LISSU ANAFICHUA MPANGO WA KATIBU MTENDAJI WA KUIBA KURA ZA LISSU UCHAGUZI UWENYEKITI CHADEMA 2024/25

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 66

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 18 วันที่ผ่านมา +6

    Lissu mola akujaalie ushike uwenyekiti. ( jamaa hodar sana na ana moyo wakujitolea sana na hanunuliki) mr lissu sawa na kiwembe ❤

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 17 วันที่ผ่านมา +1

    Wala usiwaogope mungu yupo pamoja na wewe tunakuahidi tupo nyuma yako kwa matokeo yeyote uhai wako mungu aulinde tunatamani sisi wanachamaa kanda ya serengetii kuja kukupambania roho zinatuuma sana hatuna uwezokiuchumi tunakabizi kura zako kwa mwenyezi mungu na mungu akuinulie watu sahihi kukusaidia shinyanga tunakupenda sana tunakuombea sana

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 18 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu jamaa yupo vizur sana kwa hoja na ukitaka kumjua lisu vizur muangalie alivyokuwa bungeni akitoa hoja za kimsingi

  • @nditiPeter
    @nditiPeter 17 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu nimtu wa haki naamini akishinda watu wahaki Tanzania wameshinda

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 18 วันที่ผ่านมา +8

    Sasa Chadema kama mnaanza kuleteana fujo na kuibiana kura nitapata wapi tena nguvu ya kunyooshea ccm kidole!?. Huu uchaguzi muwe makini sana vinginevyo mtauwa chama.

    • @JacobMwakanemela
      @JacobMwakanemela 18 วันที่ผ่านมา +1

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @JacobMwakanemela
      @JacobMwakanemela 17 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 17 วันที่ผ่านมา

      Hata watoto wa tumbo moja huitalifiana kisha kuongea na ikiwezekana kutoaa adhabu ndogo au kusameheana. Na hayo ndio maisha....demokiasia

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 18 วันที่ผ่านมา +7

    Hebu kaa na Mwabukusi mjue mtafanyaje

  • @Saidhussein-m1p
    @Saidhussein-m1p 18 วันที่ผ่านมา +3

    kumuelewa Lissu mpaka uwe critical, akili nyembamba haiwezi kuelewa what this man is saying

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 17 วันที่ผ่านมา

      Lisu ni shoga tu wa Ubeligiji wanaomuelewa ni mashoga wenzake

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 18 วันที่ผ่านมา +4

    Ila Mbowe umejionesha jinsi ulivyo nanini umekuwa ukifanya bidii kuhakikisha unaminya demokrasia Chadema hapa tunaanza kuuona ukweli wa Mchungaji Msigwa.Niaibu Sana kwa kile unacho fanya Chama lazima kikufie mikononi mwako ,subiri, unashauriwa nawenye hekima lakini umeziba masikio,niabu Sana kwako

  • @isaacemily1889
    @isaacemily1889 5 วันที่ผ่านมา

    Lissu atashindwa vibaya,,,DR Slaa anamharibia kabisa

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 18 วันที่ผ่านมา +3

    THE END OF SACCOOS 😢😢😢😢😢

  • @fidesndunguru8605
    @fidesndunguru8605 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutunze namin kabisa mungu anamakusud makubwa na ww

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze 18 วันที่ผ่านมา

    Ninawasihi vyama vyote wale wajumbe wa haki sisi tunaotaka haki ajenda yetu Ni jaki na siyo uongozi na Kama swala la uongozi litavuruga umoja wetu wa wapenda haki basi Mungu atatafuta watu wengine watakaopigania haki hiking ndicho kipimo cha mwisho Cha chadema Kama mmoja wenu atakimbia chama kwasababu ya kukosa kiti ndipo mioyo yenu itakapojidhihirisha Kama kweli Ni wadai haki was kweli au was uongozi isije ikawa Kama msigwa be serious God is serious about this issue msichezee haki msije mkatugawa tulipata maumivu kipindi Cha zito,slaa,lowasa,msigwa siyo Sana Mungu awaunganishe na aoundoe chuki Kati yenu msije mkampa nafasi shetani AMENI

