mahitaji

  • @naomiraphael4830
    @naomiraphael4830 5 ปีที่แล้ว +12

    Ivi bashite kwanini anakuwa msema ovyo katikati yawatu kama hana yakuonge aweanakaa kimya

  • @lillianeakyoo6722
    @lillianeakyoo6722 5 ปีที่แล้ว +9

    Umenena mbowe wala hujakosea

  • @deusdedithkitaly8337
    @deusdedithkitaly8337 5 ปีที่แล้ว +4

    viva mbowe

  • @hyasintakundy369
    @hyasintakundy369 5 ปีที่แล้ว +4

    Bora umenena unafki siyo mzuri

  • @godfrysangi6343
    @godfrysangi6343 5 ปีที่แล้ว +1

    Elimu ndo chanzo cha yote tuyasikiayo

  • @charznyamaresa5571
    @charznyamaresa5571 5 ปีที่แล้ว

    mtu atukanaye kwakujidaia mamraka ama uwezo wake nakiburi cha uzima maranyingi walinyonya kwamda mdogo iliubongo wake ukomae msaada nautu na nihuruma aliyoumwanayomtu haijarishi nikabira gani pia mtu mwenye huruma hata mbayawake hawezijaribu kuzuruyeyote mungu anaona hukumu ipo tujidai2kwamamlaka nautajir mhhhhhhhhh

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 5 ปีที่แล้ว

    Mwenzenu anatafuta kura. Siasa mpaka makanisani! Wenzetu mtamchukia Makonda lakini kichinichini tunawajua. Biashara hadi makanisani, tena ya kikabila.

  • @AliAli-xi3hu
    @AliAli-xi3hu 5 ปีที่แล้ว

    Mnaleta siasa msibani

  • @alhajiomary2294
    @alhajiomary2294 5 ปีที่แล้ว +7

    Tunataka viongozi wanaojielewa Kama mbowe.konki points

  • @hadijahalifa5418
    @hadijahalifa5418 5 ปีที่แล้ว +2

    Waapiii!wewe unaubaguzi sija ona mfano!!!acha unafiki nani hakujui!hukuthubutu kufika Dar nyumbani kwa marehemu uncle wako!umekimbilia Machame maana sisi watu wa ndio tutakuunga mkono!inatosha kusema Ngastukaa!!!

    • @atusheatushe7038
      @atusheatushe7038 5 ปีที่แล้ว

      Melatonin kulika huji haji yupo hayupo

  • @hadijankya3829
    @hadijankya3829 5 ปีที่แล้ว

    asante baba

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 ปีที่แล้ว

    Misiba ya watu kuwa uwanja wa fikra za kisiasa siyo haki ndg zangu.... Pia kutengeneza wazo la kisiasa kwenye majonzi ya wafiwa siyo hekima.

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 5 ปีที่แล้ว +2

    MBOWE UKINYOA NDEVU HESHIMA YAKO INASHUKA KWA WA TZ WALIO WENGI SASA NAKUOMBA USINYOE NDEVU ZAKO NTAZIDI KUHESHIMIKA SANA 🙏 please.

  • @athamsonmkoma6374
    @athamsonmkoma6374 5 ปีที่แล้ว +16

    Jamani kiongozi gani alitowa hiyo kauli ya kibaguz! Mbowe Leo umenena aiseee

  • @ngurumanmwita8554
    @ngurumanmwita8554 5 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wa kukulupuka alijikuta amekulupuka tn msiban au??

  • @zullaicamatola3431
    @zullaicamatola3431 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaumbuka sana RC

  • @atusheatushe7038
    @atusheatushe7038 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania Ya Leo

  • @frankassey5971
    @frankassey5971 5 ปีที่แล้ว +4

    Lowassa yuko wapi mbona sijamuona toka Dar es saalam

  • @deborasembi9644
    @deborasembi9644 5 ปีที่แล้ว

    usipende kusikia kitu au kuona kitu ukapaniki fikiria kwaza.

