Hii ndio seminar yangu ya kwanza kuipata kumsikia huyu Mtumishi wa Mungu... Tangu hapo nmejifunza vingi sana kupitia yeye. BWANA Yesu Akuzidishie Neema yake Mtumishi. I appreciate your Ministry. Siku ya kwanza kufika Madhabahuni nilibarikiwa na nlivyofika nyumban Mtumishi Sunbella na Pastor John Sembatwa Wote nliwaona kwenye ndoto, Mwl Sunbella Aliongea na mimi wakati Pastor alikua akiniangalia... Nikaona hii huduma iko kwaajili ya msaada wa wengi'🙏
Bwana YESU Asifiwe sana Atukuzwe sana sana sanaa, Amen, AMIN & Amina.!!! Kwa kweli mtu akiangalia kwa macho na mazoea aweza kukosa ujumbe muhimu sana(ni motooo) ni silaha ni hekima ya kweli... Mtumishi wa Bwana Ubarikiwe sana ufike viwango vingine vya kulitukuza Jina la Bwana Yesu, sijafika mwisho kuskiliza ila nmeona kuna vitu vya kutosha ndani yake (content) kwa kila aliye hai .. Shalom
Sikujua kumbe niliwahi kucomment miaka miwili iliyopita Leo nmekuja huku ndio nmejua... Na nmekuja nikitaka kuituma link mtu mwingine afaidi somo kama nlivyofaid mm'.
Yesu alisema( Marko:14.38) Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu. Hivyo Katika hali ya kimwili alikuwa ana udhaifu wake... Ambao ulionekana sehemu nyingi (imani ya kutembea juu ya maji, kumkana Yesu mara tatu n.k) ambayo tunapata taswira ya madhaifu yetu sisi wa kikazi hiki Lakini baada ya Roho Mtakatifu kutawala tunaona picha nyingine ya ujasiri na imani kuu ambayo sifa haziendi kwa Petro kama mtendaji mkuu bali kwa Roho Mtakatifu aishie ndani ya waamini wanaotii.
Hii ndio seminar yangu ya kwanza kuipata kumsikia huyu Mtumishi wa Mungu...
Tangu hapo nmejifunza vingi sana kupitia yeye. BWANA Yesu Akuzidishie Neema yake Mtumishi.
I appreciate your Ministry.
Siku ya kwanza kufika Madhabahuni nilibarikiwa na nlivyofika nyumban Mtumishi Sunbella na Pastor John Sembatwa Wote nliwaona kwenye ndoto, Mwl Sunbella Aliongea na mimi wakati Pastor alikua akiniangalia...
Nikaona hii huduma iko kwaajili ya msaada wa wengi'🙏
Mungu akubariki sana,umekuwa mwalimu mzur mno.sifa na utukufu tumrudishie Mungu mwenyewe aliyekufinyanga.
MUNGU akubariki mtumishi nimejifunza kitu
MUNGU akubariki
Sifa na utukufu kwa Mungu! ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Sunbella pia umependeza sana na hiyo suti.
Apostle ubarikiwe sana unanifundisha vingi sana! Amen
Mungu akufunulie zaidi pastor.
Unanibariki sana pastor wangu
Thanks Daddy,servant of living GOD…..
Hakika wewe ni mwalim nakuelewa vizuri Sana mtumishi sunbella
Na mungu akulinde ziku zakk mana unajambu Nemo vilivuo
Barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe
Roho mtakatifù anafundisha vizuri ndani yako BABA yaaaani hata ukiwa tahira roho MUNGU anatoa ufahau wa uelewa.
May God grant you more favour servant of the living God...Great revelation...
Mungu akubariki mtumishi
Mungu akupe maisha marefu Mtumishi
Mungu awabariki
Amen and amen amen mane of God
MUNGU akufunike Mtumishi uweze kulitimiza kusudi lake. AMEN
Asante mchungaji mwalimu bakari kutoka kenya
Amen ubarikiwe kwa Jumbee hii, maana Mungu aliye hai kanifunulia jambo kuu juu ya Huduma yangu
Amen🙏🙏 ubarikiwe mnooo baba
Ninapoenda ufundishahi wako mtumishi be blessed
Amen amen amen YESU AHSANTE
Asante Sana mchunganji mahubiri yako imenishaidia Sana.
Ameen mtumishi.
Asante Sana kwa mafundisho yako barikiwa
Papa paster ubarikiwe Sana juu umeni bariki sana
Ameni amina mtumishi wa Mungu, nimeguswa sana na pia nmepokea upako vizuri sana
Hongera unafundisha vizuri
Bwana YESU Asifiwe sana Atukuzwe sana sana sanaa,
Amen, AMIN & Amina.!!!
