MCHUNGAJI HANANJA AWAJIBU WANAOMWITA COMEDIAN,, HUWEZI KUHUBIRI SERIOUS MDA WOTE...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @scopy0428
    @scopy0428 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hananje anaongea fact

  • @user-cv4yi5hz9b
    @user-cv4yi5hz9b 22 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂Mzee wangu bana napenda kumsikiliza huyu mtu wa maana kabisa huyu unanifurahisha sana mtumish barikiwe sana🤲🏻🤲🏻🤲🏻👍🏿✌🏿

  • @GodlistenAlen
    @GodlistenAlen 20 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda jinsi unavyonukuu vifungu vya bibilia kama vile unakunywa maji.

  • @user-pl3pc4wk9i
    @user-pl3pc4wk9i 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwan nani? Anasikiliza comedian ama unafuata neno linalosemwa

  • @sergebaleke695
    @sergebaleke695 19 วันที่ผ่านมา +1

    Eti ipo siku watajipaka uji 😂😂

  • @johnsonmachange1543
    @johnsonmachange1543 19 วันที่ผ่านมา +1

    Hahaha mchungaji umetisha😂😂

  • @WigesaNyerere
    @WigesaNyerere 19 วันที่ผ่านมา +1

    Je tunye nn mchungaji ili kuzuia tamaduni za kigeni kuingizwa malangoni pa bwana

  • @SilasNdaisabha-gx8jo
    @SilasNdaisabha-gx8jo 21 วันที่ผ่านมา +1

    Watajipakaa uji mmh🤣🤣 et kama nyumbuu

  • @wilfredshoghosho0017
    @wilfredshoghosho0017 20 วันที่ผ่านมา

    Eeeish eti watapaka uji siku moja senzi😂

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 20 วันที่ผ่านมา +1

    Comedian pure sio mchungaji

  • @isayasimwinga2854
    @isayasimwinga2854 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ni comedian kweli. Unajifanya hujijui😂😂😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 22 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 22 วันที่ผ่านมา +2

    Akisilimu atakua sheikh mzuri

    • @ANDREWKIMARO-by3zl
      @ANDREWKIMARO-by3zl 16 วันที่ผ่านมา

      Ndoto ya alinacha asilimu aende wapi
      Na njia sahihi ni moja tu YOH 14:6

    • @lwitcofredy4013
      @lwitcofredy4013 6 วันที่ผ่านมา

      Usichokijua alikuwa muislam huyu, aka okoka

    • @Kuminamoja1995
      @Kuminamoja1995 6 วันที่ผ่านมา

      Nini maana ya kuokoka

    • @ANDREWKIMARO-by3zl
      @ANDREWKIMARO-by3zl 6 วันที่ผ่านมา

      @@Kuminamoja1995
      kuokoka ni lugha ya kawaida kabisa, yenye maana ya kunusurika, kusalimika, kupona, kukombolewa, kufunguliwa kutoka katika janga au hatari au kifungofulani.
      Leo tunaanza na hili andiko “Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu” RUM.10:9-10 SUV hiyo ndio maana ya wokovu