  • @mwanahamisikijangwa3460
    @mwanahamisikijangwa3460 5 ปีที่แล้ว

    Wewe mboye mwenyewe mnafiki umelichulia kisiasa sana ungekua wewe sio mchaga ungeongea hayo? Watu tunapenda Kila Jambo kulitafsir tofaut huo wako ndo unafiki mana umelikuza Jambo tofaut na lilivyo mnaleta siasa mpk kwenye misiba

    • @evaristmallya5201
      @evaristmallya5201 5 ปีที่แล้ว

      Mwanahamisi Kijangwa nakuheshimu acha maneno

    • @mwanahamisikijangwa3460
      @mwanahamisikijangwa3460 5 ปีที่แล้ว

      @@evaristmallya5201
      Na hilo neno kwamba aache kiburi limefikaje Kama sio politics, tatizo tunapenda kukuza mambo tulomuelewa Rc acha tumuelewe

  • @brunomtweve8073
    @brunomtweve8073 5 ปีที่แล้ว +1

    Eeemeku

  • @mbondokambi8053
    @mbondokambi8053 5 ปีที่แล้ว +2

    Mh.RC Makonda yupo sawa,,alichoongea ni ukweli mtupu sema ukwel huwa unauma.....

    • @ngurumanmwita8554
      @ngurumanmwita8554 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna ht alie kuunga mkono

    • @irinekatumwakatumwa6606
      @irinekatumwakatumwa6606 5 ปีที่แล้ว

      Unadhan kudhiaki watu ndo ukwel? Kutoa ni moyo sio dini kabila

    • @mbondokambi8053
      @mbondokambi8053 5 ปีที่แล้ว

      @@irinekatumwakatumwa6606 Ukitoa moyo utabak na nn

    • @mbondokambi8053
      @mbondokambi8053 5 ปีที่แล้ว

      @@ngurumanmwita8554 Ctak mtu aniunge hata ckio,,,ila huo ndo ukwel aliouongea mh.RC

  • @johngasper394
    @johngasper394 5 ปีที่แล้ว +1

    Makonda ajafanya poa kabis mbaguzi san mpe makavu uyoooo

  • @veronicamgoli2521
    @veronicamgoli2521 5 ปีที่แล้ว +5

    Bashite ni mtu mjinga sana

  • @johnsonjusto9564
    @johnsonjusto9564 5 ปีที่แล้ว

    ndio pasua jipu baba

  • @kibundapesamadimba6352
    @kibundapesamadimba6352 5 ปีที่แล้ว +12

    Kauli nyingine ni za hovyo hovyo madaraka ya kulevya

    • @supertallone4905
      @supertallone4905 5 ปีที่แล้ว

      EDSON MHOWERA et madaraka ya kulevya😅😅

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว

    KIJANA KALEWA MADARAKA

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 5 ปีที่แล้ว

    Mumemtafsiri Makonda vibaya, munayo chuki juu yake, Makonda kafunga jiji la Dar ili kumpokea Mengi. Mumeshasahau? Mnatafuta kiki misibani.

  • @michaelmalima2833
    @michaelmalima2833 5 ปีที่แล้ว +3

    MAKONDA HAKUKOSEA ILA WEWE UMEFIKILI TOFAUTI

  • @praygodlema3867
    @praygodlema3867 5 ปีที่แล้ว

    Mbowe nime kuelewa bora useme ukweli

  • @laurenciamushi8727
    @laurenciamushi8727 5 ปีที่แล้ว

    Hakka elimu n muhimu hata kama n ya drs la saba mana itamfanya mtu ajue utu wa mtu na dhaman ya mwenzake