Kwa kweli mtu akiangalia kwa macho na mazoea aweza kukosa ujumbe muhimu sana(ni motooo) ni silaha ni hekima ya kweli...
Mtumishi wa Bwana Ubarikiwe sana ufike viwango vingine vya kulitukuza Jina la Bwana Yesu, sijafika mwisho kuskiliza ila nmeona kuna vitu vya kutosha ndani yake (content) kwa kila aliye hai
.. Shalom
Upo wap
Sikujua kumbe niliwahi kucomment miaka miwili iliyopita
Leo nmekuja huku ndio nmejua...
Na nmekuja nikitaka kuituma link mtu mwingine afaidi somo kama nlivyofaid mm'.
Eeeh mwenyenzi mungu unayeishi,, Naomba unitendee nikushuhudie
Neno hili likae ndani yangu ameni!
Amina ubarikiwe sana pastor
Joyce Issaya g
Neno la Mungu halipiti bure. Barikiwa mtumishi..
Thanks so much Dady🙏🙏🙏
God bless you
Amen.. Ahsante pastor kwa mafundisho mazuri
Ameen barikiwa na SoMo hili
Naomba namba za simu
Amen. Deep revelation. Glory to God.
Aaa000000
asante Mungu Roho mt ,kwa mtu huyu.
naombariki.
Nimemwona mungu akijifunua kwangu Amina
Ni mara yangu ya kwanza kukusikiliza nimebarikiwa
Mtumishi unapatikana wapi
Thanks dady
Apostle, Mungu akubariki lkn kanisa lako liko wapi
Lipo sinza mori
Asante mutumishi kwa mahubiri
Barikiwa Sana mwalimu mafundisho yako yanifanya nilielewe neno la mungu.
Huo mwamba ni ufaham ambao hata malango ya kuzimu hayatashinda hata mm ninaufaham huo na malango ya kuzimu hayaniwezi
Amen🙏🙏🙏
Ubarikiwe Baba, kwa mafundisho mazuri mno
I'm blessed
Ameni🙏
MUNGU akubariki Sana mtumishi nimebarikiwa Sana kwa kweli
Amen amen.
Be bleesed pastor
I'm blessed 🙏🙏
1 we
Ooopqqqqqqqqqqqq
Naomba namba ya mtumishi.Asante
Mungu wetu akubariki kwa mafundisho hii.aksanti kabisa
Haya mafundisho yameniponya nafsi yangu
Hakika nabarikiwa sana napo sikiriza mafundisho yako nabarikiwa sana mung akutie nguvu
Asante Sana
Barikiwe sana dady
Asante kwa mafundisho mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
Ameen 🙏
Mungu Mwema akutunze mtumishi.
Nakuelewa sana mwalimu.
Mafuta ya kufundisha yako ndani yako kwa viwango.
Bless u man of God.
Amen Amen
Nabalikiwa
Amina
Amen sana
Amen 🙌🙌🙌🙌
Hi
Amen Ameen
🙏🏾
🙏
Amen
Somo linanihusu, hili ni somo langu kila ulichosema😭
Chupa nyeupe iliyofunukwa au kufungwa nakifuniko cha dhahabu,ukiona mtumish naomba jibu
Ameen
HII NIYANGU KABISA
nimekuelewa sana sana mwl,tembea hata mikoani
Nilikua mwanza na sasa tunajiandaa kuja dodoma
Uje na mwanza mtumishi
Yesu asifiwe, mtumishi ninaomba ufafanuzi zaidi ni vipi unaposema Petro alikuwa very weak kuliko wanafunzi wote!
Yesu alisema( Marko:14.38)
Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
Hivyo Katika hali ya kimwili alikuwa ana udhaifu wake...
Ambao ulionekana sehemu nyingi (imani ya kutembea juu ya maji, kumkana Yesu mara tatu n.k) ambayo tunapata taswira ya madhaifu yetu sisi wa kikazi hiki
Lakini baada ya Roho Mtakatifu kutawala tunaona picha nyingine ya ujasiri na imani kuu ambayo sifa haziendi kwa Petro kama mtendaji mkuu bali kwa Roho Mtakatifu aishie ndani ya waamini wanaotii.
Ubarikiwe man of god
Hakika wewe ni mwalim nakuelewa vizuri Sana mtumishi sunbella
Amen
Amina
Hi
Hakika wewe ni mwalim nakuelewa vizuri Sana mtumishi sunbella
Amina
Amen
Amen
Amen