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mtei ni baba mkwe wa Mbowe, alianzisha CHADEMA leo tundu Lisu analilia CHADEMA, hivi yeye hana baba mkwe nae waanzishe chama chao??😂😂

    • @barryrioba3934
      @barryrioba3934 14 วันที่ผ่านมา +1

      Kuanzisha CHAMA CHA SIASA sio kama vile mtu anapoanzisha kampuni yake na baadae kuweka kuweka ndugu zake warithi na kuendeleza.
      Sina muda wa kukufundisha badala yake nakushauri uende shule ulipe ada usome uelimike ili usiendelee kuwa MJINGA.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 14 วันที่ผ่านมา

      Ww ujinga umekujaa

  • @JohnFrancis-h7q
    @JohnFrancis-h7q 18 วันที่ผ่านมา +1

    Chadema hawawez kuongoza nchi nilishasema tamaa sasa mbowe tumpe urais mbona mtakoma ,bora mama mitano tena mama yetu kizimkaz

    • @GraceDeo-g1n
      @GraceDeo-g1n 17 วันที่ผ่านมา

      Mama yako mwenyewe ameshindwa kilichobaki nipicha tu ya rais

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 14 วันที่ผ่านมา

      Mbowe ni mwenyekiti pekee ambaye ccm walishindwa kumhonga.Hebu rejea dokta slaa,mashinji,lipumba, eote hao walihongea na vyama vyao vimekufa.

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 18 วันที่ผ่านมา +3

    Duh, huyu mjomba kachanganyikiw, wat is he even speaking about, this is too much.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu must Be asked why is he traveling abroad often Moreover Belgium.
    Is he still having an apartment there as a fake refugee?Is he still collecting refugees benefits in Belgium while he is in a competition for chadema chairman position.Its very important for Tanzanian people to know exactly what's going on with Lissu, a sellout 😅

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 18 วันที่ผ่านมา +1

      We know you are just spraying us with your bad gases!

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn 17 วันที่ผ่านมา

      It is very certain and by all parameters you hate Lissu. Well even Jesus drew a lot of enemies and ended up by being crussified!Modern day examples of hate to justice: Martin Luther King, Patrice Lumumba, Thomas Sankara, just to mention a few. All were hated and killed because of fighting for justice. So my sister that is how the world goes!

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 18 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu lissu kwa kweli hafai kabisa kabisa, chadema waishie hukohuko kwao chadema, uongozi wa nchi umewashinda hawafai hata kidogo.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 18 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani unayo akili ya kumwelewa LISSU? Akili ndogo hazifai kabisa kuchambua hotuba au maelezo ya Lissu

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 18 วันที่ผ่านมา +2

    wenje ni dalali kabisaaa

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 18 วันที่ผ่านมา +1

    UCHAGUZI HUU UNA MAZINGIRA MAGUMU KWA MTAZAMO HALISI IKIWEZEKANA ULINZI WA AINA YOYOTE UWEPO MWANZO HADI UMALIZIKE .

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 17 วันที่ผ่านมา

    Hatutaki mafisiemu yanatawala kwa nguvu kwa wizi wa kura tumechoka sana mbogamboga

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath 15 วันที่ผ่านมา

      Mbona huko Chadema nako wanaiba kura?

  • @KostaJoseph
    @KostaJoseph 17 วันที่ผ่านมา

    KARIBUNI CCM MTAPATA AMANI YA MOYO ,
    KUNA UTARATIBU MZURI KWA AFYA

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 17 วันที่ผ่านมา

    Hoja za Lisu kuhusu uchaguzi ni sahihi inapaswa uwe wazi ufanyike mchana kweupe na wastahiki washuhudie ili atakayeshindwa akose cha kusingizia.

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hii bulletproof inamaanisha kitu gani katika wakati huu wa uchaguzi wa viongozi ndani ya chama?