  • @rwizaanthony3888
    @rwizaanthony3888 5 ปีที่แล้ว +1

    hawa ndiyo viongozi tunawahitaji,, achana na hao wanafiki

    • @omegagomano7862
      @omegagomano7862 5 ปีที่แล้ว

      Kiongozi ubalikiwe sana kwani wewe nimtu unaye jitambua hao wengine madawa yamewazulu sana

    • @omegagomano7862
      @omegagomano7862 5 ปีที่แล้ว

      Kiongozi ubalikiwe sana kwani wewe nimtu unaye jitambua hao wengine madawa yamewazulu sana

  • @juliusswai8363
    @juliusswai8363 5 ปีที่แล้ว

    kuna watu nimataira jamani kama huyo mjinga bashite

  • @nessa4899
    @nessa4899 5 ปีที่แล้ว

    Bashite anapata laana ya kumchafua Gwajima tu.

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Husirete siasa kwenye msiba

  • @barakarobert9516
    @barakarobert9516 5 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania wajinga sana makonda alikuwa anatania kwani ni destur ya sisi watanzania kutaniana kimakabila kuweni waelewa cyo kila kitu siasa

  • @annaremen294
    @annaremen294 5 ปีที่แล้ว +5

    kabisa!!! Hata nyerere angechukizwa!

  • @joycentongani388
    @joycentongani388 5 ปีที่แล้ว +4

    Hilo lako. Wachaga mabahili ni mzee mengi tu ndio sio mchoyo na bahili hakika Mungu ampokee kwa amani.

    • @mommary2424
      @mommary2424 5 ปีที่แล้ว

      Taratibu na kauli zako Joyce Ntongani

    • @frankmassawe9719
      @frankmassawe9719 5 ปีที่แล้ว

      joyce ntongani wewe kabila gani?

    • @enriqueboutique2623
      @enriqueboutique2623 5 ปีที่แล้ว

      Usi judge watu kwa makabila ndugu. Kutoa sio ukabila na sio kila mchaga mbahili na sio kila mchaga mfanya biashara

    • @edsonjackson1087
      @edsonjackson1087 5 ปีที่แล้ว

      Wabahili...hongera yakoo ambaye kila ukikutana na mtu njiani unampa hela

    • @yulianokavishe819
      @yulianokavishe819 5 ปีที่แล้ว

      edson jackson kuna watu unawazà àkil zào ziko wapi yaan

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 5 ปีที่แล้ว +1

    WACHAGA mmezidii

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 5 ปีที่แล้ว +3

    Mara nyengine nawe ukikuta mkusanyiko salimia watu wote. Umeanza "bwana yesu asifiwe "lakini hakukufuatiwa na maamkizi ya waislamu.NAO NI UBAGUZI.

    • @happinessmwenda2773
      @happinessmwenda2773 5 ปีที่แล้ว +1

      Uwezi kusema msikitini bwana Yesu asifiwe.Tafakari kabla ya kuandika.

    • @holidaytripstanzania
      @holidaytripstanzania 5 ปีที่แล้ว

      Were ndio mbaguzi wakwanza kwamaana umeshaanza kuonesha tofauti tayari

    • @ibrahimkingwa5581
      @ibrahimkingwa5581 5 ปีที่แล้ว

      Umesikiliza au

    • @agustinokimaro1483
      @agustinokimaro1483 5 ปีที่แล้ว +1

      Pale ni kanisani sio msikitin

    • @holidaytripstanzania
      @holidaytripstanzania 5 ปีที่แล้ว

      Hahaaa. Mwambie bana, nisawa na msikitini badala ya kuweka khaswida unaweka singeli, si utachapwa bakora.

