MNYAMA SIMBA AKIWASHA LITI STADIUM | ONA HAPA MAZOEZI YA SIMBA KABLA YA KUWAVAA SINGIDA BLACK STARS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Inshallah tutashinda Kwa uwezo wa Allah🤲🤲🤲🤲

  • @MwajumaMsogoti
    @MwajumaMsogoti 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yaan Leo nasali lwa ajili ya simba yangu mungu awasaidie mshinde kesho maana mna vita kubwa sana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    MUNGU AWALINDE NA MABAYA YOTE MKACHEZE MRUDI NA USHINDI

  • @MartinDismas-ou5oy
    @MartinDismas-ou5oy 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU AWABARIKI SANA KATIKA MCHEZO WA KESHO.AWAJALIE KWA USHINDI.SSC.NGUVU MOJA❤❤❤

  • @AmercuChristopher
    @AmercuChristopher 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ijaarie Tim yetu kesho ishinde ubaya ubwera tu.

  • @hassanially1773
    @hassanially1773 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    In sha Allah simba irashunda kesho

  • @JosephMalikawa
    @JosephMalikawa 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    The problem with our players is they are less agile. The coach should emphasise and train on agility.

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mi nawakumbusha hizo tabia za kuanza kuchakalika dakika za nyongeza ziacheni bwana IPO siku wataongeza 0 itakuwaje?

  • @LovenessSimon-r9j
    @LovenessSimon-r9j 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pich mbovu sanaa

  • @StevenSilivester-x3p
    @StevenSilivester-x3p 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😢😢😅😅😅

  • @BaruaniBakari
    @BaruaniBakari 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba mapenati kesho kazi mnayo

    • @Omarimakuka
      @Omarimakuka 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Chelsea simba wewe kesho 3G inakuhusu❤❤❤❤❤

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ukileta za kuleta ndani ya box penati inakuhusu tena bila huruma

  • @HalimaRajabu-x8h
    @HalimaRajabu-x8h 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lolote lile liwakute