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 16 วันที่ผ่านมา

      Drama tu. Wadunguaji wanaweza kumdungua kichwa pia hivyo avae helmet kichwani😢

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba 17 วันที่ผ่านมา

    sasa mtu mkubwa unalialia nini boss,ukiona watotowanakuamini inabidi mengine hutakiwi kuwaonyesha kua umekata tamaaa,

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 17 วันที่ผ่านมา

    Huyu shoga kila kitu husema kuna mtu ameniambia ina maana yeye akili zake ni za kuambiwa, alafu anataka kuwa mwenyekiti mkundu wewe 😂

  • @msengimakala2280
    @msengimakala2280 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kama umepandikiza watu wa kukuletea taarifa za wizi wa kura na kufanyiwa fujo huo ni uthibitisho kuwa wewe ndiye mwenye uwezo na mbinu za kupandikiza wapambe wako wahujumu uchaguzi watakapogundua unaelekea kushindwa

    • @emmanuelkajiba8035
      @emmanuelkajiba8035 18 วันที่ผ่านมา

      Jina lenyewe unaitwa msenge Sasa akili utatoa wapi wakati ni msenge

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 17 วันที่ผ่านมา

      Lisu ni shoga tu wa Ubeligiji wanaomuelewa ni mashoga wenzake, pia kila kitu lazima aseme ameambiwa inamaana hana akili timamu kila kitu ni kuambiwa tu😂

  • @JuliasMsongole-c5k
    @JuliasMsongole-c5k 18 วันที่ผ่านมา

    Mbowe mwaka huu mtelemko haupo pambana na mlima

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 17 วันที่ผ่านมา

    Acha kuongea sana unaaribu chama...umeanza kuchanganyikiwa kuarika watu wa kidini..kivipi? Wenzako wanakaa kimya wewe kiroporopo kila siku...
    Acha kutaka huruma ya watu umeyataka mwenyewe sasa yanakukuta .. anza kujitayalisha kuondoka ukatafute chama kingine

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 17 วันที่ผ่านมา

      ..kama nchi ni ya wachaga basi haya yanawezekana kabisa

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 18 วันที่ผ่านมา +4

    Hii kuongea ongea hovyo kila kukich wats wrong with this Guy, huyu atakuj kulet fedheha sana

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 17 วันที่ผ่านมา

      ..na imani una akili ya kuongoza familia yako..tumia akili hiyo

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze 18 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 17 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkundu anasema Abdul sio kiongozi sasa kwanin alimpatia documents zake??

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 17 วันที่ผ่านมา

      Nakushauri mjue Mungu..achana na miungu watu

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 17 วันที่ผ่านมา

    Nani akuibie kura shoga wewe, nenda ukaendelee kujiuza huko Ubeligiji, umetombwa mpaka mpaka matako yameregea

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe hutoboi tumekuchoka ikipita tuu tunarudi ccm razima kikufie wewe

  • @wirangamochemba7063
    @wirangamochemba7063 18 วันที่ผ่านมา +2

    We huna lolote mitandao haikusaidii kila siku mitandaon utashindwa vibaya unaenda kufeli kunya turu ww

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 18 วันที่ผ่านมา

      kwendra

    • @lucasmako3763
      @lucasmako3763 18 วันที่ผ่านมา

      Nyoooooo 😢

    • @emmanuelkajiba8035
      @emmanuelkajiba8035 18 วันที่ผ่านมา

      Unaumia sana ukiwa wapi kuona wakili mbobevu anatafsiri mambo ili watu wake tuweze kuujua ukweli

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 18 วันที่ผ่านมา

      Farasii

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 18 วันที่ผ่านมา

    Kweli lissu hamnazo, abdul ni nani kwenye serikali.

  • @silasephuraim5332
    @silasephuraim5332 18 วันที่ผ่านมา +1

    This can't be the chairman we Want, see the difference with mbowe.

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 18 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu now is cornered ameisha ona uhalisia unavyojizihilisha anaona anguko lake anaandaa visingizio vya kushindwa kwake yeye yupo busy na wanaharakati mitandaoni mbowe yupo na wapiga kura

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 18 วันที่ผ่านมา +1

      Haongei na wewe, ndo maana huwezi kumuelewa

    • @lucasmako3763
      @lucasmako3763 18 วันที่ผ่านมา

      Pole Sana 😢

    • @emmanuelkajiba8035
      @emmanuelkajiba8035 18 วันที่ผ่านมา

      Mtu yoyote mwenye uumgeaji mkono mkubwa hawezi kuferi

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 18 วันที่ผ่านมา +1

      Lisu asipoibiwa anashinda peupe