  • @scayroad8500
    @scayroad8500 5 ปีที่แล้ว +2

    MBOWE MUONGO HAKUNA MTU ALIEZUNGUMZA MAMBO YAKIBAGUZI ZAIDI YA MKUU WANGU WA MKOA KUMCFU MENGI JUU YA MSAADA MBOWE HIZO NI CHUKI ZAKO TU ULIZONAZO BWANA

    • @maurusmocha1447
      @maurusmocha1447 5 ปีที่แล้ว

      Hata mbowe hajamtaja mkuu wa mkoa nadhani were ndo unatueleza kuwa ni yeye aliyezungumza

  • @saidkinganuarykingazi2012
    @saidkinganuarykingazi2012 5 ปีที่แล้ว

    umemwambia ukweli mtani huyu wa kukurupuka

  • @dottomabogatage7003
    @dottomabogatage7003 5 ปีที่แล้ว

    daa huyu bashite ni mzigo wa wazazi

  • @westonmbuba6421
    @westonmbuba6421 5 ปีที่แล้ว +1

    Kiongozi huyu hajawahi kuwa na kauli za busara. Amenyimwa kabisa hekima.

    • @hhonest9553
      @hhonest9553 5 ปีที่แล้ว

      Amepewa makonda hekima tushakuelewa.

    • @evanskatunzi6729
      @evanskatunzi6729 5 ปีที่แล้ว

      Akili huna mpuuzi ww

    • @westonmbuba6421
      @westonmbuba6421 5 ปีที่แล้ว

      @@evanskatunzi6729
      Unadhani ukinitukana ndo atapata hekima? Ndo atakuwa na busara?

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 5 ปีที่แล้ว +4

    kweri kabisa muheshimiwa mboe mbunge nabila unafki makonda amekosea kuongea kauri ile arafu kwenye msiba

    • @zuhurasebastian5883
      @zuhurasebastian5883 5 ปีที่แล้ว

      kifaru songeaolg Tatizo watu wamepewa madaraka ya duniani awajitambui tujifunze kutoka kwa baba yetu mengi Jembe la machame tuige mfanoo kwake tusijichumie na kuifadhi kwa wenzetu tujitambue

    • @robertndilla3911
      @robertndilla3911 5 ปีที่แล้ว

      Madaraka hulevya! Wanahisi wataishi milele. To hell

    • @mommary2424
      @mommary2424 5 ปีที่แล้ว

      Haswaaaa,na wenye tabia kama ya bashite wanatakiwa wajiongeze kwenye msiba wa baba yetu Mengi,sio kuhudhuria tu wakipewa mic wanabwabwaja hawana 🌟 za kuongea

  • @saviongaila3546
    @saviongaila3546 5 ปีที่แล้ว +1

    wise

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona iyo sauti inatoka kama mtu alopungukiwa na meno

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mmemaimdi

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 ปีที่แล้ว +6

    Makonda ni mti wenye matunda matamu tamu

  • @mtanzaniatz3346
    @mtanzaniatz3346 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa mbowe mpe huyo vidonge vyake naonaga kama hajielewi zarau zimemzidi

    • @benurassa7760
      @benurassa7760 5 ปีที่แล้ว

      Point kabisa iyo ujumbe umefika

    • @zuhurasebastian5883
      @zuhurasebastian5883 5 ปีที่แล้ว

      Msaada wa walemavu uendelee usiachwe

    • @shetumbajumaa6464
      @shetumbajumaa6464 5 ปีที่แล้ว +2

      @@benurassa7760 Madaraka ikumbukwe yana mwisho tuchunge kauli zinatushia hadhi nakuenkana kituko

    • @kudraahmad806
      @kudraahmad806 5 ปีที่แล้ว

      ukwel unauma mzee

    • @vicebakila892
      @vicebakila892 5 ปีที่แล้ว

      Mbowe Usitake kumugombanisha makonda na wachaga,,,, ukweli ni ukweli tu wachaga wana asili ya ubahili,mchaga hawezi kutoa Pesa yake paspo na masirahi ,,ila mengi Hakuna hivyo alisaidia paspo kuangalia kuwa atapata nini juu ya huyo mtu,, makonda hakusema kwa kukebehi ila ni sifa moja wapo ya wachaga